orodha kipau mbele ya bidhaa saidizi utafiti wa …...orodha kipau mbele ya bidhaa saidizi utafiti...

9
Orodha Kipau Mbele ya Bidhaa Saidizi Utafiti wa Kimataifa Historia Tunahitaji zaidi ya bilioni ya bidhaa saidizi sasa na bilioni 2 ifikapo mwaka 2050. Hata hivyo, leo tu 1 kati ya 10 ya watu wanaohitaji wanapata bidhaa saidizi (Assistive products-AP). Kubadili hali hii mazingira, kulingana na mafanikio na masomo ya Essential Medicines List (EML), WHO ina endeleza WHO pendekezo la Orodha ya kipaumbele ya Bidhaa Saidizi, ili kusaidia nchi wanachama wa kupanga sera na mipango kuhusiana na utoaji wa bidhaa saidizi. Kama EML, lengo kuu la mpango huu ni kuboresha upatikanaji wa bidhaa saidizi kwa bei nafuu. Kuelekea lengo hili, WHO ina zinduza utafiti wa kimataifa ili kubaini bidhaa saidizi hamsini zilizo kipaumbele. Wadau wote, hasa watumiaji / walio na uwezo wa kutumia au familia zao / mashirika wana ombwa kushiriki katika utafiti huu. Unaombwa kushiriki katika utafiti huu na wenzako na marafiki. Tafadhali kukamilisha utafiti huu kwa mtandao au, kujaza fomu ya utafiti iliyoko katika mtandao kwa kuchagua bidhaa saidizi 50 zilizo kipaumbele,na utakapo jaza fomu, tuma kwa [email protected]. Ukikubaliana na maelezo, jaza maelezo yako binafsi ili kutuwezesha kuendelea kuwasiliana na taarifa juu ya maendeleo kuhusiana na jitihada hii. Matokeo ya utafiti ita chambuliwa bila ya kuonyesha vitambulisho vya watu binafsi waliohusishwa kwenye utafiti. Taarifa zote zitabaki siri. Asante kwa ushirikiano wako katika zoezi hili. Chapal Khasnabis ([email protected]) Global Cooperation on Assistive Technology (GATE) http://www.who.int/phi/implementation/assistive_technology/phi_gate/en/ Maelezo yako binafsi Jina ___________________________________________________________________________________________ Umri ______________ Jinsia kiume kike Nchi _________________________ E-mail _______________________ Simu / simu ya rununu_________________ Uko na ulemavu yeyote ? Ndio La una matumizi ya vifaa vyovyote vilivyo saidizi? Ndio La kama jibu lako ni ndio au la, ni vifaa vya aina gani? vya kutembelea kuona kusikia mawasiliano utambuzi mazingira Je, ungependa kuwasiliana nasi baada ya zoezi hili kukamilika na pia siku za usoni? Ndio La

Upload: others

Post on 01-Feb-2020

15 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Orodha Kipau Mbele ya Bidhaa Saidizi

Utafiti wa Kimataifa

Historia

Tunahitaji zaidi ya bilioni ya bidhaa saidizi sasa na bilioni 2 ifikapo mwaka 2050. Hata hivyo, leo tu 1 kati ya 10 ya

watu wanaohitaji wanapata bidhaa saidizi (Assistive products-AP). Kubadili hali hii mazingira, kulingana na mafanikio

na masomo ya Essential Medicines List (EML), WHO ina endeleza WHO pendekezo la Orodha ya kipaumbele ya

Bidhaa Saidizi, ili kusaidia nchi wanachama wa kupanga sera na mipango kuhusiana na utoaji wa bidhaa saidizi. Kama

EML, lengo kuu la mpango huu ni kuboresha upatikanaji wa bidhaa saidizi kwa bei nafuu. Kuelekea lengo hili, WHO

ina zinduza utafiti wa kimataifa ili kubaini bidhaa saidizi hamsini zilizo kipaumbele.

Wadau wote, hasa watumiaji / walio na uwezo wa kutumia au familia zao / mashirika wana ombwa kushiriki katika

utafiti huu. Unaombwa kushiriki katika utafiti huu na wenzako na marafiki. Tafadhali kukamilisha utafiti huu kwa

mtandao au, kujaza fomu ya utafiti iliyoko katika mtandao kwa kuchagua bidhaa saidizi 50 zilizo kipaumbele,na

utakapo jaza fomu, tuma kwa [email protected].

Ukikubaliana na maelezo, jaza maelezo yako binafsi ili kutuwezesha kuendelea kuwasiliana na taarifa juu ya

maendeleo kuhusiana na jitihada hii. Matokeo ya utafiti ita chambuliwa bila ya kuonyesha vitambulisho vya watu

binafsi waliohusishwa kwenye utafiti. Taarifa zote zitabaki siri.

Asante kwa ushirikiano wako katika zoezi hili.

Chapal Khasnabis ([email protected])

Global Cooperation on Assistive Technology (GATE)

http://www.who.int/phi/implementation/assistive_technology/phi_gate/en/

Maelezo yako binafsi

Jina ___________________________________________________________________________________________

Umri ______________ Jinsia kiume ☐ kike ☐

Nchi _________________________ E-mail _______________________ Simu / simu ya rununu_________________

Uko na ulemavu yeyote ? Ndio ☐ La ☐

una matumizi ya vifaa vyovyote vilivyo saidizi? Ndio ☐ La ☐

kama jibu lako ni ndio au la, ni vifaa vya aina gani? vya kutembelea ☐ kuona ☐ kusikia ☐mawasiliano ☐

utambuzi ☐mazingira ☐

Je, ungependa kuwasiliana nasi baada ya zoezi hili kukamilika na pia siku za usoni? Ndio ☐ La ☐

1. Uhamaji/Kutembea

Eneo Jina la Bidhaa

(ISO Code) Maelezo

Crutches

1 Axillary crutches 12.03.12

Vifaa vya kutoa msaada wakati wa kutembea ambazo zilizo wekwa kitambaa cha kusaidia dhidi ya mwili kuumia juu karibu na ubavu

2 Elbow crutches 12.03.06

Vifaa vya kutembelea, ambazo zina msaada sawa na

mviringo nusu kwa ajili ya kisigino. ☐

Walking

sticks and

canes

3 Walking sticks/canes 12.03.03

Kifaa cha kutembelea kilicho na kishikio sawa na

fimbo ☐

4

Tripod/Quadripod sticks 12.03.16

Kifaa cha kutemebelea kilicho na vijiguu tatu vya

msimamo, ambazo huongeza msaada kwa wa

kutemeblea kwa mtumizi ☐

Walkers

5

Walking frames 12.06.03

Kifaaa cha kutembelea ambayo husaidia mtu

kudumisha utulivu na usawa wakati kutembea au

kusimama. In vijuguu nnee vya msimamo ☐

6

Rollators 12.06.06

Kifaa cha kutembelea kinacho saidia mtu kudumisha

utulivu na usawa wakati kutembea, ambayo ina

mikono na magurudumu tatu au zaidi (pamoja na au

bila jukwaa)

Wheelchair

7

Manual wheelchairs –basic type for active users 12.22.03

Kifaa cha kutembelea inwayo tumika na mtumiaji

binafsi kwa kusukuma magurudumu. Inaweza

kutumika ndani / nje na juu ya aina mbalimbali ya

ardhi/maeneo.

8 Manual wheelchairs - push type

Kifaa cha kutembelea kwa ajili ya matumizi ya ndani

na nje mdogo, kwa kusukumwa kwa mtumishi ☐

9

Manual wheelchairs – intermediate/advanced type 12.22.03

Mwongozo na msaada mkao kwamba inaweza

kubadilishwa na mahitaji ya mtumiaji wa mtu binafsi ☐

10 Sports wheelchairs 12.22.03

Kifaa cha kutemebele kilicho na msaada kwa ajili ya

michezo. ☐

11 Electrical wheelchairs 12.23.06

Kifaa cha kutembelea kilicho na magurudumu

yanayotumia betri. ☐

12

Electrical wheelchairs with postural support 12.23.06

Kifaa cha kutembelea cha magurudumu kilicho na

msaada wa mgongo inayotumia betri.

√Sahihisha 16 bidhaa ambazo

unafikiria ni muhimu

13

Tricycles (three-wheeled cycles) 12.18.09

Kifaa cha kutembeleakilicho na tairi ya mizunguko na

kutumika kwa uhamaji mkubwa na wengi wao

wakiwa na matumizi ya nje ☐

Lower limb

orthoses

14 Foot Orthoses (FO) 06.12.03

Kifaa kama kiatu kinacho tengenezwa kwa ajili ya

sehemu yote ya miguu. ☐

15

Footwear for diabetes/ neuropathic foot 06.33.30

Viatu vya kupunguza au kusambaza uzito juu ya tishu

ili kuzuia majeruhi katika maendeleo ya mguu wa

kisukari ☐

16 Orthopaedic shoes or footwear 06.33.30

Viatu vinavyo lenga kutibu kuharibika kwa miundo

ya mwili wa mtu mguu, kisigino na mguu ☐

17 Foot abduction braces/ Club foot braces

Kifaa kinacho tumika katika matibabu ya clubfoot ☐

18

Ankle Foot Orthoses (AFO) 06.12.06

Kifaa saidizi kilichozunguka na kutoa msaada kwa

kisigino ☐

19 Knee orthoses (KO) 06.12.09

Kifaa saidizi kilichozunguka na kutoa msaada kwa

goti ☐

20

Knee ankle foot orthoses (KAFO) 06.12.12

Kifaa saidizi kilichozunguka na viungo vya goti na

kifundo cha nguu ili kutoa kutoa msaada ☐

Upper limb

orthoses

21

Hand splints (cock-

up/wrist immobilizer)

06.06.12

Kutumika kwa kutulivu mkono na mishipa kwa

kudumisha nafasi inayostahili/inayoridhisha ☐

22

Static wrist-hand orthoses (WHO) 06.06.12

Kifaa kinachozunguka mkono ili kudumisha nafasi

ya kazi ya mikono na kuzuia ulemavu wa mkono ☐

23 Shoulder slings

Kifaa kinacho toa msaada kwa mkono ulion

amajeraha ☐

Spinal

orthoses

24

Thoraco-lumbo-sacral orthoses 06.03.09

Kifaa kilichozunguka yote au sehemu ya mikoa ya

kifua, lumbar na sacro-chango ya shina ☐

25 Cervical orthoses

06.03.12

Kifaa kinachosaidia yote au sehemu ya mgongo wa

kizazi ☐

Lower limb

prostheses

26

Below knee lower limb prosthesis 06.24.09

Kifaa kinachotoa msaadakwa sehemu ya kiungo chini

kati ya goti pamoja na kifundo cha mguu pamoja

baada ya kukatwa au bidhaa saidizi upungufu wa

kiungo cha miguu.

27

Above knee lower limb prosthesis 06.24.15

Kifaa kinachotoa msaada kwa sehemu ya kiungo

chini kati ya hip pamoja na goti pamoja baada ya

kukatwa au palipo na upungufu wa kiungo ( ☐

2. Kuona

Eneo

Jina la BBidhaa

(ISO Code) Maelezo

Spectacles

33

Spectacles for short distance/Reading glasses 22.03.06

Miwani inasaidia kuona masuala sahihi na

hubadilishwa ili kudumisha nguvu za aina

mbalimbali ☐

34 Spectacles for long distance 22.03.06

Miwani za kuwezesha kuona umbali ☐

35 Eyeglasses for low vision 22.03.06

Miwani maalum kwa ajili ya kuongeza /kuzalisha

picha/kifaa/maneno yaliyo madogo ☐

Magnifying devices

36 Magnifying glasses 22.03.09

Lensi hutumika kuzalisha picha ili kuongeza inavyo

onekana kuwa kubwa ☐

37 Hand-held digital magnifiers 22.03.18

mifumo inayonyesha picha wazi ya kitu kuwa karibu

alitekwa na kamera ya video ☐

38 Pc Magnifiers

Ukuzaji wakielekronikiwa kusoma programu kwa

ajili ya watu wasioona ☐

Tactile sticks 39 White canes (folding or non-folding) 12.39.03

Kifaa kinachotumika kueleze mazingira anyo

temeblea mtu asiye na uwezo wa kuona ☐

Upper limb

prostheses

28

Trans-humeral (above elbow) upper limb prosthesis 06.18.15

Kifaa kwamba nafasi ni sehemu ya kiungo wa juu kati

ya bega na elbow viungo baada ya kukatwa au palipo

na upungufu wa kiungo ☐

29

Trans-radial (below elbow) upper limb prosthesis 06.18.09

Kifaa cha msaada kwa kiungo cha juu kati ya mkono

na viungo vya kisigino baada ya kukatwa au palipo

na upungufu wa kiungo ☐

Special

devices for

children with

development

al delays

30 Adjustable walkers for

children

Kifaa cha Kusaidia watoto wenye aina yoyote ya

kusita kwa maendeleo ya kutembea ☐

31 Table/seating frames

Kifaa Maalum kilichoundiwa kiti na dawati kwa

watoto wenye aina yoyote ya kuchelewa kwa

maendeleo ya kuketi na msimamo ☐

32

Adjustable standing

frames

04.48.08

Kifaaa maaalum kilchoundwa kusaidia kukabili shida ya mtoto kuchelewa kwa maendeleo ya kusimama.Ina chaguo aina mbalimbali ya uhamaji.

√Sahihisha 9 bidhaa ambazo

unafikiria ni muhimu

40 Refreshable braille displays 22.39.05

Vifaa kwa urambazaji au utambulisho wa mazingira

kutumiwa na mtu asiye na uwezo wa kuona ☐

41 Text to speech software

Programu cha kusoma maandishi yaliyochaguliwa ☐

42

Screen readers 22.39.12

Programu ambayo hutafsiri kinachonyeshwa kwenye

screen na kumwakilisha kwa mtumiaji kwa

maandishi ya hotuba, sauti, au Braille ☐

43

Screen Reader for Smart Phone/tablet

Kifaa cha mawasiliano na screen ya kusoma

programu pia kutumika kwa ajili ya kusoma vitabu

na gazeti na piaa GPS ☐

Products for

writing

44 Portable braille note takers 22.12.21

Vifaa vya matumizi ya Braille au keyboard kwa ajili

ya sauti inayotoka ama kuingizwa kwenye braille ☐

45 Braille Printers

Kifaa cha kuchapisha maandishi kutoka kwenye

Braille kupitia kwa karatasi ☐

46 Braille writing equipment 22.12.12

Vifaa kwa ajili ya mwongozo Braille kinacho tumika

hkuchapisha maandishi kwa karatasi ☐

47 Braille translation software 22.39.12

Programu inayobadilisha maandishi ya kawaida

katika lugha ya braille ☐

48

Automatic Speech Recognition software

Programu kwa ajili ya kubadili maandishi yanayo

semwa katika maandishi yanayo someka kwenye

screen kwa muda muafaka ☐

Talking

devices

49 Talking calculators 22.15.06

Kifaaa cha kutoa hesabu katika sauti ☐

50 Talking/touching watches 22.27.12

Kifaa kinacho toa hesabu ya saa kama sauti ☐

3. Kusikia

Eneo

Jina la Bidhaa (ISO Code)

Maelezo

Hearing aids

51 Body worn hearing aids 22.06.06

Kifaa cha kuongeza uwezo wa kusikia kinachowekwa

kwa nguo ya mtu /shingo. ☐

52 Behind the ear hearing aids 22.06.15

Kifaa cha kuongeza sauti kinachovaliwa nyuma ya

sikio. ☐

√Sahihisha 7 bidhaa ambazo

unafikiria ni muhimu

53 In the ear or in the canal hearing aids 22.06.12

Kifaa cha kuongeza sauti kinachovaliwa ndani ya

sikio. ☐

54 Hearing aid rechargeable batteries and chargers

Vifaa cha kuongeza nguvu ya betri kwa vifaaa vya

kusikia kwa kutumia umeme / nishati ya juaS ☐

Communicati

on products

55 Amplified telephones 22.24.03

Aina ya simu iliyoundwa kuongezea sauti kwa watu

wenye ulemavu wa kusikia ☐

56 Video communication devices

Kifaa inayoruhusu mwingiliano kwa njia ya video ☐

57 Text to Text Communication Device

Kifaa cha mawasiliano ya maandishi- kati ya 2-4 watu ☐

58 Device/software for gesture to voice technologies

Lugha ya ishara kubadilishwa kuwa katika hotuba na

hotuba katika maandishi au lugha ya ishara ☐

62 DeafBlind Communicator

(DBC)

Inayowasilisha maandishi ya Braille kwenya simu ya

mkononi kupitia kwa blue tooth ☐

Signalling

products

59 Doorbell indicators 22.27.03

kifaa kinachoanzishwa wakati kengele ya mlango

inapolia ☐

60 Fire and smoke alarm signallers 22.27.09

Kifaa kinacho wekwa chini ya mto kuamsha mtumiaji

wakati kingora kinapolia/ moshi ☐

61 Vibrating multi-sound wrist bracelets 22.27.09

Humueleza mtumiaji wakati sauti mbalimbali

zimapopatikana, kama simu, kengele nk. ☐

Other

products

63 Captioning TVs 22.18.21

Vifaa vya sehemu ya mpango wa televisheni inayo

onyesha manemo yaliyosemwa kwenye screen. ☐

64

Automatic speech recognition in captioning systems

Maelezo yaliyoilichukuliwaa na ASR na kutafsiriwa

katika maandishi na kuonyeshwa kwa mtumiaji asiye

sikia au kiziwi ☐

4. Mawasiliano

Eneo

Jina la Bidhaa (ISO Code)

Maelezo

Non-

electronic

AAC

65

Communication

boards/books

22.21.03

Maonyesho mawasiliano yenye picha, alama,

maneno / barua au mchanganyiko wa yote matatu ☐

66 Communication cards

22.21.03

Watumiaji kutumia picha akuwakilisha haja au

kubadilisha picha kueleza taswira ☐

√Sahihisha 4 bidhaa ambazo

unafikiria ni muhimu

Electronic

AAC

67

Face-to-face communication software 22.21.12

Programu kwa ajili ya mawasiliano ya moja kwa moja

- kwa kuzingatia alama au maandishi - ambayo

virutubisho au nafasi yamawasiliano ya kujieleza ☐

68 Symbols generating software

Itawezesha kuundwa kwa teknolojia ya mawasiliano

ya mtumiaji mmoja mmoja ☐

69 AAC apps

Augmentative and Alternative Communication (AAC

ni programu ya simu aina ya SMART phone

inayorahisisha mawasiliano ☐

Accessories

70 Head mouse

Husaidia watu aliyepooza kwa kiutendaji wa

kompyuta, kwa kutumia kichwa kutekeleza shughuli

ya kawaida kama vile kuandikana kuiga ☐

71

Head-mouth sticks 24.18.15

Kifaaa kinacho valiwa kwa kichwa au mdomo

kutumika kwa kuandikia kwa kompyuta, kama

kalamu, kupata bodi ya mawasiliano au kwa kugeuka

kurasa

72

Keyboard and mouse emulation software 22.36.18

Programu inayoonyesha sehemu ya kuandika

kwenye screen ya kompyuta na inaruhusu udhibiti

wa harakati kwa kubonyeza. ☐

5. Cognition

Eneo

Jina la Bidhaa (ISO Code)

Maelezo

Multiple uses

73 Personal Digital Assistants (PDA) 22.33.06

Kompyuta inayotumia betri na hivyo inaweza

kutumika mahali popote – Kam vile simu za

mkononi kama vile smartphones na tablets ☐

Memory Aids

74 Recorders (Dictaphone) 22.18.08

Vifaa vinavyotumika mahali popote,kurekodi,

kuhifadhi, maelezo ya kusikika ili kuwezesha

mtumizi kukumbuka ukweli au uteuzi ☐

75 Watch with pre-programmed task reminders

Saa iliyowekwa kwa mtumiaji au kwa walezi na

kengele ya kusikika au ujumbe wa maandishi

kwamba kuleta jambo la makini kwa melezi

kuhusu mtumiaji

76 Pill organizers 04.19.04

Chombo maalum kwa ajili ya kuhifadhi dozi ya

dawa ya mtu na hutoa mawasiliano kama mtumizi

haja tumia matibabu ☐

√Sahihisha 9 bidhaa ambazo

unafikiria ni muhimu

Time devices

77 Visual timers

Hutoa msaada kwa mtu ili kumuwezeshakujua juu

ya kazi, muda unaohitajika na muda wa kusubiri

bila wasiwasi miongoni mwa matumizi mengine

mengi

78 Time orientation products

Bidhaa ambazo husaidia katika Mwelekeo wa

(mwaka, msimu, mwezi, tarehe, wiki, sehemu ya

siku, saa-muda). ☐

79 Time management products 22.27.15

Bidhaa ambazo kusaidia kuagiza matukio katika

mlolongo na kugawa kiasi cha muda wa matukio na

shughuli. ☐

Locator devices

80 Portable GPS trackers

Vifaa vya GPS vinavyo tumia betri na ambazo

huashiria mahali. ☐

81 GPS locator watch/locator

Vifaaa vya GPS zinazotumika kufuatilia na

huwekwa katika simu na vifaaa vingine. ☐

82 Item locators

Vifaa vinavyoweza kusaidia kufuatilia ama kutafuta

vitu katika nyumbani kama vile funguo, pochi,

miwani kesi nk au kuwaonya watumisji wakati vitu

hiyo vinavyo toka nje ya sehemu iliyotengewa

Navigation devices

83 Portable navigation aids

Kifaa kinachosaidia watumiaji wa kutembea

kutoka eneo moja hadi jingine ☐

84 Portable travel aids

Kifaa kinachosaidia watumiaji wa usafiri kutoka

eneo moja hadi jingine inayotoa habari ya eneo,

huduma ya usafiri n ahata malipo. ☐

Communi-cation and language tools

85 Simplified mobile phones

Simu ya mkono inayo rahisisha mawasiliano kupitia

kwa , vifungo kubwa kwa kuwezesha wito au arafa,

nk ☐

86 Word completion programs 22.12.24

Mipango ambayo hutabiri maneno zima kwa

misingi wa maneno ya kwanza

yaliyochapishw/kuandikwa na mtumiaji ☐

87 Picture based navigation software

Inaonyesha majukumu ya kila siku, hatua kwa

hatua kwa kutumia picha kwa kila hatua ☐

Alarms

88 Personal emergency alarm systems 22.27.18

Kifaa kinacho endeshwa na mtumiaji au

kuanzishwa moja kwa moja palipo na dharura kwa

kutoa taarifa kwa myumiaji au kupata msaada

kutoka kwa mtu mwingine au huduma

89 Fall detectors

Kifaa cha kutoa tahadhari kwa mlezi mtumiaji

anapo anguka kuanguka ☐

90 Medical Alert ID

Smart ID hutoa maelezo ya kimatibabu na hali ya

tahadhari/ au ufuatiliaji kwa kituo cha usaidizi ☐

6. Mazingira

Eneo

Jina la bidhaa (ISO Code)

Maelezo

Handrails and grab bars

91 Handrails and support rails 18.18.03

Kifaaa kinacho tumika kutoa usaidizi kudumisha

utulivu kwa mtumiaji ☐

92

Grab bars and handgrips (fixed or removable) 18.18.06 / 18.18.10

Kifaa cha kutoa msaada kwa mtu kudumisha utulivu

wakati myumiaji anabadilisha msimamo, anasimama

au kutembea ☐

Assistive products for washing

93

Shower chairs 09.33.03

WKifaaa kinachotoa msaada wakati mlemavu

anapooga. Huwa na sehemu ya kuketi isiyolowa

maji. Hii ni pamoja na na mikono na miguu

inayobadilishwa kulingana ma mahitaji

94 Bath/shower seats 09.33.03

kifaa kwa ajili ya kusaidia kukaa wakati wa kuoga ☐

Assistive products for toileting

95 Toilet seat raisers 09.12.15

kiti cha msaada kwa kuketia katiak msala. Ina

mikono ya kudumisha utulivu msalani ☐

96

Commode chairs 09.12.03

Kiti maalum kilichojengwa kwa kutumuika kama

msala na ina magurudumu, hivyo yaweza kutumika

mahalipopote ☐

Beds 97 Pressure relief mattress 04 33 06

Kifaa cha kuzuia majeruhi shinikizo na kutawanya

uzito mbali kwenye mifupa ☐

Wheelchair

accessories

98 Pressure relief cushions 04.33.03

Kifaa cha kutoa ugawaji wa uzito juu ya makalio ☐

99 Portable ramps 18.30.15

Kifaa cha kupunguza/ kuziba pengo kati ya ngazi

mbili ☐

100 Sliding boards, sliding mats and turning sheets 12.31.03

Vifaa kwa ajili ya kubadilisha msimamo au maagizo ya mtu kuketi au kulala, kwa kutumia mbinu ya teknologia

Sahihisha 5 bidhaa ambazo

unafikiria ni muhimu