juma - wordpress.com · web view-kuhakiki maudhui,mbinu za llugha na wahusika uhakiki hazina ya...
TRANSCRIPT
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
Welcome to the Longman Kenya schemes of work
We are delighted to bring you Kiswahili schemes of work ready for use.The Kiswahili schemes of work are in line with our mission which is to make your work easy so you can focus on the business of teaching. While preparing these schemes, careful consideration was given to the need to make your classes innovative, lively and inspiring. The schemes cover the entire secondary cycle, from form 1 to 4. You will need to scroll down the CD to get to your specific subject area. The subject areas are arranged alphabetically.We do hope you will find the suggested activities and resources motivating and in line with the curriculum requirements. The schemes are a guide and you should adapt them to suit your particular circumstances.The Kiswahili schemes of work are based on the following tried and tested Longman Kenya textbooks and supplementary books:
Textbooks Hazina ya Kiswahili Kidato 1-4
Reference Books Marudio ya KCSE ya Kiswahili Zilizala na Kimani Njogu (New)
To make the most of the schemes you need to have the books listed above.
We know that in this new era of multi-media technology the needs and expectations of your learners are constantly changing, and we aim to provide inspiring, innovating and high-value books that will keep them interested. Whatever your subject area or interest Longman Kenya has something for you.We look forward to supporting you and your learners over the coming years and hope you enjoy using our schemes of work.Do not hesitate to contact me for any clarifications.Best wishes
Jacob MachariaSales Manager, Longman Kenya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 1
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
Tel: Mobile – 0724 159770 Office – 020 2219177
:
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 2
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
MUHULA 1JU
MA
KIPINDI SOMO YALIYIOMO SHABAHA MBINU ASILIA VIFAA MAONI
1 1 Kusikiliza na kuzungumza
Mazungumzo maamkizi ya heshima
Aweze: - Kufanya mazoezi ya maamkizi ya heshima kwa kuzingatia miktadha na taaluma mbalimbali -kujieleza vilivyo kupitia mazungumzo
-Mazoezi
-Maamkizi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 uk1
Kitabu
2 Sarufi Viresheshi ‘o’ na ‘amba’
Aweze:-Kueleza bayana maana ya virejeshi-kuvitumia vilivyo virejeshi ‘o’ na ‘amba’ katika sentensi
Maelezo
sentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 uk 4
Kitabu
3 Matumizi ya lugha
Methali Aweze:-kueleza methal kama kitanzu cha fasihi simulizi-kueleza methali maana batini maana bayana na matumizi
Maelezo Maana Hazina ya Kiswahili kidato 4 uk 4
Kitabu
4 kusoma Kusoma kwa ufahamu kaa
Aweze-kusoma kwa
Maelezokusoma
Hazina ya Kiswahili kidato 4
Kitabu cha Kusoma
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 3
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
masaa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu vilivyo
uk 6
5 Fasihi Sifa bainifu za Fasihi simulizi na fasihi andishi
Aweze-kueleza Fasihi simulizi na Fasihi andishi-Sifa bainifu za Fasihi simulizi na Fasihi andishi
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 4 uk 12
Kitabu
6 Kuandika
UtunziInsha ya mawazo
Aweze-kubuni mawazo au vidokezo toshelezi vya insha-kuandika insha mwafaka ya mawazo
- Ubunifu- Uandika
ji
Hazina ya Kiswahili kidato 4 uk 15
Kitabu
2 1 Kusikiliza na kuzungumza
Mjadala ‘sare za shule ni gharama zipigwe marufuku’
Aweze-kushiriki mjadala kwa kujieleza vilivyo-kuchukua msimamao wa kauli hii kwa kuutetea au kupinga
- Kusema- Majadili
ano
Hazina ya Kiswahili kidato 4 uk 15
Kitabu
2 Sarufi Mpatanisho wa kisarufi kwa kuzingatia vivumishi –sifa , -viulizi, vimilikishi, -idadi
Aweze- kufafanua
maana ya vivumishi na kazi yake
- kuzingatia upatanisho wa kisarufi
Maelezosentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 uk 16
KitabuKamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 4
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
na vivunishi vyote
3 Matumizi ya lugha
Audhi na uhuru katika shairi
Aweze-kueleza bayana arudhi za mashairi ya kishwahili-uhuru wa utunzi katika mashairi
maelezo Amana B. Mlenga wa vumba utangulizi
Kitabu
4 kusoma Ufahamu wa kusikiliza
Aweze-kusoma kwa sauti na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu
Kusoma kwa sauti
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 15
Kitabu
5 Fasihi Uhakiti wa kifo kisimani
Aweze-kueleza maana ya uhakiki-kuhakiki tamthilia ya kifo kisimani kimaudhui kifani nk
kuhakiki Mberia Kifo Kisimani
Kitabu
6 Fasihi uhakiki kifo kisimani
Aweze-kufafanua uhakiki-kihakiki vilivyo tamthilia ya kifo kisimani
Kuhakiki Mberia kifo kisimani
Kitabu
3 1 Kusikiliza na kuzungumza
Biashara kuanzisha biashara ndogo ndogo
Aweze-kushiriki mazungumzo vilivyo kuhusu umuhimu wa biashara ndogo ndogo-kujadili namna ya
Mazungumzo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 26
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 5
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
kuanzisha biashara ndogo
2 sarufi Vivumishi-A-unganifu-Visisitizi-pekeee-vionyeshi
Aweze-kueleza vivumishi-kueleza upananisho wake wa kisarufi ipasavyo
Maelezokupatanisha
Silabasi ya KiswahiliKidato 4 Uk 39
Kitabu
3 kusoma ufahamu Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu vilivyo maswali ya ufahamu
Kusoma kujibu maswali
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 26
Kitabu
4 Matumizi ya lugha
Biashara Aweze-kueleza maana ya biashara-kueleza pia nyanja zote za biashara na umuhimu wake
Mazungumzo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 26
Kitabu
5 Fasihi Uhakiki wa Riwaya teule
Aweze-kufafanua uhakiki-kuhakiki riwaya teule ya utengano
KuhakikiKusoma
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 33
Kitabu
6 Kunadika
Insha ya kawaida
Aweze-kufupisha mawazo toshelevu ya kuandikia muhtasari-kuandika muhtasari ufaao na wa kuvutia
Kuandika Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 36
Kitabu
1 Kuzikili Mazungumzo Aweze Mjadala Hazina ya Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 6
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
4 za na kuongea
Mjadala bungeni
-kushiriki katika mazungumzo na kujieleza vilivyo-kuchukua msimamo thabiti na kuutetea vilivyo
Kiswahili kidato 4 Uk 39
2sarufi Aina za
manenoAweze-kueleza maana ya aina za maneno-kuyatambua aina yote ya maneno na kuyaeleza vyema kwa mifano
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
Kitabu
3 Ufahamu
Kusikiliza Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu vilivyo
Kusoma Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 54
Kitabu
4Matumizi ya lugha
Tukomeshe ufisadi
Aweze-Kushiriki ngojera ya kupinga ufisadi kwa kukariri-kutoa sababu maalum za kupinga ufisadi
kukariri Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 45
Kitabu
5 Fasihi simulizi
Mwanisho wake Aweze-kuamisha vipera vya fasihi na vijipera-kueleza vipera vya fasihi alivyoanishia
kuainisha Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 26
Kitabu
6 Tahadhari Aweze uandishi Hazina ya Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 7
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
Utunzi -Kueleza maana ya umuhimu wa tahadhari-kuandika tahadhari nzuri
Kiswahili kidato 4 Uk 50
5 1 Kusikiliza na kuzungumza
Mhadalo wa sheng
Aweze-kushiriki katika mhadalo wa sheng na kubainisha kiini-kueleza sababu za kuwepo kwa sheng
Mifanomaelezo
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 52
Kitabu
2 sarufi Viunganishi vya kibantu
Aweze-kueleza maana ya viunganishi vya kibantu-kuvitaja na kuvitumia katika sentensi sahihi
Kutajasentensi
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 39
Kitabu
3 sarufi Viunganishi vya kigeni
Aweze-kueleza bayana maana ya viunganishi vya kigeni-kuvitaja na kuvitumia vilivyo katika sentensi sahihi
KutajaKutumia katika sentensi
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 39
Kitabu
4 Matumizi ya lugha
Isimu jamii sajili
Aweze-kueleza bayana maana ya sajili katika isimu jamii-kutaja sajli mbalimbali na kuonyesha jinsi
Kuelezamifano
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 58
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 8
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
zinavyobainika5 Fasihi Fani mbalimbali
katika RiwayaAweze-Kufafanua bayana maana ya fani katika vitabu viteule-kujadili fani mbalimabali zinazojitokeza katika riwaya
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 60
KitabuRiwaya
6 Fasihi Fani katika riwaya
Aweze-kueleza maana ya fani mbalimbali-kujadili fani mbalimbali katika riwaya
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidatio 4 Uk 60
KitabuRiwaya
6 1 Kisikiliza na kuongea
Kupiga soga Aweze-Kushiriki vilivyo katika mazungumzo ya kupitisha wakati-kujieleza vilivyo kupitia mazungumzo
Mazungumzo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 65
Kitabu
2 Sarufi Nomino-za pekee-kawaida-jamii
Aweze-kueleza maana ya nomino na kutoa mifano ya nomino mbalimbali-kutofautisha nomino mbalimbali
Maelezomifano
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
Kitabu
3 Sarufi Nomino-dhahania-wingi
Aweze-kueleza maana ya nomino za dhahania na za wingi
Maelezomifano
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 74
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 9
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
-kutoa mifano bayana ya majina hayo
4Kuandika
Insha ya masimulizi
Aweze-kubuni mawazo toshelevu ya kuandikia insha masimulizi-kusimulia kisa mwafaka cha kuvutia
Ubunifuusimulizi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
Kitabu
5Fasihi simulizi
Mawaidha Aweze-kueleza umuhimu wa mawaidha kwa jamii-kutoa mifano ya watu wanaoweza kutoa mawaidha
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 74
Kitabu
6 Fasihi Mighani Aweze-kueleza maana ya mighani-wafanye masimulizi mwafaka ya maghani
maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 128
KitabuKamusi
7 1 Kusikiliza na kuzungumza
Ilimu Aweze-kueleza maana ya ilimu katika shairi-kufanya mazoezi ya kutunga na
- Kutunga- kukariri
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 78
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 10
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
kukariri mashairi2 sarufi Vitenzi
-halisi-vikuu
Aweze-kutambua vitenzi katika sentensi ya Kiswahili-kubainisha tofauti ya vitensi halisi na vitensi vikuu
Maelezosentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 55
Kitabu
3 sarufi Vitenzi-vishirikishi vipungufu-vishirikishi vikamilifu
Aweze-kueleza tofauti baina ya vitenzi vishirikihi vipungufu na vishirikishi vikamilifu-kuvitungia sentensi vitenzi hivyo
- Maelezo- Kutunga
sentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 55
Kitabu
4 kusoma Kusoma kwa ufahamu maajabu ya teknologia
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu vilivyo maswali ya ufahamu
Kusoma Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 78
Kitabu
5 Matumizi ya lugha
mihadarati Aweze-kueleza maana ya mihadarati-kubainisha hasara zipatikanazo kwa kutumia mihadarati
Majadiliano Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 72
Kitabu
6 Fasihi Uhakiki wa tamthilia
Aweze-kuhakiki kijumia
Uhakiki Hazina ya Kiswahili kidato 4
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 11
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
tamthilia ya kifo kisimani-kuhakiki maudhui,mbinu za llugha na wahusika
Uk 72
8 1 Kusikiliza na kuongea
Haki za mayatima
Aweze-kueleza maana ya haki za kibinadamu-kutetea haki za mayatima kwa namna zote
mazungumzo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 94
Kitabu
2 sarufi Vitenzi-visaidizi-visambamba
Aweze-kubainisha aina za vitenzi mbalimbali-kutofautisha vitenzi viaidizi na vitenzi visambaza
Maelezosentensi
Silabasi Kiswahili kidato 4 Uk 39
Kitabu
3 sarufi Viwakilishi vionyeshio-rejeshinafsi
Aweze-kueleza kuvitambua na kuvieleza viwakilishi-kubainisha aina mbalimbali za viwakilishi
maelezo Silabasi yaKiswahili kidato 4 Uk 39
Kitabu
4 Kusoma Ufahamu wa kusikiliza
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu vilivyo
- Kusoma - Kujibu
mawali
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 15
Kitabu
5 Fasihi Uhakiki Hadithi fupi teule
Aweze-kueleza kwa bayana maana ya
- Kusoma - kuhakiki
Wamitila Hadithi fupi
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 12
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
uhakiki-kuhakiki vilivyo
6 Kuandika
Hotuba Aweze-kubuni mawazo mwafaka ya kueleza katika hotuba-kuandika insha bora ya hotuba
Kubunikuandika
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 39
Kitabu
9 1 Kusikiliza na kuongea
MazungumzoUhifadhi wa mazingira
Aweze-kushiriki mazungumzo na kujieleza ipasavyo-kutetea uhifadhi wa mazingira
Mazungumzo Hazina ya Kiswahili kidato 4 uk 105
Kitabu
2 Sarufi Vivumishi.vimilikishi.sifa
Aweze-kueleza vivumishi vya aina zote-kutambua na kuvitumia vyema vivumishi vimilikishi/sifa
Maelezosentensi
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 39
Kitabu
3 sarufi -vivumishi-viulizi-idadi
Aweze-kubainisha aina mbalimbali za vivumishi na kuvitolea mifanokutofautisha vivumishi viulizi na vya idadi
Maelezosentensi
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 39
Kitabu
4 kusoma Kwa ufahamu Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu
Kusoma Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 107
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 13
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
-kujibu vilivyo maswali ya ufahamu-
5 Fasihi simulizi
Uhakiki wa usimulizi
Aweze-kufafanua maana ya uhakiki-kuhakiki usimulizi wowote wa kiswahili
Kuhakiki Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 112
Kitabu
6 Kuandika
Matangazo Aweze-kubuni matangazo ya biashara-kuandika matangazo ya biashara
Kuandika Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 118
Kitabu
10 1 Kusikiliza na kuzungumza
Misemo Aweze-kueleza misemo kama kitanzu cha fasihi simulizi-kutumia misemo katika kurembesha lugha
Mazungumzo Hazina ya Kiswahili Kidato 4 Uk 1
Kitabu
2 sarufi Vielezi vya mahali
Aweze-kufafanua maana ya vielezi mbalimbali-kutambua vielezi vya mahali katika sentensi
Maelezosentensi
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 39
Kitabu
3 sarufi Vielezi vya idadi
Aweze-kueleza vielezi mbalimbali katika sarufi-kubainisha vielezi
Maelezosentensi
Silabasi ya Kiswahili kidato 4
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 14
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
vya idadi katika sentensi
4 kusoma Ufahamu kiini cha dhuluma za kijinsia
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu
Kusomakujibu
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 123
Kitabu
5 Isimu jamii
Sajili mbalimbali
Aweze-kueleza maana ya sajili-kutambua sajili mbalimbali na matumizi yake katika muktadha
maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 4
Kitabu
6 kuandika
Barua meme Aweze-kueleza maana ya barua meme au pepe-kuandika barua memem na kuitumia
kuandika Hazina ya Kiswahili kidato 4 89
Kitabu
11 1 Kusikiliza na kuongea
Wavuti/tofauti Aweze-kueleza maana ya wavuti au tofauti-kueleza umuhimu wake katika dunia ya kisasa
Mazungumzo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 132
Kitabu
2 sarufi Mwingiliano wa maneno
Aweze-kueleza
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 4
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 15
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
muingiliano wa maneno katika lugha-kubainisha na kuonyesha umuhimu wake
Uk 109
3 Sarufi Vitenzi vya sentensi
Aweze-kueleza vijensi katika sentensi ya Kiswahili na umuhimu wake-kuvibainisha wazi katika sentensi
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 125
Kitabu
4 Kusoma Kusoma kwa ufahamu
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu
- Kusoma- Kujibu
maswali
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 132
Kitabu
5 Kuandika
Insha Barua rasmi
Aweze-kueleza hatua muhimu katika barua rasmi inavyoandikwa-kuandika barua rasmi
kusoma Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 143
KitabuKamusi
6 Fasihi Uhakiki wa ushairi wa jadi
Aweze-kueleza maana ya kuhakiki-kuhakiki ushairi wa jadi
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 134
KitabuKamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 16
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
12 1 Kusikiliza na kuzungumza
Mjadala“Shule za kutengwa zipigwe marufku”
Aweze-kujieleza vilivyo kupitia mhadalo kwa kushiriki vilivyo
majadiliano Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 134
KitabuKamusi
2 sarufi virai Aweze-kueleza maana ya virai-kuvibainisha virai katika sentensi za kiswahili
MaelezoSentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 134
Kitabu
3 sarufi Vishazi Aweze-kueleza bayana maana ya vishazi-kuvibainisha vishazi katika sentensi za kiswahili
Maelezosentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 149
KitabuKamusi
4 kusoma Ufahamu wa kusikiliza
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu vilivyo maswali ya ufahamu
- Kusoma - kujibu
maswali
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 146
KitabuKamusi
5 Matumizi ya lugha
Msamiati wa tarakilishi
Aweze-kueleza msamiati wa tarakilishi-aweze kuutumia vilivyo katika maisha ya kila siku
Maelezomatumizi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 137
KitabuKamusi
6 Matumi Uhakiki wa Aweze Maelezo Hazina ya Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 17
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
zi ya lugha
nyimbo -kueleza maana ya uhakiki-kufanya uhakiki wa nyimbo
kuhakiki Kiswahili kidato 4 Uk 157
Kamusi
13 Mtihani
MUHULA 2
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYIOMO SHABAHA MBINU ASILIA VIFAA MAONI
1 1 Kusikiliza na kuongea
Mafumbo Aweze: -kueleza mafumbo kama moja wapo wa vijitanzu vya fasihi-kufanya zoezi la kufumba na kufumbua shairi
KuelezaKufumbakufumbua
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk197
KitabuKamusi
2 Sarufi VihusishiJuu ya chini ya kando ya
Aweze:-kufafanua vihusishi kama aina ya lugha-kutoa mifano na kutumia vilivyo katika sentensi
Maelezo Kutoa mifano
Silabasi ya kiswahli kidato 4 Uk 39
KitabuKamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 18
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
3 sarufi Vihisishi.Lo.Salale.Aka
Aweze:-kueleza vihusishi kama mojawapo wa aina za lugha-kutoa mifano na kuitumia vilivyo katika sentensi
Maelezo
Mifano
Silabasi ya kiswahli kidato 4 Uk 39
KitabuKamusi
4 kusoma Ufahamu wa kusikiliza
Aweze-kusoma kwa sauti na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu
Kusomakusikiliza
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 146
Kitabu Kamusi
5 Matumizi ya Lugha
Zana za viwandani
Aweze-kufafanua zana za viwandani na umuhimu wake-kutoa mifano ya zana hizo na matumizi yake
Maelezomifano
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 152
Kitabu
6 Fasihi Uhakiki wa nyimbo
Aweze-kueleza maana ya uhakiki katika kazi ya fasihi-kuhakiki baadhi ya nyimbo za nyiso
kuhakiki Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 155
Kitabu
2 1 Kusikiliza na kuongea
Mazungumzo Ajira ya watoto
Aweze-kujieleza vilivyo kupitia mazungumzo na wengine-kutoa msimamo wake juu ya ajira ya watoto
mazungumzo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 15
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 19
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
2 Sarufi Uchanganuzi wa sentensi.sahihi.ambatano
Aweze-kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi-kuchanganua vilivyo sentensi sahili na sentensi ambatano
Uchanganuzi Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 16
KitabuKamusi
3 Sarufi Uchanganuzi wa sentensi changamano
Aweze-kufafanua bayana uchanganuzi wa sentensi-kuchunganua vilivyo sentensi changamano
Uchanganuzi Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 16
Kitabu
4 kusoma Kwa mapana Ajira ya watoto
Aweze-kusoma kwa sauti na kwa mapana na marefu-kujibu maswali ya ufahamu
- Kusoma - Kujibu
maswali
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 15
Kitabu
5 Fasihi Ushairi wa bahari zake
Aweze-kueleza maana ya ushairi na bahari-kueleza mashairi mbalimbali na bahari zake
Maelezo Amana N ‘malenga wa vumba’ Utangulizi
Diwani Ya Mashairi
6 Kuandika
Mashairi huru Aweze-kueleza dhana ya uhuru katika mashairi-kuandika mashairi
Maelezo Anmana B ‘malenga wa vumba’
Diwani Ya Mashairi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 20
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
huru3 1 Kusikili
za na kuongea
Lakabu Aweze-kueleza maana ya lakabu-kutoa mifano halisi ya matumizi ya lakabu katika masimulizi
Maelezo Silabasi ya Kiswahili kidato 4 Uk 38
Kitabu
2 sarufi Mnyambuliko wa vitenziAsili ya kigeni
Aweze- Kupambanua mnyambuliko wa vitenzi vya kiswahili-kuvinyambua vilivyo vitenzi vya asili ya silabi moja
- Upambanuzi
- Unyambuzi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 162
Kitabu
3 Sarufi Mnyambuliko wa vitenziSilabi moja
Aweze-Kufafanua maana ya mnyambuliko vilivyo-kuvinyambua barabara vitenzi vya asili ya silabi moja
- Upambanuzi
- Unyambuzi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 26
Kitabu
4 Kusoma Kusoma kwa ufahamu Tahariri
Aweze-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu
- Kusoma - Kujibu
maswali
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 26
Kitabu
5 Fasihi Uhakiki wa methali
Aweze-Kupambanua uhakiki wa jambo-kuhakiki methali
Kuhakiki Ndalu na kingie ‘kamusi ya methali’
KitabuKamusi Ya Methali
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 21
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
za kiswahili6 Kunadik
aMahojiano na Dayolojia
Aweze-Kufafanua umuhimu wa mahojiano na dayolojia-kuandika mahojiano mwafaka baina ya watu wawili
Mhojiano Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 36
Kitabu
41 Kuzikili
za na kuongea
Uadilifu Aweze-Kushiriki mazoezi ya majadiliano na kujieleza vilivyo-kutambua matendo yote ya uadilifu
Majadiliano Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 117
Kitabu
2sarufi Mnyambuliko
Asili ya kibinafsi
Aweze-Kufanya mnyambuliko wa vitendo mbalimbali vya Kiswahili-kunyambua vitenzi vya kibantu
Vinyambuzisentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 162
Kitabu
3 Sarufi Nyakati na hali-LI-NA-TA-
Aweze-Kubainisha wakati katika Kiswahili-kutumia nyakati katika hali yakinifu na kanushi
Kutunga sentensi Silabasi ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
Vitabu Vya Sarufi
4Kusoma Kwa kina
vitabu vya ziadaAweze-kusoma kwa kina akipanua mawazo yake na msamiati-kuimarisha uwezo
kusoma Silabasi ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
Vitabu Vya Fasihi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 22
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
wake wa lugha5 Matumi
zi ya Lugha
Uhakiki wa methali
Aweze-kufanya uhakiki ufaao wa methali za Kiswahili-kuhakiki methali nyingi iwezekanavyo
Uhakiki Kingei na Ndalu ‘kamusi ya methali’
Kamusi Za Methali
6 Fasihi Misemo/nahau Aweze-kueleza vilivyo misemo na nahau-kufafanua vilivyo nahau na misemo
Mifano katika sentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 184
Kitabu
5 1 Kusikiliza na kuongea
Masimulizi ya hadithi ngano
Aweze-kushiri mazungumzo kwa njia ya masimulizi na kujieleza-kusimulia kisa cha kuvutia cha ngano
Kusikiliza kusimulia
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 112
Kitabu
2 sarufi Nyakati na hali Hali ya ME,HU,NGE,NGELI NGALI
Aweze-Kubainisha nyakati na hali katika lugha ya Kiswahili-kutumia hali hizi katika hali yakinifu na kanushi
Maelezomatumizi
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 41
Kitabu
3 sarufi Nyakati na hali PO A KA KI KU
Aweze-kubainisha wazi nyakati na hali
Maelezomatumizi
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 41
KitabuKamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 23
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
katika lugha ya Kiswahili-kutumia hali hizi katika ukanushi na vyakinifu-kuvitaja na kuvitumia vilivyo katika sentensi sahihi
4 Kusoma Historian a maendeleo ya KiswahiliLugha-uhuru
Aweze-kusoma kwa mapana na marefu juu ya Historia ya Kiswahili-kueleza maendeleo ya kiswahili tangu chimbuko lake
KusomaHistoria ya kiswahili
Kitabu
5 Matumizi ya lugha
Shairi Aweze-Kukariri shairi husika vilivyo-kulichambua kimuundo kimaudhui na kimtindo
Kukariri Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 182
KitabuMachapisho
6 FasihiMiviga
Aweze-kueleza vilivyo maana ya miviga katika fasihi simulizi-kueleza umuhimu wake katika somo la fasihi
Kukariri Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 41
Kitabu
6 1 Kisikiliza na mighani
Aweze-Kupambanua
Hazina ya Kiswahili
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 24
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
kuongea maana ya mighani katika Fasihi simulizi-kusimulia mighani yoyote inayomrejelea shujaa fulani
Masimulizi kidato 4 Uk 39
2 Sarufi Nyakati na Haki Hali ya Kuamuru
Aweze-Kubainisha nyakati na hali katika lugha ya Kiswahili-kubainisha amri za upolena ukali
Kutunga sentensi Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 41
KitabuChati
3 Sarufi Nyakati na haliUkanushaji kutegemea nafsi
Aweze-kubainisha nyakati na hali katika Kiswahili-kuyakinisha na kukanusha kutegemea nafsi zote
Kutunga sentensi Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 41
Kitabu
4 kusomaKusoma kwa mapana wajibu wa kitaifa na kimataifa
Aweze-kusoma kwa mapana na marefu kuhusu mojukumu ya Kiswahili-kubainisha majukumu ya Kiswahili kitaifa na kimataifa
Kusoma Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 41
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 25
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
5Matumizi ya lugha
Kusoma kwa sauti
Aweze-kusoma kwa makini na kwa sauti-kuzingatia matamshi bora ,kasi ya kusoma na ufasa
KamusiMohamed A.A Utengano Kitabu
6 Kuandika Insha ya
mazungumzo
Aweze-kueleza hatua zinazofuatwa katika kuandika insha ya mazungumzo-kuandika insha bora ya mazungumzo
Kuandika Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 196
KitabuKamusi
7 1 Kusikiliza na kuzungumza
UlombiAweze-kueleza bayana ya ulimbi katika somo la fasihi-kutaja umuhimu wa ulumbi katika mawasiliano
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 78
Kitabu
2 sarufi Uakifishaji Aweze-kufanya mazoezi ya kuakifisha vilivyo matini ya Kiswahili-kuakifisha vyema sentensi za kiswahili
Kutunga sentensi Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 190
Kitabu
3 sarufiUakifishaji
Aweze- Kueleza
umuhimu wa kuakifisha
- Kutunga sentensi
- uwakifishaji
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 190
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 26
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
katika lugha- -kuakifisha
vilivyo maandishi ya kiswahili
4 kusoma Kusoma kwa kina matatizo yanayokumba kiswahili
Aweze-kusoma kwa kina akiimarisha msamiati wake wa lugha-kubainisha matatizo yanayo kikumba kiswahili
Kusoma Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk
Kitabu
5 Matumizi ya lugha
Dhamira na maudhui
Aweze-kubainisha tofauti baina ya maudhui na dhamira-umuhimu wa maudhui na dhamira katika kazi ya fasihi
KusomaWamitila ‘kamusi istilahi na nadharia’
Kamusi ya istilahi
6 Fasihi Kuhakiki wahusika
Aweze-Kuhakiki hulka ya wahusika katika kazi ya fasihi-kueleza kwa nini wahusika wakachorwa jinsi walivyochorwa
KusomaWamitila ‘kamusi istilahi na nadharia’
KitabuKamusi
8 1 Kusikiliza na kuongea
NgomeziAweze-kueleza maana ya ngomezi katika Fasihi simulizi
Melezo Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 41
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 27
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
-kutaja mifano ya ngomezi na kuieleza vilivyo
2 sarufiUsemi halisi
Aweze-Kueleza usemi halisi-kutoa sifa za usemi halisi
Kutunga sentensi Silabasi Kiswahili kidato 4 Uk 41
Kitabu
3 sarufi Usemi wa taarifa
Aweze-kueleza bayana maaana ya usemi wa taarifa-kueleza sifa za usemi wa taarifa
Kutunga sentensi Silabasi yaKiswahili kidato 4 Uk 39
Kitabu
4 Kusoma Kusoma kwa mapana mikakati ya kuimarisha kiswahili
Aweze-kusoma kwa mapana na marefu akiimarisha msamiati-kueleza mikakati ya kuimarisha kiswahili
Kusoma Silabasi yaKiswahili kidato 4 Uk 41
Kitabu
5 Matumizi ya lugha
Mihadarati Aweze-kueleza kinaga ubaga maana ya mihadarati-kubainisha matatizo mengi ya mihadarati
Kuelezakusoma
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 72
Kitabu
6 Fasihi Miundo na mtindo
Aweze-kueleza maana ya miundo na mitindo katika kazi ya
MaelezoSilabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 41
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 28
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
fasihi-umuhimu wa miundo na mitindo katika fasihi
9 1 Kusikiliza na kuongea
Maghani Aweze-kueleza maana ya maghani katika ushairi-kueleza sifa za maghani
Maelezo Silabasi yaKiswahili kidato 4 Uk 41
Kitabu
2 Sarufi Uundaji wa majinaNomino kutokana na nomino
Aweze-Kufanya zoezi za kuunda majina na nonmino zingine-kuyatumia kisahihi katika sentensi
Kuunda nomino Hazina ya Kiswahili Kidato 4 Uk 203
Kitabu
3 sarufi Uundaji majina Nomino kutokana na kitenzi
Aweze-Kufanya mazoezi ya kuunda majina kutokana na nomino za kitenzi-kuyatumia vilivyo katika sentensi
Kuunda nomino Hazina ya Kiswahili Kidato 4 Uk 201
Kitabu
4 kusoma Kusoma kwa kina majarida
Aweze-kusoma kwa kina huku akipanua uwezo wake wa msamiati-kuimarisha ujuzi wake wa lugha
Kusoma Silabasi yaKiswahili kidato 4 Uk 41
Kitabu
5 Fasihi Matumizi ya tamthilia
Aweze-Kueleza ya tamathali katika kazi ya fasihi
Kusoma Wamitila kamusi ya nadharia istilahi
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 29
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
-kutoa mifano ya tamathali na kuieleza vilivyo
6 Kuandika Insha methani
Aweze-kueleza maaana bayana na batini ya methali husika-kubuni kisa
Kuandika Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 186
Kitabu
10 1 Kusikiliza na kuongea
Mazungumzo-soga-
Aweze-Kueleza maana ya soga na kushiriki soga vilivyo-kujieleza vyema kupitia mazungumzo
Kupiga gumzoSilabasi yaKiswahili kidato 4 Uk 41
Kitabu
2 Sarufi Uundaji wa manenoKitenzi kutokana na mzizi wa nomino
Aweze-Kuunda maneno kutokana na mzizi wa nomino-kuyatmia maneno hayo katika sentensi nzuri
Kuunda maneno Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 201
Kitabu
3 Sarufi Uundaji wa maneno kivumishi kutokana na mzizi wa nomino
Aweze-kuunda vivumishi kutokana na mzizi wa nomino-kuvitumia vizuri vivumishi hivyo katika sentensi sahihi
Uundaji wa maneno
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 201
Kitabu
4 Kusoma Kusoma kwa ufahamu
Aweze-kusoma kwa
Kusoma Hazina ya Kiswahili
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 30
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
ufahamu na kujibu maswali ya ufahamu-kuimarisha uwezo wake wa msamiati na lugha
kidato 4 Uk 206
5 Matumizi ya lugha
Vitawe Aweze-kueleza bayana maana ya maneno ya vitawe-kutoa mifano halisi ya vitaw katika lugha
Kutaja mifano Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 203
Kitabu
6 kuandika
Ratiba Aweze-kueleza ratiba na umuhimu wake-kuandika ratiba nzuri kwa shughuli yoyote maalum
MaelezoHazina ya Kiswahili kidato 4Uk 206
Kitabu
11 1 Kusikiliza na kuongea
Hotuba“Ukimwi”
Aweze-Kujieleza vilivyo kupitia hotuba-kutoa hotuba nzuri juu ya mada husika
KuhutubiaHazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 103
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 31
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
2 sarufi Uundaji maneno vivumishi kutokana na nomino
Aweze- kubainisha kazi ya vivumishi katika sentensi-kuunda vivumishi kutokana na nomino
Kuundavivumishi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 109
Kitabu
3 Sarufi Undaji maneno vivumishi kutokana na vitenzi
Aweze-kueleza aina mbalimbali za vivumishi-kuunda vivumishi kutokana na vitenzi
Kuunda vivumishi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 125
Kitabu
4 KusomaKusoma kwa kina majarida
Aweze-kusoma maana ya kumbukumbu-kuandika kumbukumbu mwafaka
KuandikaHazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 132
Kitabu
5 Kuandika Kumbukumbu
Aweze-kueleza maana ya kumbukumbu-kuandika kumbukumbu mwafaka
KuandikaHazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
KitabuKamusi
6Matumizi ya
Wafanyi kaziAweze-kueleza majina ya aina mbalimbali za mazungumzo
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk
KitabuKamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 32
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
lugha wafanyi kazi-umuhimu wa wafanyikazi katika ujenzi wa taifa
211
MOCK EXAMINATIONS AND CLOSING
MUHULA 3
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYIOMO SHABAHA MBINU ASILIA VIFAA MAONI
1 1 kusikiliza na kuongea Misimu
Aweze: -kueleza maana ya misimu katika lugha
Mazungumzo Hazina ya Kiswahili Kidato4 uk 65
KitabuKamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 33
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
-umuhimu wa misimu kwa wasemaji
2 Sarufi Vitenzi kutokana na mizizi ya kivumishi
Aweze:-kueleza aina mbalimbali za vitenzi-kuunda vitenzi kutokana na vivumishi
Kuunda vitenzi
Silabasi ya kiswahli kidato 4 Uk 41
KitabuKamusi
3 sarufi Viambishi.-ku--ndi--ji-
Aweze:-kueleza maaana ya vivumishi-kutumia viambishi husika katika sentensi za kiswahili
Kuambisha Silabasi ya kiswahli kidato 4 Uk 41
KitabuKamusi
4 kusoma Kusoma kwa ufahamu ‘mtu hachagui kazi’
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu
Kusoma Hazina ya Kiswahili kidato 4 uk 211
Kitabu Kamusi
5 Matumizi ya Lugha
Viambishi maalum
Aweze-kueleza maana ya viambishi katika Kiswahili-kutumia viambishi maalum kuambisha maneno ya kiswahili
kuambishaHazina ya Kiswahili kidato 4 uk
Kitabu
6
Isimu Lugha na lahaja
Aweze-kueleza maana hasa ya lahaja na
maelezo Wamitila ‘istilahi na nadharia’
KitabuKamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 34
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
jamii lugha-kubainisha tofauti iliopo has baina ya lugha na lahaja
2 1 Kusikiliza na kuzungumza
Mazungumzo mjadala
Aweze-kujieleza vilivyo kupitia mazungumzo ya mjadala-kuchukua msimamo thabiti na kuutetea au kuupinga
Majadiliano thabiti
Hazina ya Kiswahili kidato 4 uk 219
Kitabu
2 Sarufi Matumizi ya maneno maalum-jinsi-namna
Aweze-kuyaeleza vilivyo maneno maalum jinsi na namna-kubainisha matumizi yake katika sentensi ya kiswahili
- Maelezo
- Kutunga sentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 uk 16
KitabuKamusi
3 Sarufi Matumizi ya maneno maalumIlajapo
Aweze-kufafanua matumizi ya maneno maalum ‘ila’ na japo-kuyatumia vilivyo katika sentensi sahihi ya kiswahili
- Maelezo
- Kutunga sentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 4 uk 16
Kitabu
4 kusoma ufahamu Aweze-kujibu maswali ya ufahamu vilivyo baada ya kusoma
Kusoma Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 220
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 35
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
kifungu cha habari-kupanua kiwango chake cha msamiati
5 Matumizi ya lugha
Muhtasari Aweze-Kusoma makala husika kwa makini na ufahamu-kujibu maswali kwa kuandika ufupisho nzuri
Kusomakufupisha
Hazina ya Kiswahili Kidato 4 Uk
Kitabu
6 Kuandika Tawasifu
Aweze-Kueleza vilivyo maana ya tawasifu-kuandika insha mwafaka ya tawasifu
Kuandika Silabasi ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
Kitabu
3 1 Kusikiliza na kuongea
Sifa bainifu za fasihi simulizi
Aweze-kueleza sifa bainifu za fasihi simulizi na umuhimu wake-dhima ya sifa hizo katika kazi ya fasihi
mazungumzoSilabasi ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
Kitabu
2 Sarufi Matumizi ya ijapokuwaingawa
Aweze-kueleza aina ya maneno haya ‘ijapokuwa’ na ‘ingawa’-kueleza matumizi yake katika lugha ya kiswahili
Maelezo katika sentensi
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
Kitabu
3 Sarufi Matumizi ya Aweze Maelezo Hazina ya Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 36
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
ingawajeikiwa
-kupambanua maneno ‘ikiwa’ na ingawaje ‘katika Kiswahili-kubainisha matumizi yake katika sentensi
katika sentensi
Kiswahili kidato 4 Uk 26
4 Kusoma Kusoma kwa kina majarida
Aweze-kusoma kwa kina na ufahamu akipanua uwezo wake wa msamiati-kuimarisha ujuzi wa lugha yote
Kusoma maelezo
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 220
Kitabu
5 Matumizi ya lugha
Maamkizi na mazungumzo
Aweze-kufanya mazoezi ya maamkizi nyakati zote za siku-kushiriki mazungumzo ya gumzo na kuyaenedeleza ifaavyo
maamkiziHazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 65
KitabuKamusi Ya Methali
6 Fasihi simulizi
Aina za ngano Aweze-kueleza aina mbalimbali za ngano-umuhimu wake katika jamii
Maelezomasimulizi
Wamitila ‘kichocheo cha Fasihi’
Kitabu
41 Kuzikili
za na kuongea
maagizo Aweze-Kushiriki mazoezi ya mazungumzo kwa kuzingatia maagizo has ya
Mazungumzo maagizo
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 117
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 37
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
daktari
2sarufi Matumizi ya
wala na walakini
Aweze-kupambanua matumizi ya ‘wala’ na ‘walakini katika sentensi-kuyatumia vilivyo katika sentensi sahihi ya kiswahili
Melezomatumizi
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
Kitabu
3 SarufiMatumizi ya labda
Aweze-kufafanua matumizi ya ‘kwa’ na labda katika sentensi-kuyatumia vilivyo katika sentensi sahihi ya kiswahili
Maelezomatumizi
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
Vitabu vya sarufi
4Kusoma Kusoma kwa
kina kitabu kiteule
Aweze-kusoma kwa kina akipanua mawazo yake na msamiati-kuongeza ujuzi wake wa lugha
Kusoma Silabasi ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
Vitabu vya Fasihi
5 Matumizi ya Lugha
ShairiAweze-kupambanua aina mbalimbali za mashairi-kueleza dhima ya mashairi katika jamii
KuelezaHazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 233
Kamusi za methali
6 FasihiSemi
Aweze-kufafanua
- Maelezo
Hazina ya Kiswahili
Kamusi ya vitendawili
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 38
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
vitendawili Vitendawili katika jamii-kueleza umuhimu wa vitendawili katika jamii
- Kutega na kutegua
kidato 4 Uk 237
5 1 Kusikiliza na kuzungumza
Matendo ya kinyama
Aweze-kushiriki zoezi la mazungumza na kupambanua matendo ya kinyama-kutoa mifano ya matenso hayo na jinsi ya kuepukana nayo
Mazungumzo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk242
Kitabu
2 Sarufi Ngeli za nomino na viambishi vya upatanisho
Aweze-kufafanua ngeli zote katika kiswahili na kuonyesha viambishi vya upatanisho
Upatanisho wa ngeli
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 42
Kitabu
3 Sarufi Vitenzi-mzizi-viambishi awali na tamati
Aweze-kueleza mzizi wa vitenzi na vyambishi awali na tamati-kubainisha viambishi awali na tamati
Maelezomatumizi
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 41
Kitabukamusi
4 Kusoma Makala yenye maswala ibuka kama
Aweze-kusoma kwa kina makala yenye
maelezoHazina ya Kiswahili kidato 4 Uk
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 39
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
utandawazi ukimwi n.k
utandawazi 177
5 Fasihi simulizi
Aina mbali mbali za utanzu na vitanzu
Aweze-kueleza aina mbalimbali za utanzu katika somo la Kiswahili-kubainisha umuhimu wa utandu huo katika jamii
Maelezomifano
KitabuMachapisho
6 Kuandika Insha
masimulizi
Aweze-kubuni kisa kitamu cha masimulizi-kusimulia kisa chenyewe kwa njia ya kuvutia
masimulizi Hazina ya Kiswahili Kidato 4 Uk
Kitabu
6 1 Kisikiliza na kuongea
Mazungumzo“Uhifadhi wa mazingira”
Aweze-Kujieleza vilivyo kupitia mazungumzo-kueleza umuhimu wa uhifadhi wa mazingira
Mazungumzo
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 227
Kitabu
2 Sarufi Hali ya kuamuru
Aweze-Kupambanua amri kali na amri ya upole
- Amri za upole
- Amri kali
Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 40
Kitabuchati
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 40
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
-kuzingatia upole katika kutoa amri
3 Sarufi Ukanushaji Aweze-kufanya ukanushaji wa vitenzi kwa hali na nyakati zote
Kukanusha Silabasi ya Kiswahili kidato 4 uk 41
Kitabu
4 kusomaKusoma kwa kina vitabu viteule
AwezeKusoma kwa kwa kina akipanua uwezowake wa msamiati-kuimarisha ujuzi wake wa lugha kwa jumla
Kusoma Mohamed SA Utengano Kitabu
5Fasihi simulizi
Ukusanyaji na uhifadhi
Aweze- kueleza
umuhimu wa ukusanyaji wa habari muhimu na kuzihifadhi
- manufaa ya habari muhimu
UkusanyajiHazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 248
Kitabu
6 Kuandika Barua ya
kirafiki
Aweze-kueleza tofauti baina ya barua
Uandishi Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk
KitabuKamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 41
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
rasmi na barua ya kirafiki-kuandika barua nzuri ya kirafiki akizingatia hatua zote
250
7 1 Kusikiliza na kuzungumza
Mazungumzo Maswala ibuka katika jamii
Aweze-kushiriki mazungumzo vilivyo na kujieleza ipasavyo-kugusia maswala ibuka katika jamii na kupendekeza suluhu
Mazungumzo Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 78
Kitabu
2 sarufi Uchanganuzi wa sentensi
Aweze-kufanya uchanganuzi wa sentensi ya Kiswahili ipasavyo-kubainisha sehemu muhimu zinazounda sentensi hiyo
Uchanganuzi wa sentensi
Silabasi ya kiswhili kidato 4 Uk 41
Kitabu
3 sarufiAina za maneno(marudio)
Aweze-kupambanua aina zote za maneno na kutolea mifano-kutambua aina za maneno yaliyotumika katika sentensi
maelezo Silabasi ya Kiswahili kidato 4 Uk 41
4 kusoma Mashairi ya arudhi
Aweze-kubainisha
Maelezo Amana B ‘Malenga wa
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 42
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 4
mashairi mbalimbali ya arudhi-kutofautisha mashairi ya arudhi na mashairi huru
vumba’
5 Fasihi simulizi Mafumbo
Aweze-kufanya mazoezi ya kufumba na kufumbua mafumbo-kueleza umuhimu wa mafumbo katika fasihi simulizi
Maelezomafumbo
Wamitila ‘Kichocheo cha Fasihi’
Kamusi Kitabu
6Isimu jamii
Pijini na kirioli Aweze-Kubainisha tofauti iliyopo baina ya pijini na kirioli-kueleza kiini cha pijini na kirioli katika mawasiliano
maelezoNjogu na wengine‘Isimu jamii’
KitabuKamusi
8 marudio K C S E
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LONG LIFE LEARNING 43