jipime sayansi darasa la sita
TRANSCRIPT
Slide 1
Maswali ya Sayansi Darasa la VIKanguni I.S. 2013
1
1Ogani muhimu kuliko zote katika mwili wa binadamu ni __________IniKongoshoMoyoFigo
2Virusi vya UKIMWI hushambulia chembe zipi katika damu?NyekunduPlasmaNyeupeZote
3Zifuatazo ni sifa za viumbe hai isipokuwa __________Kuzaa Kula KuimbaKuwa na nguvu
4Vyakula vyenye protini huwezesha mwili __________Kuchakaa Kuwa na jotoKukuaKuwa na nguvu
5Sauti iliyoakisiwa huitwa __________Sauti kaliSauti nzuriMwangwimwangu
6Nyama isiyoiva vizuri yaweza kuwa chanzo cha __________MinyooUchafuAfya nzuriNjaa
7Samaki huvuta hewa kwa kutumia __________Mapezi MagambaPuaMatamvua
8Takamwili zinazotolewa na ngozi ni __________AsidiUreaUchafukabonidioksidi
9Binadamu huvuta hewa gani?OksijeniKobonidioksidiNitrojeniHidrojeni
10Mmea una sehemu kuu ngapi?TatuNneTanoMbili
11Mashine ni kitu chochote kinachorahisisha __________UzitoMzigoUjazoKazi
12Kipimo rasmi cha uzito ni __________Kg au gSmMetamm
13Chakula tumboni huchanganywa na kiowevu tumbo na __________Asidi ya haidroklorikiMajiChumviDamu
14Kila mamalia na asiye mamalia ana figo______MbiliMojaTatuTano
15Mimea hupumua kwa kutumia matundu madogomadogo yaitwayo ______MatunduPuaStomataAota
16________ ni mchanganyiko wa gesi.VumbiGesiHewaMaji
1Mmengenyo wa chakula huanzia katika ________TumboNgoziKinywaMkono
19Tendo la mmea kujitengenezea chakula chake huitwa________UsanisinuruKuakisiKulaOsmosisi
20Moyo umegawanyika katika vyumba vingapi?34812
21Sehemu ya majimaji ya damu huitwa________PlazimaSeli nyekunduPlasmaSeli nyeupe
22Stameni ni sehemu ya ________ ya ua.JuuNdaniChiniKikonyo
23Mkasi ni aina ya nyenzo daraja la________KwanzaPiliNneTatu
24Mwanaume ana gameti yenye kromosomu za aina________XXYYAnavyo vyoteYX
25Kwa kawaida mbegu zenye mbawa hutawanyika kwa njia ya________MajiUpepoMvuaMpasuko
26Gameti za kiume hutengenezwa na kuhifadhiwa kwenye________UumeMwiliniKorodaniMaungoni
27Mfano wa figo ni kama________ChungwaHarageEmbePilipili
28Sauti husafiri upesi zaidi katika nini?ArdhiMajiHewaYabisi
29Gesi inayotokana na mchanganyiko wa gesi ya kabonidioksaidi, mitheni na mvuke inaitwa ________OksijeniBayogesiNaitrojeniHaidrojeni
30Idadi ya chaji katika metali huitwa ________NyutroniProtoniValensiMolekyuli