presentation on councilors' ethics in tanzania by lingson adam

36

Upload: adam-gwankaja

Post on 28-Nov-2014

78 views

Category:

Documents


1 download

TRANSCRIPT

Page 2: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

MjadalaMjadala wawa pamojapamoja

••MaadiliMaadili nini nininini? ?

Page 3: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Hii ni TANZANIA

• Kwanini hali hii?• Hali hii mpaka lini?

Page 12: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

12

………inaendelea …………• Ukaguzi wa kina ufanywe na Mkaguzi wa Halmashauri ya

Manispaa.

• Viongozi wa Kijiji, Kata na Shule wasihusike kununua vifaa vya ujenzi badala yake watake taarifa na kutoa ushauri.

• Kamati ya Shule ndiyo ihusike na ununuzi wa vifaa vya ujenzi na kuhakiki ubora wa kazi ya ujenzi.

Page 13: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

13

……. Inaendelea…..

• Kamati ya Shule ya Msingi Mkonoo A ivunjwe na Kamati nyingine iundwe.

• Uongozi wa Serikali ya Kijiji na Kata uwe karibu sana na Kamati ya Shule kwa kutoa ushauri kuepusha ubadhilifu.

• Kuwekwe utaratibu wa kutunza vifaa vya ujenzi na taarifa ya matumizi itolewe kila siku.

Page 14: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

14

• Ulinzi wa Shule uimarishwe saa zote kuepuka upotevu wa vifaa vya shule.

• Elimu ya Kujitegemea ifufuliwe shuleni na iwe na usimamizi pia itoe taarifa kwenye mkutano wa wazazi.

……. Inaendelea…..

Page 15: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

15

Taarifa hii ilitolewa kwa Mkutano Mkuu wa Kijiji na kusambazwa kwa:-

• Ofisi ya Serikali ya Kijiji Mkonoo

• Ofisi ya Kata – Terrat

• Mratibu Elimu Kata – Terrat

• Mh. Mbunge – Jimbo la Arusha

• Mkurugenzi – H/Manispaa – Arusha

• Afisa Elimu – H/Manispaa Arusha

• Ofisi ya MKUKUTA – Kijiji cha Mkonoo

Page 16: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Katiba ya JMT na Maadili ya viongozi waUmma

• Ndilo chimbuko la la viongozi wa ummakutakiwa kuwa na maadili mema

• Katiba inaelekeza;qkuundwa kwa Sekretarieti ya Maadili ya

Viongozi wa UmmaqKutungwa kwa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa

Umma (Na.13/1995 ilivyorekebishwa na SheriaNa. 5/2001)

• Inaweka misingi ya Maadili ya Viongozi waumma ikiwa ni pamoja na Kutoa mara kwa maratamko la mapato, raslimali na madeni yaviongozi wa umma

Page 17: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Katiba ya JMT• Inawataka viongozi wasiwe na tabia ya

udanganyifu, upendeleo, ukosefu wa uadilifu au tabia inayochochea rushwa wakati wanapotekelezashughuli za umma

• Inawataka viongozi wa umma wawe waaminifu, wawazi, wenye kuutoa haki bila upendeleo, walindefedha na mali ya umma

• Inaelekeza viongozi wa umma iwapo hawatekelezimajukumu yao wafukuzwe au kuondolewamadarakani.

Page 18: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Sheria za serikali za mitaaNa 7&8 za 1982

• Zinampa Waziri mwenye dhamana ya Serikaliza Mitaa uwezo wa kutunga Kanuni zaMaadili ya Madiwani kwa lengo la kutekelezamaagizo ya Katiba ya JMT.

• Waziri alitunga Kanuni za Maadili yaMadiwani za Mwaka 2000

Page 19: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

MAADILI MEMA YA MADIWANI• Ni sharti muhimu katika kujenga mahusiano mema

kati ya Halmashauri, Wananchi na watendaji ilikujenga imani ya wananchi kwa viongozi wao waumma na halamashauri zao

• Diwani ni kiongozi wa ngazi ya juu katika ngazi yawilaya, kama kiongozi, wananchi wana haki yakutegemea kuwa atatoa mfano wa kuigwa katikamaisha yake ya kila siku na katika utekelezaji wamajukumu aliyokabidhiwa kwa mujibu wa sheria

• Wananchi huheshimu zaidi uongozi unaothibitishwana matendo mema pamoja na mwenendo mzuri waviongozi na watumishi wao badala ya ufasaha wakauli au ahadi zitolewazo

Page 20: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Misingi ya Kanuni za maadili ya madiwani

• Kujenga na kudumisha imani ya wananchi kwaviongozi wao

• Kuweka utaratibu mzuri wa uwazi na uwajibikaji• Kujenga mazingira bora ya kuwavutia wananchi

kushiriki katika shughuli za maendeleo• Kupunguza migongano kati ya madiwani,

watendaji na wananchi• Kuweka bayana maadili yanayotegemewa kwa

viongozi katika jamii ya watu• Kuibua, kukuza na kudumisha demokrasia

Page 21: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

MisingiMisingi, , taswirataswira nana malengomalengo yayakanunikanuni zaza maadilimaadili yaya madiwanimadiwani

• Msingi mkuu ulio katika kanuni za maadili niule unaosisitizaqUtumishi,qUwakilishiqKuweka mbele maslahi ya wananchi/umma

badala ya maslahi binafsi

• Kwa hiyo diwani anawajibika kuzingatiakiwango cha juu kabisa cha maadiliyanayojumuisha tabia yake binafsi namwenendo wa utendaji wa majukumu yake

Page 22: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Diwani anapaswa…• Kuendesha shughuli zake kwa namna itakayojenga

imani ya wananchi kwa halmashauri yao• Kuheshimu na kuzingatia sheria na kuendesha shughuli

zake kufuatana na dhamana aliyopewa na wananchi• Kuisaidia Halamashauri yake kwa kadri iwezekanavyo

kuhakikisha kuwa inatekeleza wajibu wake kwakuzingatia maslahi ya jamii nzima

• Kutotumia nafasi yake kama diwani kwa faida yakemwenyewe, familia yake, maslahi ya kifedha yamarafiki zake

• Kutotoa upendeleo wa aina yoyote wakati wakutekeleza majukumu yake

Page 23: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Diwani anapaswa..• Kutojiweka katika hali inayowafanya wananchi kutilia

shaka uadilifu wake• Kuwajibika ipasavyo kwa wananchi walio kwenyewe eneo

la halmashauri yake kutokana na maamuzi na matendoyake

• Kuwa muwazi katika matendo yake na katika kuchangiamaoni yake ili kufikia uamuzi wa pamoja na kwambaataunga mkono maamuzi hayo na kuyatolea maelezo kwawadau wengine

• Kufanya maamuzi bila upendeleo na kulingana na stahiliya jambo bila kushawishiwa. Mfano katika masuala yaajira

• Kutoshiriki katika majadiliano ama kupigia kura ktk jambololote ambalo ana maslahi nalo

Page 24: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Diwani anapaswa…• Kuhakikisha kuwa habari/taarifa zote za siri

zinazohusu watu zinahifadhiwa kwa mujibu washeria na kwa maslahi ya umma na kutozitumiahabari hizp kwa maslahi yake binafsi

• Kutoa taarifa kwenye halmashauri au kamati yahalmashauri kuhusu maslahi yake binafsi katikajambo lolote linalohusu utekelezaji wa majukumuyake

• Kuheshimu nafasi na hadhi ya madiwani/watumishiwenzake kwa namna inatakayojenga hali yakuheshimiana kati ya madiwani na watumishi wahalmashauri

Page 25: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Sifa za tabia binafsi• Kanuni Na. 8 hadi 11 zinaeleza sifa za

binafsi ambazo kila diwani anapaswa kuwanazo:qKuwa mwadilifu na muwazi wakati wote (8)qKuzingatia kiwango cha juu cha uadilifu (9)qKutokuwa na uhusiano wa kimapenzi

usiokubalika kati yake na madiwani wenzakena au watumishi wa halmashauri (10)qKutotumia vibaya dhamana na imani

aliyonayo kwa umma (11)

Page 26: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Tabia ya Hadharani na Utekelezajiwa Majukumu ya Umma

• Kama Mwakilishi na Mtumishi wa Umma, Diwanianatakiwa kuzingatia maadili yafuatayo (kanuni Na.12 –18);qKuzingatia sheria, kanuni na taratibu (12)qKuendeleza mashauriano na kuchochea maendeleo katika

ngazi za chini za serikali za mitaa (13)qKuepuka migongano ya kimaslahi (14 – 16)qKutotumia nafasi yake ya udiwani kujinufaisha kifedha,

kibiashara au kwa namna yoyote nyingine, au kutetea maslahiyake ama kikundi chochote na hivyo kuathiri jukumu lake la kutoa kipaumbele kwa maslahi ya umma kwa ujumla (17)qKutoomba na au kupokea hongo au zawadi kutoka kwa mtu

anayemhudumia (18)

Page 27: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Mali, mapato na madeni• Kanuni ya 19 inasisitiza kila Diwani lazima awe na

shughuli inayomwezesha kuendesha maisha yakeinayompatia kipato cha kutosha.

• Kanuni ya 20 inamtaka kila Diwani atangaze malialiyonayo yeyem m/wenzi wake wa ndoa na watotowao walio chini ya umri wa utu uzima, na kuhakikishakwamba matangazo hayo yanahifadhiwa na Mkurugenziwa Halmashauri yake kwenye rejesta maalumitakayofunguliwa kwa minajili hiyo na ambayo itakuwawazi kukaguliwa na wananchi bila malipo.

• Iwapo pana ma badiliko ktk hali ya mali, mapato namadeni yake, diwani atapaswa kufanya marekebishjokwenye matamko ya awali kwa kutoa matamko yanyongeza

Page 28: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Madaraka ya kisiasa, uwajibikaji , maslahi na kinga• Kanuni ya 21 inamtaka diwaniqAsitumie nafasi na uwezo wake kisiasa kujipatia fedha au

huduma ambazo hazikuidhinishwa na kuwekwa katika bajetiya halmashauriqAsishawishi madiwani wengine kufikia maamuzi kuhusu

masuala yanayohusu watumishiqAsiwabague watu kwa sababu za kisiasa, dini, jinsia, rangi au

kabilaqAsifanye shughuli yoyote ya kisiasa itakayozorotesha ufanisi

au kusababisha usimamizi na utendaji mbovuqKuzingatia haki na malengo yaliyowekwa na ataongozwa na

ukweli wa mambo na ushauri wa kitaaluma utakaotolewa namenejimenti ya Halmashauri na ataepuka kusukumwa naitikadi pamoja na hisia zake binafsi wakati wa kujadili nakuamua masuala yanayohusu ustawi na maendeleo yawananchi

Page 29: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Madaraka ya kisiasa

• Mali ya halmashauri zilizo chini ya dhamana yadiwani zitumike kwa madhumuniyaliyokusudiwa (23)

• Uhuru wa kujieleza katika mikutano yahalmashauri na kamati zakke usivunje taratibuza mijadala zilivyofafanuliwa katika Kanuni zaKudumu (24)

Page 30: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Uhusiano baina ya madiwani na watumishiwa halmashauri (Na. 25 – 28)

• Maamuzi, maelekezo, amri na miongozo itatolewakatika vikao vya halmashauri na kuelekezwa kwaMkurugenzi kwa utekelezaji

• Diwani akiwa peke yake hatatumia nafasi yake kamamjumbe kumzuia mtumishi au wakala wa halmashaurikutekeleza maamuzi ya halmashauri au maamuzi yakamati ya halmahsuari (25)

• Madiwani na watumishi wa halmashauri watatakiwakujenga uhusiano mzuri utakaohakikisha ufanisi nautendaji bora katika halmashauri, na kuepuka uhusianowa karibu sana na watumishi wa halmashauriunaoweza kuathiri au kudhalilishanupande wamadiwani au upande wa watumishi wa halmashauri(26)

Page 31: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Uhusiano…

• Madiwani wasijihusisha na majukumuya kitaaluma na kitaalam yanayohusuuendeshaji wa shughuli za halmashauri(27)

• Madiwani wasitoe taarifa za uongo au ushauri mbaya kwa halmashauri hasara(kanuni 28) na hatimaye kumfanyadiwani awajibishwe kwa kulipa gharamaya hasara iliyopatikana

Page 32: Presentation on Councilors' Ethics in Tanzania by Lingson Adam

Utoaji wa taarifa

• Diwani haruhusiwi kutoa taarifa za sirianazozipata kutokana na wadhifa wake ambazo hazitakiwi kutolewa kwamuhjibu wa Sheria ya Usalama wa Taifaya mwaka 1970 na kwa mujibu wakanuni zilizotungwa chini ya sheria hiyo(29)