07.c - maria kim

7
skuma ni ten bob kwa bunch. nifungie mbili what? sawa asante september 14th ni leo! na watu hawajui! very good! watu hawajui, kama tulivyo panga. niliambiwa ukitaka kuficha kitu from an african, ifiche kwa maandishi. ha ha ha haaaa!!! latf meeting 14th september mnaalikwa kwa mkutanowa latf ili kufuatilia miradi ya maende- leo kwa wards. venue: county hall time: 8:30 18

Upload: well-told-story

Post on 14-Mar-2016

268 views

Category:

Documents


9 download

DESCRIPTION

Chapta 7- Maria Kim: LATF fund meeting

TRANSCRIPT

Page 1: 07.c - Maria Kim

skuma ni ten bob kwa bunch.

nifungie mbili

what?

sawa asante

september 14th ni leo! na watu hawajui!

very good! watu hawajui, kama tulivyo panga. niliambiwa ukitaka kuficha kitu from an african, ifiche kwa maandishi.

ha ha ha haaaa!!!

latf meeting 14th september mnaalikwa kwa mkutanowa latf ili kufuatilia miradi ya maende- leo kwa wards. venue: county hall time: 8:30

18

Page 2: 07.c - Maria Kim

nimepata hii kwa newspaper article. si watu wengi wanajua juu ya hii meeting. Tutafanya nini?

endeni mkisema hivi: “twendeni kwa county hall! latf meeting ni leo kwa county hall!” sawa? then nitawapatia sweets.

thanks, j.k. kweli wewe ni genius!

si tuambie brathako na beste zake waende waki-announce barabarani juu ya hii meeting?

rusha mkono maze!

rusha rusha!

twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

pg 2.pdf 1 12/08/2010 09:41:59

19

Page 3: 07.c - Maria Kim

sikujua ni leo. kwanini hawakutuambia?

aii! siachwi nyuma!

haki yeetu! haki yeetu! haki yeetu!

ona hata hakuna watu wengi

twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!

twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!

twendeni county hall! latf meeting ni ya leo county hall!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

pg 3.pdf 1 12/08/2010 09:41:48

20

Page 4: 07.c - Maria Kim

hamwezi fanya latf meeting bila watu wa community kuhusishwa!!! na sisi ni akina nani madam? i am the

councillor of this ward! si makosa yetu kuwa mmechelewa!

na sindio!

na by the way, councillor hana mamlaka ya ku-chair mkutano wa latf, ni mmoja wa community anatakikana kuwa chair.

nani alisema hivo? kijana unataka kunionyesha kazi yangu?

in fact, regulations imesema chairman awe appointed by the majority.

nina chagua chuxx, nani anani-support? hakuna!! na...huyu...pastor?

ndiooo!!!

21

Page 5: 07.c - Maria Kim

asanteni kwa kunichagua. hebu tuseme shida gani tuko nazo kwa community halafu tuziandike.

stima!..maji! hatuna maternity iliyo karibu!

tunahitaji street lighting ili kukumbana na insecurity!

sawa. haya yote tumesema na nimeandika ile issues tatu mmesema kua muhimu. nitaandika minutes na kupatia latf committee. pangeni ku-attend annual latf meeting iatakayo kuwa next month. hapo mtajua kama miradi yetu itakubaliwa na kupatiwa funds. kisha mtatakikana ku-participate kwa miradi yenyu.

hawa ni wajinga!!! wanafikiri wameshinda? huu ndio mwanzo wa mapambano!!

C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

pg 5.pdf 1 12/08/2010 09:41:16

22

Page 6: 07.c - Maria Kim

siku ya leo ilikuwa a success!

thanks to you kwa kutoa idea poa. i loved it!

nimeanza kupenda company yako siku hizi

najua, na mimi naku-like sana. nilikuwa nataka kuuliza...

kriing! kriiing!

kriing!

Wengi wanaweza kuwa victims kama watu wa community yetu. Nime-share information

tuliopata juu ya LATF na dj b.

tunakudai sweets zetu! wazee! tulikuwa na fun mob! Lakini chuxx akaja kutufunga mdomo ati

tusiende tukiwaita watu kwa meeting.

Hiyo ilikuwa kitu serious! kuna watu

wanapinga kazi tunafanya. jichungeni!

Je, community ya maria kim ita-pata funding? Cheki next comic!C

M

Y

CM

MY

CY

CMY

K

pg 6.pdf 1 12/08/2010 09:51:22

Vile LATF inavyo operateUlijua kuwa 5% ya national personal income ya tax collections huwekwa kando kwa matumizi ya LATF fund?

LATF fund husaidia ku-improve service delivery kwa communities na local council. Pia, inasaidia management ya finances za local authorities na kupunguza deni.

Councils hu-manage funds za LATF na ku-guide-iwa na Local Government Act.

a) Attend meetings za LATF. Jua time na location ya meetings. Hizi hu-anounce-iwa kwa gazeti.

b) Kwa LATF meeting, ongea juu ya mahitaji ya community na uwe involved kuchagua projects zitakazoanzishwa kwa area yenu. Itasaidia watu ku-own miradi yao. Watu walio na selfish interests watazuiwa ku-benefit na miradi ya community.

c) Follow up miradi ya area yenyu na ujue inavyoendelea. Itafanya viongozi kuwa accountable.

d) Soma financial reviews za LATF funds zinazowekwa kwa newspapers ili ujue vile pesa zimetumika kwa projects mlizochagua kwa area yenyu.

Go ahead ma-fans na m-participate kwa LATF meetings za area yenyu na mtafaidika na maendeleo nyote!!

Unaweza participate kwa LATF fund ya area yenu

Tumia DJ B maoni juu ya LATF on 3008, Facebook kwa Djboyie Shujaaz na Shujaaz kwa Twitter ili tujengane kama vijana!!!

23

Page 7: 07.c - Maria Kim

charlie avamiwa na worms!

Hizi minyoo

ni laana!!!

Zitakuwa mbaya kama...

kama...

...siku ya mwisho!!!

Lakini naweza

kuwaokoaaa!!! Leteni

mali zenyu!!!

Isipungue shilingi

elfu mbili!!! Ikipungua?

Minyoo ya fumbo itaharibu shamba zenyu

pamoja na wale hawatafanya

ninachosema!!!

SangOma nitakuletea ng’ombe yangu!

Nitakuletea A.T.M. card!

Ngoja niwaambie ukweli!!!

24