nguvu na udhaifu wa ngos za ki-islam tanzania

36
NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA Mussa J ASSAD

Upload: ira

Post on 14-Jan-2016

115 views

Category:

Documents


1 download

DESCRIPTION

NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA. Mussa J ASSAD. STATEMENT OF DISCLAIMER. YALIYOMO NI MAONI BINAFSI. HAYAWAKILISHI TAASISI YEYOTE INAYOHUSIANA NAMI KATIKA JAMBO LOLOTE. - PowerPoint PPT Presentation

TRANSCRIPT

Page 1: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

Mussa J ASSAD

Page 2: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 2

STATEMENT OF DISCLAIMER

YALIYOMO NI MAONI BINAFSI. HAYAWAKILISHI TAASISI YEYOTE

INAYOHUSIANA NAMI KATIKA JAMBO LOLOTE.

NIA NJEMA NDIYO YENYE KUKUSUDIWA. MIFANO YA TAASISI

IKITOKEA KUTAJWA BASI ICHUKULIWE KAMA MIFANO YA MAFUNZO TU NA SI TATHMINI KAMILIFU YA NAMNA TAASISI

INAVYOFANYA VIZURI AMA VIBAYA.

YALIYOMO NI MAONI BINAFSI. HAYAWAKILISHI TAASISI YEYOTE

INAYOHUSIANA NAMI KATIKA JAMBO LOLOTE.

NIA NJEMA NDIYO YENYE KUKUSUDIWA. MIFANO YA TAASISI

IKITOKEA KUTAJWA BASI ICHUKULIWE KAMA MIFANO YA MAFUNZO TU NA SI TATHMINI KAMILIFU YA NAMNA TAASISI

INAVYOFANYA VIZURI AMA VIBAYA.

Page 3: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 3

UTANGULIZI

.

Page 4: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 4

NGOs – NINI TAFSIRI YAKE?

NON GOVERNMENTAL ORGANISATIONS;

TAASISI MBADALA; TAFSIRI YA KINYUME – YENYE KUKANA – TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI;

KWANINI TAFSIRI YA KINYUME? ZINAFANYA YALE AMBAYO

SERIKALI INAYAFANYA BILA TIJA AU IMESHINDWA KUYAFANYA;

Page 5: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 5

‘CRUCIAL PILLAR OF INTERTANTIONAL HUMANITARIAN ARCHITECTURE’.

Page 6: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 6

HISTORIA FUPI YA NGOs

MAFUNGU MATATU YA KIHISTORIA [za-KIDINI, DUNANTIST na WILSONIAN];

Za-KIDINI NI ZA ZAMANI KULIKO ZOTE NYINGINE [WAMISSIONARI WAKIANDAMA NA WAKOLONI] – HURUMA NA SADAKA;

Page 7: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 7

HISTORIA FUPI YA NGOs

NGOs za-KIDINI WAKATOLIKI WANAONGOZA KWA UKUBWA WA TAASISI NA MUONEKANO [VISIBILITY];

CHRISTIAN REFUGEES SERVICES [CRS], CARITAS, CAFOD;

PROTESTANTS – WORLD VISION, etc

Page 8: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 8

HISTORIA FUPI YA NGOs

DUNANTIST – KUTOKANA NA HENRI DUNANT ALIEANZISHA RED CROSS KAMA MFUMO WA TAASISI YA KIBINADAMU KUKINGA RAIA KATIKA VITA; SAVE THE CHILDREN UK ILIANZISHWA WAKATI WA VITA KUU YA PILI KWA MTAZAMO WA DUNANT. OXFAM, nk.

Page 9: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 9

HISTORIA FUPI YA NGOs WILSONIAN – KUTOKANA NA RAIS

WOODROW WILSON WA MAREKANI;

LENGO NA TAMAA [AMBITION] – KUENEZA TASWIRA NZURI YA MISINGI YA MAISHA NA USHAWISHI WA MAREKANI KAMA NJIA NZURI YA KUFANYA WEMA KATIKA DUNIA;

CARE, PACT, nk.

Page 10: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 10

NGOs – MAENDELEO KARNE YA 20 NGOs ZIMEONGEZEKA MARADUFU

NUSU YA PILI YA KARNE YA 20 KATIKA MATAIFA YALIOENDELEA;

VIGOGO KATIKA NGOS – CARE, CRS, MSF, OXFAM, SAVE THE CHILDREN, WORLD VISION;

CARE, CRS, SAVE THE CHILDREN, WORLD VISION KWA PAMOJA WALIPEWA ROBO YA BAJETI YA MAREKANI YA MISAADA NA MAENDELEO.

Page 11: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 11

NGOs – MAENEO YA SHUGHULI MISAADA YA DHARURA KATIKA

MAJANGA [EMERGENCY RELIEF]; REHABILITATION KWA MAANA YA

UWEZESHAJI KURIDISHA MAISHA YA KAWAIDA BAADA YA MISUKOSUKO; NA

MAENDELEO [DEVELOPMENT].

Page 12: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 12

NGOs – MAENEO YA SHUGHULI

-

50,000

100,000

150,000

200,000

250,000

300,000

350,000

2000 2001 2002

Emergency Rehabilitation Development

Page 13: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 13

NGOs ZA KI-ISLAM HAZIFAHAMIKI VIZURI AMA KWA

UDHAIFU WAO AMA KWA UTASHI WA WENYE KUWEZESHA KUFAHAMIKA;

MPAKA MIAKA YA KARIBUNI HAZIKUWA ZINAINGIZWA KATIKA MAZUNGUMZO YA KIMAENDELEO [Development Discourse];

LAKINI SASA ZIMEANZA KUONEKANA KAMA MHIMILI MUHIMU KATIKA KUWAENDEA WAISLAM [ISLAMIC RELIEF, MUSLIM AID, ETC.].

Page 14: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 14

VITOFAUTISHI VY NGOs ZA KIISLAM UISLAM KAMA ULIVYO DUNIANI SASA

HIVI HAUNA MSONGE WA MADARAKA [Hierarchy];

HAKUNA UHUSIANO WA MOJA KWA MOJA KATI YA NGOs NA VIONGOZI WA DINI NA IBADA;

MATOKEO -> ADHOC EMERGENCE, KUKOSEKANA URATIBU [COORDINATION] NA KUUNGANA NGUVU KWA MAMBO YENYE MANUFAA YA PAMOJA KWA JAMII.

Page 15: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 15

VITOFAUTISHI VY NGOs ZA KIISLAM SADAKA NA ZAKA NI SEHEMU YA DINI

NA IBADA KATIKA UISLAM. DINI NYINGINE HAZIWEZI KUDAI JAMBO HILI KUTOKA MOJA KWA MOJA KWENYE MAANDIKO YAO;

HIVYO NI JAMBO LA LAZIMA KUTOA ZAKA NA INAKOKOTEZWA KUTOA SADAKA VILEVILE. NI JUKUMU LA WALIOJAALIWA KUWATAZAMA WALE AMBAO HAWAKUJAALIWA. SI JAMBO LA UTASHI TU, NI HAKI ZA WATU.

Page 16: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 16

MAENEO DHAIFU YA NGOs ZA KIISLAMSTATEMENT OF DISCLAIMER

NIA NJEMA NDIYO YENYE KUKUSUDIWA. MIFANO YA TAASISI

IKITOKEA KUTAJWA BASI ICHUKULIWE KAMA MIFANO YA MAFUNZO TU NA SI TATHMINI KAMILIFU YA NAMNA TAASISI

INAVYOFANYA VIZURI AMA VIBAYA.

NIA NJEMA NDIYO YENYE KUKUSUDIWA. MIFANO YA TAASISI

IKITOKEA KUTAJWA BASI ICHUKULIWE KAMA MIFANO YA MAFUNZO TU NA SI TATHMINI KAMILIFU YA NAMNA TAASISI

INAVYOFANYA VIZURI AMA VIBAYA.

Page 17: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 17

MAENEO YENYE NGUVU YA NGOs ZA KIISLAM

SADAKA NA ZAKA NI SEHEMU YA IBADA KATIKA UISLAM;

KWA SEHEMU KUBWA NGOs ZA KI-ISLAM HAZINA UBADHIRIFU WA DHAHIRI NA WENYE KUENDELEA UNAOONEKANA NDANI YA NGOs NYINGINE. KWANINI?

KUWAJIBIKA KWA ALLAH [SWT]; WAISLAMU HAWANA STAHA NA ISRAFU

JUU YA MALI YA SADAKA. MAKELELE YATAPIGWA NA HABARI KUFIKISHWA.

Page 18: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 18

MAENEO YENYE NGUVU YA NGOs ZA KIISLAM

IDADI YA WAUMINI NI KUBWA NA WANAKUTANA MARA NYINGI ZAIDI;

NAFASI KUBWA ZA KUSEMEA NA KUSIMAMIA MAMBO YAO IPO. INGAWA KUNA WASIWASI KWAMBA HATUSHUGHULIKI NAYO NAFASI HIYO;

NA KADHALIKA.

Page 19: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 19

MAENEO DHAIFU YA NGOs ZA KIISLAM

‘THERE ARE NO BAD SOLDIERS, ONLY BAD GENERALS’

MKAKATI NI KAZI MAHSUSI YA BODI YA WADHAMINI NA WAKURUGENZI PAMOJA NA MKUU WA TAASISI;

AGHALABU, HAKUNA MKAKATI WA TAASISI ULIYOFANYIWA KAZI INAYOSTAHILI;

UTEUZI WA BODI HAUTILII MAANANI UWEZO WA WATEULE BALI VITU VINGINE [???].

KUBUNI, KUTEKELEZA NA KUSIMAMIA MIKAKATI

Page 20: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 20

MITAZAMO YA NGOs ZA KI-ISLAM IMEJIKITA ZAIDI SEHEMU MOJA – DAAWAH;

MISIKITI, MADRASAH, KUSOMA QURAN, KUCHAPISHA VITABU VYA DINI NA KUGAWA BURE AU KWA BEI YA CHINI, NK.

JE VIPI MAZINGIRA? HAIPO SEHEMU YAKE KATIKA UISLAMU? KUONGEZA KIPATO CHA WAISLAMU? VIKUNDI VYA KUWEKA NA KUKOPA? NK. ZIPO JUHUDI LAKINI KIDOGO SANA. TUNAHITAJI WIGO MPANA ZAIDI, PAMOJA NA UDHAIFU WETU.

KUBUNI, KUTEKELEZA NA KUSIMAMIA MIKAKATI

Page 21: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 21

MAENEO DHAIFU YA NGOs ZA KIISLAM

‘US NGOs have a strong corporate model’ PROFESSIONALISM INAHUSIANA SANA

NA ORGANISATIONAL EFFECTIVENESS. SASA JE TUNAONAJE WELEDI WA TAASISI ZETU NA UBORA WA UTENDAJI WAKE?

TAFITI ZINAONYESHA KWAMBA NGOs NYINGI ZINA TATIZO ENEO HILI. JE ZA KI-ISLAM?

UONGOZI NA UENDESHAJI WA TAASISI

Page 22: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 22

NGOs ZA KI-ISLAM HAZITABIRIKI MTAZAMO WAKE KWA KUTEGEMEA IMANI YA UISLAM PEKE YAKE BALI PIA HUTEGEMEA TAFSIRI NA MITAZAMO TOFAUTI YA VIONGOZI WAKE. NAYO HII HUTOKANA NA TAMADUNI NA MIFUMO YA ELIMU WALIOSOMEA VIONGOZI WA TAASISI;

ATHARI YAKE NI MAHUSIANO YA JUU JUU NDANI YA NCHI NA ‘SUFURI’ NJE YA NCHI.

UONGOZI NA UENDESHAJI WA TAASISI [2]

Page 23: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 23

NGOs ZA KI-ISLAM HAZIONGOZWI KATIKA MISINGI SAHIHI YA UADILIFU WA VIONGOZI – YAANI KIONGOZI KUWA WAKATI WOTE NA RADHI ZA ANAOWAONGOZA;

FOUNDER’S SYNDROME, BABA, BABU, ETC.

UONGOZI NA UENDESHAJI WA TAASISI [2]

Page 24: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 24

VIONGOZI WANAOIJUA DINI SI LAZIMA WAWE VIONGOZI WA TAASISI KAMA NGOs – WATAFUTWE VIONGOZI WENYE SIFA ZINAZOTAKIWA KUKIDHI MAHITAJI;

ATHARI YAKE NI UGOMVI, KESI NA MUDA MWINGI VIONGOZI KUTUMIA KUTETEA NAFASI ZAO BADALA YA KUFANYA KAZI ZA KUPELEKA MBELE TAASISI.

UONGOZI NA UENDESHAJI WA TAASISI [2]

Page 25: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 25

NGOs ZA KI-ISLAM ZINAJITAMBULISHA MOJA KWA MOJA NA IMANI YA DINI YA KI-ISLAM KAMA NGUVU YA MSINGI YA UHAI WA TAASISI. HILI NI JAMBO ZURI SANA LAKINI LINA GHARAMA ZAKE. TURKISH MUSLIM NGOs ZIMEJITOFAUTISHA KIDOGO KATIKA HILI. JE LINAFAA JAMBO HILI KATIKA MAENEO FULANI FULANI? HOUSING COOPERATIVE, KWA MFANO.

MAMBO YAHUSUYO IDENTITY [UTAMBULISHO NAFSI]

Page 26: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 26

KWA UJUMLA WAKE MIFUMO YA UENDESHAJI, HATUSEMI MIBAYA, LAKINI INAHITAJI KUWA MIZURI ZAIDI;

VITU GANI? – MAHUSIANO YA NAFASI [STRUCTURE], MAWASILIANO YA NDANI NA NJE, MIKUTANO NA USHIRIKI KATIKA NGAZI ZOTE, UWEKAJI NA UTUNZAJI WA TAARIFA NA KUMBUKUMBU, UCHAPISHAJI NA UTOAJI WA TAARIFA ZINAZOFAA NA ZINAZOTAKIWA, ETC.

MATATIZO YA MIFUMO YA UENDESHAJI

Page 27: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 27

UDHAIFU WA WAISLAM WENYE UJUZI KILA MMOJA WAO KWA KIWANGO CHAKE KWA KUSHINDWA KUSAIDIA KWA JUHUDI ZAKE ZOTE KATIKA MAENEO ANAYOWEZA KUSAIDIA;

COMPETENCIES ARE EVIDENT WHERE WE WORK FOR OUR EMPLOYERS [for money] BUT NOT IN OUR MUSLIM NGOs!

LABDA NGOs ZETU NDOGO NDOGO MNO LAKINI NDIZO ZINAZOHITAJI UWEZO WA MIFUMO MIZURI ZAIDI.

MATATIZO YA MIFUMO YA UENDESHAJI

Page 28: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 28

JE TUNA KUNDI [POOL] LA WAFANYAKAZI TUNAOWEZA KUWATUMIA IKILINGANISHWA NA NGOs NYINGINE?

JE KUNA MFUMO WA KUWAENDELEZA KUWA ‘DEVELOPMENT PROFESSIONALS’ WALE TULIONAO? NA JE NI MUHIMU KWELI JAMBO HILI?

PART TIME/WEEK-END DEVELOPMENT PROFESSIONALS?

UPUNGUFU WA WAFANYAKAZI WAENDESHAJI

Page 29: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 29

SI HABARI YA MAZUNGUMZO YA KILEO NA POLITICAL CORRECTNESS. HILI NI JAMBO MUHIMU SANA;

TAZAMA NA FUATILIA KURA ZA MAONI PALE KINA MAMA WALIPOWEKA MSIMAMO WAO;

NETWORKS ZA KINA MAMA NI INTENSIVE, STRONGER AND BIGGER;

HATUNA FURSA YA KUACHA KUWAHUSISHA KIKAMILIFU.

WASAA MDOGO UMEACHWA KWA MAMA NA DADA ZETU

Page 30: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 30

UTOAJI DHAIFU NA WA MSIMU UNA ATHARI HIYO HIYO KWENYE TAASISI;

ZAKA NA SADAKA MARA NYINGI HUTOLOWA WAKATI WA MFUNGO WA RAMADHANI. LAKINI MAHITAJI YA WAISLAM WENYE DHIKI NA MAISHA DUNI YAPO MWAKA MZIMA!

UTOAJI UNAFUNGWA KATIKA MAENEO MACHACHE YENYE ‘BIMA ZA THAWABU’ [MISIKITI, MADRASA, KUHIFADHI QURAN, ETC].

UTOAJI DHAIFU NA WA MSIMU

Page 31: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 31

UISLAM UNAPENDELEA ZAIDI SIRI KATIKA UTOAJI WA SADAKA. HIVYO WATOAJI HAWATAKI KUFAHAMIKA. KATIKA MAENEO YENYE MIFUMO MIBOVU YA UTENDAJI HILI JAMBO HULETA FITNA KUBWA;

KITU GANI KIMEPOKEWA NA NANI, NA KIMETUMIKA NAMNA GANI? INAWEZEKANA SIRI YA UTOAJI KUTUNZWA NA BADO KUMBUKUMBU NZURI ZIKAWEKWA NA KUCHAPISHWA.

HABARI YA FEDHA

Page 32: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 32

KUTOKANA NA HILI LA FITNA YA FEDHA WATOAJI WANATAZAMA NANI MTU ANAYEAMINIKA [si TAASISI] AMBAYE ATAWEZA KUSIMAMIA AMANA YA FEDHA NA VITU KAMA HIVYO;

HAWA SASA WANAKUWA WATU MUHIMU KAMA VIUNGANISHI INAPOTOKEA TAASISI ZINAHITAJI UWEZO WA KIFEDHA KUTEKELEZA MAJUKUMU;

WAFADHILI WA NJE? INAKUWA TAABU.

NYONGEZA JUU YA HABARI YA FEDHA

Page 33: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 33

BAADA YA 9/11 WATOAJI WANAPATA MISUKOSUKO KWANI NGOs ZA KI-ISLAM ZINASHABIHISHWA NA UGAIDI, PALE STICKER HII INAPOONEKANA INAFAA. LABDA TUWEKE NA KUBAINISHA HABARI ZETU ZA FEDHA DHAHIRI HASA KWA WASHIKADAU WETU. KAMA TUNAVYOFANYA KATIKA BAADHI YA MISIKITI YETU.

NYONGEZA JUU YA HABARI YA FEDHA

Page 34: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

21 April 2023 34

MANENO YA KUMALIZIA

‘IT IS NOT ALL DOOM AND GLOOM – LOTS OF BRIGHT SPOTS’

TUZIJENGEE UWEZO NGOs ZETU KATIKA NAMNA AMBAYO TUTAPATA KUONGEZA UAMINIFU WA WATU, VIONGOZI NA TAASISI. LAKINI PIA UWEZO UTATUONGEZEA HESHIMA JUU YA TAASISI ZETU, HASA KATIKA MASHIRIKIANO NA TAASISI NYINGINE NDANI NA NJE YA NCHI;

IPO NAFASI NA DHIMA KUBWA KWA ‘MUSLIM PROFESSIONALS’ KUSAIDIA.

Page 35: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

SOLUTIONS – KEEP IT SIMPLE

Page 36: NGUVU NA UDHAIFU WA NGOs ZA KI-ISLAM TANZANIA

Don’t bother me with your ideas now, I’ve got a job to do!