maelezo ya jinsi ya kutumia mtandao (lois) · pdf filechagua “new” kama ni maombi...
TRANSCRIPT
MAELEZO YA JINSI YA KUTUMIA MTANDAO (LOIS) KUOMBA LESENI YA
UTANDAZAJI MIFUMO YA UMEME
Utaratibu wa kuomba leseni kwa njia ya mtandao ” umeanzishwa ili kuwezesha wateja kuomba
leseni popote walipo kwa njia rahisi zaidi kupitia tovuti ya EWURA (www.ewura.go.tz au
https://lois.ewura.go.tz/). Ili kuweza kutuma maombi, mwombaji atafuata hatua zifuatazo:
1 Kujisajili
Hatua hii inamwezesha mteja kufungua akaunti itakayomwezesha kutuma maombi
na kufatilia hatua zitakazopitiwa mpaka leseni yake itakapotolewa. Pia akaunti hii
itamwezesha kuwasiliana na Mamlaka kuhusiana na maombi yake ya leseni.
Mahitaji ya lazima
Mwombaji anapaswa kuwa na vitu vifauatavyo wakati wa kutuma maombi:
i) Anuani ya barua pepe (email address)
ii) Namba ya mlipakodi (TIN number) - kama huna andika NA
iii) Namba ya simu ya mwombaji
iv) Jina la Kampuni yako (kama huna andika NA)
v) Anuani ya mahali unapoish: Mkoa, wilaya, kata na mtaa
Jinsi ya kufanya usajili
Fungua tovuti https://lois.ewura.go.tz/ au www.ewura.go.tz kisha chagua
“Online Services” kisha bofya kwenye Online Licence and Order Information System
(LOIS).
(1.
2. Bofya “Register here ujisajili.
3.
Jaza taarifa zinazohitajika, zingatia kwamba herufi zilizo kwenye picha lazima
ziingizwe kama zilivyo (herufi ndogo iingizwe ndogo na kubwa iingizwe kubwa). Pia
sehemu zilizo na nyota nyekundu lazima taarifia ziingizwe laa hutaweza kujisajiri.
Ukishamaliza kuingiza taarifa zako zote bofya “Register” na hapo utakuwa
umemaliza kujisajili.
Ndani ya saa 24 utapata barua pepe kutoka Ewura ikikujulisha kukamilika kwa usajili
na taarifa za email na neno la siri (password) utakazotumia wakati wa kutuma
maombi. Ni baada ya kupokea taarifa ya kukamilika usajili wako ndipo utaweza
kutuma maombi ya leseni.
2 Kutuma maombi
Mahitaji ya lazima
Kabla ya kutuma maombi hakikisha una nakara za kielectroniki (softi kopi” )za vitu
vifauatavyo :
i) picha ya paspoti saizi (yenye rangi ya blue nyuma)
ii) Pasi ya kusafiria au kitambulisho cha taifa au cheti cha kuzaliwa au kadi ya
kupigia kura
iii) Vyeti vya kuhitimu masomo ya sekondari kidato cha nne/sita (kama huna
weka cha darasa la saba)
iv) Vyeti vya kuhitimu masomo ya ufundi/ taaluma
v) Wasifu (CV) ukionyesha miradi/kazi ulizofanya. Onyesha tarehe na muda wa
mradi/kazi, jina na anwani ya mteja, jina na anwani ya mwajiri, jina na
anwani ya aliyekusimamia kazi, uzoefu uliopata. Pia onyesha msongo wa
umeme husika kwa kila mradi/kazi.
vi) Wadhamini wawili na taarifa zao; anuani, email, namba za simu, taarifa za
leseni (Daraja na namba ya leseni )kwa mdhamini wa pili. Zingatia kwamba
mdhamini wa pili lazima awe na leseni hai ya Ewura.
vii) Risiti ya malipo ya ada ya maombi sh 10,000 (lipia ada ya maombi kupitia
nambari ya Akaunti 01J1022244000, jina la Akaunti EWURA, benki ya CRDB )
Kutuma maombi
Fungua tovuti https://lois.ewura.go.tz/ au www.ewura.go.tz kisha chagua
“Online Services” kisha bofya kwenye Online Licence and Order Information System
(LOIS). kisha ingiza email uliyotumia kufanya usajili na neno la siri (nywila/password)
ulilotumiwa kwenye barua pepe.
Kisha bofya “Login” itafunguka kurasa kama hii:
Chagua “Electricity” kisha bofya “Apply” itafungua kurasa kama hii:
Chagua “new” kama ni maombi mapya au “Renewal” kama ni maombi ya kuhuisha au
kupanda daraja kisha bofya “electrical Installation license” itafungua kurasa kama hii hapa
chini kwa maombi mapya, Kisha chagua daraja la leseni unayotaka kuomba:
Bofya kwenye daraja la leseni unalotaka kuomba itafungua kurasa kama hizi hapa chini, fuata
maelekezo yaliyoandikwa kukamilisha maombi yako, zingatia kwamba sehemu zilizo na nyota
nyekundu lazima taarifia zijazwe laa hutaweza kutuma maombi.
☺ o
LOIS
License And Order Information System
▲ Home ≡ Manual
Notifications (0)
Application For: Electricity » Class A - Installation
Please click Previous,Save or Next to save your work Application Mode: Open
1. Name of Applicant
* a. Name:
2. Colored Passport photo
a. Upload colored passport size photo
(blue background):
3. Physical Address
* ₪Attach
a.
c.
d.
e.
f.
Plot No:
Street:
Region:
District:
Ward:
*
*
*
4. Postal Address
*
*
*
a.
b.
c.
d.
e.
f.
g.
h.
P.O.Box:
Region:
District:
Ward:
Tel No:
Email:
Fax No:
Mobile Numbers:
*
*
5. Personal Details
* a.
b.
c.
d.
Date of Birth:
Gender:
Nationality:
Upload Passport/National Id/Birth
Certificate:
For Non Citizen
Work Permit No:
Date of Issue:
Expiry Date:
*
*
Male Female
* ₪Attach
a.
b.
c.
6. Employment Status
a. Employment Status:
* Employed
Self
Employed
Un
Employed
General Particulars
Finish
Liberatus
Andika majina yako kama yalivyo
kwenye vyeti vyako
Pakia/weka (alpodi) picha ya paspoti saizi
Andika namba ya kiwanja/nyumba
Andika jina la mtaa unapoishi
Chagua mkoa unapoishi, itakuwezesha
kuchagua wilaya na kata hapo chini
Andika sanduku lako la posta
Chagua mkoa unapoishi, itakuwezesha
kuchagua wilaya na kata hapo chini
Andika anuani ya barua pepe
Andika namba ya simu unayotumia
mara nyingi
Andika tarehe ya kuzaliwa
(siku/mwezi/mwaka)
Chagua jinsia.
Andika uraia wako.
Pakia/weka(aplodi) kimoja kati ya
hivi pasi ya kusafiria, kitambulisho
cha taifa au cheti cha kuzaliwa
Kama muombaji si raia wa Tanzania,
utapaswa kuandika namba ya kibali cha
kazi, tarehe ya kutolewa na kuisha
kibali
Chagua Employed kama umeajiriwa, self
employed(wekaVAT, TIN na leseni ya
biashara) kama umejiajiri na unemployed
kama hujaajiriwa wala kujiajiri
7. Employment History
From To Employer's Name & Address Position
8. Education: Primary and Secondary School (Fill starting with
the secondary)
From To School's Name & Address Award Certified Certificate
₪Attach
₪Attach
9. Training: University, College and Vocation Training (Fill
starting with the highest qualification)
From To Institute's Name & Address Award Certificate/Testimonial
₪Attach
₪Attach
₪Attach
10. Upload summary of electrical installation working
experience signed and stamped by your supervisors:
a. ₪Attach Working experience:
11. Referees Declaration 1
a.
b.
c.
d.
f.
g.
h.
i.
Name:
Relationship:
P.O. Box:
City:
Telephone No:
Email:
Fax No:
Mobile No:
12. Referees Declaration 2
a.
b.
c.
d.
f.
g.
h.
i.
Name:
Relationship:
P.O. Box:
City:
Telephone No:
Email:
Fax No:
Mobile No:
EWURA © 2016 License Application Powered by: Exact Software Ltd.
Next Save
Andika taarifa za ajira ulizowahi fanya
Cheo/nafasi uliyoshika Jina na anuani ya muajili
Kutoka tarehe mpaka tarehe
Andika taarifa za elimu ya msingi na sekondari
Jina na anuani ya shule Cheti ulichotunukiwa
Pakia/upload vyeti
Jina na anuani ya chuo Cheti ulichotunukiwa
Pakia/upload vyeti
Pakia/aplodi Wasifu (CV) ukionyesha miradi/kazi
ulizofanya
Andika jina la mdhamini wa kwanza
Andika uhusiano na mdhamini, e.g
msimamizi,
Ingiza taarifa kama ulivyofanya kwa
mdhamini wa kwanza
Andika anuani, namba za simu, barua
pepe na nukushi ya mdhamini
wakwanza.
Ukimaliza kuingiza taarifa zote
zinazohitajika bofya “Next” au”finish”
kuendelea
Unaweza bofya “Save” ili kuhifadhi
taarifa ulizokwiha jaza na kuendelea baadae.
☺ o
LOIS
License And Order Information System
▲ Home ≡ Manual
Notifications (0)
Application For: Electricity » Class A - Installation
Application Mode: Open 1. Application Fee Payment Slip
Application Fee Payment Slip: * ₪Attach
2. Declaration
I hereby declare that I am authorized to make this application on behalf of the applicant and that to the best of my
knowledge the information supplied herein is correct and that within a reasonable period of time after notice I
undertake to provide whatever additional information EWURA may require in order to evaluate this application.
EWURA © 2016 License Application Powered by: Exact Software Ltd.
Submit Delete Save Previous
General Particulars
Finish
Liberatus
Pakia/aplodi risiti au hati ya benki
ya malipo ya ada ya maombi
Bofya hapa kuweka alama ya
vema(tick) ili kuendelea.
Bofya hapa kutuma maombi.