mpango wa eneo wa 2019 ono · 2019. 2. 20. · kibali cha hekaluni na kushiriki katika kazi ya...

Post on 30-Mar-2021

5 Views

Category:

Documents

0 Downloads

Preview:

Click to see full reader

TRANSCRIPT

KUIMARISHA INJILI YA YESU KRISTO KATIKA MIOYO YETU NA NYUMBANI KWETU NA KUJENGA KANISA JUU YA

MSINGI IMARA.

ONOMPANGO WA ENEO WA 2019

Kulipa Zaka kwa Uaminifu na Matoleo ya Mfungo kwa Ukarimu.Jipe Wajibu Binafsi Kufanya Kazi na Kuwa Wenye Kujitegemea.Kuandaa Vyema "Kizazi Chipukizi" ili Kutumikia Misheni Zao kwa Ufanisi.

Kuwa Pamoja na Kuimarishana Mmoja na Mwingine Kupitia Kuhudumia.Nyoosha Mkono, kwa Kila Mmoja,Kuwakomboa Wale Wasioshiriki Kikamilifu.Kushiriki Injili na Watu Wengine Wasio wa Imani Yetu.

Kuimarisha Kuishika Siku ya Sabato Nyumbani na Kanisani.Waumini Wote kwa Ustahiki Wawe na Kibali cha Hekaluni na Kushiriki katika Kazi ya Hekaluni.Kusoma na Kutafakari Kitabu cha Mormoni Kila Siku.

Kuwa Mwenye Kujitegemea Kuwatumikia

Wengine Vyema

Kupenda, Kutumikia, na Kuhudumiana

Mmoja na Mwingine

Kuzidisha Imani katika Baba wa

Mbinguni na Mwanawe Yesu Kristo Na Upatanisho Wake

top related