muhtasari kuhusu sheria ya psssf...2018/09/11  · sheriaya mfuko wa hifadhi ya jamii kwa watumishi...

29
MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF CARE INTERNATIONAL DAR ES SALAAM 09/11/2018

Upload: others

Post on 11-Jan-2020

180 views

Category:

Documents


1 download

TRANSCRIPT

Page 1: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF

CARE INTERNATIONAL

DAR ES SALAAM

09/11/2018

Page 2: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

UAMUZI WA SERIKALI KUHUSU KUUNGANISHA MIFUKO YA PENSHENI

❑Tarehe 20 Oktoba, 2017 Serikali ilipitisha uamuzi kwa ajili ya:

➢kuunganisha Mifuko ya Pensheni ya PSPF, LAPF, GEPF na PPF na

kuunda mfuko mmoja PSSSF ajili ya Watumishi wa Umma.

➢Kuufanyia marekebisho Mfuko wa NSSF ili uwe Mfuko

mahsusi kwa ajili ya wafanyakazi wa Sekta binafsi na sekta

isiyo rasmi.

Page 3: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

MALENGO YA KUUNGANISHA MIFUKO YAPENSHENI

❑Hatua ya kuunganisha Mifuko ya Pensheni ililenga:

➢Kupunguza gharama za uendeshaji;

➢Kuwa na mfumo wa mifuko ya pensheni inayozingatia masharti ya ajira;

➢Kuimarisha Mifuko ya Pensheni ili kuiwezesha kutoa mafao zaidi kwa

wanachama kama ilivyoanishwa kwenye Mkataba wa ILO

➢Kuweka utaratibu wa kukabiliana na tatizo la upotevu wa ajira kwa

wanachama kwa kuanzisha Fao la Upotevu wa Ajira; na

➢Kuboresha huduma kwa wanachama wa Mifuko ya Pensheni.

Page 4: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

▪ Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwa na

Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe 31 Januari, 2018

▪ Sheria inauunganisha Mifuko minne ya pensheni ambayo ni PSPF, PPF, GEPF NA LAPF na kuunda

Mfuko mmoja wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).

▪ Sheria ya PSSF imesainiwa tarehe 8 Februari, 2018 na kutangazwa kwenye Gazeti la Serikali la

Tarehe 9 Februari, 2018.

▪ Sheria iliaanza kutumika tarehe 1 Agosti, 2018 na hiyo ndiyo tarehe rasmi ya kuanza kwa Mfuko wa

PSSSF

▪ Kanuni za utekelezaji wa Sheria ya PSSSF zimekamilika na zimekwishatangazwa katika Gazeti la

Serikali kwa sasa taratibu za uchapaji zinaendelea katika Ofisi ya Mpiga Chapa wa Serikali

▪ Sheria hiyo imegawanyika katika sehemu kuu Kumi na Moja.

KUTUNGWA KWA SHERIA YA PSSSF

Page 5: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

MAMBO MUHIMU YALIYOZINGATIWA KWENYE SHERIA

❑Kuanzisha Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Vif. 49

& 6 PSSSF Act

❑Kubainisha kwa uwazi jumla ya mafao 7 yatakayolipwa na PSSSF Kifungu cha

29 PSSSF &21 NSSF

❑Kuweka utaratibu bora na ulio rahisi wa wanachama wa mifuko inayounganishwa

kuhamia kwenye mfuko mpya pasipo kuathiri mafao yao na uendelevu wa mfuko

mpya…”cut off date”. Vif. 5 PSSSF & 95 NSSF

❑Kuainisha viwango vya uchangiaji na namna ya uchangiaji katika mfuko mpya

(15% kwa 5%).

❑Kuweka bayana kuwa mafao na michango ya wanachama haitatozwa kodi

kama ilivyokwisha bainishwa katika sheria za kodi. Vif. 47 &56;

Page 6: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

MAMBO MUHIMU YALIYOZINGATIWA…contd

❑Kuweka mfumo madhubuti utakaohakikisha mwanachama anapata mafao kwa wakati

kama ifuatavyo:

➢kuweka mfumo rahisi na mfupi wa mashauri ya madai ya michango mahakamani

(summary proceedings).

➢Kuweka mfumo wa makosa ya jinai na kuwezesha wanasheria wa Mfuko

kuendesha mashauri hayo pale watakapoidhinishwa na DPP

➢Kuimarisha mfumo wa ukaguzi maeneo ya Kazi

➢Kuzuia mali za mfuko kukamatwa kwa amri ya mahakama

➢Kuweka masharti yatakayomwezesha mwanachama kutumia mafao yake

kujipatia mikopo ya nyumba (home mortgage);

Page 7: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

MAMBO MUHIMU YALIYOZINGATIWA…contd

❑Kuanzisha fao la upotevu wa ajira (unemployment benefit)

❑Kuongeza wigo wa wanachama wa mfuko mpya kwa kuwatambua wafanyakazi

wote waliopo kwenye mashirika ambayo serikali ina hisa kuwa wanachama wa

mfuko huo.

❑Kuainisha muundo wa bodi ya wadhamini ili kuzingatia uwakilishi wa waajiri na

wafanyakazi.

❑Kuboresha masharti kuhusu mafao ya majaji na viongozi wengine waandamizi wa

serikali ambao wanashika nafasi za kikatiba kwa kutenganisha mafao yao ya

pensheni na stahili nyingine wanazopata wakati wa kustaafu.

Page 8: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

MAMBO MUHIMU YALIYOZINGATIWA…contd

❑inatoa fursa kwa mwanachama anayetumikia kifungo jela

kushirikishwa juu ya namna bora ya mafao yake yatakavyotumika

ikiwa ni pamoja na kutunza familia yake akiwa anaendelea kutumikia

kifungo kwa kuiandikia bodi ya mfuko na bodi itafanyia maamuzi

kwa kuzingatia taarifa ya mfungwa husika;

❑Imeainisha kipindi cha mpito na mambo yanayopaswa kusimamiwa

na kutekelezwa katika kipindi hicho;

❑Kumpa mamlaka Waziri mwenye Dhamana ya Hifadhi ya Jamii

kutunga kanuni za utekelezaji wa sheria hiyo

Page 9: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

USALAMA WA MICHANGO, MAFAO NA RASILIMALI ZA MIFUKO

❑Masharti ya Sehemu ya Kumi Sheria ya PSSSF yanatambua, yanalinda na kuhamishia katika

Mfuko wa PSSSF yafuatayo:

➢ Mikataba iliyoingiwa na Mifuko iliyounganishwa

➢Mashauri ya nidhamu yaliyofunguliwa na mifuko iliyounganishwa

➢Wanachama, wastaafu na wanufaika

➢Mifuko ya Hiari iliyokuwa chini ya Mifuko iliyounganishwa

➢ Rasilimali na Madeni ya mifuko iliyounganishwa

➢ Haki na wajibu wa Mifuko iliyounganishwa

➢ Vitega uchumi na Miradi

➢Madai ya Mafao;

➢Mashauri yaliyopo mahakamani

Page 10: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

MAMBO MUHIMU…UANACHAMA

• Mfuko wa PSSSF unaundwa na wanachama

wafuatao:

• wafanyakazi wote watakaoajiriwa

kwenye Utumishi wa Umma baada ya

tarehe 1 Agosti, 2018;

• waliokuwa wanachama wa mifuko

iliyounganishwa (PSPF, LAPF, PPF na

GEPF) mpaka tarehe 31 Julai, 2018 bila

kujali sekta walizopo.

• wafanyakazi wote watakaoajiriwa

kuanzia tarehe 1 Agosti, 2018 kwenye

makampuni au mashirika ambako Serikali

inamiliki zaidi ya asilimia 30 ya hisa za

kampuni.

• Mfuko wa NSSF utahudumia wanachama

wafuatao:

• Wafanyakazi walioajiriwa katika sekta

binafsi;

• Wafanyakazi wa kigeni walioajiriwa

Tanzania Bara;

• Wafanyakazi walioajiriwa katika Taasisi za

kimataifa zinazofanya kazi Tanzania Bara;

• Wafanyakazi waliojiajiri katika Sekta isiyo

rasmi;

• Kundi lingine lolote kama ambavyo

Mheshimiwa Waziri atakavyoona inafaa

baada ya kushauriwa na Mamlaka.

Page 11: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

MAMBO MUHIMU…UKUSANYAJI MICHANGO

• Viwango vya Uchangiaji (Kif. 18)

• PSSSF: Mwajiri – 15%, Mfanyakazi 5%

• NSSF: Mwajiri – 10%, Mfanyakazi 10%

• Mwajiri anaweza kuchangia kiwango kikubwa

Zaidi

• Mshahara utakaozingatiwa kufanya makato

ya michango katika Mfuko.

• PSSSF: -Posho

• NSSF: +Posho na marupurupu mengine anayopata

mfanyakazi

• Wafanyakazi ambao walikuwa wanachama

wa Mifuko iliyounganishwa (GEPF, LAPF, PPF

na PSPF), ambao mshahara uliokuwa

unatumika pamoja na viwango vya uchangiaji,

endapo vinatofautiana na masharti ya Sheria

ya Mfuko wa PSSSF, kwa Kipindi chote cha

Mpito, wataendelea kutumia mshahara na

viwango vya uchangiaji vilivyokuwa

vinatumiwa na Mifuko yao ya zamani, mpaka

watakapojulishwa vinginevyo na Mfuko.

Page 12: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

MAMBO MUHIMU…UKUSANYAJI MICHANGO

• Michango yote iliyowasilishwa katika Mifuko iliyounganishwa kabla ya

Tarehe 01 Agosti, 2018 itazingatiwa kana kwamba imewasilishwa katika

Mfuko wa PSSSF.

• Ili kulinda na kutetea maslahi ya mwanachama, sheria mpya ya PSSSF

imeweka faini ya kiwango cha Asilimia 1.5 ya michango iliyocheleweshwa

na endapo mwajiri ataendelea kuchelewesha michango, tozo itaendelea

kutozwa kwa utaratibu wa riba dundulizi (compound interest).

Page 13: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

MAMBO MUHIMU…ULIPAJI MAFAO

• Umri wa kustaafu: Kuanzia miaka 55 (hiari)

hadi miaka 60 (lazima)

• 60 – 65 kwa kada maalumu za kitaaluma

• Sheria PSSSF imeongeza mafao mapya

• Fao la Upotevu wa ajira; na

• Fao la Ugonjwa.

• Mafao kuto tozwa kodi

• Malipo ya mafao hata kama mwajiri atakuwa

hajawasilisha michango

• Kuboresha mafao ya warithi mara baada ya

mwanachama/mstaafu kufariki

• Kuboresha masharti ya Fao la Uzazi

• Sheria ya PSSSF (Kif. 43) kinaweka mtiririko wa

hatua za Mwajiri, Mfuko na Mwanachama

katika kulipa mafao ya pensheni.

• Mwajiri kutoa notisi ya kustaafu miezi 6 kabla

ya Tarehe ya kustaafu

• Mwanachama kufungua madai ya mafao

• Tozo ya 5% dhidi ya Mfuko kwa kuchelewesha

kulipa mafao

Page 14: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

UKOKOTOAJI WA MAFAO

CARE INTERNATIONAL

DAR ES SALAAM

09/11/2018

Page 15: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

MAFAO YA HIFADHI YA JAMII

MAFAO YA MUDA MREFU

• Pensheni ya Uzeeni

• Fao la Ulemavu

• Fao la Warithi

MAFAO YA MUDA MFUPI

• Fao la Upotevu wa Ajira

• Fao la Ugonjwa

• Fao la Uzazi

• Mkopo wa Nyumba

Page 16: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

MAMBO YALIYOZINGATIWA KATIKA KANUNI

• Vigezo na ukokotoaji wa Malipo ya Mafao ya Pensheni;

• Ukokotoaji wa Mafao Maalum ya Mkupuo (Special Lumpsum);

• Ukokotoaji na Utoaji wa Mafao ya Kupoteza uwezo wa kufanya kazi

kutokana na ulemavu au Ugonjwa (Invalidity Benefit);

• Utoaji wa Mafao ya Kifo (Death Gratuity)

• Ukokotoaji na Utoaji wa Mafao kwa Warithi; (Survivors Benefits)

• Utoaji wa Mafao ya Upotevu wa Ajira (Unemployment Benefit);

• Ukokotoaji wa Mafao ya Malipo ya Ugonjwa (Sickness benefit);

• Utoaji Mikopo ya nyumba kwa wanachama (Home Mortgage).

Page 17: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

A) VIGEZO NA UKOKOTOAJI NA MALIPO YAMAFAO YA PENSHENI

• Kanuni ya 4 na 5 zimeweka vigezo anavyostahili mwanachama ili alipwe mafao ya pensheni kama

ifuatavyo:-

• mwanachama awe amechangia kwa kipindi kisichopungua miezi 180 (miaka 15)

• ametimiza umri wa kustaafu wa lazima (60) au hiari (55)

• Kanuni ya 8 (1) imeonesha namna ya ukukotoaji wa mafao ya pensheni kama ifuatavyo:-

• Pensheni nzima (Full pension)

• 1/580 x jumla ya miezi ya uchangiaji x mishahara (APE);

• Mkupuo (Commuted pension)

• 1/580 x jumla ya miezi ya uchangiaji x mishahara (APE) x 12.5 x 25%

• Pensheni ya mwezi

• 1/580 x jumla ya miezi ya uchangiaji x mishahara x 75% x 1/12

Page 18: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

JEDWALI 1: MALIPO YA PENSHENI KWAMWANACHAMA

Mshahara wa mwezi (TZS) 1,000,000

Kiwango cha uchangiaji 20%

Muda wa Uchangiaji (miezi) 420 Miaka 35

Jumla ya Michango (TZS) 84,000,000

Kikotoo cha zamani Kikokotoo kipya

Mkupuo (TZS) 71,612,411 35,806,205

Pensheni ya mwezi (TZS) 371,847 557,771

Kiwango kilicho ongezeka (TZS) 185,924

Muda wa kuishi (miaka) 15.5 15.5

Jumla ya pensheni ya mwezi 69,163,542 103,745,406

Jumla ya mafao yote 140,775,953 139,551,611

Page 19: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

B) UTHAMINISHAJI WA MAFAO YA PENSHENI(INDEXATION);

• Kanuni ya 11 imeeleza namna ambavyo mafao ya pensheni yatakavyo thaminishwa ambapo mambo

yafuatayo yatazingatiwa:-

• mafao yaongezwa kwa asilimia 50 ya mfumuko wa bei,

• mfumuko wa bei uwe kati ya asilimia 1 mpaka 10.

• mfumuko wa bei ukiwa zaidi ya asilimia 10 uthaminishaji wa mafao utakua asilimia 5

• mfumuko wa bei ukiwa chini ya asilimia 1 kutakua hakuna uthaminishaji.

• Uthaminishwaji utafanywa kila baada ya miaka 3

Page 20: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

PENSHENI ILIYOAHIRISHWA(DEFERRED PENSION)

• Kanuni ya 12 inaweka utaratibu wa mwanachama aliyechangia zaidi ya miezi 180 na

yupo chini ya umri wa kustaafu kuhairisha pensheni yake kutokana na sababu zifuatazo;

• Atachaguliwa kwenye nafasi ya kisiasa;

• Kupunguzwa kazi;

• Mabadiliko ya muundo wa taasisi;

• Kufutwa kwa ofisi.

• Mwanachama atalipwa kwa mujibu wa kanuni ya 8 malipo ya mkupuo na kisha kulipwa

pensheni ya mwezi pindi atakapo fikisha umri wa kustaafu

Page 21: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

C) UKOKOTOAJI WA MAFAO MAALUM YAMKUPUO (SPECIAL LUMPSUM);

• Kanuni ya 13 imebainisha kuwa wanachamba ambao hawatakuwa na sifa za kulipwa pesheni

watalipwa Mafao Maalum ya Mkupuo

• Mafao Maalum ya Mkupuo yatakua ni jumla ya michango ya mwanachama iliyolipwa kwenye

Mfuko pamoja na riba iliyofafanuliwa kwenye kanuni hizi za mafao.

D) KIMA CHA CHINI CHA PENSHENI

• Kanuni ya 14 imefafanua kuwa kima cha chini cha pensheni kuwa kisiwe chini ya asilimia 40 ya

mshahara wa sekta ya ajira ya mwanachama anayestaafu.

Page 22: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

E) UKOKOTOAJI NA UTOAJI WA MAFAO YA KUPOTEZAUWEZO WA KUFANYA KAZI KUTOKANA NA ULEMAVU AU

UGONJWA (INVALIDITY BENEFIT);

• Kanuni YA 16 imebainisha kuwa malipo ya kupoteza uwezo wa kufanya kazi kutokana na

ulemavu au Ugonjwa (Invalidity Benefit) yatalipwa kwa kuzingatia kanuni ya 8 ya malipo ya

pensheni.

• Malipo haya hayatakiwi kuwa chini ya asilimia 30 ya wastani wa mshahara wa mwaka

ukigawanya kwa 12.

• VIGEZO

• Awe amefukuzwa kazi kutokana na ugonjwa usiotokana na kuumia kazini

• Awe amepoteza uwezo wa kufanya kazi usiotokana na kuumia kazini

• Awe chini ya umri wa kustaafu kwa hiari;

• Awe amechangia kwenye mfuko si chini ya miezi 36, ambapo miezi 12 iwe kabla ya kupata majanga haya.

Page 23: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

F) MAFAO YA KIFO (DEATH GRATUITY)

• Kanuni YA 17 inabainisha kuwa endapo mwanachama atafariki akiwepo kazini na

amechangia chini ya miezi 180 (miaka 15) wategemezi wake watalipwa mafao ya Kifo.

• Wategemezi hao watalipwa mkupuo maalum au mshahara bora, yoyote itakayokua

kubwa

• UTARATIBU

• Mjane/mgane atalipwa asilimia 40 ya mafao haya na kama wapo zaidi ya mmoja mafao haya

yatagawanywa sawa;

• Watoto watalipwa asilimia 60 iliyobaki na yatagawanywa sawa kwa watoto wote;

• Kama hakuna watoto mjane/magane atalipwa asilimia 100 ;

• Kama hakuna mjane/mgane watoto watalipwa asilimia 100;

• Kama kuna watoto wapo shuleni mgawanyo kwa watoto utagawanya nusu ambapo nusu moja itatumika

kulipia ada na itasimamiwa na mfuko, na nusu nyingine itagawanywa sawa kwa watoto;

• Mahakama inaweza kubadilisha mgawanyiko huu kwa sababu

Page 24: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

G) UKOKOTOAJI NA ULIPAJI MAFAO KWA WARITHI

• Kanuni ya 18, Mafao ya warithi (Survivor benefits) yatalipwa kwa mwanachama

aliyechangia kwa kipindi kisichopungua miezi 180 na yatalipwa kama ilivyo

ainishwa kwenye kanuni ya 8 ya ulipaji wa mafao ya pensheni.

• Kanuni ya 19: Vigezo vya malipo ya mafao ya warithi

• Mjane/mgane mwenye umri zaidi ya miaka 45 au chini na ana watoto chini ya miaka 15;

• Mtoto mwenye umri wa miaka 21 aliyepo masomoni au chini ya miaka 18;

• Watoto wa mwanachana asiyekua na mjane/mgane; au

• Kwa wazazi wa mwanachama aliyefariki bila watoto au mjane/mgane.

Page 25: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

H) UTOAJI WA MAFAO YA UPOTEVU WA AJIRA

• Kanuni ya 20 imebainisha kuwa mafao ya upotevu wa ajira yatakuwa sawa na

asilimia 33.3 ya mshahara wa mwezi wa mwanachama aliyepoteza ajira.

• Kanuni 21; Muda wa ulipaji wa mafao ya upotevu wa ajira;

• Mafao haya yatalipwa kwa kipindi kisichozidi miezi 6 kwa mwaka na mwanachama

atalipwa kwa kipindi kisichozidi miezi 18 katika kipindi chote cha ajirA;

• Kama mwanachama atakua hajapata ajira baada ya miezi 18 anaweza kumuandikia

Mkurungenzi Mkuu kuomba kuhamisha michango yake kwenda kwenye Mfuko wa

hiara wa chaguo lake na anaweza kuendelea kuchangia katika mfuko huo

• Michango hiyo ya mwanachama itakua ni sawa na malipo ya mkupuo maalum ukitoa

mafao ya upotevu wa ajira aliyokwisha kulipwa

Page 26: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

• Kwa mwanachama aliyechangia chini ya miezi 18 atalipwa asilimia 50 ya

michango yake

• Kama mwanachama atakosa ajira baada ya miezi 18 baada ya malipo haya

kukoma, ataweza kubadilisha michango yake kwenda kwenye Mfuko wa hiari wa

chaguo lake kwa kumuandikia Mkurungenzi Mkuu kuomba kuhamisha michango

hiyo na anaweza kuendelea kuchangia katika mfuko huo

• Michango hiyo ya mwanachama itakua ni sawa na malipo ya mkupuo maalum

ukitoa mafao ya upotevu wa ajira aliyokwisha kulipwa

..... Muda wa ulipaji wa mafao ya upotevu wa

ajira;

Page 27: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

I) UKOKOTOAJI WA MAFAO YA MALIPO YAUGONJWA

• Vigezo vya kulipwa mafao ya malipo ya ugonjwa; kanuni ya 22 imeainisha

vigezo vya kulipwa fao hili kama ifuatavyo:-

• Mwanachama awe mgonjwa au amepata ajali isiyotokana na kuumia kazini;

• Awe chini ya umri wa kustaafu kwa hiari;

• Awe amechangia kwenye mfuko angalau kwa miezi 36 ambapo miezi 12 iwe

imechangiwa kabla ya kuugua.

• Kiwango cha Mafao ya Malipo ya Ugonjwa

• Kanuni ya 24 imebainisha kuwa kiwango cha Mafao ya Malipo ya Ugonjwa kuwa ni

sawa na asilimia 40 ya mshahara wa mwezi kabla ya kuugua na atalipwa kwa muda

wa miezi mitatu

Page 28: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

J) UTOAJI WA MIKOPO YA NYUMBA (HOME MORTGAGE)

• Kanuni ya 24 imebainisha kwamba kila mwanachama wa mfuko ana haki ya

kutumia mafao yake kama dhamana ya kupata mkopo wa nyumba.

• Kanuni 25; Vigezo vya kupata mkopo wa nyumba

• Awe ni mwanachama wa mfuko husika;

• Awe amechangia kwenye mfuko si chini ya miaka 10;

• Muda wa malipo usizidi kipindi cha uchangiaji wa lazima; na

• Awe mtanzania.

• Mfuko utaingia makubaliano na benki ili mwanachama aweze pata mkopo huu

na usizidi asilimia 50 ya mafao ya mda mrefu ifuatavyo:-

• Mkupuo maalum kwa mwanachama aliyechangia pungufu ya miezi 180

• Pension nzima kwa mwanachama aliyechangia zaidi ya miezi 180

Page 29: MUHTASARI KUHUSU SHERIA YA PSSSF...2018/09/11  · Sheriaya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na.2 ya Mwaka 2018 ilipitishwana Bunge la Jamhuri ya Muungano tarehe31 Januari,

SHUKRAN