jambo ushirikiano 2013.pdfjarida hili la jambo ushirikiano ambalo ni sehemu ya kuwaunganisha wana...
TRANSCRIPT
Mpango ulijadiliwa ikiwemo bajeti
ya Mwaka na wanachama
waliupitisha mpango huo ukiwa
na marekebisho .
Mwenyekiti aliwashukuru kwa
kupitisha mpango huo ambao
ndiyo Dira kamili ya kikundi kwa
Mwaka 2013/14. Mwenyekiti
aliwasihi wanachama kushirikiana
kwa pamoja ili kufanikisha malen-
go ya mpango huo.
Katika kikao cha tarehe
30/6/2013 kikundi cha ushirikiano
kiliweza kuzindua mpango wa
Mwaka 2013/2014 nyumbani
kwa mwanachama Ndugu Ntemi
Gimbishi eneo la Kibada Kigam-
boni Dar es salaam siku ya Juma-
pili.
Akiusoma mpango huo
Mwenyekiti wa kamati ya Mipan-
go na Fedha Ndugu Sayi Sitta
aliwaeleza wajumbe mwaka huu
kikundi kitajikita katika Mambo
matatu yaliwemo ; Kuimarisha
kanuni na taratibu mbalimali ,
kuanzisha uwekezaji kuinua
uchumi wa wa wanaushirikiano ,
kuanza ukopeshaji kwa wanacha-
ma.
Siku ya kipekee iliyo wakutanisha
wanaushirikiano katika vikao vyao
vya kila mwezi nyumbani kwa
familia ya Ndugu Ntemi Gimbishi.
Pamoja na kikao hicho familia
iliwaalika rasmi kumpongeza kwa
kujaliwa kujenga nyumba ya
kuishi. Sambambamba na hilo
familia ilikuwa insherehekea siku
ya kuzaliwa kijana wao wa Kwan-
za NDUMO.
Ilikuwa siku ya pekee kwa
mapokezi mazuri kwa chakula
pamoja na vinywaji wanau-
shirikiano walivyokirimiwa.
Mwenyekiti wa ushirikiano
Ndugu Michael Luchunga
akifurahi baada ya Mkutano
wa wanachama kupitisha
Mpango wa 2013/2014
Wanaushirikiano wazindua mpango wa 2013/2014
Y A L I Y O M O
Mpango
2013/14
1
Kikao kwa
Mahango
1
Nhendes Pub 2
Birtday , Komun-
io , Kipaimara 3
Shule Kujengwa
na Ushirikiano 4
Tovuti ya
Ushirikiano 5
Unajua anakotoka
…… John Athanas 6
Kikao cha kwanza kufanyika Nyumbani kwa Mwanaushirikiano
Jambo Ushirikiano 1 S T J U L Y 2 0 1 3 V O L U M E 1 , I S S U E 1
PATA TAARIFA MBALI-
MALI ZA KUVUTIA.
Wanaushiriki
wazindua mrdi
2013/14
Nhendes Pub
yazinduliwa
Kigamboni
Ushirikiano
Group Kujenga
Shule.
Kikao cha kwanza
Kufanyika Kwa
Mwanau-
shirikiano.
Watoto wengi
wazaliwa 2012/13
Ushirikiano Day
Around the
Corner.
Je Unafahamu
Alikotokea …..
John Athanas
Mlyabope
Wanaushirikiano wakijadili mpango wa 2013/2014 Nyumbani kwa Ndugu Ntemi Gimbishi Mwenyekiti wa kamati ya Mipango na Fedha
Ndugu Sayi Sitta
P A G E 2
Our Core Value
Team work
Ushirikiano
Intergrity
Uaminifu
Impartiality
Kutopendelea
Accountability
Uwajibikaji
Nhendes Pub
Kigamboni
Yazinduliwa.
Wanaushirikiano wengi wazaliwa 2012/13
Hongera!! Birthday, Komunio, Kipaimara
Nhendes Pub Yazinduliwa na wanaushirikiano.
Ilikuwa furaha ya aina yake
baada ya kikao cha mwezi June
cha U– G kilichofanyika kigam-
boni , wanaushirikiano walish-
iriki katika namna ya pekee
kuzindua Pub ya Mwanau-
shirikiano huko kigamboni .
Jina la Pub iliyozinduliwa tarehe
30/6/2013 ni NDENDES
PUB . Wanaushirikiano wa-
lishiriki kwa sala na baadaye
kuendelea na vinywaji ambavyo
havikuwa na kikomo , nyama
choma zilimiminika bila kuisha.
Ilikuwa ni siku ya aina
yake ambapo watoto wa
wanafamilia walifurahi
katika tukio hilo.
Mkurugenzi wa Nhendes
Pub Ndugu Edward
Nhendes alilieleza Jarida
hili kuwa ni siku ya pekee
kutembelewa na wanaushirikiano na
nimefarijika sana na alifikiri ha-
wataweza kumuunga mkono , Pia
aliwaomba wanakikundi kuweza
kuwashirikisha watu unapoanzisha
shughuli /mradi/Biashara yako ili
kuweza kupata Baraka katika Biasha-
ra.
Hongera Kipaimara +++
Hongera kwa Magreth Edward
Ndendes na Rosemary John
Athanas kwa kupata kipaimara
katika kanisa katoliki Kijichi.
Happy Birthday !!
Tunampongeza KELVIN NDU-
MO NTEMI kwa kusherehekea
siku ya kuzaliwa Tarehe 30/6.
Komunio ya Kwanza ++
Hongera Hapiness Maila kwa
kupata komunio ya kwanza kati-
ka Kanisa Katoliki Kimara.
Familia ya Fransics Luber-
ti.
Familia ya John Athanas.
Familia ya John Elias.
Familia ya Ntami Gim-
bishi
Familia ya Mahango Sitta.
Wanaushirikiano waliziponge-
za familia hizi kwa namna
tofauti na ukweli tunapoanza mwa-
ka mwingine ni kitendo cha kum-
shukuru Mungu kwa zawadi hii.
Ni furaha iliyoje katika familia
za wanaushirikiano katika
mwaka huu uliopita kujaliwa
wanaushirikiano wapya. Familia
zifuatazo zilibahatika kupata
watoto katika kipindi cha Mwa-
ka 2012 /13;
Familia ya Emmanuel Eze-
kiel Malongo.
Familia ya Justine Dede.
J A M B O U S H I R I K I A N O
Happy
Birthday
KELVIN
NDUMO
NTEMI
Rosemary John Margret Edward
JICHO la TEHAMA…….. www.ushirikiano.0r.tz on line
P A G E 3 V O L U M E 1 , I S S U E 1
Tovuti ya Ushirikiano imetengenez-
wa na wataalamu wa Tehama Ndani
ya kikundi , wakionyesha kwa wana-
kikundi kwenye kikao ilionyesha
kuwavutia walio wengi na ni mafani-
kio makubwa waliyofikia.
Mwenyekiti wa Te-
hama Ndugu Ndaki
Tito akishirikiana na
wajumbe Ndugu
Mahango Sitta na
Ndugu Sumbuko
Zackaria walielezea
huu ni mwanzo wa
mwonekano wa tovuti yanyewe na
wanategemea kuiweka live wataka-
pokamilisha vitu vingine lakini wali-
omba wajumbe waweze kuleta
mapendekezo mengine ya
uboreshaji ili kuwa na tovuti iliyo
nzuri na yenye mvuto. Baadhi ya
wajumbe walimpongeza Ndugu John
Athanas kwa kuweza kuweka input
nzuri katika mwanzo wa tovuti hii.
Jina la Tovuti ni hili hapa
Www.ushirikiano.or.tz
Hongera Kamati Ya Tehama.
aliweza kuendelea na shule ya
msingi , alimaliza darasa la saba na
baadaye kuchaguliwa kujiunga na
shule ya sekondari MZUMBE Mwa-
ka 1984 ambako alimaliza kidato
channe mwaka 1988 , alichguliwa
kujiunga kidato cha tano mwaka
1989 shule ya sekondari Milambo
na kumaliza kidato cha sita 1991 na
baadaye kujiunga na Jeshi la kujenga
John ni Mtoto wa kwanza katika
familia ya Mwalimu mstaafu Athanas
Kishiwa anayeishi kijichi cha SA-
KASAKA MEATU Shinyanga.
Ni mzaliwa wa LAGANGABILILI—
Bariadi mkoa wa SIMIYU , allianza
masomo ya darasa la kwanza Shule
ya msing KISESA mwaka 1975-76 na
wazazi walihamia sakasaka ambako
taifa JKT—Masange 1991—1992
alichaguliwa Elimu ya Juu katika
CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRI-
SHAJI 1993—1996. Baadae alianza
kazi katika kampuni ya Oceanlink
Shipping Service na Mpaka leo
anafanya kazi kampuni ya DHL LO-
GISTICS Anatarajia kuanza masomo
Masters Mzumbe kwa mbaka
2013/14. John alifunga Ndoa Mwaka
maamuzi magumu katika mipango
inawezekana na kwa kikundi imara
kama hiki si kitu cha kuuliza sana.
Akieleza katika nafasi tofauti Mjum-
be wa Kamati ya Mipango na Fedha
Ndugu Mdongo kwa namna ya
pekee anapongeza mpango na
alisema tunaweza kupata kiwanja
kikubwa kwa michango yetu hii na
kuanza mikakati mara moja.
Wajumbe walikubaliana na kueleza Ni Matarajio katika Mpango wa
kikundi cha Ushirikiano kuwa na
shule ya awali ambao inategemea
kuanza mipango yake hivi karibuni.
Akieleza katika kikao cha wanau-
shirikiano Mwenyekiti wa
Ushirikiano alisema hakuna
kinachoshindika chini ya Jua ili mra-
di ukiwa na nia na malengo . Aliwa-
omba wanakikundi kuwa na
TEHAMA
NI KILA
KITU
KATIKA
MAISHA
U-G Kujenga shule.
Unajua alikotokea ?……… John Athanas Mlyabope.
USHIRIKIANO
NI NGUZO YA
FAMILIA
John Athanas Mlyabope
Kumi maandalizi ya msingi yawe ya-
mekamilika. Matarajio ya siku husika
ni Mwishoni mwa mwezi wa Kumi na
moja au mwanzoni mwa mwezi wa
kimi na mbili , tunategemea maoni ya
wanakikundi watoto wao wengi ni lini
watakuwa wamefunga shule tuki-
zingatia wajumbe wa mikoani Pia.
Wanafamilia wajiandae kwa siku hii ya
Siku ya Pekee inatarajiwa kufanyika
mwishoni mwa mwaka Mwezi No-
vemba /Desemba ambapo ita-
wakusanya wanafamilia wote wa
Ushirikiano Group kwa kufurahi
pamoja , kunywa , kula , kucheza
pamoja na familia zao.
Mwenyekiti wa Kamati ya Jamii Ndugu
John Athanas alilieleza Jarida hili
maandalizi ya siku ya kipekee kwa
wanaushirikiano yanaendelea ,
tunategemea kuwa na burudani za
aina yake ili watoto wa wana familia
wakiwa wamefunga shule waje kuju-
muika na kuburudika vizuri , tunaan-
daa michezo ya aina tofauti ili kuleta
burudani kwa watoto na wafamilia
kwa ujumla . Akieleza zaidi alisema
Kamati inakutana kuandaa bajeti na
sehemu husika ili ifikapo Mwezi wa
Pekee itayowakutanisha familia zote
kwa mara ya kwanza ndani ya kikundi.
P.O.BOX 41449
Dar es salaam
Phone: +255 713 321813
E-mail: [email protected]
CORNER YA EDITOR:
Napenda kuipongeza kamati ya Jamii kwa kuja na
jarida hili la Jambo ushirikiano ambalo ni sehemu ya
kuwaunganisha wana ushirikiano kwa upashanaji haba-
ri wa karibu. Ni matumaini yangu kuwa wadau wote
wakiwemo wana ushirikiano wote na familia zao wa-
tapata habari ,burudani na kujifunza mengi juu ya
mambo hasa yale yatakayo leta ufanisi katika umoja
na ushirikiano katika jamii hasa ya wana ushirikiano.
Jarida hili litatolewa Mara Moja Kwa Mwezi ili keleta
changamoto katika mawasiliano ya ushirikiano.
Matarajio makubwa kuwa wadau wote watashiriki
kuleta story/ taarifa mbalimbali katika kuboresha
Jarida hili tukishirikiana na kamati ya Jamii.
Ushirikiano Group Tanzania
Ushirikiano Day !!! Inakuja ………
NGUVU YETU NI:
Ushirikiano , Uaminifu , Kutopendelea na Uwajibikaji
USHIRIKIANO DAY HIYOOO!!
Www.ushirikiano.or.tz