fursa kwa walio na mtaji mdogo
Post on 23-Jan-2015
2.435 Views
Preview:
DESCRIPTION
TRANSCRIPT
Namna ya Kutambua fursa
Dunia ina fursa nyingi sana ambazo babu zetu hawakuzigundua. Tofauti ni mtazamo. Ili mtu afanikiwe ni lazima “afanye vitu kwa namna fulani”. Watu ambao hawafanikiwi katika maisha ni wale wenye ndoto ndogo. Ukiwa na ndoto ndogo hata ukipewa mtaji bado utaendelea kuwa chini. Je, ni wapi utapata ndoto kubwa? Leo nitakwambia ni namna gani unaweza kupata ndoto kubwa.
Je, kuna idadi ya picha ngapi hapa?
Fursa huja kupitia Mlango wa NyumaNapoleon Hill anakwambia fursa zina tabia ya
kuja kupitia mlango wa nyuma na zinakuja zikiwa zimeambatana na vitu vingi kama vile wasiwasi, woga, hofu na dalili zote za kushindwa. Na hii ndio maana watu wengi hawaingii kwenye biashara. Hata hivyo wapo wanaoingia kwenye biashara lakini bado hawafanikiwi, na hii ni kwa sababu hawana uwezo wa kufanya vitu kwa “namna fulani”
Leo ni siku njema kwako……. Leo ni siku njema kwa kila mmoja wetu
maana ni siku ya kujifunza kufanya vitu kisayansi, maana mafanikio huja kwa kufanya vitu kisayansi (Doing things in a certain way). Pesa ni kitu muhimu katika maisha na kuna mtu kasema hivi “A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man”. Leo tutajifunza njia ya kutengeneza fedha.
Nini maana ya uhuru wa kipato?Unakuwa na uhuru wa kufanya biashara muda
unaotaka, mahali unapotaka na mtu unayemtaka.Utapata mafanikio licha ya uchumi kuwa juu au
chiniUtajipatia elimu ya kujitafutia kipato chako
mwenyewe kwa jitihada zako mwenyewe hivyo hata kama utapoteza kila kitu utakuwa na uhakika wa kukipta tena maana una elimu na unajua jinsi ulivyopata kitu hicho
Utakuwa tayari kufanya vitu vile unavyopenda wewe kufanya pasipo kulazimishwa na mtu mwingine
Utakuwa na uwezo wa kujipatia riziki yako pasipo kudhurika wewe au kumdhuru/kumhujumu mtu mwingine
Utakuwa na amri uongeze au uongeze kipato chako mwenyewe kwa hiari yako mwenyewe
Hutakuwa na mashaka/hofu yoyote kuhusu pesa
Utakuwa uhuru wa kusafiri popote utakapotaka na kuendelea kufanya biashara yako.
Ukiwa na uhuru wa kipato maana yake unamiliki maisha yakoJe, nini maana ya kumiliki maisha? Ukiondoa masaa yako ya kulala, muda wa
kusafiri, muda wa kazi na muda wa kufanya vitu vingine ambavyo mtu unaweza kuvifanya kila siku katika maisha yako, utajikuta huna zaidi ya saa moja hadi masaa mawili kwa siku kwa ajili ya kufanya vitu ambavyo unavipenda wewe kuvifanya katika maisha yako. Jaribu kufikiri endapo ungekuwa na pesa ya kutosha kukusaidia kufanya hayo yote ingekuwaje?
Je, unasumbuliwa na nini kati ya hivi?Kuhama kazi moja kwenda nyingine kwa ajili
ya kujiongezea maslahiUmemaliza masomo yako na unatafuta ajira
huku ukitafuta namna ya kufanya biashara kwa mtaji mdogo huku ukiendelea na zoezi la kutafuta ajira au kuacha kabisa kutafuta ajira
Una kipato kidogo sana hivyo huwezi kutimiza ndoto zako
Una akiba ndogo sana itakayokusaidia uishi kwa furaha na amani baada ya kustaafu
Una mtaji mdogo lakini ungependa kuanza biashara inayokua kwa haraka zaidi
Una biashara inaendelea lakini haiendani na ndoto ulizojipangia
Umekuwa ukisumbuka na shule lakini elimu yako haikusaidii kufanikisha malengo yako
Una ndoto lakini bado hujui namna gani unaweza kuiweka katika utekelezaji
Unatafuta watu wa kufanya nao biashara lakini hupatiUna pesa lakini bado huna hivyo unatumikishwa na
pesa yako mwenyewe badala yaw ewe kuitumikisha pesa yako
Namna ya kumiliki maisha yako Kuna njia moja rahisi ya “Kumiliki Maisha
Yako” inayofanywa kwa njia ya kujijengea biashara yako mwenyewe nyumbani kwako; na kuna njia rahisi kabisa ya kuifanya biashara hiyo pasipo uzoefu wala elimu yoyote ya darasani (Kila mmoja wetu anaweza kuifanya). Haihitaji mtu awe na uzoefu wa kufanya mauzo na haihitaji muda mwingi. Je, ungependa kujua zaidi?
Sina mtaji!!!!!!!!!!Hakuna mtu anazuiliwa kuwa tajiri kwa
sababu ya kukosa mtaji. Mtaji ni sehemu tu katika mchakato wa biashara. Kinachotakiwa ni kujitengenezea utaratibu wa kufanya mambo kwa namna fulani(sayansi).
Wallace D. Wattles No one is prevented from getting rich by lack
of capital. True, as you get capital the increase becomes more easy and rapid; but one who has capital is already rich, and does not need to consider how to become so. No matter how poor you may be, if you begin to do things in the Certain Way you will begin to get rich; and you will begin to have capital. The getting of capital is a part of the process of get-ting rich; and it is a part of the result which invariably follows the doing of things in the Certain Way.
Mtu anayefanikiwa…..Je, mtu anayefanikiwa ni yupi? Kuna mambo
matatu muhimu yatakayokufanya ufanikiwe na haya hayapatikani shuleni ila sehemu kama hii. Mambo hayo ni;
Motisha (motivation), Msukumo (inspiration) naFomyula sahili, rahisi, na iliyohakikiwa
(simple, easy and proven success formula) kufikia malengo.
Kufanikiwa katika biashara Sababu namba moja ya kwanini watu
hawaingii kwenye biashara na kwamba wakiingia hawafanikwi vile ipasavyo ni kwamba watu wengi bado hawajui biashara hivyo kuna umuhimu wa kuhudhuria mafunzo ya biashara kama haya.
Njia za kufanikiwa katika biasharaKuna njia mbili kuu za kufanikiwa katika biashara;1. Njia ya Kizamani (Traditional Marketing System)2. Modern Marketing System) Njia namba moja inahitaji mtaji mkubwa lakini
njia ya pili ni rahisi na haihitaji mtaji mkubwa. Hii inahitaji mtu ambaye yupo tayari na ana tamaa ya kumiliki biashara kubwa. Kuwa mfanya biashara mkubwa lazima ujitahidi kuajiri watu wasiopungua 500.
Mjasiriamali wa kisasaMjasiriamali wa kisasa analenga kumiliki
biashara kubwa. Kuna aina mbili za matajiri;1. Wafanyabiashara2. Wawekezaji Hii ni aina ya maisha ya watu waliopo katika
dunia, lakini sio wote wapo katika milango sahihi
Upo upande gani?
Endapo upo katika upande wa kushoto katika mchoro huo hapo basi lazima ujitahidi kuhama na kuingia katika upande huo wa kulia. Upande wa kulia utaufikia haraka endapo utaingia katika biashara inayokua haraka zaidi duniani, biashara isiyohitaji wewe kutumia nguvu bali akili. Haihitaji wewe uongee sana bali ujifunze kufanya vitu kwa namna fulani. Kuna timu ya watu waliojitoa kukufundisha wewe ufike pale unapotaka kufika.
Fursa yenyewe Biashara ya mtandao (MULTI-Level Marketing)
ni moja kati ya njia za kusambaza bidhaa ambayo inakua kwa haraka sana miaka hii, na wengi wamekuwa wakiita biashara ya karne ya 21.
Marketing- Ni namna ya usambazaji wa bidhaa au huduma kutoka kwa mzalishaji kwenda kwa mtumiaji.
Multi Level- Ni mfumo wa fidia inayotolewa kwa watu wanaosababisha bidhaa au huduma zinazozalishwa kusambaa
Multi- Zaidi ya mojaLevel-Usawa
Waweza wasiliana nasi kwa 0766626924 kwa ushauri zaidi The highest use of capital is not to make more
money, but to make money do more for the betterment of life.
top related