tanzania election poll report swahili version
TRANSCRIPT
1 © 2015 Ipsos.1
Utafiti wa Robo ya Tatu ya mwakawa 2015
IMEANDALIWA NA : IPSOS
IMEANDALIWA KWA AJILI YA KUWASILISHWA KWAVYOMBO VYA HABARI. TAREHE: 24 SEPTEMBA 2015
Utafiti Kuhusu Maoni ya Watanzaniakwa maswala ya Kijamii, Uchumi,Siasa na Tamaduni
© 2015 Ipsos. All rights reserved. Contains Ipsos' Confidential and Proprietary informationand may not be disclosed or reproduced without the prior written consent of Ipsos.
2 © 2015 Ipsos.
YALIYOMO
2
a) Njia ya Utafiti Uliotumiwa Kukusanya Data
b) Umri, asili , tabaka na jinsia ya wahliohojiwa
c) Matatizo makuu yanayowakabili Watanzania
d) Hatua za kutokomeza umaskini
e) Imani ya wahojiwa katika vyama vya kisiasa kuhusu maswala ya sera
f) Kufungumana/Kupendelea vyama vya kisiasa
g) Mgombea wa nafasi ya urais –Mapendeleo kutegemea, Umri, Asili, Tabaka, Jinsia na
elimu
h) Uwezekano wa kubadili mtazamo wa nani wa kumchagua kabla ya October 25
3 © 2015 Ipsos.
Aina/ Fani ya Utafiti iliyotumiwa kukusanya data
Tarehe ya kukusanya data 05 - 22 Septemba 2015
Jumla ya watu waliohojiwa 1,836 (Tanzania Bara tu)
Aina ya methodolojia iliyotumika Random, Multi-stage stratified using PPS (proportionate topopulation size)-Sampuli iliyateuliwa kwa mfumo wa sadfaikizingatia idadi na kuenea kwa watu kama ilivyoripotiwa katikasensa ya 2012
Aina ya watu waliohojiwa Watanzania, wenye umri wa miaka 18 na kuendelea waishiomaeneo ya mjini na vijijini ( Ikijumuisha mikoa 25 ya Tanzaniabara )
Mfumo wa mahojiano Mahojiano ya moja kwa moja nyumbani kwa Wahojiwa
Margin of error +/-2.3% with a 95% confidence level(Note: Higher error-margins for sub-samples) Imani na Uhakikawa tafiti 95% na uwiano au kukosa uwiano +/_2.3%
Lugha ya mahojiano Kingereza , Kiswahili,
4 © 2015 Ipsos.
Uhakiki wa ubora wa Taarifa
• Ipsos inatumia njia mbalimbali kuhakikisha taarifa zinazokusanywa na wahojiwa zina ubora unaotakiwa.
• Msimamizi wa utafiti anakuwepo eneo la mahojiano kuangalia ukusanyaji wa data kwa kiwango kisichopungua 20%
Kwa kipindi chote cha ukusanyaji wa data
• Meneja utafiti nyanjani hutemebelea angalau 15% ya idadi yote ya wahojiwa kuhakiki ya kwamba walihojiwa
• Baada ya mahojiano , taarifa hutumwa moja kwa moja kwa njia ya kidijitali kwenda kwenye mitambo ya Ipsos
ambapo kitengo maalumu kinachohusika na uhakiki wa mahojiano yaliyofanyika kinahakikisha kuwa mahojiano
yalifanyika kwa kuwapigia simu wahojiwa wasiopungua 40% ya wale waliokubali kuhojiwa
• Mfumo huo wa ukusanyaji taarifa kwa kutumia simu huwezesha kuchukua vipimo vya mahali ambapo mahojiano
yalifanyika (GPS - location)
DEMOGRAPHIA
6 © 2015 Ipsos.
MkoaSample Frame statistics
*Weighted data %Population census 2012 Adults
(18 yrs +) %
Arusha 74 4% 874,975 4%
Dar es Salaam 229 12% 2,715,888 12%
Dodoma 86 5% 1,014,173 5%
Geita 63 3% 748,609 3%
Iringa 41 2% 485,597 2%
Kagera 95 5% 1,130,783 5%
Katavi 21 1% 251,099 1%
Kigoma 81 4% 955,816 4%
Kilimanjaro 76 4% 903,539 4%
Lindi 40 2% 479,914 2%
Manyara 56 3% 667,616 3%
Mara 65 4% 773,588 4%
Mbeya 115 6% 1,368,074 6%
Morogoro 99 5% 1,171,172 5%
Mtwara 60 3% 716,083 3%
Mwanza 110 6% 1,299,896 6%
Njombe 31 2% 362,735 2%
Pwani 50 3% 597,136 3%
Rukwa 37 2% 437,820 2%
Ruvuma 59 3% 703,739 3%
Shinyanga 60 3% 705,925 3%
Simiyu 56 3% 669,069 3%
Singida 55 3% 647,206 3%
Tabora 88 5% 1,040,968 5%
Tanga 88 5% 1,037,415 5%
Idadi ya wahojiwa kwa kila mkoa
7 © 2015 Ipsos.
Sampuli ya utafiti
33%
67%
Mjini / Kijini
Kijijini
Mjini47%
53%
Jinsia
Kike
Kiume
25.70%
28.10%
19.30%
26.80%
Umri
45+
35 - 44
25 - 34
18 - 24
Kielelezo: Wahojiwa wote n=1836
8 © 2015 Ipsos.
Kiwango cha juu cha elimu na ajira
7%
9%
53%
9%
17%
2%
1%
2%
1%
Wasiokwenda shule kabisa
Elimu ya msingi
Waliomaliza elimu ya msingi
Elimu ya sekondari
Waliomaliza elimu ya sekondari
Elimu ya ufundi baada ya sekondari
Chuo kikuu
Waliohitimu chuo kikuu
Digrii ya pili (Masters) 8%
5%
4%
2%
5%
27%
4%
2%
1%
41%
3%
Mama wa nyumbani
Walioajiriwa sekta rasmi
Walioajiriwa sekta isiyo rasmi
Wastaafu
Wanafunzi
Waliojiajiri /wenye biashara binafsi
Wasioajiriwa /wanatafuta kazi
Wasioajiriwa /hawatafuti kazi
Vibarua
Wakulima
Wengineo
Kielelezo: Wahojiwa wote n=1836
9 © 2015 Ipsos.
“Kwa ujumla, ni yapi unaweza sema ndiyo matatizo makuuyanayoikabili Tanzania kwa sasa?”Majibu mengi
40%
36%
35%
34%
29%
29%
22%
17%
3%
3%
3%
Bei ya chakula, Gharama za maisha, nishati, umaskini
Afya
Chakula/Njaa/Kilimo
Maji
Elimu
Umeme, Barabara, Makazi
Ukosefu wa ajira
Rushwa
Taasisi za siasa
Mabadiliko ya tabia ya nchi/Mazingira
Haki za binadamu
Kielelezo: Wahojiwa wote n=1836
10 © 2015 Ipsos.
Mitazamo juu ya umaskini;“Je kuna umaskini wowote kwenye eneo hili?”
93% 89%95%
5% 7% 4%0% 1% 0%1% 3% 1%
JUMLA MJINI KIJIJINI
NDIYO HAPANA HAKUNA JIBU SIJUI
Kielelezo: Wahojiwa wote n=1836
11 © 2015 Ipsos.
Mitazamo Kuhusu Umaskini;“Je ni mambo yapii makuu yanaweza kufanyika ili kupunguzaumaskini katika eneo unaloishi?”Majibu mengi
64%
41%
38%
35%
33%
13%
5%
2%
2%
1%
1%
1%
1%
Miundombinu(Barabara,Maji, Umeme)
Afya
Elimu
Kilimo/Ufugaji
Nafasi za ajira
Uongozi (Uzuiaji wa rushwa , Sera,Uongozi bora)
Upatikanaji wa mikopo
Ulinzi
Uzazi wa mpango
Uanzishwaji wa miradi kuboresha maisha ya wananchi
Upatikanaji wa masoko na maeneo ya biashara
Upangaji mzuri wa bei za mazao kwa wakulima
Kuboresha mitandao ya mawasiliano
Kielelezo: Wahojiwa wote n=1836
IMANI KATIKA UTEKELEZAJIWA VYAMA VYA SIASA
13 © 2015 Ipsos.
“Ni kwa kiasi kipi unakiamini Chadema/CCM katikakushughulikia maswala yafuatayo
42%
38%
39%
36%
38%
26%
44%
28%
27%
27%
25%
25%
27%
26%
Kusimamia uchumi
Kusimamia afya
Kusimamia elimu
Kusimamia usambazaji wa maji
Kusimamia nishati ya umeme
Kusimamia/Kupunguza rushwa
Kusimamia bara bara na miundo mbinu
% Waliosema wanaamini kabisa / Wanaamini sana
Chadema CCM
Kielelezo: Wahojiwa wote n=1836
14 © 2015 Ipsos.
Kiwango cha wale ambao wamefanya maamuzi juu ya chamacha siasa na nafasi ya uraisi
Hawajafanya maamuzi
22%
Waliosemawanashabiki
a auhawashabiki
i chamachochotecha siasa,
78%
Ambao wanashabikia/hawashabikiichama chochote cha siasa
Wasio namsimamowa kupiga
au kutopigakura /
Hakuna jibu,27%
Wenyemsaimanowa kupigaau kutopigakura , 73%
Ambao wameamua/hawajaamua naniwa kumpigia kura
Kielelezo: Wahojiwa wote. Jumla =1836
15 © 2015 Ipsos.
“Ni chama kipi cha siasa ambacho unadhani upokaribu nacho zaidi, kama kipo?”
60%
29%
3% 1% 1% 1% 1% 4%
Kielelezo “ Walosema wanaunga au hawaungi chama chochote ” Jumla= 1442
16 © 2015 Ipsos.
“Ni chama kipi cha kisiasa ambacho unadhani upo karibu nachozaidi, kama kipo?”Wanaoshabikia vyama viwili vikuu . Mjini / Kijijini / Jinsia
60%
51%
69%
54%
63%
29%37%
21%30% 28%
Jumla Wanaume Wanawake Mjini Kijijini
CCM CHADEMA
Kielelezo: Kwa wanaoshabikia CCM au Chadema – jumla =1283”
17 © 2015 Ipsos.
“Ni chama kipi cha siasa ambacho unadhani upo karibu nachozaidi, kama kipo?”Wanaoshabikia vyama vikuu viwili - Umri
60%
52%56%
61%
73%
29%35% 35%
29%
16%
Jumla 18 - 24 25 - 34 35 - 44 45+
CCM CHADEMA
Kieleiezo : Wale wanaoshabikia CCM au Chadema. Jumla =1,283
MGOMBEA URAISUNAYEMPENDELEA
19 © 2015 Ipsos.
“Kama uchaguzi ungefanyika leo, ni mgombea yupiungemchagua kwa nafasi ya urais?”
61.6%
30.8%
0.3%7.3%
DR. John PombeMagufuli
Edward Lowassa Anna Mugwira Sitomchagua yeyote
Kielelezo: Wale ambao wameshaamua juu ya nani watamchagua Jumla =1338)
20 © 2015 Ipsos.
“Kama uchaguzi ungefanyika leo, ni mgombea yupiungemchagua kwa nafasi ya uraisi?”(Jinsia – Mjini/Vijijini)
61.6%56.0%
66.6%59.7% 62.5%
30.8%38.9%
23.7%31.9% 30.3%
0.3% 0.3% 0.3% 0.7% 0.1%7.3% 4.8%
9.5% 7.7% 7.1%
Jumla Wanaume Wanawake Mjini Kijijini
DR. John Pombe Magufuli Edward Lowassa
Anna Mugwira Sitompigia kura mtu yeyote
Kielelezo: Wale ambao wameshaamua juu ya nani watamchagua Jumla =1338)
21 © 2015 Ipsos.
“Kama uchaguzi ungefanyika leo, ni mgombea yupi ungemchaguakwa nafasi ya uraisi?”Umri
61.6%54.9% 57.4%
61.9%
73.5%
30.8%38.7% 34.5% 32.0%
17.2%
0.3% 0.3% 0.3% 0.4% 0.3%7.3% 6.2% 7.8% 5.8% 9.0%
Jumla 18 - 24 25 - 34 35 - 44 45+
Dr. John Pombe Magufuli Edward Lowassa
Anna Mugwira Sitompigia kura mtu yeyote
Kielelezo: Wale ambao wameshaamua juu ya nani watamchagua jumla =1338)
22 © 2015 Ipsos.
“Kuna uwezekano gani wa kuwa utabadilisha mawazo juu yanani wa kumchagua kati ya leo na siku ya uchaguzi?” Unawezasema ...?”
70%
6%
4%
7%
11%
2%
1%
Hakuna uwezekano
Hakuna uwezekano kwa kiasi Fulani
Wastani
Kuna uwezekano kwa kiasi Fulani
Uwezekano mkubwa
Sijui
Sina jibu
Kielelezo: Wale ambao wamefanya maamuzi juu ya nani wa kumpigia kura Jumla =1338)
23 © 2015 Ipsos.
Contacts
Charles MakauIpsos Tanzania
AGGREY ORIWOIpsos East Africa Cluster
twitter.com/ipsostanzaniafacebook.com/ipsostanzaniawww.ipsos.com
DR TOM WOLFResearch Analyst
24 © 2015 Ipsos.
ABOUT IPSOS
Ipsos ranks third in the global research industry. With a
strong presence in 87 countries, Ipsos employs more
than 16,000 people and has the ability to conduct
research programs in more than 100 countries. Founded
in France in 1975, Ipsos is controlled and managed by
research professionals. They have built a solid Group
around a multi-specialist positioning – Media and
advertising research; Marketing research; Client and
employee relationship management; Opinion & social
research; Mobile, Online, Offline data collection and
delivery.
Ipsos is listed on Eurolist - NYSE-Euronext. The company
is part of the SBF 120 and the Mid-60 index and is
eligible for the Deferred Settlement Service (SRD).
www.ipsos.com
GAME CHANGERS
At Ipsos we are passionately curious about people, markets, brands andsociety. We deliver information and analysis that makes our complexworld easier and faster to navigate and inspires our clients to makesmarter decisions.
We believe that our work is important. Security, simplicity, speed andsubstance applies to everything we do.
Through specialisation, we offer our clients a unique depth ofknowledge and expertise. Learning from different experiences gives usperspective and inspires us to boldly call things into question, to becreative.
By nurturing a culture of collaboration and curiosity, we attract thehighest calibre of people who have the ability and desire to influenceand shape the future.
“GAME CHANGERS” - our tagline - summarises our ambition.