ahead tanzania - p. o. box 1649 bukoba...ahead tanzania 1 p. o. box 1649 bukoba taarifa ya matumizi...
TRANSCRIPT
AHEAD ─Tanzania
1
P. O. BOX 1649 BUKOBA
Taarifa ya Matumizi ya Fedha
na Miradi Mwaka 2016 na 2017
kwa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia
Wazee na Watoto
11 Novemba, 2018
AHEAD ─Tanzania
2
1. UTANGULIZI Asasi ya Adventures in Health, Education and Agricultural Development-Tanzania
(AHEAD-Tanzania) ilianzishwa hapanchini na kusajiliwa na Registrar of Societies,
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi tarehe 29 Juni, 1989 chini ya sheria Societies
Ordinance, 1954. Cheti chake cha Usajili ni SO. No. 7055. (Tazama Kiambatisho
‘A’). Aidha tarehe 12 Mei, 2008, AHEAD-Tanzania ilipata Certificate of Compliance
chini ya Sheria ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali, Na. 24 ya mwaka 2002. Namba ya
Cheti (Certificate of Compliance au Cheti cha Ukubalifu) hicho ni 1996. (Tazama
Kiambatisho ‘B’). Kama jina la Asasi linavyojieleza, AHEAD-Tanzania imejikita katika
kuhamasisha na kushirikiana na wananchi walengwa na wanufaika katika kuibua na
kutekeleza miradi katika Nyanja za Afya, Elimu na maendeleo endelevu ya Kilimo.
Katika maeneo hayo, wanananchi Watanzania wanaweza kukabili maadui wa
maendeleo, yaani maradhi, ujinga na umasikini.
Tangu kuanzishwa kwake AHEAD-Tanzania imetekeleza miradi mbalimbali hapa
nchini hususan katika mikoa ya Pwani, Shinyanga na Kagera. Mwaka 1995, AHEAD-
Tanzania ilitekeleza kwa ufanisi programu za Afya zilizolenga kuboresha afya ya
mtoto, huduma kawa akina mama, na kupeleka umeme wa jua. Katika Mkoa wa
Pwani, mwaka 2001 AHEAD-Tanzania ilielekeza jitihada zake katika elimu ya ufundi
katika wilaya ya Kisarawe. Mwaka 2016, AHEAD-Tanzania ilielekeza jitihada zake za
kushirikiana na wananchi kujiletea maendeleo yao katika mkoa wa Kagera,
Halmashauri ya Wilaya Bukoba. Maeneo yaliyolengwa ni uboreshaji wa mazingira ya
kufundishia na kujifunza pamoja na huduma za afya. AHEAD-Tanzania kwa msaada
kutoka Asasi dada ya Marekani, yaani AHEAD, Inc. (USA), iliweka umeme katika
majengo yote ya shule ya Sekondari Bukara. Kuanzia Mwezi Agosti, 2017 AHEAD-
Tanzania ilipanua shughuli zake kwa: (i) kujenga choo ya kisasa kwa ajili ya watoto
wa kike; (ii) kujenga miundombinu ya kuvuna maji ya mvua na (iii) kujenga Tanki la
kuhifadhi maji kiasi cha lita za ujazo 65,000. Kuanzia mwezi Oktoba 2017, AHEAD-
Tanzania ilielekeza nguvu zake katika kutekeleza programu au mradi wa ujenzi wa
Wodi ya Watoto na akina mama (Martenal and Pediatric Ward) kwa kushirikiana na
wanajamii ya Kata za Maruku na Kanyangereko katika Halmashauri ya Wilaya
Bukoba.
AHEAD-Tanzania inaihakikishia Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia Wizara ya
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwamba katika utekelezaji wa
shughuli zake itaendelea kuzingatia sheria, kanuni, maelekezo na maagizo ya Serikali.
Aidha, AHEAD-Tanzania itaendelea kubuni na kutekeleza miradi inayozingatia
vipaumbele, mipango na mikakati ya Serikali katika ngazi za wilaya, mikoa na taifa ili
kutoa mchango katika kufikia maendeleo endelevu kwa manufaa ya jamii na taifa.
Lengo la andiko hili ni kutoa taarifa zinazohusu AHEAD-Tanzania kwa mujibu wa agizo
la Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
lililotolewa tarehe 28 Septemba, 2018. Taarifa hii imegawanyika katika sehemu kuu
nne. Sehemu ya kwanza ni Taarifa za za fedha zilizokaguliwa (audited financial
statements) za miaka miwili iliyopita, 2016 na 2017 maandalizi ya kutoa taarifa ya
mwaka 2018 yanaendelea. Sehemu ya pili ni taarifa ya vyanzo vya fedha, matumizi
AHEAD ─Tanzania
3
yake na miradi iliyotekelezwa na inayotarajia kutekelezwa. Tatu, ni hati ya
makubaliano (Memorundum of Understanding) kwa kipindi cha mwaka 2017 hadi
sasa. Sehemu ya NNe ni Viambatisho muhimu.
AHEAD ─Tanzania
4
AUDITED FINANCIAL STATEMENTS
FOR THE YEAR ENDED 31 DECEMBER 2016
SYMMETRIC AUDITING & MANAGEMENT CONSULTANTS CERTIFIED PUBLIC ACCOUNTANTS IN PUBLIC PRACTICE P.O. BOX 62271 DAR ES SALAAM TANZANIA
AHEAD ─ Tanzania
5
THE ADVISORY COMMITEE REPORT
AND FINANCIAL STATEMENTS
FOR THE YEAR ENDED 31 DECEMBER 2016
The Annual Report and Audited Financial Statements of AHEAD -Tanzania for the year ended 31
December 2016 is presented by the Advisory Committee in accordance with laid down procedures.
THE ADVISORY COMMITEE REPORT
1. PREAMBLE
The Advisory Committee Members submit their report together with the Audited financial statements
for the year ended 31 December 2016 which discloses the state of affairs of AHEAD -Tanzania.
2. INCORPORATION AHEAD-Tanzania is a Non-Profit, Non-government organization whose purpose is to work in
underserved communities in Tanzania to improve the quality of life for residents by implementing
programs that lead to self-sufficiency and self-reliance. Using a participatory, problem–solving
approach to development, AHEAD-Tanzania works with beneficiaries to develop self-help programs.
Situated in Kagera Region, Bukoba District – Tanzania. Postal address: P.O. Box 1649 Bukoba, Tanzania.
Registration:
(i) Registered with United Republic of Tanzania Registrar of Societies, Ministry of Home Affairs, 29 June, 1989, Reg. So. No. 7055
(ii) Complied with the terms and conditions of NGOs under the Non-Governmental Organizations Act, 2002 on 12th May 2008.Certificate of compliance No.1996.
3. THE GOAL OF AHEAD – TANZANIA ARE AS FOLLOWS:- (i) To reduce maternal and childhood mortality (ii) To improve the quality of life for girls and women. (iii) To prevent the spread of HIV/AIDS and others STIs (iv) To support education and intervention campaigns aimed at changing harmful
attitudes and practices (v) To improve the support of women in their roles as care –providers for their families (vi) To help reduce socio-economic inequalities in families and communities that impinge
upon good health. (vii) To solicit funds to maintain and expand the operation and communities that impinge.
AHEAD ─ Tanzania
6
THE ADVISORY COMMITEE MEMBERS REPORT
AND FINANCIAL STATEMENTS
FOR THE YEAR ENDED DECEMBER 2016 (CONT’D)
4. THE ADVISORY COMMITTEE MEMBERS The Advisory Committee members as at the date of this report, who held office in 2016 are as follows:
(i) DR. BENSON BANA - CHAIRMAN & CEO
(ii) MRS. EVANGELINA KAMAZIMA -VICE CHAIRMAN –BUKOBA
(iii) MR. JOVIN KANGIMBA -CHIEF FINANCE CONTROLLER
(iv) DR.EMELIA MUGONZIBWA -MEMBER DAR ES SALAAM
(v) MR. THOMAS NGIRWA - SECRETARY BUKOBA
(vi) MR. ABDUL KATABARO - MEMBER BUKOBA
(vii) ENG.LAMECK HILIYAI - MEMBER DAR ES SALAAM
5. SOURCE OF FUNDING FOR THE ORGANIZATION (i) Grants and donations from local, national and International Donors (ii) Contributions from projects’ beneficiaries (iii) Other miscellaneous sources
6. THE ADVISORY COMMITEE MEMBERS IN RESPECT OF THE FINANCIAL STATEMENTS
It is the AHEAD Tanzania Advisory Committee responsibility the NGOs under the Non-
Governmental Organizations Act, 2002 and the entity’s constitution to prepare financial
statements for each financial year, that present a true and fair view of the state of affairs of
the AHEAD Tanzania as at the end of the financial year.
The preparation of these Financial Statements was based on appropriate accounting policies
which have been used and applied consistently. Reasonable, prudent judgment and estimates
have been made in the preparation of these financial statements for the year ended
31 December 2016.
The annual financial statements for the year were prepared on the basis of Cash received and
expenses paid.
Adequate accounting records have been kept which at any time disclose with reasonable
accuracy the financial position of the Organization.
AHEAD ─ Tanzania
7
THE ADVISORY COMMITEES MEMBERS REPORT
AND FINANCIAL STATEMENTS
FOR THE YEAR ENDED DECEMBER 2016 (CONT’D)
7. GOVERNANCE
The Constitution of AHEAD-Tanzania provides a framework for ensuring application of good
governance principles and best practices by the Advisory Committee Members and the
Management in the course of managing the day to day affairs of the Organization.
8.0 FINANCIAL PERFORMANCE OF THE COMPANY
The Financial Statements of AHEAD-Tanzania for the year ended 31 December, 2016 have
been prepared in accordance with Cash received and expensed paid. The Financial
Statements are enclosed from page 6 as part of this report.
8.1 Financial Position
During the year under review, the Organization’s financial position was satisfactory.
8.2 Operational Results
The operational results of the Organization shows the total revenue collected during the year
amounted to TZS 10,300,698
The expenditure on the other hand, amounted to TZS. 2,091,900 Therefore, the Organization
realized a surplus amounting to TZS 8,208,798 during the year ended 31 December, 2016.
9.0 STATUTORY AUDITORS
The Advisory Committee Members appointed SYMMETRIC AUDITING AND MANAGEMENT
CONSULTANCY as statutory/external auditors of the Organization for the financial years 2016,
2017 and 2018.
08 November, 2018
………………………………. …………………….
CHAIRMAN & CEO DATE
AHEAD ─ Tanzania
8
THE ADVISORY COMMITEES MEMBERS REPORT
AND FINANCIAL STATEMENTS
FOR THE YEAR ENDED DECEMBER 2016 (CONT’D)
The Advisory Committee Members are required by the NGOs under the Non-Governmental
Organizations Act, 2002 to prepare financial statements for each financial year that give a true and
fair view of the state of affairs of the Organization as at the financial year end and of its surplus or
deficit.
The Advisory Committee Members confirm that suitable accounting policies have been used and
applied consistently and reasonable and prudent judgment and estimates have been made in the
preparation of the financial statements for the year ended 31 December 2016.
The Advisory Committee is responsible for keeping proper accounting records which disclose with
reasonable accuracy at any time the financial position of the company and which enable assurance
that the financial statements comply with the Non-Governmental Organizations Act, 2002. The
Advisory Committee Members are also responsible for exercising and maintaining an internal control
system for safeguarding the assets of the Organization, preventing and detecting fraud, errors and
other irregularities.
08 November, 2018
CHAIRMAN & CEO DATE
AHEAD ─ Tanzania
9
AHEAD ─ Tanzania
10
AHEAD ─ Tanzania
11
STATEMENT OF REVENUE AND EXPENSES
NOTES TO THE FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED
31 DECEMBER, 2016
NOTE: 1. REVENUE
Date
Particulars of Senders & References Amount
Tshs.
Injection by AHEAD Inc.
6.9.2016
Sender Ref. G0162505522701 - USD 2500
5,262,500
30.11.2016
Sender Ref. G0163353673701 - USD 2500
5,038,198
Total
10,300,698
NOTE 2: EXPENSES
Date Particulars Amount
T. Shs.
10.10.2016 Advance for Electrification - Bukara Sec. School
2,000,000
10.10.2016 Stationeries & Consumables (100,000 contra - CBOB)
91,900
Total 2,091,900
08 November, 2018
CHAIRMAN & CEO DATE
AHEAD ─ Tanzania
12
AUDITED FINANCIAL STATEMENTS
FOR THE YEAR ENDED 31 DECEMBER 2017
SYMMETRIC AUDITING & MANAGEMENT CONSULTANTS
CERTIFIED PUBLIC ACCOUNTANTS IN PUBLIC PRACTICE P.O. BOX 62271 DAR ES SALAAM TANZANIA
AHEAD ─ Tanzania
13
THE ADVISORY COMMITEE REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 31
DECEMBER 2017
The Annual Report and Audited Financial Statements of AHEAD -Tanzania for the year ended 31 December
2017 is presented by the Advisory Committee in accordance with laid down procedures.
THE ADVISORY COMMITEE REPORT
1. PREAMBLE
The Advisory Committee Members submit their report together with the Audited financial statements for
the year ended 31 December 2017 which discloses the state of affairs of AHEAD -Tanzania.
2. INCORPORATION AHEAD-Tanzania is a Non-Profit, Non-government organization whose purpose is to work in underserved
communities in Tanzania to improve the quality of life for residents by implementing programs that lead
to self-sufficiency and self-reliance. Using a participatory, problem–solving approach to development,
AHEAD-Tanzania works with beneficiaries to develop self-help programs. Situated in Kagera Region,
Bukoba District – Tanzania. Postal address: P.O. Box 1649 Bukoba, Tanzania.
Registration:
(iii) Registered with United Republic of Tanzania Registrar of Societies, Ministry of Home Affairs, 29 June, 1989, Reg. So. No. 7055
(iv) Complied with the terms and conditions of NGOs under the Non-Governmental Organizations Act, 2002 on 12th May 2008.Certificate of compliance No.1996.
3. THE GOAL OF AHEAD – TANZANIA ARE AS FOLLOWS:- (viii) To reduce maternal and childhood mortality (ix) To improve the quality of life for girls and women. (x) To prevent the spread of HIV/AIDS and others STIs (xi) To support education and intervention campaigns aimed at changing harmful attitudes
and practices (xii) To improve the support of women in their roles as care –providers for their families (xiii) To help reduce socio-economic inequalities in families and communities that impinge
upon good health. (xiv) To solicit funds to maintain and expand the operation and communities that impinge.
AHEAD ─ Tanzania
14
THE ADVISORY COMMITEE MEMBERS REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED DECEMBER 2017 (CONT’D)
4. THE ADVISORY COMMITTEE MEMBERS The Advisory Committee members as at the date of this report, who held office in 2017 are as follows:
(i) DR. BENSON BANA - CHAIRMAN & CEO
(ii) MRS. EVANGELINA KAMAZIMA -VICE CHAIRMAN –BUKOBA
(iii) MR. JOVIN KANGIMBA -CHIEF FINANCE CONTROLLER, BUKOBA
(iv) DR.EMELIA MUGONZIBWA -MEMBER DAR ES SALAAM
(v) MR. THOMAS NGIRWA - SECRETARY BUKOBA
(vi) MR. ABDUL KATABARO - MEMBER BUKOBA
(vii) ENG.LAMECK HILIYAI - MEMBER DAR ES SALAAM
5. SOURCE OF FUNDING FOR THE ORGANIZATION (iv) Grants and donations from local, national and International Donors (v) Contributions from projects ‘Beneficiaries (vi) Other miscellaneous sources
6. THE ADVISORY COMMITEE MEMBERS IN RESPECT OF THE FINANCIAL STATEMENTS
It is the AHEAD Tanzania Advisory Committee responsibility the NGOs under the Non-
Governmental Organizations Act, 2002 and the entity’s constitution to prepare financial
statements for each financial year, that present a true and fair view of the state of affairs of the
AHEAD Tanzania as at the end of the financial year.
The preparation of these Financial Statements was based on appropriate accounting policies
which have been used and applied consistently. Reasonable, prudent judgment and estimates
have been made in the preparation of these financial statements for the year ended 31 December
2017.
The annual financial statements for the year were prepared on the basis of Cash received and
expenses paid.
Adequate accounting records have been kept which at any time disclose with reasonable accuracy
the financial position of the Organization.
AHEAD ─ Tanzania
15
THE ADVISORY COMMITEES MEMBERS REPORTAND FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED DECEMBER 2017 (CONT’D)
7. GOVERNANCE
The Constitution of AHEAD-Tanzania provides a framework for ensuring application of good
governance principles and best practices by the Advisory Committee Members and the
Management in the course of managing the day to day affairs of the Organization.
8.0 FINANCIAL PERFORMANCE OF THE COMPANY
The Financial Statements of AHEAD -Tanzania for the year ended 31 December, 2017 has been
prepared in accordance with Cash received and expensed paid. The Financial Statements are
enclosed from page7 as part of this report.
8.1 Financial Position
During the year under review, the Organization’s financial position was satisfactory.
8.2 Operational Results
The operational results of the Organization shows the total revenue collected during the year
amounted to TZS 81,364,488
The expenditure on the other hand, amounted to TZS. 47,027,360 therefore the Organization
realized a surplus amounting to TZS 34,337,128 during the year ended 31 December, 2017.
9.0 STATUTORY AUDITORS
The Advisory Committee Members appointed SYMMETRIC AUDITING AND MANAGEMENT
CONSULTANCY as statutory/external auditors of the Organization for the financial years 2016,
2017 and 2018.
08 November, 2018
………………………………. …………………….
CHAIRMAN & CEO DATE
AHEAD ─ Tanzania
16
THE ADVISORY COMMITEES MEMBERS REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED DECEMBER 2017 (CONT’D)
The Advisory Committee Members are required by the NGOs under the Non-Governmental
Organizations Act, 2002 to prepare financial statements for each financial year that give a true and fair
view of the state of affairs of the Organization as at the financial year end and of its surplus or deficit.
The Advisory Committee Members confirm that suitable accounting policies have been used and applied
consistently and reasonable and prudent judgment and estimates have been made in the preparation of
the financial statements for the year ended 31 December 2017.
The Advisory Committee is responsible for keeping proper accounting records which disclose with
reasonable accuracy at any time the financial position of the company and which enable assurance that
the financial statements comply with the Non-Governmental Organizations Act, 2002. The Advisory
Committee Members are also responsible for exercising and maintaining an internal control system for
safeguarding the assets of the Organization, preventing and detecting fraud, errors and other
irregularities.
08 November, 2018
………………………………. …………………….
CHAIRMAN & CEO DATE
AHEAD ─ Tanzania
17
AHEAD -TANZANIA
AUDITOR’S REPORT
AHEAD ─ Tanzania
18
AHEAD ─ Tanzania
19
AHEAD ─ Tanzania
20
NOTES TO THE FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED
31 DECEMBER, 2017
NOTE: 1 REVENUE
Date
Particulars of Senders & References
Injection by AHEAD Inc.
2017
Amount
Tshs.
2016
Amount
Tshs.
22.5.2017 Sender Ref. G0163353673701 - USD 2500 5,038,198
19.9.2017 Sender Ref. C0072625471401 - USD 13,000 28,162,320
01.12.2017 Sender Ref. C0073356123501 USD 15,800 34,153,770
Sub total 67,354,288 10,300,698
AHEAD ─ Tanzania
21
NOTES TO THE FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 31 DECEMBER, 2017 (CONT’D)
NOTE 1.2: BENEFICIALLY CASH CONTRIBUTION
2017 2016
Date Name TSHS TSHS
29.9.2017 Ibrahim Sokwala 140,000
29.9.2017 Maalim Abdul Majid 15,000
29.9.2017 Rehema Zahoro 30,000
29.9.2017 Mahamood Kunobile 10,000
2.11.2017 Amos Byebazo 20,000
2.11.2017 Sister Penina 103,000
2.11.2017 Deogratius Kabakaki 200,000
3.11.2017 Thomas Ngirwa 30,000
4.11.2017 Balozi Wilfred Ngirwa 100,000
4.11.2017 Phillemon Mutashubilwa 155,000
6.11.2017 Aman Mange 75,000
7.11.2017 Edward Ngirwa 100,000
7.11.2017 Dr. Winnie Mpanju 200,000
9.11.2017 F. Raijmakers 300,000
9.11.2017 Julius Kamuhabwa 102,000
11.9.2017 Advocate Ndamugoba 305,000
11.9.2017 Evangelina Kamazima 100,000
11.10.2017 Godfrey Muganyizi 200,000
10.11.2017 Dr. Amelia Mugonzibwa 255,000
13.11.2017 Martin Anatory Rwechungula 200,000
13.11.2017 Frankline Rwezimula 155,000
13.11.2017 Veneranda John Rwegasila 203,000
13.11.2017 Joyceline Tibenda 150,000
AHEAD ─ Tanzania
22
13.11.2017 Family of Late John Rwegasila 200,000
13.11.2017 Primus Rweyemamu 103,000
13.11.2017 Gervase Ifunya 103,000
13.11.2017 Grace Mukulasi 100,000
13.11.2017 Godwin Mukulasi 100,000
13.11.2017 Family of Mukulasi Cornelly 200,000
13.11.2017 Imelda Ndamugoba 15,000
13.11.2017 Apolinary 200,000
13.11.2017 Prof. Apolinary Kamuhabwa 205,000
20.11.2017 Nelson Bisigolo 105,000
20.11.2017 Gozbert Mangasi 30,000
20.11.2017 Khalid Kalwani 205,000
20.11.2017 Frank Kamuhabwa 100,000
22.11.2017 Stella Mpanju Wamala 200,000
22.11.2017 Dr onesmo Mpanju 400,000
22.11.2017 Mr & Mrs Nelson 100,000
24.11.2017 Stanley Nshange 100,000
25.11.2017 Kokuteta Mutembei 500,000
25.11.2017 Audax Joshua 100,000
27.11.2017 Michael Kamazima 102,000
30.11.2017 Theogen Bana 105,000
30.11.2017 Dr. Winnie Mpanju 200,000
30.11.2017 Lameck Hilihayi 405,000
02.12.2017 Deogratius Kabakaki 100,000
02.12.2017 Primus Rweyemamu 205,000
05.12.2017 Winifrida Mwombeki 105,000
08.12.2017 Stephania Joseph Ngirwa 325,200
11.12.2017 Anic Kashasha 200,000
AHEAD ─ Tanzania
23
15.12.2017 Ephrahim Kakwabanga 500,000
15.12.2017 Julius Lugaziya 101,500
15.12.2017 Andrew Kailembo 200,000
15.12.2017 Ephrahim Kwesigabo 200,000
15.12.2017 Prof. & Mrs Baregu 150,000
18.12.2017 Mr & Mrs Simon Baregu 103,000
18.12.2017 Frola Mpanju 100,000
18.12.2017 Philbert Rumanyika 45,000
21.12.2017 Benson Bana 500,000
22.12.2017 Primus Rweyemamu 300,000
22.12.2017 Winnie Mpanju 600,000
28.12.2017 Gideon Ngirwa 152,000
Total 10,912,700 -
NOTE 1:3 BENEFICIARIES CONTRIBUTION IN KIND
Item
Contributed Name of Contributor Unit Cost
2017
Value TShs
2016
Value TShs
Stones Jovin Kangimba 70,000 350,000
Mirunda Jovin Kangimba 2,000 40,000
Stones Thomas Okland 70,000 70,000
Bricks Jonas Masabala 600,000 600,000
Sand Jonas Masabala 70,000 210,000
Stones Dr. Benson Bana 70,000 140,000
Sand Dr. Benson Bana 70,000 140,000
Sand Alfred Magalla 70,000 140,000
Stones Pascal Mushumbusi 70,000 140,000
Stones Peter Bwahama 30,000 30,000
Stones Maruku Village Community 70,000 85,000
AHEAD ─ Tanzania
24
Stones Kyansozi Village Community 70,000 140,000
Timber Danstan Ndamugoba 6,500 177,500
Cement Abdul Katabaro 15,000 150,000
Stones Abdul Katabaro 70,000 140,000
Aggregates Family of the Late Nestory Kabwogi 200,000 400,000
Cement Murshid Byeyombo 15,000 75,000
Stones Moslem Community - Makonge 70,000 70,000
Total 3,097,500 -
NOTES TO THE FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 31 DECEMBER, 2017 (CONT’D)
NOTE 2: EXPENDITURES
Pediatric Ward
Bukara Secondary
School - Total
2.1 General expenses 327,196
300,000
627,196
2.2 Electrification - 2,775,354 2,775,354
2.3 Girls toilet - 8,478,000 8,478,000
2.4 Water Tank - 7,338,850 7,338,850
2.5 Ward construction 25,467,146 - 25,467,146
Total 25,794,342 18,892,204 44,686,546
AHEAD ─ Tanzania
25
NOTE 2.1: General Expenses
Date Particulars of the Payment
2017
Amount
T. Shs.
2016
Amount
T. Shs.
26.8.2017 Cost of Stationeries & Consumables 191,800
29.9.2017 Cost of Stationeries & Consumables 133,700
14.11.2017 Bank Charges, Commissions & fees to 23rd Nov. 2017 301,696
Total General Overhead costs – AHEAD-Tanzania 627,196 -
NOTE. 2.2 Bukara Secondary School Electrification
Date Particulars of the Payment
2017
Amount
T. Shs.
2016
Amount
T. Shs.
18.11.2017 Final Payment Electrification - Bukara Sec. School 2,775,354 -
NOTE 2.3 Bukara Secondary School Girls’ Toilet
Date Particulars of the Payment
2017
Amount
TShs.
2016
Amount
TShs.
29.4.2017 Labor or Construction Girl Toilets Bukara Sec. 2,724,500
24.5.2017 Cement, Sand, Stones, Bricks, etc. - Girls Toilets 2,209,000
01.6.2017 1st Installment - labor for Construction of Girls Toilets 400,000
14.6.2017 2nd Installment - labor for Construction of Girls Toilets 600,000
17.6.2017 Materials for Construction of Girls Toilets - Bukara Sec. 1,473,000
29.8.2017 Materials for Construction of Girls Toilets - Bukara Sec. 511,500
29.8.2017 Final Installment - Construction of Girls Toilets 460,000
23.11.2017 Allocation of Overhead Costs 100,000
8,478,000 -
AHEAD ─ Tanzania
26
NOTE 2.4: Bukara Secondary School Water Tank
Date Particulars of the Payment
2017
Amount
T. Shs.
2016
Amount
T. Shs.
5.10.2017 1st Installment - Water Harvesting Tank - Girls Toilets 500,000
10.3.2017 Materials for Water Harvesting Tank - Girls Toilets 630,000
7.10.2017 Materials for Water Harvesting Tank - Girls Toilets 2,249,500
5.10.2017 2nd Installment - Water Harvesting Tank - Girls Toilets 500,000
4.11.2017 Cement for Water Harvesting Tank - Bukara Sec. 186,000
1.11.2017 3rd Installment - Water Harvesting Tank - Girls Toilets 100,000
27.10.2017 1st Installment -Water Harvesting System - Girls Toilets 1,000,000
7.11.2017 2nd Installment - Water Harvesting System for Water Tank 1,195,350
23.11.2017 Allocation of Overhead Costs 100,000
28.11.2017 Water Harvesting system Bukara Secondary School 878,000
Total 7,338,850 -
AHEAD ─ Tanzania
27
NOTES TO THE FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 31 DECEMBER, 2017 (CONT’D)
NOTE 2.5: Pediatric Ward - Maruku Dispensary Construction
Date Particulars of the Payment
2017
Amount
TShs.
2016
Amount
TShs
30.9.2017 Pediatric Ward Site Clearance - Maruku Dispensary 400,000
30.9.2017 Pediatric Ward Site Clearance - Maruku Dispensary 120,000
11.10.2017 Materials for Pediatric Ward at Maruku Dispensary 3,783,000
7.10.2017 1st Installment - labor for Pediatric Ward - Maruku Disp. 1,600,000
17.10.2017 2nd Installment - labor for Pediatric Ward - Maruku Disp. 2,000,000
16.10.2017 Materials for Pediatric Ward - Maruku Dispensary 1,240,000
7.10.2017 Supervision Costs - Pediatric Ward at Maruku Dispensary 400,000
11.10.2017 Labor & Sundry Materials for Site Storage Facility 520,000
7.10.2017 Security - Pediatric Ward Maruku Dispensary 400,000
9.10.2017 Timber for Pediatric Ward Maruku Dispensary 228,000
28.10.2017 Materials for Pediatric Ward - Maruku Dispensary 1,980,000
01.11.2017 Site Clearance - Pediatric Ward at Maruku Dispensary 250,000
06.11.2017 Cement for Pediatric Ward at Maruku Dispensary 1,500,000
06.11.2017 Additional Payment - labor for Pediatric Ward 400,000
18.11.2017 3rd Installment - Pediatric Ward - Maruku Disp. 1,000,000
14.11.2017 Materials (Kifusi) - Pediatric Ward - Maruku Dispensary 1,215,000
14.11.2017 labor Pediatric Ward - Maruku Dispensary 500,000
15.11.2017 Cement & Iron Bars for Pediatric Ward 2,135,000
28.11.2017 Security & transport costs - Pediatric Ward 124,450
25.11.2017 Final Installment - Construction of Pediatric Ward 775,000
28.11.2017 Cement for Pediatric Ward at Maruku Dispensary 855,000
28.11.2017 Pascal A. Mushumbusi 3,020,000
AHEAD ─ Tanzania
28
23.11.2017 Allocation of Overhead cost 419,096
28.11.2017 Security services 200,000
28.11.2017 Sundry overhead Costs 202,600
28.11.2017 Supervision costs 200,000
Sub total 25,467,146 -
08 November, 2018
………………………………. …………………….
CHAIRMAN DATE
AHEAD ─ Tanzania
29
2. VYANZO VYA FEDHA MATUMIZI NA MIRADI ILIYOTEKELEZWA
Vyanzo vya fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya AHEAD-Tanzania ni viwili tu.
Kwanza ni Michango kutoka wananchi, hususan wanajamii ambao ni wanufaika wa
miradi. Wananchi wanachangia fedha taslim, vifaa na wakati mwingine nguvukazi kwa
kufanya kazi za mradi kwa kujitolea. Pili, ni Asasi dada ya AHEAD-Tanzania, inayoitwa
AHEAD, Inc. ya Marekani (http://www.aheadinc.org/). Na hivi Karibuni Asasi inayoitwa
1% for Development Fund (http://www.one-percent-fund.net) ya Roma-Italia imesaidia
AHEAD-Tanzania katika kugharamia ununuzi wa madirisha ya mradi wa ujenzi wa Wodi
ya akina mama na watoto katika zahanati Maruku, ikiwa ni pamoja na ujenzi wa mfumo
wa maji taka wa jengo la wodi hiyo.
Kuanzia mwaka 2016 hadi 2018, AHEAD Tanzania imetekeleza miradi miwili ambayo ni:
(i) Maboresho ya Miundombinu ya kufundisha na kufundishia Shule ya Sekondari Bukara;
na (ii) Ujenzi wa Wodi ya Mama na Watoto (Maternal and Pediatric Ward).
Miundombinu ya Kufundishia na Kujifunzia-Shule ya Sekondari Bukara
Mradi huu ulihusishashughuli nne zinazoshabihiana: (i) Kuweka umeme katika majengo
yote ya shule; (ii) kujenga choo ya kisasa kwa ajili ya watoto wa kike; (iii) kujenga
miundombinu ya kuvuna maji ya mvua; na (iv) kujenga Tanki la kuhifadhi maji ya mvua
kiasi cha lita za ujazo 65,000.
Vyanzo vya fedha
Fedha zote za utekelezaji wa kazi zilizoainishwa hapo juu zilitolewa na shirika dada,
AHEAD, Inc. la Marekani (http://www.aheadinc.org). Matumizi ya fedha kwa mradi wa
kuboresha miundombinu ya kujifunza na kufundishia ni kama ifuatavyo.
Na. Mradi Kiasi cha fedha (Tsh)
1. Kuweka umeme katika majengo yote ya shule 4,875,354
2. Ujenzi wa vyoo vya watoto wa kike 9,546,000
3. Kujenga miundombinu ya kuvuna maji ya mvua na
Tanki la kuhifadhi maji-Lita za ujazo 65,000
7,438,850
Jumla 21,860,204
AHEAD ─ Tanzania
30
Miradi yote hii ilikamilika Mwaka 2017
Ujenzi wa Wodi ya Mama na Watoto (Maternal and Pediatric Ward)
Ujenzi wa wodi ya mama na watoto unaendela katika zahanati ya Maruku inayomilikiwa
na Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba. Ujenzi huu unasimamiwa na AHEAD-Tanzania.
Aidha wanaochangia ujenzi ni wananchi wenyewe wa Kata za Marku na Kanyangereko
katika Wilaya ya Bukoba. Wananchi wanachangia fedha taslim, vifaa na nguvukazi kwa
kujitolea. Shirika dada AHEAD, Inc. (Marekani), linaendelea kuunga mkono juhudi za
wananchi kwa kuchangia fedha taslim. Na hivi karibuni shirika lisilo la Kiserikali linaloitwa
“1% for Development Fund (http://www.one-percent-fund.net/) limetoa msaada wa fedha
kuwezesha ununuzi wa madirisha ya Aluminium na ujenzi wa miundombinu ya maji taka
kwa ajili ya jengo la wodi ya Mama na watoto inayoendelea kujengwa katika zahanati
Maruku, ambayo kwa sasa inapanuliwa na Serikali ili iweze kuwa Kituo cha Afya.
Pamoja na wanananchi kuchangia fedha, vifaa na nguvukazi, wadau mbalimbali
wameshiriki kuchangia Ujenzi wa Wodi, ikiwa ni pamoja na Mfuko wa Maendeleo ya
Jimbo chini ya uongozi wa Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo Bukoba Vijijini- Milioni kumi
(Tsh 10,000,000); Wakala wa Misitu Tanzania – Million Tano (Tsh 5,000,000) na Kituo
cha Utafiti wa Kilimo Maruku- Mbao 390 zenye thamani ya Tsh 3, 647,000; Serikali za
Vijiji vitatu vya kata ya Maruku- Tsh 4,020,000. Aidha shule na kanisa la kilutheri Tanzania
(Usharika Maruku) wamechangia mradi mbao za kuwezeka jengo la wodi.
Vyanzo vya Fedha za Mradi wa Ujenzi wa Wodi
Muhtasari wa Mchanganuo wa vyanzo vya fedha za ujenzi wa Wodi ya Mama na Watoto
(Maternal and Pediatric ward) ni kama ifuatavyo:
Na. Jina la Mdau aliyechangia Kiasi cha fedha (Tsh)
1. Wananchi 46,511,540
2. Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo 10,000,000
3. Wakala wa Huduma za Misitu 5,000,000
4. AHEAD, Inc.-Marekani 199,831,767
5. 1% for Development Fund –Rome, Italy 32,039,430
Jumla 293,382,737
Taarifa kamili na ya kina ya vyanzo vya fedha za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Wodi
ya Watoto inaoneshwa katika Kiambatisho C.
AHEAD ─ Tanzania
31
HATI YA MAKUBALIANO YA UFADHILI KUTOKA ASASI DADA AHEAD, INC. (USA)
MEMORANDUM OF UNDERSTANDING
(MoU)
BETWEEN
Adventures in Health, Education, and Agricultural
Development, Inc. (AHEAD, Inc.)-USA
AND
Adventures in Health, Education, and Agricultural
Development-Tanzania (AHEAD-TANZANIA)
1ST OCTOBER 2017
AHEAD ─ Tanzania
32
MEMORANDUM OF UNDERSTANDING (MoU) This MEMORANDUM OF UNDERSTANDING (Here in after referred to as the agreement) is made this First day of October, 2017
BETWEEN
Adventures in Health, Education, and Agricultural Development hereinafter referred to as AHEAD, Inc.-USA of P. O Box 2049 Rockville, MD 20847 registered with US government on 14th June, 1986 and registered with US Department of the Treasury,
Internal Revenue Services (IRS) on 19th March 1993 as a 501(c) (3) qualified non-profit, tax-exempt and non-governmental organization based in Rockville, Maryland
with affiliates in Tanzania, The Gambia and Bermuda. AHEAD Inc., USA is an independent and a non-partisan organization whose mission is to work with under-served communities in developing countries to improve the quality of life for orphans
and other vulnerable children, women and youth by implementing sustainable programs that lead to self-sufficiency and self-reliance.
AND
Adventures in Health, Education, and Agricultural Development, Tanzania hereinafter
referred to as AHEAD-Tanzania of P. O. Box 1649, Bukoba, Tanzania, a non-governmental Organization which is non-partisan and not-for profit entity registered
with the United Republic of Tanzania’s Registrar of Societies, Ministry of Home Affairs under the Societies Ordinance, 1954 on 29th June, 1989 (Registration Number 7055) and certified on 12th May, 2008 as a duly compliant of the terms and conditions of
NGOs under the Non-Governmental Organizations Act No. 24 of 2002 (Certificate No. 1996), mandating AHEAD-Tanzania to carry out its duties and responsibilities on
Tanzania mainland. AHEAD-Tanzania works to reduce maternal and childhood mortality, improve the quality of life for girls and women, enhance access to quality education and healthcare services, promote agricultural development and solicit
funds from internal and external sources in order to maintain and expand AHEAD programs and projects.
WHEREAS, AHEAD Inc.-USA has been successful raising funds to support sustainable programs in Tanzania during the past 29 years, including programs addressing
Primary Health Care, HIV/AIDS, education, youth development and Environmental Health.
WHEREAS, AHEAD-Tanzania has overtime has significantly benefitted from the
support of AHEAD, Inc. –USA, making it possible to enhance the quality of life to many Tanzanians, including women (mothers), infants and youth in Shinyanga Rural and Meatu Districts as well as Kisarawe District, Coast Region.
WHEREAS with effect from 2016 AHEAD, Inc.-USA has supported and continues to
provide financial and volunteers’ support to AHEAD-Tanzania to improve the teaching and learning infrastructure and environment at Bukara Secondary School in Kanyangereko ward, Bukoba district, including the construction of girls’ toilets and
AHEAD ─ Tanzania
33
rain water harvesting and storage systems as well as electrification of the school
buildings.
WHEREAS, AHEAD, INC.-USA has supported the improvement of dental care services at Kagera regional referral hospital and Maruku dispensary by providing hi-
tech equipment and technical expertise/advice to local staff. AND WHEREAS, with effect from October 2017 todate, AHEAD, Inc.-USA continues
and will continue to provide significant financial resources to AHEAD-Tanzania to support, inter alia, the efforts of the people of Maruku and Kanyangereko wards in
the construction of the maternal and pediatric ward at Maruku Dispensary (in the process of being elevated to health centre).
AND WHEREAS, AHEAD, Inc.-USA and AHEAD-Tanzania are committed to redouble their efforts in order to ensure that Maruku health care facility gets a furnished,
equipped and functioning maternal and pediatric ward; AND WHEREAS, both sister organizations, AHEAD-Inc.-USA and AHEAD-Tanzania
do commonly share the ideals embodied in their twin operational philosophies, respectively “Helping People Help Themselves” and “Development of the
People by the People for the People” and recognizing that cooperation between these like-minded organizations is necessary and it is a preconditions for arresting the three development enemies, namely disease, ignorance and poverty.
NOW THEREFORE, the parties to this memorandum in their free will, agree to jointly
work together and cooperate to enhance the quality of life in different Tanzania communities in the areas of health care, education and agricultural development programmes and projects under consideration of the promises and mutual covenants
set forth herein, thus the two sister organizations hereto agree as follows:-
ARTICLE I PURPOSE
The Memorandum of Understanding between AHEAD-Inc.-USA and AHEAD-Tanzania
is intended to establish and formalize the relationship between the two entities in order to maximize cooperation required for the smooth implementation of the
programs and projects that are under-taken jointly by the two parties to the agreement.
ARTICLE II OBJECTIVES, ROLES AND RESPONSIBILITIES
The Memorandum of understanding (MOU) is designed to indicate a desire to partner on various programs and projects to achieve various aims and objectives relating to
the goals of the parties to the agreement. The main specific objectives, roles and responsibilities of the two sister organizations are to: 2.1 Carry out joint activities as a partnership in reducing and eliminating disease
and premature death; 2.2 Cultivate and advance healthy living;
AHEAD ─ Tanzania
34
2.3 Forster sustainable environmental activity;
2.4 Work with under-served communities in developing countries to improve the quality of life for orphans and other vulnerable children, women and youth by
implementing sustainable programs that lead to self-sufficiency and self-reliance.
2.5 Improve the quality of life for mankind, particularly girls and women; 2.6 Eliminate killer diseases, particularly Malaria; 2.7 Prevent the spread of HIV/AIDS and other STIs
2.8 Promote access to quality education through improvement of the teaching and learning infrastructure;
2.9 Address agricultural development constraints and challenges; 2.10 Help reduce socio-economic inequalities in families and communities that
undermine people-centred development;
2.11 Support women in their roles as mothers and care-providers for their families; and
2.12 Mobilize financial and technical support through different fundraising initiatives;
ARTICLE III LIMITATIONS
3.1 Without prejudice to what is stated in this MOU, the parties to this MOU are free to engage in partnership for the purpose of fulfilling mutually agreed upon objectives;
3.2 Parties undertake to promote the objectives of this MOU in good faith and avoid conflict of interest;
3.3 Parties shall work harmoniously and transparently and share relevant information consonant with the spirit of cooperation;
3.4 Parties shall be free to solicit resources from local and international sources
for the purpose of implementing mutually agreed upon projects and programmes;
3.5 There is no restriction of partners from participating in agreements with other entities;
3.6 The partners’ participation levels and commitments will depend on the
abilities and resources of each party to the relationship;
ARTICLE IV TIME FRAME
4.1 This MoU shall come into force immediately after its adoption or execution by
the parties to the agreement;
ARTICLE V JOINT RESPONSIBILITIES OF PARTIES
5.1 All parties shall work together in harmony to the fulfillment of this MoU. 5.2 All parties shall cooperate and collaborate through mutual assistance in any
technical matter within the ambit of this MoU.
AHEAD ─ Tanzania
35
5.4 All parties shall be willing to exchange relevant information, reports and
documents which will facilitate the implementation of this MoU and subsequent programs and projects.
ARTICLE VI
TERMINATION OF THE MOU 6.1 Any party to this Memorandum of Understanding may terminate this MoU
by giving a notice to the other party of its intention to terminate the MoU
and giving out reasons for the termination. 6.2 Each party therefore upon such termination shall fulfill all their obligations
and responsibilities as stipulated into this MoU till the stipulated date of the intended termination.
ARTICLE VII DISPUTE RESOLUTION
7.2 In the event a dispute arises, the parties shall try to amicably resolve the matter, in the event this fails the management of each entity in the collaboration shall have final decision on resolution of the matter.
ARTICLE VIII
INTERPRETATION
8.1 If any dispute arises with regard to the interpretation on any matter in
this MoU the parties shall have the power to resolve it. WE parties, whose names and addresses are subscribed, are desirous of entering
into this Memorandum of Understanding do hereby sign this MoU as follows:-
Signed ___ ___ Date _1st October 2017_ ELVIRA FELTON WILLIAMS (MS, MBPA)
Executive Director AHEAD, Inc. USA P. O Box 2049 Rockville, MD 20847
Signed Date 1st October, 2017 BENSON ALFRED BANA (PhD)
Chairman and Chief Executive Officer AHEAD-Tanzania P.O. BOX 1649
BUKOBA, TANZANIA
AHEAD ─ Tanzania
36
HATI YA MAKUBALIANO YA UFADHILI KUTOKA 1% FOR
DEVELOPMENT FUND-ROME, ITALY
GRANT APPROVAL
Stephen Dowd <[email protected]> To:Benson Bana Cc:Wilfred Ngirwa,Fiona Hanratty,Romani, Cinzia (CSFP),Jean Philippe Decraene,Kaija Korpi 12 Oct at 15:53 Dear Benson We are delighted to inform you that two projects (in the amount of USD 14,600) have been approved by the Rome 1% for Development Fund this week. These funds are being given to the Adventures in Health, Education and Agricultural Development (AHEAD) on the understanding that: - they are used in conformity with the attached project description sheet; - you send us a progress report on the funded activities six months after receipt of the funds. Also, any photographs illustrating the progress report would be most welcome in due course. We would be grateful if you would confirm your acceptance of these conditions. It is also essential that you provide us with/confirm/complete your current complete paying instructions, including: - Bank routing number (if available) - SWIFT code: NMIB TZ TZ - Name of bank: NATIONAL MICROFINANCE BANK (NMB) - Street address of bank: Kraita Branch, 318, Kagera PO Box 1552, Bukoba, Tanzania - Mail address of bank PO Box 1552 Bukoba - Account number (please specify currency) 31810014237 - Account holder's full name and address, email, Skype and phone: AHEAD Inc Kanda ya Bukoba, PO Box 1649, Bukoba, URT [email protected] Please reply by email to me as soon as possible. If we do not hear from you within six months from the date of this letter, the Fund reserves the right to cancel its funding of your project. We look forward to hearing from you. Let me close by saying that the Rome 1% Fund is proud to support, through you, the work of Adventures in Health, Education and Agricultural Development. We wish you every success with this health centre project and all your future endeavours. With kind regards, Stephen Dowd 1% Fund Rome Project Assessment Group
AHEAD ─ Tanzania
37
AHEAD ─ Tanzania
38
KIAMBATISHO ‘A’
AHEAD ─ Tanzania
39
KIAMBATISHO ‘B’
AHEAD ─ Tanzania
40
KIAMBATISHO “C”
KANDA YA BUKOBA, P. O. BOX 1649, BUKOBA
MCHANGO WA UJENZI WA WODI YA WATOTO ZAHANATI MARUKU
(HADI 08 NOVEMBA 2018) S.NO. JINA (Tsh) MAELEZO
1. 1% for Development Fund-Rome, Italy 32,039,430
2. Abdul Mohamed Katabaro 700,000
3. AHEAD INC. (USA) 199,831,767
4. Alfred Magalla 1,312,000 Ni pamoja na mbao 50 zenye thamani ya Tsh.472,000
5. Amani Mange 75,000
6. Amos Byebazo 20,000
7. Andrew Kailembo 200,000
8. Anic Kashasha 200,000
9. Apolonia Rweyemamu 111,100
10. Archard Kishebuka 150,000
11. Audacity Intercon (T) Ltd 500,000
12. Audax Joshua Ndyamukama 1,050,000
13. Audax Mushumbusi Koma 500,000
14. Bakilana Christopher Magayane 50,000
15. Balozi Wilfred Ngirwa 860,000
AHEAD ─ Tanzania
41
S.NO. JINA (Tsh) MAELEZO
16. Benson Bana 1,200,000
17. Bwigamba Group 500,000
18. Cornel Mukulasi’s (RIP) Family 200,000
19. Damian H. Kato 194,400 Aliahidi Tsh 2,000,000, pamoja na mchango wa mbao 19
zenye thamani ya Tsh. 194,400
20. Deogratias Kabakaki 800,000
21. Deus Kashasha 50,000
22. Dr. Aniceth Kato Mpanju 105,000
23. Dr. Franklin Lwezimula 805,000
24. Dr. Godwin Ndamugoba 100,000 Ameahidi nyongeza Tsh 100,000
25. Dr. Jennifer Sesabo 332,000
26. Dr. Julius Lugaziya 1,157,900 Ni pamoja na mbao 174 zenye thamani ya Tsh.756,400
27. Dr. Martin Anatol Rwechungura 400,000
28. Dr. Matrona Kabyemela 100,000
29. Dr. Mugonzibwa, Melisa& Nelea 255,000
30. Dr. Onesmo Mutashobya Mpanju 400,000
31. Dr. Oscar John Shumuni 786,600 Ni pamoja na mbao 41 zenye thamani ya Tsh.186,600.
32. Dr. Winnie Mpanju-Shumbusho 1,200,000
33. Dunstan Ndamugoba 257,500
34. Edward Sebastian Ngirwa 100,000
35. ELCT-Usharika Maruku (Maruku Parish) 426,400 Mchango wa mbao 44 zenye thamani ya Tsh 426,400
36. Elida Nyeme 345,280
37. Eng. Bruno Rwenyagra 500,000 Ameahidi nyongeza Tsh 100,000
38. Eng. Grace Mukulasi 100,000
39. Eng. Julius Ndyamukama 100,000
40. Eng. Lameck Hiliyahi 1,000,000
41. Eng. Nelson Bisigoro 350,000
AHEAD ─ Tanzania
42
S.NO. JINA (Tsh) MAELEZO
42. Eng. Philbert Ishengoma 400,000
43. Eng. Primus Herman Misingo 1,265,000
44. Ephraim Kakwabanga 500,000
45. Ephraim Kwesigabo 200,000
46. Evangelina Kamazima Maamba 200,000
47. Faustin Barongo 20,000
48. Festo Mufundi 100,000
49. Festo Nyitwa 30,000
50. Flora Kokwijukya Mpanju 100,000
51. Frank Kamuhabwa 100,000
52. Frits Raijmakers (Mr. & Mrs.) 300,000
53. Gervase Felician Ifunya 103,000
54. Gideon Pastory Ngirwa 152,000
55. Godfrey Muganyizi (Mr.&.Mrs.) 400,000
56. Godfrey Ndamgoba 600,000
57. Godwin Mukulasi 100,000
58. Gosbert Mangasi 30,000
59. Grancia Ndiwaita & Family 350,000
60. Haji Khalid S.J. Karwani 200,000 Ameahidi nyongeza Tsh 300,000
61. Hamduni & Yazidi Yusufu Amir 280,000
62. Hon. Jason Samson Rweikiza (MB) 406,000 Mbao100 zenye thamani ya Tsh 406,000
63. Ibrahim Sokwala 140,000
64. Issabela Daniel Mwampamba 300,000
65. Issaya Elias 100,000
66. Jackson Rutayuga 222,400
67. Jason Kalengelezi 75,000
68. Jonas Masabala 1,290,000
AHEAD ─ Tanzania
43
S.NO. JINA (Tsh) MAELEZO
69. Jovin Kangimba 390,000 Ameahidi 10 saruji (Tsh 170,000) & Mirunda 20 Tsh
40,000.
70. Joyce Bana-Kagaruki 120,000
71. Joycelline Tibenda 150,000
72. Julius Kamuhabwa 102,000
73. KABWOGIs: Ferdinand Kabwogi (RIP), Nestory
Kabwogi (RIP) & Leonard Kabwogi
1,285,600 Mbao 76 zenye thamani ya Tsh 545,600
74. Karamagi Primary School 144,600 Mbao 16 zenye thamani ya Tsh 144,600
75. Kijiji Butairuka 1,140,000
76. Kijiji Kyansozi 1,140,000
77. Kijiji Maruku 1,740,000
78. Koku G. Lwebandiza 340,000
79. Kokuteta Baregu-Mutembei 500,000
80. Maalim Abdul-Majid 15,000
81. Makonge Primary School 213,200 Mbao 22 zenye thamani ya Tsh Tsh 213,200
82. Maruku Agricultural Research Institute 3,647,000 Mbao 390 zenye thamani ya Tsh 3,647,000
83. Maruku Dispensary Governing Committee 951,800 Mbao 103 zenye thamani ya Tsh 951,800
84. Maruku Secondary School 633,000 Mbao 65 zenye thamani ya Tsh 633,000
85. Maruku Twaweza Group 1,000,000
86. Meshack Mungaya 510,000
87. Method Mukella 500,000
88. Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo (Mhe. Mbunge) 10,000,000 Zimelipwa kupitia Akaunti ya Zahanati Maruku
89. Michael Kamazima 302,000
90. Mohamoud Kunobile 10,000
91. Murshid Hassan Byeyombo 75,000
92. Mwl John Rwegasira’s (RIP) Family 200,000
93. Nathan Lwezimula 350,000
AHEAD ─ Tanzania
44
S.NO. JINA (Tsh) MAELEZO
94. Nelson Kahigi (Mr. &Mrs) 100,000
95. Nyaruyojwe Primary School 149,600 Mbao16 zenye thamani ya Tsh 149,600
96. Paschal Mushumbusi 140,000
97. Peter Bana 100,000
98. Peter Bwahama 30,000
99. Philbert Nshange 100,000.00
100. Philbert Rumanyika 45,000
101. Philemon Mutashubilwa 565,000
102. Prof. & Mrs. Baregu 150,000
103. Prof. Apolinary Kamuhabwa 205,000
104. Prof. Charles Bwenge 513,360
105. Rehema Zahoro 30,000
106. Rev. Fr. Justinian Benedicto Rweyemamu 628,000
107. Rev. Milton Lutabanzibwa Mufuruki 50,000
108. Simon Baregu 103,000
109. Sr. Penina Kaimukilwa 103,000
110. Stanley Nshange 400,000
111. Stella Evarista Nshange-Felix Mutta 165,000
112. Stella Mpanju-Wamala 400,000
113. Stephania Joseph Ngirwa 525,200
114. Theogen Pine Bana 100,000
115. Thomas Okland Ngirwa 515,600 Ni pamoja na mbao 31 zenye thamani ya Tsh 115,600
116. Veneranda Rwegasira 203,000
117. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania 5,000,000 Zimelipwa kupitia Akaunti ya Zahanati Maruku
118. Waumini wa Msikiti Makonge 70,000
119. Winifrida Lubanza 100,000
120. Winifrida Mwombeki-Nyeme 105,000
AHEAD ─ Tanzania
45
S.NO. JINA (Tsh) MAELEZO
JUMLA 293,382,737
MUHTASARI WA MICHANGO HADI TAREHE 10 NOVEMBA, 2018 (USD 1= TSH 2200)
NA. WADAU/WACHANGIAJI KIASI (Tsh) ASILIMIA
1. WANAJAMII/WANANCHI- KATA MARUKU NA
KANYANGEREKO
46,511,540 15.9
2. MFUKO WA MAENDELEO YA JIMBO 10,000,000 3.4
3. WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA 5,000,000 1.7
4. RAFIKI WA BUKARA - AHEAD, INC. (MAREKANI) 199,831,767 68.1
5. 1% FOR DEVELOPMENT FUND-ROME, ITALY 32,039,430 10.9
JUMLA KUU 293,382,737 100
KIAMBATISHO ‘D’ JENGO LA WODI YA MAMA NA WATOTO (MATERNAL AND PEDIATRIC WARD)
AHEAD ─ Tanzania
46
Mwonekano wa Mbele ya Jengo la Wodi
AHEAD ─ Tanzania
47
Mwonekano wa Jengo la Wodi ya Mama na watoto (Maternal & Pediatric ward) kutoka Upande wa Kusini
AHEAD ─ Tanzania
48
Muonekano wa Wodi Kutokea Mbele ya Jengo (Front View)
AHEAD ─ Tanzania
49
Walk-Ways into the Maternal and Pediatric Ward
AHEAD ─ Tanzania
50
KIAMBATISHO ‘E’
MIUNDOMBINU YA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA-SHULE YA SEKONDARI BUKARA
AHEAD ─ Tanzania
51
Vyoo vya Wasichana-Shule ya Sekondari Bukara katika Hatua ya Ujenzi
AHEAD ─ Tanzania
52
AHEAD ─ Tanzania
53
Vyoo vya Wasichana katika Hatua ya Ujenzi
Vyoo vya Wasichana, Shule ya Sekondari Bukara
AHEAD ─ Tanzania
54
AHEAD ─ Tanzania
55
AHEAD ─ Tanzania
56
Ujenzi wa miundombinu ya kuvuna maji ya mvua-Shule ya Sekondari Bukara
Tanki la maji baada ya ujenzi wake kukamilika
AHEAD ─ Tanzania
57
Tenki la maji shule ya Sekondari Bukara