american embassy auction advert .11.07.2015.doc

Post on 04-Nov-2015

172 Views

Category:

Documents

0 Downloads

Preview:

Click to see full reader

TRANSCRIPT

UBALOZI WA MAREKANI

DAR ES SALAAM

MNADA WA HADHARA:

UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Marekani watauza kwa mnada wa hadhara gari, generator, fanicha za ofisi na nyumbani, makontena na mashine za gym tarehe 11 Julai, 2015 Jumamosi saa 3:00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza, Lion Street.

MALI ZITAKAZOUZWA:sofa sets, chest drawer, recliner, dressers, coffee table, book shelve, meza za ofisi/viti, dining table/chairs, carpet, hoover, vitanda, magodoro, fridges, freezer, cookers, TV set, washer, dryer, computer set, photocopy m/c, A/c split units, portable toilets, Gym equipments:Stairmaster Eliptical, Comber, Kettler Butterfly,Treadmill, na vingine vingi

Gari, Genereta & Makontena yatakayouzwa:

IdadiAinaModelMwakaUshuru1Ford Everest S/ WagonWL Diesel Engine 2007Bado2Generator60 & 81 KVA SilentBado 3Empty Container40 & 20 Fts2012, 2011,1995BadoMali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion Street tarehe 9 na 10 Julai, 2015 kuanzia saa 4.00. asubuhi mpaka saa 10.00 jioni.

MASHARTI YA MNADA:

Mnunuzi wa furniture na genereta atatakiwa kulipa malipo yote kwa keshia (cashier). Na mnunuzi wa gari atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 5 za kazi, ukishindwa kulipa kwa muda huo gari litauzwa kwa mshindi mwingine aliyefwata na dhamana haitarudishwa.

Mali zote zitauzwa kama zilivyo bila dhamana.

Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru na kodi zingine zote.

Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa baada ya kulipa malipo yote pamoja na kodi .

Kwa maelezo zaidi waone:

UNIVERSAL AUCTION CENTRE

NKRUMAH STREET MKABALA NA CO-CABS

SIMU NA: 0754-284 926, 0757 284 926 Email : universalauction@hotamail.com

DAR ES SALAAM.

top related