jamhuri ya muungano wa tanzania · tanzania ilipitisha sera ya taifa ya mazingira 1998: mchakato wa...

27
Jamhuri Jamhuri ya ya Muungano Muungano wa wa Tanzania Tanzania Jamhuri Jamhuri ya ya Muungano Muungano wa wa Tanzania Tanzania MABADILIKO YA TABIANCHI MIKAKATI YA UTEKELEZAJI NA VIPAUMBELELE VYA KITAIFA MABADILIKO YA TABIANCHI MIKAKATI YA UTEKELEZAJI NA VIPAUMBELELE VYA KITAIFA MABADILIKO YA TABIANCHI: MIKAKATI YA UTEKELEZAJI NA VIPAUMBELELE VYA KITAIFA MABADILIKO YA TABIANCHI: MIKAKATI YA UTEKELEZAJI NA VIPAUMBELELE VYA KITAIFA RICHARD MUYUNGI RICHARD MUYUNGI OFISI YA MAKAMU WA RAIS OFISI YA MAKAMU WA RAIS Thursday, December 03, 2009 1

Upload: others

Post on 05-Feb-2020

51 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

JamhuriJamhuri yaya MuunganoMuungano wawa TanzaniaTanzaniaJamhuriJamhuri yaya MuunganoMuungano wawa Tanzania Tanzania

MABADILIKO YA TABIANCHI MIKAKATI YA UTEKELEZAJI NA VIPAUMBELELE VYA KITAIFAMABADILIKO YA TABIANCHI MIKAKATI YA UTEKELEZAJI NA VIPAUMBELELE VYA KITAIFAMABADILIKO YA TABIANCHI: MIKAKATI YA UTEKELEZAJI NA VIPAUMBELELE VYA KITAIFAMABADILIKO YA TABIANCHI: MIKAKATI YA UTEKELEZAJI NA VIPAUMBELELE VYA KITAIFA

RICHARD MUYUNGIRICHARD MUYUNGIOFISI YA MAKAMU WA RAISOFISI YA MAKAMU WA RAIS

Thursday, December 03, 2009 1

YALIYOMOYALIYOMOYALIYOMOYALIYOMO

UtanguliziMikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi Mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi TanzaniaMikakati programu/mipango miradi na shughuli Mikakati, programu/mipango, miradi na shughuli zinazotekelezwaM j dili k l k C hMajadiliano kuelekea CopenhagenChangamotoHitimisho/mapendekezo

Thursday, December 03, 2009 2

UtanguliziUtangulizi –– kwakwa nininini kuwepokuwepo nana hofuhofukuhusukuhusu mabadilikomabadiliko yaya TabianchiTabianchikuhusukuhusu mabadilikomabadiliko yaya TabianchiTabianchi

Kuongezeka kwa uzalishaji wa gesijoto na uhusiano wa karibu g jbaina yake na kuongezeka kwa joto la dunia (kipimo cha 217 ppm mnano karne ya 19 mpaka mnano karne ya 19 mpaka 380ppm leo hii) na kuongezeka kwa jotoridi kwa nyuzi joto 0.74 oC na kuongezeka kwa kina cha oC na kuongezeka kwa kina cha bahari kwa 17cm katika kipindi cha miaka 100 iliyopitaAthari zilizoanza kuonekana sasa na baadaye zinazidi kutisha. Nchi maskini zinaathirika zaidi c as aa a a dkutokana na uwezo mdogo wa kuhimili athari hizo

Thursday, December 03, 2009

I: I: UtanguliziUtangulizi: : JuhudiJuhudi zaza kimtaifakimtaifa zazak k bilik k bili b dilikb dilik T bi hiT bi hikukabilianakukabiliana nana mabadilikomabadiliko yaya TabianchiTabianchi

1988 World Meteorological Organization (WMO) and United Nations Environment Programme (UNEP) establish the Intergovernmental Panel on Climate Change (IPCC). The UN General Assembly takes up climate change for the first time.

1990 IPCC’s First Assessment Report is published. It recommends the launch of negotiations on a global climate change agreement. The UN General Assembly opens negotiations on a framework convention on g g y p gclimate change.

1992 The United Nations Framework Convention on Climate Change (UNFCCC) is adopted.

1992 The Convention is opened for signature at the “Earth Summit “ in Rio de Janeiro, Brazil.

1994 The Convention enters into force.

1995 COP 1 launches a new round of negotiations on a “protocol or other legal instrument”. The Berlin mandate

1997 COP 3 adopts the Kyoto Protocol to the UNFCCC in Kyoto , Japan1997 COP 3 adopts the Kyoto Protocol to the UNFCCC in Kyoto , Japan

2001 COP7 adopts modalities and rules of the Kyoto Protocol. The first CDM Executive Board meeting2005: Entry into force of the Kyoto Protocol2007: Bali Action Plan: New Climate Change regime process g g p2009: December, New climate change regime adopted

MikakatiMikakati yaya kitaifakitaifa yaya kukabilianakukabiliana nanayy yymabadilikomabadiliko yaya tabinachitabinachi

1990: Idara ya Mazingira ilianzishwa chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii- kuratibu mchakato wa Rio Kitaifa

1992: Mkataba wa Umoja wa Taifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCCC) ulisainiwa mara baada yamkutano wa wa UNCED, Juni, 1992. Taathmini mbalimbali kuhusu tishio la mabadiliko ya tabianchi, vyanzo gesijoto vilifanyika chini ya ufadhiliTaathmini mbalimbali kuhusu tishio la mabadiliko ya tabianchi, vyanzo gesijoto vilifanyika chini ya ufadhiliwa Serikali ya Marekani

1995: Idara ya Mazingira ilihamishiwa chini ya VPO. Mabadiliko ya Tabianchi ilibainishwa kama kipaumbelekatika maeneo ya kazi za VPO.

1996: Aprili, Tanzania iliridhia Mkataba wa UNFCCC.

1997 : Tanzania ilikuwa Mwenyekiti wa G77 na China wakati wa majadiliano ya Mkataba Mdogo wa Kyoto.Tanzania ilipitisha Sera ya Taifa ya Mazingira

1998: Mchakato wa kuandaa Sheria ya Mazingira ulianza EMA, 2005.

2000: Warsha ya Kwanza ya GEF. Adoption of the Institutional arrangements for Environmental management in Tanzania. Climate change and other MEAs – a responsibility of the VPO DOE

2001 – 2004: Sheria ya Usimamizi wa Mazingira-EMA, 2005. Kifungu cha 75 kinabainisha hatua zinazohitajikakukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mwongozo wa Miradi ya CDM uliandaliwa. Tanzania ilikuwamwenyekiti wa LDCs chi ya majadiliano ya UNFCCC (2002-2004). Maandalizi ya Mpanga wa Taifa wa KuhimiliMabadiliko ya tabianchi – NAPA.Mabadiliko ya tabianchi NAPA.

2005 hadi leo: Sheria ya Usimamizi wa Mazingira -EMA ilianza kutekelezwa (operationalization of Art. 75) ; NCSA (on post Rio Conventions); Maandalizi ya NAPA yalikamilika; Review of the CDM Investor's Guide; Review and registration of CDM projects; GEF RAF 4 allocation for Projects and programmes and start implementation of GEF RAF 4 activities; Vice President of the COP; First Chair of the AFB; Formulation of

AthariAthari zaza mabadilikomabadiliko yaya tabianchitabianchiAthariAthari zaza mabadilikomabadiliko yaya tabianchitabianchi

Athari za mabadiliko ya tabianchi ni pamoja na:kuongezeka kwa usawa wa bahari kutokana na kuyeyuka kwa barafu katika Bahari ya Arctic na Antactica; Bahari ya Arctic na Antactica; kuongezeka kwa matukio ya vimbunga;kupungua kwa kasi kubwa kwa kiwango cha theluji katika vilele vya milima; ukame wa mara kwa mara unaosababisha upungufu wa maji, chakula na nishati ya umeme; kuenea kwa magonjwa kama vile malaria katika maeneo ambayo haukuwa wa kuenea kwa magonjwa kama vile malaria katika maeneo ambayo haukuwa wa kawaida; na mmomonyoko wa ukanda wa bahari unaotishia uharibifu wa miundombinu iliyopo katika maeneo hayo

Thursday, December 03, 2009 6

MuundoMuundo wawa KitaasisiKitaasisi wawa UtekelezajiUtekelezaji wawa SheriaSheria yaya ManzingiraManzingira Tanzania Tanzania

Idara ya Mazingira(DOE)(Mkurugenzi wa Mazingira)

OMR(WN anayehusika na Mazingira )

NEMC(Mkurugenzi Mkuu

Baraza la Ushauri la Mazingira

Vitengo vya Mazingira vya kisekta(Sector Environment Coordinators)

Sekretariati za Mikoa(Regional Environmental Management Experts)

City council(City Council Env. Management Officer)City Env Management Committee

Municipality(Municipal Env. Management Officer)Municipal Env Management

Town Council(Town Council Env. Management Officer)Town Council Env

District Council(District Council Env. ManagementOfficer)District Council Env. Management

City council(City Council Env. Management Officer)City Env Management Committee

Municipality(Municipal Env. Management Officer)Municipal Env Management

Town Council(Town Council Env. Management Officer)Town Council Env

District Council(District Council Env. ManagementOfficer)District Council Env. Management

Township/Ward(Township/ward Env. Management Offi )T hi /W d E

City Env. Management Committee Municipal Env. Management Committee

Town Council Env. Management Committee

District Council Env. Management Committee

Township/Ward(Township/ward Env. Management Offi )T hi /W d E

City Env. Management Committee Municipal Env. Management Committee

Town Council Env. Management Committee

District Council Env. Management Committee

Officer)Township/Ward Env. Management Committee

Village(Village Env. Management Officer) Village Env Management

Ward(/ward Env. Management Officer)Ward Env. Management Committee

Officer)Township/Ward Env. Management Committee

Village(Village Env. Management Officer) Village Env Management

Ward(/ward Env. Management Officer)Ward Env. Management Committee

Thursday, December 03, 2009 7

(Village Env. Management Officer) Village Env Management Committee

Kitongoji (Kitongoji Env. Management Officer) Kitongoji Env. Management Committee

Mitaa(Mitaa Env. Management Officer) Mitaa Env. Management Committee

(Village Env. Management Officer) Village Env Management Committee

Kitongoji (Kitongoji Env. Management Officer) Kitongoji Env. Management Committee

Mitaa(Mitaa Env. Management Officer) Mitaa Env. Management Committee

ProgramuProgramu nana shughulishughuli mbalimbalimbalimbaliProgramuProgramu nana shughulishughuli mbalimbalimbalimbaliTathmini ya mahitaji ya kuhimili na tishio la mabadiliko ya Tathmini ya mahitaji ya kuhimili na tishio la mabadiliko ya tabianchi

Tathmini kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi katika Tathmini kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi katika sekta za kilimo, afya na maji pamoja na jamii zimeefanyikazimeefanyikaMaandalizi ya NAPA yalianza

Kamati za kitaifa kuhusu NAPA ziliundwaNAPA inabainisha maeneo ya kipaumbele na mahitaji y p jya fedha

8

AthariAthari zaza mabadilikomabadiliko yaya tabianchitabianchihapahapa TanzaniaTanzaniahapahapa TanzaniaTanzania

Kisiwa cha Maziwe katika pwani ya Pangani-Tanga na kisiwa cha Fungu la Nyani katika pwani ya Rufuji vimemezwa na havitumiki tena;

ukuta unaozuia maji ya bahari kuingia katika mji wa Pangani sasa umezingirwa i bi b ti hi k jna mawimbi ambayo yanatishia kuuvunja;

theluji ya mlima Kilimanjaro imepungua kwa zaidi ya asilimia themanini kwa kipindi cha takriban miaka 50 iliyopita; i i ji b idi k tik ijiji ili k b P i visima vya maji baridi katika vijiji vilivyo kwenye mwambao wa Pwani ya

Bagamoyo vimeingiliwa na maji chumvi;mfululizo wa majanga ya ukame na mafuriko yameongezeka; ugonjwa wa malaria sasa umeenea katika wilaya za Lushoto na Muheza Amani (Tanga) malaria sasa umeenea katika wilaya za Lushoto na Muheza-Amani (Tanga), Rungwe (Mbeya), Bukoba na Muleba (Kagera), Njombe na Mufindi (Iringa), nk

Thursday, December 03, 2009 9

MchanganuoMchanganuo wawa mabadilikomabadiliko yaya jotojoto kipindikipindi cha cha miakamiaka kumikumi

W t i j t idi 1985 1994Wastani wa jotoridi 1985 - 1994

Average temp. 1985 - 199410

MchanganuoMchanganuo wawa mabadilikomabadiliko yaya jotojoto kipindikipindi cha cha i ki k k ik imiakamiaka kumikumi

A t 1995 2004Average temp. 1995 - 2004

11

MfanoMfano mabadilikomabadiliko yaya jotojoto kwakwa vipindivipindi mbalimbalimbalimbali

KILIMANJARO EXTREME MAXIMUM TEMPERATURE

38 5

39

37.5

38

38.5

36.5

37

35

35.5

36

34

34.5

1970 1975 1980 1985 1990 1995 2000 2005 20101970 1975 1980 1985 1990 1995 2000 2005 2010

YEARS MAX TEMP

Linear (MAX TEMP)12

ProgramuProgramu nana shughulishughuli mbalimbalimbalimbaliProgramuProgramu nana shughulishughuli mbalimbalimbalimbaliKUHIMILI MABADILIKO YA TABIANCHI Utekelezaji wa NAPA

Kiasi cha USD 3.5 million kimeidhinishwa kwa ajili ya utekelezaji wa NAPA. Shughuli zitakazotekelezwa pamoja kukabiliana kuongezeka kwa kina cha bahari hususan katika maeneo ya Pangani, Bagamoyo and Rufiji. Mradi utatoa elimu na kukuza weledi pia

Umoja wa Ulaya utatoa Euro 2.2 million kwa ajili ya utekelezaji wa vijiji vya mfano (Pilot Eco villages) pamoja j j j y ( g ) p jkituo cha kikanda/kitaifa katika mabadiliko ya tabianchi

13

MaeneoMaeneo yaliyoathirikayaliyoathirika nana mabadilikomabadilikoyaya tabianchitabianchiyaya tabianchitabianchi

Thursday, December 03, 2009 14

MiradiMiradi yaya KuhimiliKuhimili mabadilikomabadiliko yaya tabianchitabianchiMiradiMiradi yaya KuhimiliKuhimili mabadilikomabadiliko yaya tabianchitabianchiMradi wa kujenga uwezo: DANIDA wamesaidia Tanzania kiasi cha USD 1.5 kwa ajili ya mafunzo, kukuza weledi; kununua vifaa kwa jili ya TMA, ushiriki katika mkutano wa Copenhagen Tathmini ya athari za mabadiliko ya tabianchi katika y ymaeneo mbalimbali nchini. Kuandaa ripoti mbalimbali kwa ajili ya maonesho Kuandaa ripoti mbalimbali kwa ajili ya maonesho (Showcasing for Copenhagen) mfano (films, majarida, vitini vijitabu na mikanda ya video Shughuli hii vitini, vijitabu na mikanda ya video. Shughuli hii inafadhiliwa na Serikali za UK ; Norway pamoja UNDP.

Thursday, December 03, 2009 15

MiradiMiradi yaya KuhimiliKuhimili mabadilikomabadiliko yaya tabianchitabianchiMiradiMiradi yaya KuhimiliKuhimili mabadilikomabadiliko yaya tabianchitabianchi

Mfuko wa khumili Mabadiliko ya tabianchi -Adaptation Fund unakiasi cha fedha USD 1-10 million kwa ajili ya j ynchi zinazoendelea

Mfuko huu uko chini usimamizi wa Bodi iliyoundwa ba Mfuko huu uko chini usimamizi wa Bodi iliyoundwa ba Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi(32 Member board with legal capacity under Tabianchi(32 Member board with legal capacity under the COP guidance)Nchi zinaweza kuomba fedha moja kwa moja bila Nchi zinaweza kuomba fedha moja kwa moja bila kupitia wakala.

Thursday, December 03, 2009 16

MiradiMiradi yaya KukubabilianaKukubabiliana nana mabadilikomabadiliko yaya tabianchitabianchiTanzania Tanzania

Chini ya utaratibu mpya wa GEF RAF Tanzania ilitengewa USD 5.35 million kwa ajili ya miradi ya kukbalina na mabadiliko ya t bi hitabianchi

UNIDO wanaandaa mradi kwa kushirikiana na Wizara ya Nisdhati na Madini Nisdhati na Madini Benki ya Dunia/UNDP kwa kushirikiana na IRA -UDSM wameandaa mradi wa Miomboambao tayari umetekelzwawameandaa mradi wa Miomboambao tayari umetekelzwa

NORAD wametoa USD 100 million kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa REDD mpango wa REDD

Makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa REDD yalisainiwa mwezi Aprili, 2008). p , )Utekelezaji wa REDD umeanza tangu April,2009VPO na MNRT wameunda kikosi kazi wajumbe wengine

Thursday, December 03, 2009 17

VPO na MNRT wameunda kikosi kazi wajumbe wengine watatoka TAMISEMI na SMZ

MiradiMiradi yaya KukubabilianaKukubabiliana nanamabadilikomabadiliko yaya tabianchitabianchi TanzaniaTanzaniamabadilikomabadiliko yaya tabianchitabianchi TanzaniaTanzania

Miradi miwili ya CDM imeshapitishwa na kuandikishwa na Bodi ya CDM yMiradi mingine zaidi ya kumi iko katika hatua nzuri ya kuweza kupitishwa na kuandikishwakuweza kupitishwa na kuandikishwa

Thursday, December 03, 2009 18

MAJADILIANO YA MABADILIKO YA MAJADILIANO YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENTABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENTABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENTABIANCHI KUELEKEA COPENHAGEN

Mchakato wa majadiliano kuhusu ulianza mwaka 2005 jkatika mkutano wa 11 uliofanyika Montreal, Canada, ambapo Kamati chini ya Mkataba ilianzishwa kwa ajili ya p y j ykutathmini viwango vya kupunguza gesijoto kwa nchi zilizoendelea katika awamu ya pili ya utekelezaji wa mktaba y p y jwa Kyoto.Aidha katika mkutano wa Bali uliofanyika mwaka 2007 Aidha katika mkutano wa Bali uliofanyika mwaka 2007, azimio la kuanzisha mchakato wa majadiliano ya miaka miwili (Bali Roadmap) ililipitishwa Lengo ni kundaa mfumo miwili (Bali Roadmap) ililipitishwa. Lengo ni kundaa mfumo mpya utakaoshughulikia tatizo la mabadiliko ya tabianchi baada ya kumalizika kwa Mkataba wa Kyoto Mwaka 2012 baada ya kumalizika kwa Mkataba wa Kyoto Mwaka 2012.

Thursday, December 03, 2009 19

MAJADILIANO YA MABADILIKO YA MAJADILIANO YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENTABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENTABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENTABIANCHI KUELEKEA COPENHAGEN

Mfumo mpya wa mabadiliko ya tabianchi utashirikisha Mfumo mpya wa mabadiliko ya tabianchi utashirikisha Marekani (ambayo si mwanachama wa Mkataba wa Kyoto) pamoja na nchi zinazoendelea zenye uchumi unaokua kwa pamoja na nchi zinazoendelea zenye uchumi unaokua kwa kasi katika kupunguza gesijoto ili kukabili mabadiliko ya tabianchi tabianchi. Dhumuni kubwa ni kuhakikisha kuwa kila nchi inachangia katika juhudi za dunia katika upunguzaji wa uzalishaji wa katika juhudi za dunia katika upunguzaji wa uzalishaji wa gesijoto.M b hi li k tik B li R d iMambo muhimu yaliyomo katika Bali Road map ni:-

Umuhimu wa kupunguza uzalishaji wa gesi joto kati ya 25% - 40% chini ya viwango vilivyokuwa vikizalishwa mwaka 1990 ifikapo mwaka 2020, na kati ya 85% – 95%

Thursday, December 03, 2009 20

MAJADILIANO YA MABADILIKO YA TABIANCHI MAJADILIANO YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENKUELEKEA COPENHAGENKUELEKEA COPENHAGENKUELEKEA COPENHAGEN

Haja ya kuzidisha ushirikiano wa kimataifa hususan kwa Haja ya kuzidisha ushirikiano wa kimataifa hususan kwa kushirikisha nchi zisizo wanachama wa Kyoto na zile zinazoendelea hasa zenye viwanda na uchumi zinazoendelea hasa zenye viwanda na uchumi unaokuwa haraka kama vile China, Brazili, India na Afrika Kusini katika kupunguza uzalishaji wa gesijotoAfrika Kusini katika kupunguza uzalishaji wa gesijotoKuweko kwa utaratibu na mfumo unaoleweka wa kusaidia nchi zinazoendelea hasa nchi maskini kusaidia nchi zinazoendelea, hasa nchi maskini zinazoathirika na mabadiliko ya tabianchi.K k f k i i t ji f dh t k l ji Kuweka mfumo wa kusimamia utoaji wa fedha, teknolojia pamoja na kujenga uwezo wa nchi zinazoendelea ili k k bili b dilik t bi hikukabili mabadiliko ya tabianchi.

Thursday, December 03, 2009 21

MAJADILIANO YA MABADILIKO YA MAJADILIANO YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENTABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENTABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENTABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENKuanzisha mpango wa kutumia misitu katika kupunguza gesijoto (REDD) kwa kunyonya gesijoto ili uwe sehemu ya makubaliano ya CopenhagenMpaka sasa vikao tisa chini ya majadiliano ya Mkataba mdogo wa Kyoto na vikao saba chini ya Mkataba wa g y yMabadiliko ya tabianchi vimeshafanyika.Tanzania imepewa majukumu mbalimbali katika majadiliano Tanzania imepewa majukumu mbalimbali katika majadiliano hayo:-

Msemaji wa masuala ya Kujenga uwezo kwa Niaba ya Msemaji wa masuala ya Kujenga uwezo kwa Niaba ya kundi la G77 na China na AfrikaM ji l Ad t ti k i b Af ikMsemamaji wa masula ya Adaptation kwa niaba ya AfrikaMsemaji wa masula ya REDD kwa niaba ya nchi maskini

Thursday, December 03, 2009 22

MAJADILIANO YA MABADILIKO YA MAJADILIANO YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENTABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENTABIANCHI KUELEKEA COPENHAGENTABIANCHI KUELEKEA COPENHAGEN

Makamu Rais na mjumbe wa Bureau ikiwakilisha Afrika;Mwenyekiti mwenza wa kamati ya kujadili athari za Mwenyekiti mwenza wa kamati ya kujadili athari za hatua zinazochukuliwa na Nchi zinazoendelea kukabili mabadiliko ya tabianchimabadiliko ya tabianchi

Thursday, December 03, 2009 23

CHANGAMOTOCHANGAMOTOCHANGAMOTOCHANGAMOTO

Upungufu wa rasilimali fedha, vifaa na watu katika juhudi la kukabiliana na mabadilikoUkosefu wa weledi kwa wananchi wengi kuhusu mabadiliko ya tabianchiya tabianchiUkosefu wa takwimu sahihi wakati wa kuandaa mipango na miradi inayohusu mabadiliko yatabianchimiradi inayohusu mabadiliko yatabianchiKutokuaminiana miongoni mwa nchi zilizoendelea na i d l k tik j dilizinazoendelea katika majadiliano

Ukosefu wa dhamira ya dhati kwa nchi zilizoendelea katika kusaidia nchi zinazoendelea

Thursday, December 03, 2009 24

CHANGAMOTOCHANGAMOTOCHANGAMOTOCHANGAMOTOSuala la teknolojia ni miongoni mwa masuala tete katika Suala la teknolojia ni miongoni mwa masuala tete katika majadilianoTatizo la uwazi katika utekelzaji wa miradi ya CDM hususan Tatizo la uwazi katika utekelzaji wa miradi ya CDM hususan kwa makampuni mengi ya kigeniU iliki dhi k b h k tik i di i Umiliki wa ardhi kubwa hususan katika miradi mengi ya upandaji miti inayofanywa na makampuni ya kigeniUkosefu wa wataalamu na fedha kwa ajili ya kuandaa miradi ya CDM

Thursday, December 03, 2009 25

HitimishoHitimishoHitimishoHitimishoMwelekeo ni kuwa itakuwa ni vigumu kukuabaliana katika Mwelekeo ni kuwa itakuwa ni vigumu kukuabaliana katika maeneo mengi katika mkutano wa CopenhagenUwezekano mkubwa ni kuwepo kwa makubaliano ya pamoja Uwezekano mkubwa ni kuwepo kwa makubaliano ya pamoja katika ngazi ya viongozi wa juu ili kuwezesha utekelezaji wa masuala ya mabadiliko ya tabianchi kuendeleamasuala ya mabadiliko ya tabianchi kuendeleaBara la Afrika na nchi zinazoendelea zimekuwa na mwamko

k b k h l l b dilik t bi hi k t k mkubwa kuhusu suala la mabadiliko ya tabianchi kutoka na athari na changamaoto zinazowakabili katika ngazi

b li b limbalimbaliKuna haja ya kuweka utaratibu wa kitaifa kuhakikisha kuwa miradi ya upandaji miti na inayohusu matumizi ya misitu inatekelezwa na wananchi wenyewe au serikali

Thursday, December 03, 2009 26

AsanteniAsanteni SanaSanaAsanteniAsanteni SanaSana

Thursday, December 03, 2009 27