sanifu kwa shule za sekondari...v kitabu cha mwalimu kidato cha tano utangulizi hiki ni kitabu kipya...

44
KISWAHILI SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO 5

Upload: others

Post on 24-Dec-2019

68 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

KISWAHILI

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

5

Page 2: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule
Page 3: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

iii

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

YALIYOMO

UTANGULIZI v

MPANGILIO WA MASOMO YA KISWAHILI: KIDATO CHA TANO 1

FUNZO: Fasihi (Ukurasa 4) 8

Funzo: Vitendawili (Ukurasa5) 9

Funzo: Hadithi (Ukurasa 9) 10

Funzo: Methali (Ukurasa 13) 11

Funzo: Nahau (Ukurasa 20) 13

Funzo: Nyimbo (Ukurasa 24) 14

Funzo: Tamathali za usemi (Ukurasa28) 15

Funzo: Rejista (Ukurasa 36) 16

Funzo: Kunyambua vitenzi (Ukurasa 44) 17

Funzo: uhakiki (ukurasa 50) 18

Funzo: Ufupisho (Ukurasa 58) 20

Funzo: Hotuba (Ukurasa 65) 21

Funzo: Aina za tungo (ukurasa 69) 22

Funzo: UTUNGAJI: BARUA (ukurasa 81) 29

Page 4: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule
Page 5: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

v

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

UTANGULIZI

Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule za sekondari. Ni cha kukidhi haja ya muhtasari wa sekondari nchini Rwanda. Kitabu cha mwalimu kidato cha tano,kina ndani mwake mpangilio wa masomo yatakayofundishwa wanafunzi wa kidato husika,ambayo ni pamoja na: Fasihi, tamathali za usemi, matumizi ya lugha ya Kiswahili, munyambuliko wa vitenzi, uhakiki, ufupisho, hotuba, aina za tungo, kupambanua na kuchambua tungo, na utungaji wa barua mbalimbali. Kitabu hiki kimeandikwa na Bwana NIYIRORA Emmanuel na NDAYAMBAJE Ladislas wote kutoka Chuo Kikuu cha Elimu cha Kigali (KIE). Kitabu hiki kitawasaidia walimu kufundisha lugha ya Kiswahili ambayo ni lugha ya kibantu na iliyopiga hatua kimatumizi, kimsamiati, na yenye kutumiwa na jamii mbalimbali barani Afrika na ulimwengu kwa ujumla.

Tunawatakia mafanikio mema walimu wote watakaotumia kitabu hiki.

NIYIRORA Emmanuel na NDAYAMBAJE Ladislas,

Juni, 2012

Page 6: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule
Page 7: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

1

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

MPANGILIO WA MASOMO YA KISWAHILI: KIDATO CHA TANO

MUHULA WA KWANZA

WIKI

VIP

IND

I

FUNZO SHABAHA VIFAA

Uku

rasa

MAZOEZI YA ZIADA

Uku

rasa

1 1 2 3 4 5 6 7

Fasihi simulizi na Fasihi Andishi

Kuwaongoza wanafunzi kujua tofauti iliyopo kati ya Fasihi Simulizi na Fasihi andishi

Ubao Chaki kitabu

4 Kutoa tofauti iliyopo kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi

7

2 1 2 3 4 5 6 7

Tanzu za Fasihi simulizi na za fasihi andishi

Kuwaongoza wanafunzi kuzijua na kuzifafanua tanzu za fasihi simulizi na za fasihi andishi

ubao Chaki vitabu

4 Kutoa na kufafanua tanzu za fasihi

8

3 1 2 3 4 5 6 7

Vitendawili - Kuwaongoza wanafunzi kujua maana na matumizi ya vitendawili.

- Kuwaongoza wanafunzi kujua,kutega na kutegua vitendawili

Chaki Vitabu ubao

5 Kutega na kutegua vitendawili

8

4 1 2 3 4 5 6 7

Hadithi - Kuwaongoza wanafunzi kuandika mtungo wa kuendeleza hadithi waliyoisoma.

- Kusoma na kufahamu hadithi

Chaki Vitabu ubao

9 Kusoma hadithi fupi 12

Page 8: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

2

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

5 1 2 3 4 5 6 7

Riwaya - Kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya riwaya na tofauti iliyopo kati ya riwaya na hadithi fupi.

- Kuwaongoza wanafunzi kujua vipengele muhimu na tofauti vya riwaya na hadithi fupi

Chaki Kitabu ubao

12 Kutofautisha riwaya na hadithi fupi

12

6 1 2 3 4 5 6 7

Methali - Kuwaongoza wanafunzi kujua maana na matumizi ya methali na kutoa mifano ya methali

- kuwaongoza wanafunzi kujua kuzitumia methali kimuktadha

13 Kuzifafanua methali na kuzieleza

19

7 1 2 3 4 5 6 7

Nahau Kuwaongoza wanafunzi kujua maana na matumizi ya nahau kimuktadha

20 Kuzifafanua nahau na kuzitumia katika sentensi

23

8 1 2 3 4 5 6 7

Nyimbo - Kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya nyimbo

- kuwaongoza wanafunzi kupambanua tungo kulingana na muktadha

24 Kuimba na kuanisha nyimbo za Kiswahili

27

WIKIV

IPIN

DI

FUNZO SHABAHA VIFAA

Uku

rasa

MAZOEZI YA ZIADA

Uku

rasa

Page 9: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

3

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

9 1 2 3 4 5 6 7

Tamathali za usemi

- Kuwaongoza wanafunzi kujua na kutumia tamathali za usemi: sitiari,tashibiha,kejeli,tasfida,dihaka,takriri,….

- kuwaongoza wanafunzi kujua mafumbo mbalimbali ya kitamathali na kuyafumbua

28 Kutumia tamathali za usemi

35

10 1 2 3 4 5 6 7

Rejista za kidini, za kortini, hotelini, za jamaa na za sokoni, mahakamani, …

Kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya rejista na matumizi ya rejista mbalimbali za Kiswahili zinazotumiwa katika mazingira mbalimbali kama hotelini, mahakamani, n.k

36 Kutumia rejista mbalimbali

44

11 MITIHANI YA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA

12

MUHULA WA PILI

WIKI

VIP

IND

I

FUNZO SHABAHA VIFAA

Uku

rasa

MAZOEZI YA ZIADA

Uku

rasa

1 1 234567

Kunyambua vitenzi

Kuwaongoza wanafunzi kujua unyambulishaji wa vitenzi

KitabuChakiubao

44 Mazoezi kuhusu unyambulishaji

49

WIKIV

IPIN

DI

FUNZO SHABAHA VIFAA

Uku

rasa

MAZOEZI YA ZIADA

Uku

rasa

Page 10: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

4

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

2 1234557

Kunyambua vitenzi

Kuwaongoza wanafunzi kuonyesha viambishi vya nafsi

ChakiUbaokitabu

46 Mazoezi kuhusu unyambulishaji

49

3 1234567

Kunyambua vitenzi

Kuwaongoza wanafunzi kuonyesha viambishi vya njeo

KitabuChakiubao

47 Mazoezi kuhusu unyambulishaji

49

4 1234567

Uhakiki Kuwaongoza wanafunzi kufahamu maana ya uhakiki

KitabuChakiubao

50 Mazoezi ya kufafanua uhakiki

57

5 1234567

Uhakiki Kuwaongoza wanafunzi kuelewa sababu za uhakiki

KitabuChakiubao

50 Mazoezi ya kuzingatia sababu za uhakiki

57

6 1234567

Uhakiki Kuwaongoza wanafunzi kujua aina za uhakiki na kuzitumia katika zao za fasihi

KitabuChakiubao

51 Mazoezi ya kuzingatia aina za uhakiki

57

WIKIV

IPIN

DI

FUNZO SHABAHA VIFAA

Uku

rasa

MAZOEZI YA ZIADA

Uku

rasa

Page 11: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

5

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

7 1234567

Uhakiki - Kuwaongoza wanafunzi jinsi ya kufanya uhakiki na namna ya kutumia vipengele muhimu katika uhakiki

- kuwaongoza wanafunzi kufahamu sifa za uhakiki na matatizo yanayoweza kupatikana katika uhakiki wa kazi za fasihi

KitabuChakiubao

56 Mazoezi ya kutumia vipengele muhimu katika uhakiki

57

8 1234567

Ufupisho - Kuwaongoza wanafunzi kueleza maana ya ufupisho

- kuwaongoza wanafunzi kujua kutumia kaida na taratibu za ufupisho

- kuwaongoza wanafunzi kufupisha kazi wanazopewa

ChakiKitabuubao

58 Mazoezi kuhusu ufupisho

63

9 1234567

Hotuba - Kuwaongoza wanafunzi kujua na kueleza maana ya hotuba

- kuwaongoza wanafunzi kutaja kueleza aina za hotuba

ChakiKitabuubao

65 Kueleza aina za hotuba 69

10 1234567

Hotuba - Kuwaongoza wanafunzi kujua muundo wa hotuba

- kuwaongoza wanafunzi kuyunga hotuba

ChakiKitabuubao

67 Kutunga hotuba 69

11

12 MITIHANI YA MWISHO WA MUHULA WA PILI

WIKIV

IPIN

DI

FUNZO SHABAHA VIFAA

Uku

rasa

MAZOEZI YA ZIADA

Uku

rasa

Page 12: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

6

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

MUHULA WA TATU

WIKI

VIP

IND

I

FUNZO SHABAHA VIFAA

Uku

rasa

MAZOEZI YA ZIADA

Uku

rasa

1 1234567

Tungo - kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya tungo

- kuwaongoza wanafunzi kuonyesha sehemu za tungo

KitabuChakiubao

69 Kutunga tungo mbalimbali na kuziainisha tungo

70

2 1234567

Aina za tungo

- Kuwaongoza wanafunzi kuzianisha tungo

- kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya kila aina ya tungo

KitabuChakiubao

70 Kutofautisha aina za tungo

72

3 1234567

Aina za tungo

Kuwaongoza wanafunzi kutunga tungo za kila aina

KitabuChakiubao

70 Kutunga tungo za aina mbalimbali

72

4 1234567

Uchambuzi wa tungo

Kuwaongoza wanafunzi kujua njia mbalimbali za kuchanganua tungo

KitabuChakiubao

75 Kutofautisha njia ya maneno na njia ya visanduku

79

5 1234567

Uchambuzi wa tungo

Kuwaongoza wanafunzi namna ya kutumia njia ya maneno

KitabuChakiubao

76 Kuchanganua tungo mbalimbali kwa kutumia njia ya maneno

79

Page 13: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

7

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

WIKIV

IPIN

DI

FUNZO SHABAHA VIFAA

Uku

rasa

MAZOEZI YA ZIADA

Uku

rasa

6 1234567

Uchambuzi wa tungo

Kuwaongoza wanafunzi kutumia njia ya visanduku

KitabuChakiubao

77 Kuchanganua tungo kwa kutumia njia ya visanduku

79

71234567

Uchambuzi wa tungo

Kuwaongoza wanafunzi kujua namna ya kutumia njia ya matawi katika uchambuzi wa tungo

KitabuChakiubao

Kuchanganua tungo kwa kutumia njia ya matawi

8 1234567

Barua za kirafiki

-Kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya barua-kuwaongoza wanafunzi kuandika barua za kirafiki

KitabuChakiubao

81 Kuandika barua ya kirafiki

87

9 1234567

Barua za kikazi

Kuwaongoza wanafunzi kutunga barua za kikazi na kufuatilia mpangilio wake

KitabuChakiubao

93 Kuandika barua ya kikazi

94

10 1234567

Barua za kibiashara na za gazetini

-Kuwaongoza wanafunzi kuandika barua ya kibiashara na kufuatilia mpangilio wake-kuwaongoza wanafunzi kutunga barua za gazetini kufuatilia kanuni zake

ChakiUbaokitabu

95 Kuandika barua za kibiashara na za gazetini

97

Page 14: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

8

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

FUNZO: Fasihi (Ukurasa 4)

SHABAHA:

Kuwaongoza wanafunzi kujua tofauti iliyopo kati ya Fasihi simulizi na Fasihi andishi.

Taratibu

Hatua Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi

1. Kueleza maana ya Fasihi Kuuliza maswali

a. Fasihi simulizi Kuandika maelezo madaftarini

b. Fasihi andishi Kujibu maswali ya mwalimu

c. Tofauti kati ya fasihi hizi

2. Kutoa vipengele bainifu vyake

3. Kuuliza maswali

Page 15: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

9

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

Funzo: Vitendawili (Ukurasa5)

Shabaha:

Kuwaongoza wanafunzi kutegua vitendawili na mafumbo na kufurahia taratibu

Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi

1. Kueleza maana ya vitendawili Kutoa mifano

2. Kutega vitendawili Kuvitegua vitendawili

a. Nyumba yangu ina nguzo moja Uyoga

b. Ninazitoa zikarudi Nywele

c. Anachora bila ya kutumia akili Konokono

3. Kuwaongoza wanafunzi wategeane vitendawili Kutegeana vitendawili

4. Kusaidia kukusanya vitendawili Kutaja vitendawili bora

5. Kupitia mafumbo mengi Kuyasoma na kuyatatua

6. Kuwashindanisha kwa vitendawili vyao Kushindana kwa makundi

Majibu ya vitendawili

1. Nywele

2. Konokono

3. Mungu

4. Moto

5. Usingizi

6. Mauti

7. Kinyonga

8. Muwa

9. Twiga

10. Jua

Page 16: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

10

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

Funzo: Hadithi (Ukurasa 9)

Shabaha

Kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya hadithi na tofauti iliyopo kati ya hadithi fupi na riwaya.

Taratibu

Hatua:

Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi

1. Kuwaongoza wanafunzi kuandika mtungo wa kuendeleza hadithi yao Kuandika mtungo

2. Mwalimu asisitize: Kuandika taratibu

a. Kiini cha mtungo (Maudhui) Kutilia maanani kazi

b. Kupanga kabla ya kuandika Kutumia alama za vituo

c. Mawazo tofauti katika aya tofauti

d. Lugha sanifu (Sahihi)

e. Maendelezo sahihi (Mtiririko sawa)

f. Alama za uandishi

3. Kusahihisha maswali:

Tofauti iliyopo kati ya hadithi fupi na riwaya:

RIWAYA HADITHI FUPINdefu vya kuzidi kiasi Fupi kabisaManeno mengi mno Maneno machacheWahusika wengi Wahusika wachacheMtiririko wa visa vingi na changamani Mtiririko wa kisa kimoja kisicho

changamaniWahusika wakuu waweza kuwa wengi Mhusika mkuu ni mmojaMandhari ya mazingira mengi Mandhari ya mazingira mamojaPloti, muundo na msuko changamani Pliti, muundo na msuko wa moja kwa

moja

Page 17: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

11

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

Funzo: Methali (Ukurasa 13)

Shabaha

Kuwaongoza wanafunzi kujua maana na matumizi ya methali zinazotaja wanyama na wadudu

Taratibu

Hatua:

Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi

1. Kuongoza na kuhimiza Kutoa hadithi fupi

2. Kushindanisha kuanzisha methali Kumaliza kwa makundi

3. Kueleza faida za methali Kutambua methali zilizomo

a) Ukitaka mtu aandamane na wazuri

b) Asifuate kila aambiwalo bila kufikiria

4. Kuongoza kupitia funzo Kutoa maelezo yake

5. Kuhimiza na kushirikisha Kuulizana wenyewe

6. Kusahihisha maandishi yao

Kutoa majibu ya mazoezi:

a) Haba na haba hujaza kibaba:

Kidogo kidogo, kisha huongezeka.Polepole ndio mwendo.Haraka haraka haina baraka.

b) Pole pole ndio mwendo:

Usifanye jambo lolote Kwa pupa.Haraka haraka haina baraka.

c) Aliyeshiba hamjui mwenye njaa:

Aghalabu banadamu akishakuwa ameshiba (yaani amejaza tumbo), huwa anaamini kwamba watu wengine nao wameshiba.Lakini ukweli ni kwamba nusu (kama si zaidi) ya hao watu awaonao huwa wamo katika njaa kali tena pengine ya kufisha.Msemo huu watuhusu sote

Page 18: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

12

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

tulioshiba na tulio na njaa.Kwa wale wasioshiba, msemo unawakumbusha juu ya wajibu wao kwa watu wengine.Wawaasa wasiridhike na nafsi zao binafsi, bali pia wajishughulishe na taabu, shida na matatizo ya wengine.

Wale wenye njaa ni watu ambao wana taabu, shida na matatizo.Hawa wanakumbushwa wasiwaangalie wale wenye uwezo na walioridhika nafsi bali wayaone matatizo na shida kama ni zao tu.Baada ya kuuona na kuuelewa ukweli huo, wafanye jitihada wao wenyewe ya kuondoa matatizo yanayowakabili.

c) Ajaye hupokewa:

Kila mtu ni lazima awe mstahimilivu kwa yoyote yanayomfikia, kwani hayo huwa ni malimwengu yanayomkabili yeye na ambayo hawezi kujikinga nayo.

e) Jungu kuu halikosi ukoko:

Mtu mkubwa au mzito haishiwi katu katakata.Hawezi kuishiwa na vitu vyote kwa kiwango cha kukosa na hata pato dogo.

f) Kunguru mwoga hukimbiza bawale:

Kujihadhari si hofu.Watu wenye nguvu chache hujitenga mbali na wenye nguvu nyingi za ujana kwa woga na tahadhari, ili wasije wakaponzwa.

g) Asiyekujua hakuthamini:

Yaani, asiyekujua hakujali.Kama mtu hakujui aghalabu si rahisi kwake kukufanyia mema.

h) Gogo halianguki mara mbili:

Mtu mkubwa akianguka, basi ameanguka na kuinuka kwake ni taabu.Hivi hakuna nafasi ya kuanguka tena.Pia mtu mwenye busara akijikwaa, mara moja haridi tena jambo lilelile.Kosa moja latosha kumfundisha mtu kutorudia kosa hilo baada ya dhiki au adhabu ya kosa hilo.

i) Mchumia juani hulia kivulini:

Mtu anayepanda mbegu zake kwa uchovu, madhara, na machozi atavuna kwa shangwe na miteremo.

Page 19: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

13

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

Funzo: Nahau (Ukurasa 20)

Shabaha:

Kuwaongoza wanafunzi kujua matumizi bora ya nahau kimuktadha

Taratibu

Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi

1. Kuongoza na kuhimiza Kuchambua hadithi

2. Kupitia matumizi ya lugha Kutoa nahau zilizomo

3. Kutoa hadithi fupi Kuzifafanua nahau hizo

4. Kushindanisha makundi Kuwaelezea wenzao

5. Kusaidia na kusahihisha

Majibu ya mazoezi

a. Kuwa kigori, kuwa mwanamwali

b. Kutamani kitu sana kwa kuvutika nacho

c. Kwa kila hali

d. Kuongea vibaya juu yake (mtu huyo)

e. Kuronga mazungumzo ya kupoteza wakati

f. Kuwa na mimba

g. Kulewa pombe

h. kuongeza maneno zaidi ya yaliyokuwepo ili kuchonganisha

i. Kujuta, kupata shida

j. Kuogopa

Page 20: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

14

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

Funzo: Nyimbo (Ukurasa 24)

Shabaha

Kuwaongoza wanafunzi kujua aina mbalimbali za nyimbo na matumizi yake ya kimuktadha

Taratibu

Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi

1. Kuongoza na kuhimiza Kuimba

2. Kuwasaidia wanafunzi kimahadhi Kutunga nyimbo zao wenyewe

3. Kuwapa kazi za makundi Kuelezeana miktadha ya nyimbo

Majibu ya maswali:

1. Bwana mdogo nyamaza,

Kipenzi cha roho yangu

Kipi unachokiwaza,

Kikulizacho mwanangu

Tulia na kujilaza

Nyamaza mpenzi wangu.

2. Malaika

Malaika, nakupenda Malaika.Nami nifanyeje, kijana mwenzio, nashindwa na mali sina we, oh ningekuoa Malaika. Fedha zasumbua roho yangu. Fedha oh! Zasumbua roho yangu.

3. Nyimbo za matanga huwa zaimbwa kwenye kilio, kwa maziko/mazishi.

4. Nyimbo za mapenzi huwa zaimbwa kwa ajili ya mpenzio, hususa mwendani.Zile za harusi, kwa upande mwingine, huwa zaimbwa wakati wa kuoza msichana, au kutoa mahari.

Page 21: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

15

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

Funzo: Tamathali za usemi (Ukurasa28)

Shabaha:

Kuwaongoza wanafunzi kujua kutumia vizuri tamathali za usemi mbalimbali.

Taratibu

Hatua:

Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi

1. Kuongoza na kuhimiza Kutoa shairi fupi

2. Kushindanisha makundi Kutaja tamathali za usemi zilizomo

3. Kueleza umuhumu wa tamathali za usemi Kufafanua maana zake

4. Kumshirikisha yeyote Kuandika madaftarini

5. Kupitia funzo pamoja

Majibu

Tamathali za usemi zilizotumiwa:

1. Takriri neno, Tashihisi.

2. Takriri neno, Chuku, Tashihisi.

3. Sitiari

4. Sitiari

5. Tashibiha

6. Tafsida

7. Chuku

Page 22: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

16

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

Funzo: Rejista (Ukurasa 36)

Shabaha:

Kuwaongoza wanafunzi kujua maana na matumizi bora na ya kimuktadha ya rejista

Taratibu

Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi

1. Kueleza maana ya rejista Kufuatilia karibu

2. Kuongoza na kuhimiza Kugundua mojawapo ya rejista

3. Kuwashirikisha wanafunzi Kutumia rejista kwa kuzungumza

4. Kufafanua matumizi bora na ya kimuktadha

5. Kuwapa fursa ya kuzigundua rejista maalum

Majibu:

1. Rejista ya kortini

2. Kuotea, Harusi, Kuunawa mpira, Mpira kuwa mwingi, Kuvisha kanzu.

3. Hii ni bei gani, Punguza kidogo, Piga bei, Patana bei, Tia bei, Shusha kile.

Page 23: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

17

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

Funzo: Kunyambua vitenzi (Ukurasa 44)

Shabaha:

Kuwaongoza wanafunzi kuonyesha viambishi mbalimbali vinavyounda vitenzi.

Taratibu

Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya wanafunzi

1. Kueleza maana ya unyambulishaji Kufanya mazoezi

2. Kutoa vitenzi vya kunyambuliwa Kuyasahihisha ubaoni

3. Kuhimiza wanafunzi na kuwashirikisha Kuonyesha viambishi vya vitenzi

4. Kutoa mifano elekezi a) Vya njeo

5. Kusaidia na kusahihisha b) Vya nafsi

Majibu:

1. Nafsi Njeo

U- Ta-

Tu- Ta-

Ni- Na-

Tu- Ta-

A- Ki-

2. kupigana, kupiganisha

Kuchafusha, Kuchafuka

Kupikika, Kupikisha

Kulewesha, Kuleweka

Page 24: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

18

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

Funzo: uhakiki (ukurasa 50)

Shabaha:

kuwaongoza wanafunzi kufahamu maana ya uhakiki, kutumia vipengele muhimu vya uhakiki wa kazi za fasihi, namna ya kufanya uhakiki wa kari mbalimbali za fasihi.

Taratibu:

Hatua

Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi

Kueleza maana ya uhakiki Kufumbua fumbo la mwalimu

Kukumbusha kazi zote za fasihi Kutaja kazi zote za fasihi

• Hadithi

• Shairi

• Riwaya

3. Kuwataka na kuhakiki (shairi) kuhakiki shairi kwa kutumia

vipengele muhimu vya uhakiki

kama muundo, wahusika, na mandhari

Majibu ya maswali

Muundo

• BETI: Shairi hili ni la beti tatu.

• Kila ubeti una mistari mine.

• Kila mstari una silabi/mizani kumi na sita.

• Shairi lina vina vya kati “-ni-”, “-ngu-”, na “-ma-”, na vina vya mwisho “-we-” na “-ngu-”.

Page 25: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

19

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

• Shairi lina beti zinazojitosheleza na kila ubeti una mstari wa kituo ambao haubadiliki.

Mtindo

• Shairi limetumia mtindo wa kitarbia ama unne. Kila ubeti una mistari mine.

• Huu ni mtindo wa kitabu kizima cha mshairi akilimali Snowhite.

• Hata tenzi nazo zimetumia mistari minne. Inasisitizwa kuwa hiki ni kipengele kidogo tu cha mtindo. Kwa maelezo zaidi ya mtindo, rejea uhakiki wa hadithi katika kitabu hiki.

Wahusika

• Tunaweza kusema kuwa shairi hili linaonyesha kutumia wahusika wa aina mbili

• Kuna wahusika watu na kuna wahusika vitu, k.v. ua.

• Aidha, uhusika wa ua katika undani wake unasimama badala ya mtu ambate ni kipenzi (cha kike)

Mandhari/mazingira

• Shairi hili limetumia mandhari pana katika maana kwamba inaweza kuwa ya mjini au shambani.

• Inaweza kuwa ya Tanzania au nje ya Tanzania. Lakini kwa vile mwandishi wa shairi hili ni mwenyeji wa Tanzania na ameiandika kazi hii akiwa hapa na kwa ajili ya wasemaji wa Kiswahili, tunaweza kusema kuwa mandhari ya shairi ni Tanzania.

Page 26: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

20

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

Funzo: Ufupisho (Ukurasa 58)

Shabaha

Kuwaongoza wanafunzi kujua maana na taratibu za ufupisho

Taratibu

Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi

1. Kueleza na kuhimiza Kujigawanya katika makundi

2. Kuwaongoza wanafunzi Kutoa hadithi

3. Kusahihisha kazi zao Kuisahihisha hadithi hiyo

4. Kutoa istilahi husika Kuandika madaftarini

5. Kuandika ubaoni

Majibu:

Nguvu zake

Lazima uanguke chini

Anayeogopwa

Hakuugua hata mara moja

Walishambuliwa na simba

Kuparuza

Shenzi

Anayejivunia uwezo fulani humpata anayemzidi

Page 27: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

21

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

Funzo: Hotuba (Ukurasa 65)

Shabaha:

Kuwaongoza wanafunzi kuelewa maana, muundo na aina za hotuba

Taratibu

Hatua:

Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi

1. Kuwaongoza wanafunzi kuelewa maana ya hotuba Kutoa hotuba mbele ya darasa

2. Kueleza aina za hotuba Kuonyesha sehemu za hotuba:

3. Kufafanua muundo:Mwanzo, mwili na mwisho Mwanzo

4. Kuwasomea hotuba Mwili

5. Kuwahimiza na kuwashirikisha Mwisho

6. Kutoa mada za kuvutia

Majibu:

1. Hotuba ya kushirikisha, hotuba ya kuarifu, na hotuba ya kuburudisha

2. a) Mwanzo:yaani sehemu ya kwanza ya hotuba yenye lengo la kuwafanya watu wawe makini, kuonyesha umuhimu wa mada, kueleza lengo la hotuba, kujiotambulisha na kuonyesha mpangilio wa hotuba.

b) Mwili: Yaani sehemu ambayo inazingatia mambo muhimu kuhusu mada ya hotuba

c) Mwisho: Yaani sehemu ambayo hutaja hitimisho kwa yaliyojadiliwa katika hotuba yote, pamoja na mambo mengine ya msemaji.

Page 28: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

22

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

Funzo: Aina za tungo (ukurasa 69)

Shabaha:

kuwaongoza wanafunzi kuainisha na kutofautisha aina za tungo

Taratibu

Hatua

Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanfunzi

1. Kuhimiza na kuongoza 1. Kusema mifano ya tungo kadhaa

2. Kuandika tungo katika ubao 2. Kusema mifano iliyoandikwa na mwalimu

3. Kuwauliza maana ya kila tungo 3. Kueleza maana za kila tungo

4. Kutaja aina za tungo 4. kufanya mazoezi madaftarini

5. Kuandika mazoezi 5. Kuandika majibu katika madaftari

6. Kusahihisha majibu ya wanafunzi

Majibu 1: A

a) Mwalimu anafundisha Kiswahili.

b) Wao watakuja kesho asubuhi.

c) Yeye anaandika daftarini.

d) Fatuma na Alisa wanajua hisabati.

e) Sisi sote tulikuwa pamoja hapo Tella Vista.

B.

Tungo tata Tungo zisizo na utata1. Mwalimu Juma anakutafuta

2. Aje Jumamosi

3. Ali hali ndiyo sababu hana hali

1. Watoto wanacheza mpira

2. Khamis anasaidia mamake kupika chakula

Page 29: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

23

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

Njia za kutatua utata katika sentensi.

1. Kutumia alama za vituo.

2. Kusisitizia neno katika sentensi.

3. Kuchunguza aina za maneno katika sentensi.

Mfano:

Mwalimu, Juma anakutafuta.

Mwalimu Juma, anakutafuta.

Ali hali ndiyo sababu hana hali.

N T U T N

Majibu 2: A

1. Wakati atakapokuja nitaondoka.

T.T T.S

2. Walikuwa wa kwanza waliofika saa moja.

T.S T.T

3. Anayebukua sana si mshindi.

T.T T.S

Majibu 3: A

1. Wanafunzi walirudi nyumbani kwa sababu walimukosa mwalimu.

2. Baba analonga na wageni lakini mama anapika chakula jikoni.

3. Wanazuoni wote ni wasomi ilhali wasomi wote si wanachuo.

Page 30: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

24

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

Majibu 4: A

1. Waliohudhuria wote wamefaulu mitihani.

T.T T.S

2. Mwanafunyi alieshinda mwaka jana ameenda urusi.

T.T T.S

3. Wote watachaguliwa watakaofika mapema.

T.S T.T

4. Wakati alipopita wote wamemuangilia.

T.T T.S

5. vilikuwa vitamu alivyotupikia.

T.S T.T

Majibu 5: A

1. Angemngojea saa tatu angemuona uso kwa uso.

2. Ungeweka rutuba shambani ungepata mavuno ya kutosha.

3. Angelienda Marekani angepata alama nyingi.

Majibu 6: A

1.

24

T.T T.S

5. vilikuwa vitamu alivyotupikia.

T.S T.T

Majibu 5: A

1. Angemngojea saa tatu angemuona uso kwa uso.

2. Ungeweka rutuba shambani ungepata mavuno ya kutosha.

3. Angelienda Marekani angepata alama nyingi.

Majibu 6: A

1. S

K KT

N T KN

N

Kalisa anamtembelea Kamali

2. S

KN K

N V T

Mtu mrefu ameondoka

Page 31: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

25

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

2.

24

T.T T.S

5. vilikuwa vitamu alivyotupikia.

T.S T.T

Majibu 5: A

1. Angemngojea saa tatu angemuona uso kwa uso.

2. Ungeweka rutuba shambani ungepata mavuno ya kutosha.

3. Angelienda Marekani angepata alama nyingi.

Majibu 6: A

1. S

K KT

N T KN

N

Kalisa anamtembelea Kamali

2. S

KN K

N V T

Mtu mrefu ameondoka

3.

25

3. S

KN KT

N T KN

N KV

V KN

N E

Mtoto anamletea mama yake kuni jana

4. S

KN KT

N KV T KV

V V V KN

N KE

E E

Kijana Yule mrefu alimnunulia mwanangu soda jana asubuhi

Page 32: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

26

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

4.

25

3. S

KN KT

N T KN

N KV

V KN

N E

Mtoto anamletea mama yake kuni jana

4. S

KN KT

N KV T KV

V V V KN

N KE

E E

Kijana Yule mrefu alimnunulia mwanangu soda jana asubuhi

5.

26

5. S

KN KT

N T KN

N KV

V E

Mawike alipata faranga nyingi mno

6. S

KN KT

N V T N

Mwalimu mwema anawasaidia wanafunzi

6.

26

5. S

KN KT

N T KN

N KV

V E

Mawike alipata faranga nyingi mno

6. S

KN KT

N V T N

Mwalimu mwema anawasaidia wanafunzi

Page 33: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

27

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

7.

27

7. S

S1 S2

KN KT KN KT

N T N U N T

Mama anapika chakula na baba analala

8. S

KN KT

N T KN

N V

Ø amemletea gari nzuri

8.

27

7. S

S1 S2

KN KT KN KT

N T N U N T

Mama anapika chakula na baba analala

8. S

KN KT

N T KN

N V

Ø amemletea gari nzuri

9 .

28

9. S

KN KT

N T KV

V KU

U KN

N KU

U N

Rais alisema hayo kwa amri ya jeshi

10. S

KN KT

N T KN KE

N KV E E

V KN

N V

Mwalimu aliwapatia wanafunzi wote alama zao leo asubuhi

TANBIHI: Ikumbukwe kwamba wakati tunapochambua sentensi vielezi havitangulii sentensi.

Vinapotangulia sentensi, lazima viwekwe mwishoni mwa sentensi

Page 34: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

28

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

10.

28

9. S

KN KT

N T KV

V KU

U KN

N KU

U N

Rais alisema hayo kwa amri ya jeshi

10. S

KN KT

N T KN KE

N KV E E

V KN

N V

Mwalimu aliwapatia wanafunzi wote alama zao leo asubuhi

TANBIHI: Ikumbukwe kwamba wakati tunapochambua sentensi vielezi havitangulii sentensi.

Vinapotangulia sentensi, lazima viwekwe mwishoni mwa sentensi

TANBIHI: Ikumbukwe kwamba wakati tunapochambua sentensi vielezi havitangulii sentensi.

Vinapotangulia sentensi, lazima viwekwe mwishoni mwa sentensi

Page 35: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

29

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

Funzo: UTUNGAJI: BARUA (ukurasa 81)

Shabaha:

Kuwaongoza wanafunzi kujua kuandika barua ya kirafiki.

Taratibu

Hatua

Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi

1. Kuwasomesha barua ya kirafiki Kufurahia barua hiyo.

2. Kueleza sehemu za barua:

a) Anuani ya mwandishi na tarehe kuelewa namna zinavyoandikwa

b) Maana kukumbushana yanavyotarajiwa Maamkizi,

c) Mwanzo wa barua,

d) Kiini cha baru

e) Hitimisho na mwisho wa barua

3. Kuonyesha mfano wa barua ya Kirafiki. Kutambua barua ya kirafiki inavyoandikwa

4. Kusaidia na kusahihisha. Kuandika barua ya Kirafiki inavyotakikana

Majibu:

a) Hizi zifuatazo ni sehemu za barua ya Kirafiki:

(a) Anuani ya Mwandishi na Tarehe

Anuani ya mwandishi huandikwa kwenye pembe ya juu, upande wa kulia wa karatasi

Page 36: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

30

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

(b) Maamkizi

Baada ya kuandika anuani, inampasa anayeandika kuruka msitari mmoja na kisha kuanzia kwenye pambizo la kushoto la kalatasi kuandika maamkizi.

(c) Mwanzo wa barua

Kwa kawaida, barua ya kidugu huanzia kwa salamu na kumjulia hali anayetumiwa barua.

(d) Kiini cha barua

Mwanzo wa aya mpya huanzia kwa herufi kubwa kwenye msitari unaofuatia, chini ya alama ya mkato.Barua za kirafiki kwa kawaida huanza kwa salamu au kujuliana hali.

(e) Hitimisho na mwisho wa barua

Barua ihitimishwe kwa maneno ya kuvutia.Barua hizi za kidugu humalizika kama vile:

Wako mpendwa,

Ndimi kakako mpendwa,

b) Muundo wa barua ya Kirafiki:

Anuani ya Mwandishi

Maamkizi ……………………………………......

…………………………………….......................

………………………….......................

…………………………………….......................

………………………….......................

…………………………………….......................

Mwisho wa barua

Jina la mwandishi.

Page 37: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

31

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

c) Mpangilio wa mshazari ni mpangilio ambao mahali pa kuanzia msitari ni tofauti na pengine.mf:Shule ya Msingi ya Cyintare,

S.L.P.34 MUSANZE,

Januari 28, 2012.

Mpangilio wima ni mpangilio ambao mahali pa kuanzia panelingana.mf:

Shule ya Msingi ya Cyintare

S.L.P.34 MUSANZE.

Januari 28, 2012.

MAJIBU (b):

a)

Shule ya Upili ya Buhuga S.L.P.83 MUSANZE. Wilaya ya Gakenke, Mkoa wa Kasikazini, Nchi ya Rwanda, Machi, 04, 2012

Nelson Mpendwa,

Habari zako!

Ninakuandikia barua hii kwa ajili ya kukujulisha habari zangu na kukualikia kunitembelea.

Rafiki ya Nelson, ninakuandikia barua hii ili nikujulishe kuwa ninataka mimi na wewe tutembelee mahali tofauti nchiniRwanda.Unakumbuka ya kwamba siku zilizopita ulienda bila kujjua mahali pengine isipokuwa kwetu kwa sababu tulikosa fursa.

Wakati huu ni wa likizo nina muda wa kutosha ndiyo sababu ni taka uje katika Mwezi wa Julai.Kama nilivyokwambia nchini Rwanda kuna mahali pazuri pa kutembelea.Hapo ni:Mbuga ya wanyama ya Virunga, ndani mwake utaona Sokwe na pundamilia.Nyumba ya hifadhi ya mila na desturi vya Rwanda ndani mwake utona vifaa vya zamani.Tutalitembelea

Page 38: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

32

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

tena Jiwe la Bagenge ammbalo unalisikia sikia katika historia ya wanyarwanda.Kwa hiyo ninakungonjea.

Rafikio Mpenzi,

Emmanuel MANIRAGABA.

1)

Anuani ya mwandishi

Maamkizi

Kichwa cha barua(KUH:)

…………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………

Mwisho wa barua

Saini

Majina ya mwandishi.

Page 39: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

33

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

2) Barua ya Kirafiki Barua rasmi

Anuani ya mwandishi Anuani ya mwandishi

Tarehe kummbukumbu namba

maamkizi anuani ya mwandikiwa

barua yenyewe maamkizi

hitimisho kichwa cha barua (kuh:maombi)

saini hitimisho

jina la mwandishi saini

jina

Cheo cha mwandishi.

Tofauti kubbwa zaidi yahii ni kwamba barua ya kikazi inaweza kuandikwa kihorera lakini barua rasmi ina kanuni ambazo ni lazima kuzitimiza, zikikosekana barua hii haitakuwa bado na thamani.

MAJIBU(b)

Nchi ya Rwanda Mkoa wa Kasikazini Wilaya ya Gakenke

y

Tarafa ya Kivuruga,

Tarehe: 2Januari, 2012.

Kumb NO KB/4/2012

Afisa wa Uajiri S.L.P.160 KIGALI, Rwanda.

Bwana,

Page 40: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

34

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

KUH:Maombi ya Kazi ya kuwa Meneja

Ninayo heshima ya kukuandikia barua hii kwa ajili ya kukuomba kazi ya kuwa Meneja waHalmashauri yako.

Mimi ni mwanamke wa umri wa miaka 30, mimi ni Mnyarwanda, ninamiliki shahada ya Biashara ambayo niliipata kutoka Chuo Kikuu cha Kigali cha Mali na Benki katika mwaka wa 2001.Mimi nikimaliza masomo nimekuwa Meneja wa Benki ya Kigali tawi la GAKENKE.Ndiyo sababu ninaomba kazi ya kuwa Meneja katika Halmashauri ya Rwanda.

Wako Mtiifu,

NIYONKURU Odile

Meneji wa BK GAKENKE.

Shule ya Upili YA Kabgayi

S.L.P.61,

MUHANGA,

Juni-16-2012.

Rafiki Mpenzi,

Pokea salamu nyingi kutoka kwangu.Natumaini kwamba hujambo na kuwa una afya njemma.Nami huku shuleni ni muzima na ninaendelea vizuri na masomo.

Paulo mwenzangu, samahani sana kwa kusema haya, lakini nilishituka kwa niliyoyasikia kuhusu namna ulivyofukuzwa shuleni kwa sababu ya kuwa umetumia dawa za kulevya na kushiliki ulevi huko shuleni.

Madhumuni yangu ni kukushauri kuhusu mambo mambo hayo mabaya, kwani dawa zile ni kama UKIMWI mwilini na huwafyonza wanadamu na kuwaletea kifo wanaozitumia.Na sitaki kupoteza rafiki tamaniwa kama wewe. Ndiyo sababu, nakuombeni kuepukana na tabia hizo mbaya ili kupata maishamema na matamu.

Page 41: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

35

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

Na hatimaye, dawa zile humtendesha mabaya anayezitumia na kumfanya kama debe tupu.Pia dawa zile ni moja miongoni mwa vitu vinavyoleta nidhamu mbaya sana katika shule na kuathiri vibaya nidhamu za wanafunzi wenzake.

Lo! Hivi si kukutisha bali ni kukuonya ili uepukane na hali hii kwani ninakutakia maisha mema na kutimiza masomo yako ipasavyo.kumbuka walivyosema wahenga ”asiyesikia la mkuu, huvunjika mguu”.Usitoendelea na masomo yako utakueje?kumbuka kuwa siku hizi”Elimu ndiyo raslimali ya binadamu.”

Hebu nimalizie hapa, ni matumaini yangu kuwa shauri na maonyo haya yakifuatiliwa, yatakupigisha hatua kubwa maishani.

Wasaalam, Ndimi Rafikiyo akupendaye,

Venuste BAGIRANEZA.

MAREJEO

• Ndalu, A.(1997). Mwangaza wa Kiswahili,E.A.E.P Limited: Nairobi.

• TUKI. (2004/2002/1993/1985). Fasihi simulizi: Vitendawili,Chuo kikuu cha Dar es Salaam: Dar es Salaam.

• Ngure, A. (2007/2006/2005/2004/2003). Fasihi simulizi kwa shule zasekondari, Phoenix Publishers: Nairobi.

• TUKI. (2004/2002/1993/1981). Fasihi Simulizi : Methali: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Dar es Salaam.

• Wizara ya Mafunzo ya Msingi na Sekondari. (1987). Kitabu cha KiswahiliIV-VC: Kitabu cha Mwanafunzi, Regie de l’Imprimerie Scolaire: Kigali .

• Kihore,Y.M.,Massamba, D.P.B., Msanjila,Y.P.(2008/2007/2003). Sarufi Maumbo ya Kiswahili Sanifu (SAMAKISA):Sekondari na Vyuo, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Dar es Salaam.

• MASSAMBA, D.P.B, KIHORE,Y.M, Hokororo, J.I(2001/1999). SarufiMiundo ya Kiswahili Sanifu(SAMIKISA): Sekondari na Vyuo, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Dar es Salaam

Page 42: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule

36

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

• RWABUSHAIJA,M.(2002). Masomo ya msingi wa Kiswahili, Fountain Publishers: Kampala.

• Bakhressa Salim, K.&Islam K.(1999/1998/1997/1996/1995). Kiswahili Sanifu: Darasa la saba, Oxford University Press: Oxford New York.

• Mbunda, M.(1993). Misingi ya uhakiki wa Fasihi, English Press Limited: Nairobi.

• DIETSCH, B.M (2003/2000/1998). Reasoning& writing well, M C Graw Hill Companies: New York.

• Pearson, J,C& Nelson, P.E&Titsworth,S.&Horter,L.(2003). Human communication, MC Graw Hill Companies.

• TUKI. (2003). Kamusi ya Kiswahili Sanifu,Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Dar es Salaam

Kitabu cha Kiswahili: kidato cha tano Mwongozo wa mwalimu kimeandikwa na NIYIRORA Emmanuel na NDAYAMBAJE Ladislas wote kutoka Chuo Kikuu cha Elimu cha Kigali (KIE).

Kitabu hiki kitawasaidia walimu kufundisha somo la Kiswahili wakifuata mpangilio ambao umeandikwa katika kitabu hiki. Mafunzo na shabaha vitamsaidia mwalimu kujiandaa vizuri kabla ya kufundisha somo.

Page 43: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule
Page 44: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI...v KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule