matokeo ya mtihani wa kidato cha nne (csee) mwaka...

12
1 MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA 2018 MKOA WA IRINGA. 1.0 UTANGULIZI Mkoa wa Iringa upo mstari wa mbele katika kutoa huduma kwa jamii, ikiwemo elimu. Zipo Taasisi mbalimbali zinazotoa elimu kuanzia elimu ya awali hadi Vyuo Vikuu. Mkoa una madarasa ya awali 501 (Serikali- 470, zisizo za serikali- 31), Shule za Msingi 509 (Serikali- 479, zisizo za serikali- 30), shule za Sekondari 174 (Serikali- 109,zisizo za serikali- 65), Vyuo vya Ualimu 5, Vyuo Vikuu 5 na Chuo cha Veta 1. 1.1 IDADI YA SHULE ZILIZOFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA IV MWAKA 2018 Idadi ya Shule zilizofanya mtihani kwa mwaka 2018 zimeongezeka kutoka shule 158 za mwaka 2017 hadi shule 162 za mwaka 2018 kama ifuatavyo:- Iringa (M) - 29, Iringa (V) - 33, Kilolo - 41. Mufindi - 42 na Mji Mafinga -17. 1.2 UFAULU WA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2018 Mkoa wa Iringa umeshika nafasi ya 12 kati ya mikoa 26 ya Tanzania Bara kwa ufaulu kwa asilimia 84.53 GPA ya 3.8412 ukilinganisha na mwaka 2017 ambapo Mkoa ulishika nafasi ya 17 kwa ufaulu wa asilimia 75.99 GPA ya 4.0049. Hivyo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 8.54. Idadi ya wanafunzi waliofaulu ni 10,488 kati ya wanafunzi 12,408 waliofanya mtihani na wanafunzi walioshindwa ni 1,920 sawa na asilimia 15.47. Matokeo ya mtihani wa Taifa kidato cha nne mwaka 2018 ya watahiniwa wa shule yanaonyesha kuwa ufaulu kitaifa ni asilimia 79.27 (wav-80.05%,was- 78.51%). Kuhusu ufaulu kwa ubora , yaani daraja la I- III, waliofaulu ni asimia 26.25 .

Upload: others

Post on 01-Jul-2021

35 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA …iringa.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/TAARIFA YA... · 2019. 1. 31. · I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi

1

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE)

MWAKA 2018 MKOA WA IRINGA.

1.0 UTANGULIZI

Mkoa wa Iringa upo mstari wa mbele katika kutoa huduma kwa jamii, ikiwemo

elimu. Zipo Taasisi mbalimbali zinazotoa elimu kuanzia elimu ya awali hadi

Vyuo Vikuu. Mkoa una madarasa ya awali 501 (Serikali- 470, zisizo za

serikali- 31), Shule za Msingi 509 (Serikali- 479, zisizo za serikali- 30), shule

za Sekondari 174 (Serikali- 109,zisizo za serikali- 65), Vyuo vya Ualimu 5,

Vyuo Vikuu 5 na Chuo cha Veta 1.

1.1 IDADI YA SHULE ZILIZOFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA IV MWAKA 2018

Idadi ya Shule zilizofanya mtihani kwa mwaka 2018 zimeongezeka kutoka

shule 158 za mwaka 2017 hadi shule 162 za mwaka 2018 kama ifuatavyo:-

Iringa (M) - 29, Iringa (V) - 33, Kilolo - 41. Mufindi - 42 na Mji Mafinga -17.

1.2 UFAULU WA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2018

Mkoa wa Iringa umeshika nafasi ya 12 kati ya mikoa 26 ya Tanzania Bara

kwa ufaulu kwa asilimia 84.53 GPA ya 3.8412 ukilinganisha na mwaka 2017

ambapo Mkoa ulishika nafasi ya 17 kwa ufaulu wa asilimia 75.99 GPA ya

4.0049. Hivyo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 8.54. Idadi ya wanafunzi

waliofaulu ni 10,488 kati ya wanafunzi 12,408 waliofanya mtihani na

wanafunzi walioshindwa ni 1,920 sawa na asilimia 15.47.

Matokeo ya mtihani wa Taifa kidato cha nne mwaka 2018 ya watahiniwa wa

shule yanaonyesha kuwa ufaulu kitaifa ni asilimia 79.27 (wav-80.05%,was-

78.51%). Kuhusu ufaulu kwa ubora , yaani daraja la I- III, waliofaulu ni

asimia 26.25 .

Page 2: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA …iringa.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/TAARIFA YA... · 2019. 1. 31. · I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi

2

Hali kadhalika ufaulu kimkoa, jumla ya wanafunzi 10,488 wamefaulu(daraja

I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi 12,408 waliofanya mtihani

sawa na asilimia 84.53.

Ufaulu kwa ubora yaani daraja la I-III waliofaulu ni wanafunzi 4,111 sawa

na asilimia 33.13 tu.Hali hii inaonesha kuwa asilimia 66.87

wamepata ufaulu wa daraja la IV na daraja sifuri, ambapo daraja la IV ni

6,377 sawa na asilimia 51.39 na wanafunzi 1,920 sawa na asilimia 15.47

walishindwa mtihani.

1.3 Ulinganifu wa Ufaulu: Nafasi za Halmashauri katika Mkoa.

Kwa mwaka 2018 Halmashauri ya Mji wa Mafinga inaendelea kuongoza

ikifuatiwa na Iringa Manispaa kwa kushika nafasi ya pili na ya tatu ni

Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Nafasi ya nne ni Halmashauri ya Wilaya ya

Mufindi na nafasi ya tano ni Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo (Tazama

jedwali Na. 1 na Na.2 hapa chini)

Page 3: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA …iringa.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/TAARIFA YA... · 2019. 1. 31. · I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi

3

Jedwali Na 1: Ufaulu wa kidato cha IV mwaka 2018 kwa kila Halmashauri

NA

FA

SI

HALMASHAURI W

AL

IOF

AN

YA

MADARAJA YA UFAULU UFAULU (I- IV)

UFAULU BORA (I-III)

GPA

NAFASI

I II III IV O IDADI & IDAD

I &

2018

2017

1 MAFINGA MJI

1327 171 134 226 620 176 1151 86.7

4 531

40.02

3.6065

11 43

2 IRINGA(M)

2667 116 348 585 1206 412 2255 84.5

5 1049

39.33

3.7649

38 42

3 IRINGA DC

3164 141 291 506 1672 554 2610 82.4

9 938

29.65

3.8925

76 123

4 MUFINDI

2832 61 296 501 1592 382 2450 86.5

1 858

30.30

3.8950

78 115

5 KILOLO

2418 43 246 446 1287 396 2022 83.6

2 735

30.40

3.9271

91 145

MKOA 12408 532 1315 2264 6377 1920

10488

84.53

4111 33.1

3 3.841

2 12 17

Jedwali Na.2 UFAULU KIMADARAJA

NA

FA

SI

HALMASHAURI

WA

LIO

FA

NY

A

MADARAJA YA UFAULU

I % II % III % IV % O %

1 MAFINGA MJI

1327 171 12.89 134 10.10 226 17.03 620 46.72 176 13.26

2 IRINGA(M)

2667 116 4.35 348 13.05 585 21.93 1206 45.22 412 15.45

3 IRINGA DC

3164 141 4.46 291 9.20 506 15.99 1672 52.84 554 17.51

4 MUFINDI

2832 61 2.15 296 10.45 501 17.69 1592 56.21 382 13.49

5 KILOLO

2418 43 1.78 246 10.17 446 18.44 1287 53.23 396 16.38

MKOA 12408 532 4.29 1315 10.60 2264 18.25 6377 51.39 1920 15.47

Page 4: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA …iringa.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/TAARIFA YA... · 2019. 1. 31. · I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi

4

1.4 Shule zilizofanya vizuri Zaidi na shule za mwisho Kimkoa

Katika uchambuzi wa matokeo kimkoa pia zimepangwa shule kumi bora na shule kumi za mwisho.

1.4.1 Shule Kumi bora.

Katika uchambuzi wa shule 10 bora Halmashauri 4 zimetoa shule 10 bora kwa mchanganuo:-

➢ Kilolo - shule 01

➢ Mji Mafinga - shule 04 ➢ H/W Iringa - shule 03

➢ Mufindi -shule 02

Jedwali Na.3 Shule kumi bora Kimkoa

NA

FA

SI

SHULE HALMASHAURI WA

LIO

FA

NY

A

MADARAJA GPA Nafasi I II III IV 0 kimkoa kitaifa

1 BETHEL SABS MAFINGA MJI 74 71 3 0 0 0 1.6041 1/130 10/3488

2 ST. DOMINIC SAVIO IRINGA DC 42 38 4 0 0 0 1.6321 2/130 12/3488

3 DON BOSCO MAFINGA MJI 47 40 7 0 0 0 1.7292 3/130 26/3488

4 MAFINGA SEM MAFINGA MJI 39 31 8 0 0 0 1.7897 1/32 2/1371

5 ST. MARY'S ULETE IRINGA DC 88 70 18 0 0 0 1.8147 4/130 38/3488

6 CONSOLATHA MAFINGA MJI 30 20 10 0 0 0 1.9417 2/32 4/1371

7 MUFINDI GIRLS MUFINDI 72 21 44 7 0 0 2.3861 5/130 128/3488

8 ST.THERESE MIBIKIMITALI IRINGA DC

47 9 33 5 0 0 2.4149 6/130 137/3488

9 ST.JAMES KILOLO 58 15 25 18 0 0 2.5508 7/130 164/3488

10 BROOKEBOND MUFINDI 32 4 19 9 0 2.6276 3/032 27/1371

1.4.2 Shule kumi(10) za Mwisho Kimkoa

Kwa upande wa shule kumi za mwisho Kimkoa (zilizofanya vibaya),

Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo inazo shule 04, Halmashauri ya Mji Mafinga

shule 02, Halmashauri ya Iringa 03 na Iringa Manispaa 01.

Page 5: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA …iringa.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/TAARIFA YA... · 2019. 1. 31. · I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi

5

Jedwali Na.4 Shule kumi za mwisho Kimkoa

N

AF

AS

I

SHULE HALMASHAURI

WA

LIO

FA

NY

A MADARAJA

GPA

Nafasi

I II III IV 0

kimkoa kitaifa 1 MNYIGUMBA MAFINGA MJI 32 0 1 1 20 10 4.3462 28/32 1164/1371

2 UMBUYA KILOLO 20 0 0 3 10 7 4.3692 29/32 1186/1371

3 KILOLO KILOLO 79 0 1 7 43 28 4.371 126/130 3110/3488

4 ISIMILA IRINGA DC 166 0 2 14 100 50 4.3744 127/130 3119/3488

5 LYASA IRINGA DC 31 0 0 2 18 11 4.4003 30/32 1222/1371

6 ISALAVANU MAFINGA MJI 44 0 2 2 20 20 4.4268 128/130 3249/3488

7 WASA IRINGA DC 81 0 1 2 45 33 4.4778 129/130 3339/3488

8 HOPE KILOLO 2 0 0 0 1 1 4.5000 31/32 1303/1371

9 NDULI IRINGA MANISPAA 70 0 1 3 32 34 4.5053 130/130 3381/3488

10 SAYUNI KILOLO 10 0 0 0 4 6 4.6958 32/32 1366/1371

1.5 Mpangilio wa shule kwa ubora wa ufaulu katika Mtihani wa

kidato cha Nne mwaka 2018 Kimkoa.

Jumla ya Shule za Sekondari 162 kati ya 174 ndizo zilizokuwa na

watahiniwa wa mtihani wa kidato cha Nne katika Mkoa wa

Iringa.Mpangilio wa shule kwa ubora wa ufaulu ni kama

ilivyoainishwa katika jedwali Na.5.

Page 6: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA …iringa.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/TAARIFA YA... · 2019. 1. 31. · I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi

6

Jedwali Na.5: Mpangilio wa Shule kwa ubora wa ufaulu Kimkoa

NA

SHULE HALMASHAURI

WA

LIO

FA

NY

A MADARAJA

GPA

Nafasi

I II III IV O

kimkoa kitaifa

1 BETHEL SABS MAFINGA MJI 74 71 3 0 0 0 1.604 1/130 10./3488

2 ST. DOMINIC SAVIO IRINGA(DC)

42 38 4 0 0 0 1.632 2/130 12/3488

3 DON BOSCO MAFINGA MJI 47 40 7 0 0 0 1.729 3/130 26/3488

4 MAFINGA SEM MAFINGA MJI 39 31 8 0 0 0 1.79 1./32 2/1371

5 ST. MARY'S ULETE IRINGA(DC)

88 70 18 0 0 0 1.815 4/130 38/3488

6 CONSOLATHA MAFINGA MJI 30 20 10 0 0 0 1.942 2./32 4/1371

7 MUFINDI GIRLS MUFINDI 72 21 44 7 0 0 2.386 5/130 128/3488

8 ST.THERESE MIBIKIMITALI IRINGA(DC)

47 9 33 5 0 0 2.415 6/130 137/3488

9 ST.JAMES KILOLO 58 15 25 18 0 0 2.551 7/130 164/3488

10 BROOKEBOND MUFINDI 32 4 19 9 0 0 2.628 3/032 27/1371

11 LYANIKA MUFINDI 37 2 24 11 0 0 2.709 4/032 35/1371

12 MAGULILWA IRINGA(DC) 51 7 24 20 0 0 2.728 8/130 216/3488

13 ADONAI MAFINGA MJI 23 1 13 9 0 0 2.811 5./32 50/1371

14 EASTEN STAR IRINGA (M) 45 10 13 17 5 0 2.8333 9/130 250/3488

15 ST.THOMAS NYABULA IRINGA(DC)

75 3 33 36 3 0 2.899 10/130 266/3488

16 IRINGA ADVENTIST IRINGA (M)

27 2 12 12 1 0 2.9058 Jun-32 65/1371

17 IFUNDA UFUNDI IRINGA(DC) 165 36 49 47 29 4 2.929 11/130 277/3488

18 IRINGA GIRLS IRINGA (M) 120 25 39 24 27 5 2.9677 12/130 286/3488

19 EBENEZER IRINGA (M) 93 3 40 38 12 0 3.0288 13/130 312/3488

20 SPRING VALLEY IRINGA (M) 78 7 28 31 12 0 3.0355 14/130 315/3488

21 REGINA PACIS MUFINDI 52 4 15 31 2 0 3.075 15/130 333/3488

22 IMAGE KILOLO 90 3 35 33 19 0 3.121 16/130 356/3488

23 MTINYAKI MUFINDI 24 0 8 15 1 0 3.163 7/032 105/1371

24 MALANGALI MUFINDI 82 11 22 26 11 12 3.196 17/130 405/3488

25 LUTANGILO KILOLO 50 2 14 24 10 0 3.223 18/130 427/3488

26 IMAGE VOSA KILOLO

21 1 8 5 6 1 3.255 08/32 125/1371

Page 7: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA …iringa.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/TAARIFA YA... · 2019. 1. 31. · I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi

7

NA

SHULE HALMASHAURI WA

LIO

FA

NY

A

MADARAJA GPA

Nafasi

I II III IV O kimkoa kitaifa

27 POMERINI KILOLO 79 4 22 28 25 0 3.281 19/130 449/3488

28 THE LORD'S HILL KILOLO 24 0 4 16 4 0 3.298 9/32 139/1371

29 CONSOLATA IRINGA IRINGA (M)

84 1 20 41 22 0 3.3204 20/130 474/3488

30 WENDYRAYNA IRINGA (M) 15 0 3 6 6 0 3.4222 Oct-32 191/1371

31 SADANI MUFINDI 136 6 29 44 54 3 3.435 21/130 553/3488

32 ST. JOSEPH IPOGOLO IRINGA (M)

42 1 10 12 17 2 3.4690 22/130 580/3488

33 RUAHA IRINGA (M) 76 1 16 25 33 1 3.4972 23/130 591/3488

34 BREAD OF LIFE IRINGA(DC) 35 2 5 11 16 1 3.5

11 OUT 32

218/1371

35 BUKIMAU MAFINGA MJI 26 0 4 11 11 0 3.539 12./32 237/1371

36 MARIA CONSOLATA

KILOLO 27 1 5 5 16 0 3.572 13/32 252/1371

37 SAWALA MUFINDI 84 2 17 24 40 1 3.583 24/130 648/3488

38 KISING'A KILOLO 7 0 2 1 4 0 3.586 14/32 254/1371

39 KAWAWA MAFINGA MJI 188 1 30 62 95 0 3.593 25/130 656/3488

40 MWEMBETOGWA IRINGA (M) 42 1 9 12 14 6 3.6105 26/130 674/3488

41 ILOGOMBE MUFINDI 24 1 2 10 11 0 3.618 15/032 269/1371

42 DOKAMAN IRINGA(DC) 59 0 4 27 28 0 3.666 27/130 725/3488

43 CAGRIELO IRINGA (M) 55 3 5 15 29 3 3.6774 28/130

739/3488

44 HIGHLANDS IRINGA (M) 154 4 29 33 71 17 3.7185 29/130 787/3488

45 MADISI MUFINDI 87 1 9 27 50 0 3.738 30/130 824/3488

46 MAWAMBALA KILOLO 48 0 9 11 23 5 3.744 31/130 832/3488

47 UDEKWA KILOLO 39 0 6 6 25 2 3.784 16/32 384/1371

48 IMAULUMA MUFINDI 39 0 6 10 21 2 3.789 32/130 922/3488

49 MIYOMBONI IRINGA (M) 89 1 9 19 59 1 3.7897 33/130 925/3488

50 ITENGULE MUFINDI 59 0 7 16 33 3 3.796 34/130 934/3488

51 IDODI IRINGA(DC) 171 0 14 46 100 11 3.815 35/130 969/3488

52 ST. MICHAEL KILOLO 62 3 8 13 29 9 3.817 36/130 971/3488

NA

SHULE HALMASHAURI WA

LIO

FA

NY

A

MADARAJA GPA

Nafasi

I II III IV O

kimkoa kitaifa

Page 8: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA …iringa.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/TAARIFA YA... · 2019. 1. 31. · I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi

8

53 UDZUNGWA KILOLO 149 2 14 41 74 18 3.836 37/130 1015/3488

54 LUGANGA MAFINGA MJI 121 2 18 22 62 17 3.838 38/130 1018/3488

55 EFATHA IRINGA (M) 39 0 3 13 20 3 3.8513 39/130 1066/3488

56 NYERERE MIGOLI IRINGA(DC) 203 4 20 40 123 16 3.857 40/130 1078/3488

57 DABAGA KILOLO 83 4 3 18 51 7 3.86 41/130 1089/3488

58 MLANDEGE IRINGA (M) 91 0 11 27 34 19 3.8640 42/130 1098/3488

59 KIHESA IRINGA (M) 175 8 11 42 82 32 3.8640 43/130 1099/3488

60 UKWEGA KILOLO 74 0 7 17 39 11 3.874 44/130 1125/3488

61 SELEBU KILOLO 74 0 7 19 40 8 3.889 45/130 1157/3488

62 KINGEGE MUFINDI 52 0 4 11 34 3 3.897 46/130 1184/3488

63 UKUMBI KILOLO 18 0 2 3 11 2 3.903 17/32 515/1371

64 MTWIVILA IRINGA (M) 84 1 8 17 47 11 3.9166 47/130 1247/3488

65 PAWAGA IRINGA(DC) 111 2 5 22 68 14 3.928 48/130 1286/3488

66 MTERA IRINGA(DC) 84 0 5 17 56 6 3.939 49/130 1314/3488

67 ITONA MUFINDI 71 1 4 13 50 3 3.949 50/130 1348/3488

68 KIWELE IRINGA(DC) 142 2 14 19 97 10 3.951 51/130 1351/3488

69 MLOWA IRINGA(DC) 40 1 3 8 23 5 3.952 52/130 1354/3488

70 ITANDULA MUFINDI 111 2 8 15 81 5 3.962 53/130 1380/3488

71 MGOLOLO MUFINDI 108 1 10 18 61 18 3.973 54/130 1420/3488

72 KIBAO MUFINDI 47 0 4 9 27 7

3.98 55/130 1444/3488

73 MAKWEMA KILOLO

48 0 3 9 31 5 3.98 56/130 1447/3488

74 MLAFU KILOLO 33 0 3 3 25 2 3.983 18/32 639/1371

75 IFWAGI MUFINDI 79 0 5 14 55 5 3.983 57/130 1456/3488

76 LIPULI IRINGA(DC) 70 0 4 16 39 11 3.984 58/130 1460/3488

77 LUKOSI KILOLO 86 2 5 9 61 9 3.993 59/130 1492/3488

78 IHOWANZA MUFINDI 47 0 2 9 34 2 4.001 60/130 1521/3488

NA

SHULE HALMASHAURI

WA

LIO

FA

NY

A MADARAJA

GPA

Nafasi

I II III IV O

kimkoa kitaifa

79 ST AMBROSE MUFINDI 17 0 2 4 7 4 4.004 19/032 659/1371

80 KINYANAMBO MAFINGA MJI 148 1 12 29 79 27 4.007 61/130 1549/3488

81 MKWAWA IRINGA (M) 85 0 8 13 50 14 4.0081 62/130 1551/3488

Page 9: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA …iringa.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/TAARIFA YA... · 2019. 1. 31. · I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi

9

82 LUGHANO KILOLO 23 0 1 4 18 0 4.009 20/32 666/1371

83 KIMAIGA IRINGA(DC) 42 0 3 5 28 6 4.011 63/130 1559/3488

84 IROLE KILOLO 77 1 5 11 53 7 4.011 64/130 1563/3488

85 IDETERO MUFINDI 81 1 6 9 55 10 4.015 65/130 1581/3488

86 IPETA KILOLO 42 0 2 8 28 4 4.022 66/130 1610/3488

87 IPALAMWA KILOLO 20 0 1 4 13 2 4.022 21/32 686/1371

88 J.J. MUNGAI MAFINGA MJI 178 3 8 35 103 29 4.023 67/130 1620/3488

89 CHANGARAWE MAFINGA MJI 143 1 9 21 87 25 4.031 68/130 1663/3488

90 TAGAMENDA IRINGA (M) 172 2 12 37 74 47 4.0392 69/130 1707/3488

91 IRINGA UMMUSALAMA IRINGA (M)

31 0 2 7 17 5 4.0415 22/32 714/1371

92 MBALAMAZIWA MUFINDI 59 0 3 11 34 11 4.043 70/130 1723/3488

93 MLAMKE IRINGA (M) 153 1 16 23 78 35 4.0448 71/130 1732/3488

94 BOMALANG'OMBE KILOLO 96 0 5 9 76 6 4.054 72/130 1773/3488

95 ISMANI IRINGA(DC) 147 0 9 20 94 24 4.059 73/130 1785/3488

96 MAZOMBE KILOLO 60 1 4 6 39 10 4.075 74/130 1858/3488

97 MGALO MUFINDI 41 0 1 7 27 6 4.089 75/130 1922/3488

98 MAZOEZI KLERRUU IRINGA (M)

215 3 13 33 111 55 4.0909 76/130 1933/3488

99 MKALALA MUFINDI 72 0 6 7 47 12 4.093 77/130 1949/3488

100 NYAMALALA MAFINGA MJI 51 0 1 10 33 7 4.096 78/130 1966/3488

101 KIPONZELO IRINGA(DC) 100 1 5 13 60 21 4.097 79/130 1970/3488

102 LYANDEMBELA IRINGA(DC) 105 0 8 15 58 24 4.1 80/130 1982/3488

103 IGOWOLE MUFINDI 249 0 9 44 154 42 4.102 81/130 1993/3488

104 IHONGOLE MAFINGA MJI 102 0 7 18 50 27 4.104 82/130 2001/3488

NA

SHULE HALMASHAURI

WA

LIO

FA

NY

A MADARAJA

GPA

Nafasi

I II III IV O

kimkoa kitaifa

105 LUGALO IRINGA (M) 142 1 5 24 81 31 4.1045 83/130 2005/3488

106 NYALUMBU KILOLO 88 2 5 13 45 23 4.106 84/130 2017/3488

107 ILULA KILOLO 136 1 7 23 70 35 4.11 85/130 2031/3488

108 KWELU IRINGA (M) 28 0 2 3 17 6 4.1098 23/32 811/1371

109 KIYOWELA MUFINDI 50 1 3 3 31 12 4.112 86/130 2400/3488

110 MAWELEWELE IRINGA (M) 158 2 6 28 80 42 4.1169 87/130 2064/3488

Page 10: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA …iringa.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/TAARIFA YA... · 2019. 1. 31. · I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi

10

111 MAKUNGU MUFINDI 53 0 2 8 33 10 4.119 88/130 2073/3488

112 KIHEKA KILOLO 116 0 8 17 64 27 4.12 89/130 2083/3488

113 IPOGOLO IRINGA (M) 165 1 9 18 107 30 4.1228 90/130 2094/3488

114 KALENGA IRINGA(DC) 160 0 8 25 97 30 4.127 91/130 2109/3488

115 LULANZI KILOLO 55 0 2 7 37 9 4.132 92/130 2133/3488

116 LUNDAMATWE KILOLO 80 0 5 15 39 21 4.132 93/130 2135/3488

117 IHANU MUFINDI 64 0 0 8 50 6 4.132 94/130 2138/3488

118 KWAKILOSA IRINGA (M) 97 0 4 12 68 13 4.1323 95/130 2139/3488

119 IHALIMBA MUFINDI 71 0 3 10 45 13 4.146 96/130 2205/3488

120 MADEGE KILOLO 88 1 3 7 65 12 4.157 97/130 2259/3488

121 MDABULO MUFINDI 132 1 5 14 79 33 4.164 98/130 2284/3488

122 IDUNDA MUFINDI 33 1 0 5 19 8 4.165 24/032 892/1371

123 DIMITRIOS IRINGA(DC) 93 0 5 12 50 26 4.184 99/130 2369/3488

124 NAMNYAKI KILOLO 19 0 1 2 12 4 4.19 25/32 943/1371

125 LUMULI IRINGA(DC) 63 0 2 8 36 17 4.192 100/130 2407/3488

126 NZIVI MUFINDI 57 0 1 5 40 11 4.192 101/130 2411/3488

127 ILONGO MUFINDI 59 0 1 7 41 10 4.198 102/130 2447/3488

128 MNINGA MUFINDI 60 0 3 6 33 18 4.209 103/130 2490/3488

129 BUMLAYINGA MAFINGA MJI 53 0 1 5 37 10 4.219 104/130 2527/3488

130 KIDAMALI IRINGA(DC) 118 0 3 9 82 24 4.219 105/130 2529/3488

NA

SHULE HALMASHAURI

WA

LIO

FA

NY

A

MADARAJA GPA

Nafasi

I II III IV O

kimkoa kitaifa

131 MTAMBULA MUFINDI 80 0 2 4 62 12 4.221 106/130 2536/3488

132 LUHUNGA MUFINDI 42 0 1 3 31 7 4.227 107/130 2559/3488

133 NYOLOLO MUFINDI 61 0 4 2 39 16 4.229 108/130 2571/3488

134 KITOWO KILOLO 54 0 1 5 39 9 4.233 109/130 2586/3488

135 KASANGA MUFINDI 69 0 3 5 45 16 4.234 110/130 2596/3488

136 IGOMBAVANU MUFINDI 47 1 0 2 35 9 4.239 111/130 2617/3488

137 LUHOTA IRINGA(DC) 185 1 2 22 108 52 4.24 112/130 2623/3488

138 ILAMBILOLE IRINGA(DC) 53 0 1 3 35 14 4.243 113/130 2635/3488

139 FURAHIA IRINGA(DC) 57 3 0 4 30 20 4.245 114/130 2639/3488

140 MUHWANA IRINGA(DC) 89 0 1 9 61 18 4.248 115/130 2658/3488

Page 11: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA …iringa.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/TAARIFA YA... · 2019. 1. 31. · I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi

11

141 MASISIWE KILOLO 34 0 1 3 24 6 4.25 26/32 1040/1371

142 KIBENGU MUFINDI 63 0 1 5 43 14 4.252 116/130 2668/3488

143 MGAMA IRINGA(DC) 91 0 3 6 58 24 4.266 117/130 2734/3488

144 KIHANSI MUFINDI 70 0 1 8 41 20 4.282 118/130 2800/3488

145 LUMWAGO MAFINGA MJI 28 0 0 1 23 4 4.288 27/32 1091/1371

146 UHAMBINGETO KILOLO 90 0 4 11 38 37 4.308 119/130 2911/3488

147 NGANGWE KILOLO 72 0 5 4 36 27 4.308 120/130 2912/3488

148 WILIAM LUKUVI IRINGA(DC) 74 0 2 10 39 23 4.312 121/130 2926/3488

149 MSEKE IRINGA(DC) 90 0 1 7 55 27 4.324 122/130 2970/3488

150 NYANG'ORO IRINGA(DC) 78 0 4 6 36 32 4.327 123/130 2975/3488

151 MADUMA MUFINDI 59 0 0 5 36 18 4.333 124/130 3001/3488

152 MTITU KILOLO 87 0 3 8 40 36 4.344 125/130 3027/3488

153 MNYIGUMBA MAFINGA MJI 32 0 1 1 20 10 4.346 28/32 1164/1371

154 UMBUYA KILOLO 20 0 0 3 10 7 4.369 29/32 1186/1371

155 KILOLO KILOLO 79 0 1 7 43 28 4.371 126/130 3110/3488

156 ISIMILA IRINGA(DC) 166 0 2 14 100 50 4.374 127/130 3119/3488

NA

SHULE HALMASHAURI WA

LIO

FA

NY

A

MADARAJA GPA

Nafasi

I II III IV O

kimkoa kitaifa

157 LYASA IRINGA(DC) 31 0 0 2 18 11 4.4 30/32 1222/1371

158 ISALAVANU MAFINGA MJI 44 0 2 2 20 20 4.427 128/130 3249/3488

159 WASA IRINGA(DC) 81 0 1 2 45 33 4.478 129/130 3339/3488

160 HOPE KILOLO 2 0 0 0 1 1 4.5000 31/32 1303/1371

161 NDULI IRINGA (M) 70 0 1 3 32 34 4.5053 130/130 3381/3488

162 SAYUNI KILOLO 10 0 0 0 4 6 4.696 32/32 1366/1371

Jedwali Na.6: Mpangilio wa Mikoa kwa Ubora wa ufaulu

Page 12: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA …iringa.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/TAARIFA YA... · 2019. 1. 31. · I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi

12