![Page 1: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/1.jpg)
Mungu Ajaribu Pendo la Ibrahimu
Bibilia ya watotoInaleta
![Page 2: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/2.jpg)
Kimeandikwa na: Edward Hughes
Kimeorodheshwa na: Byron Unger; Lazarus
Imerekebishwa na: M. Maillot; Tammy S.
Kimetafsiriwa na: Grace Chepkoech
Kimedhibitishwa na: Bible for Childrenwww.M1914.org
©2010 Bible for Children, Inc.License: Kuna ruhusa ya kuchapa hadithi
hii, lakini bila ya kuuza.
![Page 3: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/3.jpg)
Usikummoja Mungu
alimwamuru Ibrahimu.
![Page 4: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/4.jpg)
Ilikuwa jaribu kuona kama
Ibrahimu alimpenda mwanawe
Isaka kumliko Mungu.
![Page 5: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/5.jpg)
“Mchukue mwanawe Isaka na ukamtoe kama sadaka ya kuteketezwa,” Mungu aliamuru. Kumtoa Isaka?
![Page 6: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/6.jpg)
Kumtoa mwana wake kama sadaka? Hii ilikuwa ngumu kwa Ibrahimu. Yeye alimpenda
mwanawe sana.
![Page 7: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/7.jpg)
Lakini Ibrahimu alikuwa amejifunza kumwuamini Mungu hata kama
hakuwa anaelewa.
![Page 8: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/8.jpg)
Asubuhi na mapema aliondoka kuelekea mlima wa sadaka pamoja na Isaka na
vijana wawili.
![Page 9: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/9.jpg)
Kabla kuondoka, Ibrahimu alichanja kuni ya moto ya kuteketeza sadaka. Ibrahimu alipanga kumtii
Mungu.
![Page 10: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/10.jpg)
Baada ya siku tatuwalikaribia mlima
ule. “Kaeni hapa,” Ibrahimu
akawaambiavijana wale
wawili, vijakazi wake.
![Page 11: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/11.jpg)
“Tutaenda nakuabudu alafu
tutarudi.” Isakaalibeba kuni;
Ibrahimu akabeba moto
– na kisu.
![Page 12: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/12.jpg)
“Yuko wapi mwanakondoo wa kutoasadaka?” Isaka
akauliza.
![Page 13: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/13.jpg)
“Mungu atatupa mwanakondoo,” Ibrahimu
akamjibu.
![Page 14: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/14.jpg)
Wakaja hadi mahaliMungu alikuwa
amechagua.Pale.
![Page 15: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/15.jpg)
Ibrahimu akajengamadhabahu na akapanga
kuni ya kuteketezasadaka mbele
ya Mungu.
![Page 16: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/16.jpg)
Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi.Lakini hii ilikuwa
ngumu zaidi kulikozote.
![Page 17: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/17.jpg)
Ibrahimu alimfunga Isaka kwa kamba na akamwekelea mwana wake mpendwa juu ya madhabahu.
![Page 18: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/18.jpg)
Je, Ibrahimu angemtii Mungu na kumtoa sadaka Isaka, mwana wake wa pekee?
![Page 19: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/19.jpg)
Ndio!Kisu
ilitoamwangazaIbrahimualipokuwa
akiinua juu.
![Page 20: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/20.jpg)
Labdamoyowake
ulikuwaunavunjika, lakini
Ibrahimu alijuani lazima amtii
Mungu.
![Page 21: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/21.jpg)
“WACHA!” malaika wa
Mungu akanena.
![Page 22: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/22.jpg)
“Sasaninajua
kuwa unamwogopa
Mungu.
![Page 23: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/23.jpg)
Hukunizuilia mwanao wa
pekee.”
![Page 24: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/24.jpg)
Alipomwonakondoo mumekichak-ani, …
![Page 25: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/25.jpg)
… Ibrahimu alimfungua Isaka na akmtoa
kondoo yulekama sadaka wa
kuteketezwa.
![Page 26: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/26.jpg)
Labda Isaka alifikiria, “Mungu ametupa
kondoo, kama vilebaba alisema.”
![Page 27: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/27.jpg)
Wakati baba na mwanawewaliendelea kuabudu,
malaika wa Mungualinena na Ibrahimu.
![Page 28: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/28.jpg)
“Kupitia watoto wako, mataifa yote yatabarikiwa kwasababuumetii.” Siku moja, Yesuangezaliwa kupitia kizazi
cha Ibrahimu.
![Page 29: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/29.jpg)
Ibrahimu na Isaka wakarudi nyumbani. Baada ya muda mrefu
kupita, huzuni ukaja.
![Page 30: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/30.jpg)
Sara akafa. Ibrahimu alipoteza mkewe na Isaka alimpoteza
mamaye.
![Page 31: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/31.jpg)
Baada ya mazishi, Ibrahimu alimtuma
mkubwa wa …
![Page 32: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/32.jpg)
… watumishi wake amtafutie Isaka mke.
![Page 33: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/33.jpg)
Mtumishi alienda walipokuwa
wakiishi zamani …
![Page 34: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/34.jpg)
… kumtafuta mke kati ya jamaa wa Ibrahimu.
![Page 35: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/35.jpg)
Mtumishi alimwomba Mungu ishara. “Binti yule amb-aye atajitolea kuwanywesha ngamia wangu maji ndiye atakuwa mke wa Isaka.”
![Page 36: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/36.jpg)
Punde Rebeka akajitolea kuwapa ngamia wake maji.
![Page 37: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/37.jpg)
Rebeka alikuwa mmoja wa jamaa wa Ibrahimu. Mtumishi yule akajua kuwa Mungu alikuwa amejibu
ombi lake.
![Page 38: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/38.jpg)
Rebeka aliwacha familia yakekuenda kumwoa Isaka.
![Page 39: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/39.jpg)
Alimfariji baaada ya kifo chamama yake. Isaka alimpenda
sana!
![Page 40: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/40.jpg)
Mungu Ajaribu Pendo la Ibrahimu
Hadithi kutoka kwa Neno la Mungu, Bibilia,
inapatikana katika
Mwanzo 22-24
"Kufafanusha maneno yako kwatia nuru." Zaburi 119:130
![Page 41: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/41.jpg)
Mwisho
![Page 42: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/42.jpg)
Hii hadithi ya bibilia inatueleza kumhusu Mungu wetu wa ajabu aliyetuumba na
anayetaka tumjue.
Mungu anajua tumetenda mambo mabaya, anayoyaita dhambi. Adhabu ya dhambi ni mauti, lakini Mungu anakupenda sana hata akamtuma mwana wake wa pekee, Yesu, Ili afe msalabani na aadhibiwe kwa dhambi yako. Alafu Yesu akafufuka na kuenda
nyumbani mbinguni! Ukimwamini Yesu na kumwomba msamaha kwa dhambi yako,
Atakusamehe! Yesu atkuja na kuishi ndani yako, na utaishi naye milele.
![Page 43: God Tests Abrahams Love Swahili PDA - · PDF filemadhabahu na akapanga. kuni ya kuteketeza. sadaka mbele. ya Mungu. Ibrahimu alikuwa amejenga madhabahu mingi. Lakini hii ilikuwa. ngumu](https://reader038.vdocuments.net/reader038/viewer/2022102607/5a8661d97f8b9ad30c8d1017/html5/thumbnails/43.jpg)
Kama unaamini huu ni ukweli, Sema haya kwa Mungu:
Mpendwa Yesu, ninaamini kuwa wewe ni Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha mapya, na
siku moja nitaenda kuwa nawe millele. Nisaidie nikutii na niishi kwa ajili yako kama
mtoto wako. Amina.
Soma bibilia na uzungumze na Mungu kila siku! Yohana 3:16