imaan newspaper issue 5

Download Imaan Newspaper issue 5

Post on 06-Jan-2016

1.890 views

Category:

Documents

3 download

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Imaan Newspaper issue 5

TRANSCRIPT

 • 7/17/2019 Imaan Newspaper issue 5

  1/19

  ISSN 5618 - N0. 005 BEI: SH800/- KSH80/- USH1,200/- 21 RAJAB 1436, JUMATATU, MEI11 - 17, 2015 www.islamicftz.o

  huwatoawatugizani

  China yalazimisha Waislamu kuuza nguruwe, pombe - Uk 15

  Sheikh Nassoro Bachu:Mhadhiri maarufu

  Afrika Mashariki

  Maandamanoya Waislamu

  Maandalizi yaiva Tamko la mwisho lasubiriwa

  Head off ice, Lumumba Street, Opp: Viwanja vya Mnazi Mmoja, P. O Box 779 Dar es Salaam, TanzaniaTell: 255 22 2182482/ 255 222184419, Fax: 255 22 2181424, E-mail: info@Binslum.com

  Vituo vyakuandikisha

  wapiga kuravyawekwamakanisani

  Sheikh Pondaatoweka Moro

  UK

  UK 3

  UK 7

 • 7/17/2019 Imaan Newspaper issue 5

  2/19

  www.islamicftz.

  21 Rajab 1436, JUMATATU Mei 11 - 17,

  2

  NA WAANDISHI WETU

  Licha ya kiwango kidogocha ada kinachotozwakatika madrasa nyingizilizopo katika jiji la

  Dar es Salaam, bado wazaziwengi wamekuwa wazito kuwa-himiza watoto wao kutafutaelimu ya dini.

  Kadhalika, uchunguzi wagazeti la Imaan umeonyesha

  kuwa wazazi wengi hawalipi adaza masomo za watoto wao, kuto-kana na kutothamani elimu hiyosawa na wanavyothamini shule.

  Waandishi wetu waliotembe-lea madrasa wamegundua kuwakiwango cha ada katika madrasanyingi jijini Dar es Salam ni kati

  ya Tsh. 1,000 hadi Tsh. 5,000kwa mwezi, lakini walimu wamadrasa waliozungumza nagazeti la Imaan wamesema wa-

  zazi wengi wamekuwa hawalipiada hiyo.

  Miongoni mwa madrasawalizozitembelea, ni pamoja naNurul-Islamiyyah na Azhari zili-zopo kata ya Mabibo, Tul-Tarbi-

  yyah iliyopo Kigogo na Is-tiqaamah ya Magomeni, ambazozote hutoza ada isiyozidi Tsh.3,000 kwa mwezi.

  Hata hivyo, walimu wa ma-drasa hizo wamesema wanafun-

  HABARI

  NA KHALID OMARY

  Taasisi ya Dhi Nureyn Islamic Founda-

  tion yenye makao makuu mkoani Ir-inga kwa kushirikiana na taasisi ya AlMuntada Islamic Trust ya nchini

  Uingereza imefanikisha zoezi la kutibu watotowenye magonjwa ya moyo bila ya kuwafanyiaupasuaji kwa kuziba matundu yaliyopo kwenyemoyo kwa kutumia kifaa maalum kiitwachoCathlet.

  Tiba hiyo inafanyika kwa mara ya kwanzahapa nchini kupitia idara ya tiba ya upasuaji wamoyo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ku-shirikiana na madaktari bingwa kutoka hospi-

  tali ya Prince Sultan Cardiac iliyopo katika jiji laRiyadh nchini Saudi Arabia.

  Zoezi hilo ambalo lilianza Jumamosi iliyopi-ta litakuwa ni la siku tisa hadi Ijumaa ya wiki hii.

  Muasisi na Mwenyekiti wa taasisi ya Dhi

  Nureyn, Sheikh Said Abri, amewahimizananchi kutumia fursa hiyo, kwa kuwapeleka

  toto wao kupata matibabu hayo yanayotolbure.

  Hakika ni furaha kutoa matumaini makwa watoto hawa wenye ugonjwa wa moyoni furaha zaidi kwa mzazi ambaye atamumtoto wake, kipenzi chake, anazaliwa upykuaga machungu ya maradhi yaliyoku

  yakimsumbua, amesema Sheikh Said Abri.Naye Kaimu Mkurugenzi wa hospital

  Taifa ya Muhimbili, Dk. Hussen Kidanto alma, huu ni mwaka mzuri kwa upande wa kwa Tanzania.

  Hadi kufikia mwezi April mwaka huu juya wagonjwa 453 wamefanyiwa upasuajmoyo na wagonjwa 110 wamefanyiwa uchguzi wa mishipa ya damu na utaratibu wa shirikiana na wataalam kutoka nje ya nchi

  auendeleza, ameeleza Dk. Kidanto.

  Dhi Nureyn, Al Muntadawasaidia wagonjwa wa moyo

  Afyais naturalsource of sweetdrinking waterfrom under-

  ground streamwhich is blended

  with essential

  minerals to sup-port and aid per-fect metabolism.

  WATERCOM LIMITED

  P.o. Box 20409, Plot N.4005, Kisarawe11 area

  Temeke,Daresalaam, Tanzaniawww.watercomtz.com, E-mail:info@watercomtz.com

  zi wengi walioandikishwa hawahudhuriimadrasa ipasavyo na wazazi wengi ha-

  walipi ada. Ustadh Hussein Dilunga,

  mwalimu wa madrasa ya Nurul-Islami-yyah iliyopo mtaa wa jitegemee, Mabiboamesema, mahudhurio hafifu na kutoli-pa ada kunasababishwa na mwamkomdogo wa wazazi pamoja na ratiba zashule ambazo hazitoi fursa ya muda kwa

  watoto kwenda madrasa.Ustadhi Dilunga, ambaye ameanza

  kufundisha madrasa toka mwaka 1988alisema, kuzuka kwa elimu ya ziada muda

  wa jioni (tuition) inazuia watoto wa Kiis-lamu hususani wale walioanza sekondarikuhudhuria madrasa. Zamani vijana

  walikuwa wanarudi kutoka shuleni saanane, wanapata riziki huko majumbani,kisha baadae wanakwenda madrasa ku-fundishwa dini, lakini siku hizi muda huohaupo kabisa, alisema Dilunga akione-sha namna vijana wa Kiislamu wanavy-

  okosa fursa ya kujifunza dini yao kutoka-na na mfumo wa kielimu uliopo.

  Hakuna ulazima wa kusoma maso-mo ya ziada. Enzi zetu tulikuwa tunasomandani ya masaa manane na tulifaulu, vipi

  leo ionekane mtoto hawezi kufaulu bila yamasomo ya ziada, Dilunga alihoji.

  Akielezea sababu za mahudhuriomabovu, Ustadh huyo amesema, wazazihawaoni umuhimu wa kuhimiza watoto

  wao kusoma elimu ya dini kwa sababuwanaamini elimu ya dini haitawapatiavijana wao ajira na kipato.

  Naye Ustadh Omari Jokoo wa Madra-sat Istiqama anasema, kuna hatari kubwa

  ya kizazi cha Waislamu wa sasa kupoteana kuingia katika majanga makubwa

  kutokana na kushindwa kujifunza diniyao. Ustadh Jokoo anaamini wazazi najamii ya Kiislamu kwa ujumla haitoi ush-irikiano wa kutosha kwa walimu, na hivyo

  walimu hao wanakumbana na changa-moto zinazorudisha nyuma maendeleo

  ya elimu.Katika madrasa, mafundisho ya fiqhi,

  quran, tabia, tajwid, tawhid, tafsiri yaquran, na sira ya Mtume (Rehma na am-ani ziwe juu yake) yanafundishwa. Katikahali hii, lazima uwe na walimu wasiopun-gua watatu, ambao wote wana mahitaji

  yao ya kimaisha, wanahitaji kulipwa. Bilaushirikiano wa wazazi, ni vigumu kwakweli kuendesha madrasa, alisema Us-

  tadh Jokoo.Kwa upande wa madrasa za nje ya jiji

  la Dar es salaam, hali ni mbaya zaidi. Us-

  tadh Omari Kinumbi anayefundisha ma-drasa Daiyya Islamiyya wal Jihad iliyopokata ya masaki, tarafa ya Sungwi, katika

  wilaya ya Kisarawe amesema, walimu wavijijini wanapata tabu kubwa katikautekelezaji wa jukumu lao la ufundishaji

  wa madrasa.

  Walimu wa madrasa wafungukaWataka elimu ya dini ithaminiwe

  Na. MJI FAJR DHUHUR ASR MAGHARIB ISH

  1 DAR ES SALAAM(6.75 S, 39.25 E) 5:13 12:20 3:42 6:15 7:232 ZANZIBAR(6.17 S, 39.25 E) 5:12 12:23 3:42 6:15 7:243 TANGA(5 S, 38.25 E) 5:15 12:24 3:46 6:21 7:294 MOROGORO(8 S, 37 E) 5:23 12:29 3:50 6:22 7:305 MTWARA(10.67 S, 39 E) 5:18 12:21 3:41 6:10 7:196 ARUSHA(3 S, 36 E) 5:21 12:33 3:56 6:32 7:407 DODOMA(6 S, 36 E) 5:25 12:33 3:55 6:29 7:378 MBEYA(8.5 S, 33 E) 5:40 12:45 4:06 6:37 7:469 KIGOMA(5 S, 30 E) 5:48 12:57 4:19 6:54 8:0210 MWANZA(2.75 S, 32.75 E) 5:34 12:46 4:09 6:46 7:5411 KAGERA (4.66 S, 30.67 E) 5:44 12:54 4:17 6:52 8:0012 TABORA(5.5 S, 32.83 E) 5:37 12:46 4:08 6:42 7:5013 SHINYANGA(3.75 S, 33 E) 5:34 12:45 4:07 6:44 7:52

  14 SINGIDA(5.5 S, 34.5 E) 5:30 12:39 4:01 6:35 7:4315 IRINGA(9 S, 35 E) 5:32 12:37 3:58 6:29 7:37

  NYAKATI ZASWALA

 • 7/17/2019 Imaan Newspaper issue 5

  3/19

  www.islamicftz.org

  21 Rajab 1436, JUMATATU Mei 11 - 17, 2015

  NA WAANDISHI WETU

  Ikiwa zimebaki siku chache kabla

  ya maandamano makubwa yakushinikiza Serikali kutekelezamadai ya Waislamu, Serikali ime-

  shauriwa kutumia busara ili kuepushamadhara yanayoweza kutokea kutoka-na na mgogoro huo.

  Ushauri huo umetolewa na wau-mini wa dini ya Kiislamu waliozun-gumza na timu ya gazeti la Imaan iliyo-pitia misikiti 10 ya jijini Dar es Salaamili kukusanya maoni juu maandalizi yamaandamano hayo.

  Waislamu wengi waliohojiwa, hu-susan vijana, wamesema kama Serikalihaitafanyia kazi madai yao, ni wazimaandamano hayo hayaepukiki.

  Sisi tumeshajipanga na kuhama-sishana kujitokeza kwa wingi kufanyamaandamano ya amani kuelezea hisiazetu, Halfani Abdallah, muumini kati-ka msikiti wa Idrissa, Kariakoo ameli-

  ambia Imaan na kuongeza: Tuna-wasikiliza viongozi wetu kwa sasa. Tu-

  naamini kimya cha Serikali ni ishara yakutupuuza.

  Msimamo huo wa Waislamu ume-kuja kufuatia Mwenyekiti wa Jumuiyana Taasisi za Kiislamu nchini, SheikhMusa Kundecha kutangaza kufanyikakwa maandamano nchi nzima May 15mwaka huu, iwapo madai ya Waislamuhayatopatiwa ufumbuzi.

  Madai muhimu zaidi ya Waislamukwa sasa ni pamoja na kuachiliwa kwadhamana kwa viongozi wa Kiislamu

  walio magerezani, kusimamishwa kwazoezi la kamata kamata ya uonevu,ikiwemo kuwaachia masheikh, walimuna wanafunzi wa madrasa wana-oshikiliwa, na kushughulikiwa kwa su-ala la mahakama ya kadhi.

  Hata hivyo, suala ambalo lililogusahisia za Waislamu wengi ni ufungajiholela wa madrasa na kamata kamata

  ya waumini wa dini ya Kiislamu.Uchunguzi wa gazeti Imaan ume-

  baini kuwa kutokana na kadhia ya ma-

  drasa iliyoendeshwa na jeshi la Polisi,Waislamu wameingiwa na hofu na

  wanajihisi kama si raia halali wa nchihii, hali iliyopelekea kadhia hiyo kuwagumzo katika mikusanyiko mbalim-

  bali ya wananchi, hususan Waislamu.Hili sasa ni suala la kufa na kupona.

  Uhai na ustawi wa Waislamu na Uisla-mu unategemea jinsi tutakavyojitokezakuibana Serikali ili ishughulikie sualahili, Mzee Hassan wa msikiti wa Tungi,Temeke alisema.

  Yapo mambo ya kufunika kombemwanaharamu apite, lakini sio hili.Ukicheza na mbwa utaingia naemsikitini, alitahadharisha.

  Suala jingine lililoamsha hasira zaWaislamu ni kunyimwa dhamana kwaviongozi wa Kiislamu walioko magere-zani, wakihoji iweje Askofu JosephatGwajima awe nje kwa dhamana, lakini

  viongozi wa Kiislamu wanaozea mage-

  reza, huku wakifanyiwa vitendokudhalilishwa?

  Hamisi Kilongole wa msikitiChihota, Tandika alihoji: Au ni um

  wa watu waliojitokeza kumuumkono Gwajima ndio ulioitisha Skali? Nasi tutajitokeza Ijumaa, hueSerikali itaelewa uchungu wetu.

  Kilongole pia aliasa Serikali kibali cha maandamano hayo, kw

  lengo si kufanya vurugu bali kue