kiswahili (animals)

28
Kiswahili (Animals) Wadudu na Araknida (Insects and Arachnids) Mdudu / Wadudu (Insect / Insects) Dudu / Madudu (Large bug / Large bugs; can be reserved in speech, exclusively to refer to beetles) Araknida (Arachnid / Arachnids) Buibui Spider Bunzi / Mdudu-kibibi Ladybug / Ladybird Buu Maggot / Larva Chenene Mole cricket Chungu Carpenter ant Dondora Yellow jacket Dundu Scavenger beetle Funutu Locust nymph Funza Chigger

Upload: questnvr73

Post on 08-Nov-2015

451 views

Category:

Documents


17 download

DESCRIPTION

swahilli

TRANSCRIPT

Kiswahili (Animals)

Wadudu na Araknida (Insects and Arachnids)

Mdudu / Wadudu (Insect / Insects)Dudu / Madudu (Large bug / Large bugs; can be reserved in speech, exclusively to refer to beetles)Araknida (Arachnid / Arachnids)BuibuiSpider

Bunzi / Mdudu-kibibiLadybug / Ladybird

BuuMaggot / Larva

CheneneMole cricket

ChunguCarpenter ant

DondoraYellow jacket

DunduScavenger beetle

FunutuLocust nymph

FunzaChigger

JongooMillipede

Kereng'endeDragonfly

KifukofukoCocoon

Kimetameta / KimulimuliFirefly / Lightning bug / Glowworm

KipepeoButterfly

KipukusaWeevil

KirobotoFlea

KivunjajunguPraying mantis

KiwaviCaterpillar

Kombamwiko / MendeCockroach

Kombamwiko-kibyongo / Mende-kibyongoBeetle

KunguniBedbug

Kupe (Papasi / Utitiri)Tick (Soft tick / Cattle tick)

MajimotoFire ant

MavuHornet

MbuMosquito

Mbung'o / NdoroboTsetse fly

MchwaTermite

MnyooWorm

NgeScorpion

NondoMoth

NyenjeCricket

NyiguWasp

NyukiBee

NyukibambiBumblebee

NziFly

NzigeLocust

PanziGrasshopper

ParareBird grasshopper

SiafuSafari ant

SisimiziBlack ant

SururuPalm weevil

TanduCentipede

TekenyaSand flea / Jigger

VisubiGnat

Posted by MZ at 12:24 AM 1 comment: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Monday, October 8, 2012Wolverini (Wolverine)

Anatomia ya wolverini (The anatomy of a wolverine)Wolverini (Wolverine)Manyoya meupe kwenye kichwa na pandeWhite fur on head and sides

Manyoya ya kahawia iliyokozaDark-brown fur

Masikio madogoSmall ears

Miguu yenye makuchaClawed feet

Mkia mwenye manyoya mengiBushy tail

Posted by MZ at 12:56 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Monday, September 24, 2012Mamalia wasio na meno (Edentata)

Mamalia wasio na meno (Edentata)Mamalia asiye na meno (Toothless mammal)ArmadiloArmadillo

KakakuonaPangolin

MhangaAardvark

Mla-sisimiziAnteater

SlothiSloth

TamanduaTamandua

Posted by MZ at 2:29 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Thursday, August 9, 2012Mamalia wa Bahari (Marine Mammals)

Oda ya nyangumi (Cetacea)Wanyama wenye miguu-mapezi (Pinnipedia)Pinipedi (Pinniped)

BelugaBeluga

NarwaliNarwhal

Nguva (Manatii)Dugong (Manatee)

Nyangumi buluuBlue whale

Nyangumi-kibyongoHumpback whale

Nyangumi-spemasetiSperm whale

Orka (Nyangumi-muuaji)Orca (Killer whale)

PombooDolphin

PoposiPorpoise

SiliSeal

Sili-manyoyaFur seal

Simba-bahariSea lion

Tembo-bahariElephant seal

WalarasiWalrus

Posted by MZ at 6:33 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Walarasi (Walrus)

Walarasi (pia huitwa Nguva Aktiki au Sili-pembe)ni mnyama mkubwa wa Bahari ya Aktikianayefanana na nguva mwenye meno mawilimarefu, pia yaitwapembe, kama tembo.

Mapezi ya mbeleFront flippers

NgoziSkin

PembeTusks

ShahamuBlubber

SharubuWhiskers

SikioEar

Tundu za puaNostrils

Vifuko vya hewaAir sacs

Vifuko vya hewa- Vifuko vya hewa chini ya koo shingoni mwa walarasi, shingo lililo fupi na nene, vifuko hivyo vina uwezo wa kuvimba na hewa ili kumpa uwezo wa kuelea wima na kichwa chake juu ya maji. Pia vinatumiwa kama vyumba vya mvumo vinavyotoa sauti kama kengele chini ya maji.

Shahamu- Tabaka ya shahamu kubwa iliyo na upana wa hadi sentimita 15 inayomkinga kutoka kwa baridi.

Masikio- Masikio yao madogo yana kunyanzi ya ngozi nje yao ili kufanya vichwa vyao vinyooke ili waogelee vyema zaidi majini.

Mapezi ya mbele- Kinyume ya mapezi ya nyuma, haya ni marefu kama yaliyo mapana, lakini yana unene na gegedu na vidole vitano kama mapezi ya nyuma. Wanapoogelea, yanatumiwa mara kwa mara kupiga kasia katika mwendo ulio chini lakini mara nyingine hutumiwa kuelekeza.

Ngozi- Ngozi ni ya hudhurungi yenye kunyanzi inayoonekana kama inabadilisha rangi kulingana na halijoto, kwa sababu wakati anapohisi joto, utiririshi wa damu kuelekea usoni mwa ngozi huongezeka ili kumpoza. Tendo hili humpatia walarasi sura nyekundunyekundu na huonekana kama ana madoadoa. Anapohisi baridi, utiririshi wa damu kuelekea usoni mwa ngozi hupunguzika, kumpatia sura ya kukwajuka.

Pembe- Zimeundwa na dentini, pembe za walarasi ni ndefu sana na ni meno yanayoendelea kukua. Hazitumiwi kuchimbia chakula lakini huwapea usaidizi mwingi wanapojikokota barafuni au ardhini. Pia zinatumiwa kuonyesha utawala na cheo.

Sharubu- Sharubu zao zilizo puani ni nene na zina hali ya juu ya kuhisi na husaidia wanapotafuta chakula. Posted by MZ at 6:20 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Makazi ya Walarasi (The Habitat of the Walrus)

Makazi (The habitat)Walarasi (Walrus)Walarasi wa Pasifiki (The Pacific walrus)Walarasi wa Laptevu (The Laptev walrus)Walarasi wa Atlantiki (The Atlantic walrus)Walarasi wa Pasifiki wanaishi Baharini mwa Beringi na Chukchi.

Walarasi wa Laptevu wanaishi Baharini mwa Laptevu.

Walarasi wa Atlantiki wanaishi maeneo ya Grinlandi na Kanada.

Posted by MZ at 6:15 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Thursday, January 19, 2012Wanyama kama Paka (Feliformia)

Mnyama kama paka (Feliform)Wanyama mbua wa Bukini (Eupleridae; Malagasy carnivorans)Familia ya fisi (Hyaenidae)Familia ya nguchiro (Herpestidae)Familia ya fungo (Nandiniidae)Familia ya ngawa (Viverridae)Note: Felidae is also a part of the order Feliformia.BinturonguBinturong

FisiHyena

Fisi ya nkole (Fisi mdogo)Aardwolf

FosaFossa

FungoPalm civet

KanuGenet

KusimanseKusimanse

MirkatiMeerkat

NgawaCivet

NguchiroMongoose

Posted by MZ at 9:34 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Familia ya Lukungu (Trogonidae)

Familia ya lukungu (Trogonidae)KwetsaliQuetzal

LukunguTrogon

Posted by MZ at 2:37 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Monday, January 2, 2012Familia ya Ng'ombe (Bovidae)

Familia ya ng'ombe (Bovidae)BaisaniBison

FahaliBull

MaksaiOx

Maksai aktikiMuskox

NdamaCalf

Ng'ombeCow

Nyati Water buffalo

Nyati-majiAfrican buffalo

YakiYak

Posted by MZ at 8:47 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Familia ya Nguruwe & Wanyama wenye Ngozi Ngumu (Suidae & Pachyderms)

Familia ya nguruwe (Suidae)Mnyama mwenye ngozi ngumu (Pachyderm)JiviWild boar

KibokoHippopotamus

KifaruRhinoceros

NgiriWarthog

NguruwePig

Tembo (Ndovu)Elephant

Posted by MZ at 8:39 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Wanyama kama Swala (Antelopine animals)

Mnyama kama swala (Antelopine animal) ChoroaOryx

KongoniHartebeest

MbarapiSable antelope

NyumbuWildebeest

PaaDuiker

Palahala pembe-parafujo (Adaksi)Addax (Screwhorn antelope)

SwalaAntelope

Posted by MZ at 8:25 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Thursday, September 29, 2011Mamalia wa Kabla ya Historia (Prehistoric mammals)

Mamalia wa kabla ya historia (Prehistoric mammal)AmfisionidiAmphicyonid

AndreasarkoAndrewsarchus

AnsilotheriamuAncylotherium

ArsinoitheriamuArsinoitherium

AustralopithekoAustralopithecus

BrontotheriBrontothere

ChalikotheriChalicothere

DeinotheriamuDeinotherium

DinofelisiDinofelis

DoedikurusiDoedicurus

DorudoniDorudon

Duma wa AmerikaAmerican cheetah

EntelodontiEntelodont

HienodoniHyaenodon

IndrikotheriIndricothere

Kifaru-manyoyaWoolly rhinoceros

LeptiktidiamuLeptictidium

MakraucheniaMacrauchenia

MamothiMammoth

MastodoniMastodon

Megalosero (Elki mkubwa)Megaloceros (Giant elk)

Megatheriamu (Slothi mkubwa)Megatherium (Giant sloth)

MoiritheriamuMoeritherium

Odobenosetopsi (Nyangumi-nguva)Odobenocetops (Walrus-whale)

PropaleotheriamuPropalaeotherium

Simba wa AmerikaAmerican lion

Simba-marsupialiaMarsupial lion

Smilodoni (Chui meno-kitara)Smilodon (Sabre-toothed tiger)

Posted by MZ at 1:14 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Tuesday, September 27, 2011Dinosau (Dinosaurs)

Dinosau (Dinosaur)AnkilosauriAnkylosaurus

ArkeopteriksiArcheopteryx

BrakiosauriBrachiosaurus

DimetrodoniDimetrodon

DromeosauriDromaeosaurus

ElasmosauriElasmosaurus

IgwanodoniIguanodon

IkthiosauriIchthyosaurus

KompsognathoCompsognathus

PakisefalosauriPachycephalosaurus

ProtoseratopsuProtoceratops

SpinosauriSpinosaurus

StegasauriStegasaurus

StirakosauriStyracosaurus

TerosauPterosaur

TiranosauriTyrannosaurus

TriseratopsuTriceratops

VelosiraptoriVelociraptor

Posted by MZ at 12:59 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Wednesday, September 7, 2011Marsupialia (Marsupials)

BandikutiBandicoot

KangaruuKangaroo

Kangaruu-mitiTree-kangaroo

Kangaruu-panyaRat-kangaroo

KoalaKoala

KwoluQuoll

NumbatiNumbat

OposumuOpossum

Shetani wa TasmaniaTasmanian devil

Simba-marsupialiaMarsupial lion

ThilasiniThylacine

WalabiWallaby

WombatiWombat

Posted by MZ at 7:27 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Saturday, August 27, 2011Ngeli ya Ndege (Aves)

Ngeli ya ndege (Aves)Ngeli (Class)Ndege (Bird)AlbatrosiAlbatross

BataDuck

Bata bukiniGoose

Bata-majiSwan

BatamzingaTurkey

BuabuaTern

Bumu (Babewana)Barn owl

BundiOwl

ChirikuFinch

Chiriku manjanoGoldfinch

DodoDodo

EmuEmu

Flamingo (Heroe)Flamingo

JeiJay

JogooRooster

KadinaliCardinal

KakatuuCockatoo

KangaGuineafowl

KasukuParrot

KasuwariCassowary

KichelekoVulturine guineafowl

KifarangaChick

Kigong'otaWoodpecker

KiluwiluwiLapwing

KingoyoHeron

KinubiMagpie

KiwiKiwi

KizamiachazaOystercatcher

Kolibri (Ndege-mvumaji)Hummingbird

Kondori (Tumbusi wa Amerika)Condor

KongotiStork

KorongoCrane

KoziFalcon

Kuku (Koo)Chicken (Hen)

KunguruCrow (Raven)

KungwiEagle-owl (Great-horned owl)

KurumbizaRobin-chat

Kurumbiza wa UlayaNightingale

KwalePheasant

KwenziStarling

MbayuwayuSwallow

MbuniOstrich

MdiriaKingfisher

MkeshaThrush

Mkesha mwekunduRobin

MwariPelican

NjiwaPigeon

NyanduRhea (Nandu)

PengwiniPenguin

ShomoroSparrow

SikipiPartridge

TaiEagle

TausiPeacock

TelekaSwift

TomboQuail

TukaniToucan

TumbusiVulture

Yombeyombe wa UlayaBullfinch

Posted by MZ at 5:24 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Saturday, August 6, 2011Oda ya Masokwe (Primates)

Oda ya masokwe (Primates)Sokwe (Ape)Sokwe mkubwa (Great ape)Sokwe mdogo (Lesser ape)BinadamuHuman

GiboniGibbon

KakuMacaque

KimaMonkey

KombaBushbaby

Komba bukini (Lemuri)Lemur

MandiriliMandrill

MbegaColobus

NgagiGorilla

NgedereVervet

NyaniBaboon

OrangutanguOrangutan

SokweApe

Sokwe mtuChimpanzee

TamariniTamarin

Posted by MZ at 9:10 AM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Monday, June 6, 2011Wanyama kama Sungura na Wagugunaji (Lagomorpha & Rodentia)

Mnyama kama sungura (Lagomorph)Mnyama mgugunaji (Rodent)BivaBeaver

BukuHamster

FukoMole

KalunguyeyeHedgehog

KindiSquirrel

Kindi-miliaChipmunk

KipanyaMouse

KitunguleRabbit

NungubandiaGuinea pig

NungununguPorcupine

PanyaRat

Panyabuku-msituWoodchuck (Groundhog)

Panya-nyikaJerboa

SangeShrew

SunguraHare

Posted by MZ at 8:30 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Thursday, May 26, 2011Nyangumi (Whale)

Nyangumi mwenye mfupanyangumi(Baleen whale)Nusuoda ya nyangumiwakubwa (Mysticeti)Bamba la kuzuia majiSplashguard

KitovuUmbilicus

KwapaAxilla

Mashimo ya kutolea hewaBlowholes

MfupanyangumiWhalebone (Baleen)

Mifuo ya kooThroat pleats

Mkato wa katiMedian notch

Mkia wa nyangumiFluke

MkunduAnus

Nundu za mgongoniDorsal ridge

Pezi la mgongoniDorsal fin

PuaRostrum

Shina la mkiaCaudal peduncle

Ufa wa ogani za uzazi na mkojoUrogenital slit

VikonoFlippers

ViweleMammary glands

Posted by MZ at 10:38 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Kinyamadege (Platypus)

Kinyamadege (Duckbilled platypus) ni mamalia Australia aliye na mdomo wa bata,miguu yenye utando kati vidole kama ya fisi-maji na mkia kama wa biva. Ni mmoja wa spishi mbili za mamalia atagaye mayai.

Manyoya ya kahawiaBrown fur

Mdomo wa bataDuckbill

Miguu yenye utando kati ya vidoleWebbed feet

Mwiba mwenye sumuVenomous spike

Nyufa ndogo za masikioTiny ear slits

Tundu za pua ziwezazo kufungwaCloseable nostrils

Posted by MZ at 6:14 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Oda ya Mamalia watagao Mayai (Monotremata)

Mamalia atagaye mayai (Monotreme / Egg-laying mammal)Mamalia watagao mayai (Egg-laying mammals)KinyamadegePlatypus

MhanganunguEchidna

Elki / Muusi (Moose)

Elki au Muusi(pia huitwa Kongoni wa Kaskazini) ni mnyama mkubwa wa Nusudunia ya Kaskazini anayefanana na kongoni mwenye pembe zenye umbo la matawi na manyoya mengi.

Kichwa kikubwaLarge head

Makwato ya shufwaEven-toed hooves

Miguu mirefu ya mbeleLong forelegs

Miguu mirefu ya nyumaLong hindlegs

Mkia mfupiShort tail

Nundu ya begaShoulder hump

Pembe zenye umbo la matawiRamified antlers

Pua inayoning'iniaDrooping muzzle

ShambweleleDewlap

Posted by MZ at 8:04 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Wednesday, May 11, 2011Wanyama kama Chororo (Musteloidea)

Wanyama wanaofanana na cheche (Musteloidea)ChecheWeasel

Fisi-majiClawless otter (Aonyx)

KichechePolecat

Kinyegere (Kicheche wa Amerika)Skunk

KonjeMarten

MelesiBadger

MinkiMink

NyegereHoney badger

Nyegere anayenukaStink badger

OtaOtter

Ota wa bahariSea otter

Panda mwekunduRed panda

RakuniRaccoon

Stone martenKonje-mawe

WolveriniWolverine

Posted by MZ at 12:00 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Familia ya Paka (Felidae)

Familia ya paka (Felidae)ChuiLeopard

Chui-mawinguClouded leopard

Chui-miliaTiger

Chui-thelujiSnow leopard

DumaCheetah

JagwaJaguar

LinksiLynx

MondoServal

OselotiOcelot

PakaCat

SimbaLion

SimbamanguCaracal

Simba-milima (Puma)Mountain lion (Cougar)

Posted by MZ at 10:55 AM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Tuesday, May 10, 2011Familia ya Kulungu & Nusufamilia ya Mbuzi (Cervidae & Caprinae)

Familia ya kulungu (Cervidae)Nusufamilia ya mbuzi (Caprinae)Note: The antelope is a member of the Bovidae family.ElkiEurasian elk (Eurasian subspecies of Alces alces)

KaribuuCaribou (North American subspecies of Rangifer tarandus)

KondooSheep

Kondoo mwituWild sheep

KulunguDeer

Kulungu aktikiReindeer (Eurasian subspecies of Rangifer tarandus)

MbuziGoat

MuusiMoose (North American subspecies of Alces alces)

SwalaAntelope

WapitiElk / Wapiti

Posted by MZ at 9:06 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Wanyama (Animals) Familia za Farasi, Ngamia & Twiga (Equidae, Camelidae & Giraffidae)

Familia ya farasi (Equidae)Familia ya ngamia (Camelidae)Familia ya twiga (Giraffidae)BghalaMule

FarasiHorse

KwagaQuagga

LamaLlama

Ngamia wa BaktriaBactrian camel

Ngamia wa UarabuniDromedary camel

PundaDonkey

Punda-miliaZebra

TwigaGiraffe

4sdef