· web view2020/05/29  · (mzunguko wa mkono ya mtoto tangu myezi sita hadi makumi tano na tisa...

26
UCHUNGUZI WA HARAKA KATIKA SECTA MBALI MBALI (ERM)-AINA 2 – Uchunguzi ya nyumba Version 1.0 – Mars 2020 - DRAFT Habari ya uchunguzi 0.1. Tarehe ya uchunguzi /___/___/_____/ 0.2. Shirika …………. 0.3. Kazi za mashirika Ndiyo Apana 0.4. Nambari ya muchunguzi …………. 0.5. Jina ya muchungu zi …………. 0.6. Nambari ya uchunguzi wa nyumba …………. 0.7. Nambari ya shida muhimu Mahali ya mazungumuzo 0.8. Jimbo 0.9. Wilaya 0.10. Eneo la afia 0.11. Eneo 0.12. Mkoa 0.13. Eneo/kijiji 0.14. Mawasiliano (Cordonnées GPS) 0.14. a Latitude |__|__| degrés |__|__| Dakika |__| __|, |__|__| Segunda 0.14. b Longitude |__|__| degrés |__|__| Dakika |__| __|, |__|__| segunda 0.14. c Altitude |__|__| mètres 0.14. d Précision |__|__| mètres Jambo, jina langu ni_____ mimi ni mufanyakazi kwa-------------Tunatumika kwa uchunguzi wa haraka katika secta mbali mbali ya mahitaji na tunapenda kuuliza maswali machache kuhusu shida ya wakaaji wanao patikana ndani ya hiki kijiji- kiwango cha mapato, kupatikana kwa chakula wala maji, afia, elimu na ukingo. Mazungumuzo yatachukuwa dakika makumi mbili na tano (25). Habari yeyote utakayo tupa, italindwa kwa siri. Ni kazi ya kujitowa na uko huru kujibu, kunyamaza ao ku vunja mazungumuzo wakati wowote. Ila tunamatumaini kuwa utashiriki nasi kwa maana maoni yako ni ya muhimu sana. Ni muhimu piya kuelewa kwamba tuko hapa juu ya kujifunza hali ya maisha ya wakaaji wa eneo hili na sio kutoa musaada wowote wa kibinadamu. Kufanyiwa uchunguzi ao la haikupe bahati 1

Upload: others

Post on 23-Oct-2020

0 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

UCHUNGUZI WA HARAKA KATIKA SECTA MBALI MBALI (ERM)-AINA 2 – Uchunguzi ya nyumba

Version 1.0 – Mars 2020 - DRAFT

Habari ya uchunguzi

0.1. Tarehe ya uchunguzi

/___/___/_____/

0.2. Shirika

………….

0.3. Kazi za mashirika

Ndiyo

Apana

0.4. Nambari ya muchunguzi

………….

0.5. Jina ya muchunguzi

………….

0.6. Nambari ya uchunguzi wa nyumba

………….

0.7. Nambari ya shida muhimu

Mahali ya mazungumuzo

0.8. Jimbo

0.9. Wilaya

0.10. Eneo la afia

0.11. Eneo

0.12. Mkoa

0.13. Eneo/kijiji

0.14. Mawasiliano (Cordonnées GPS)

0.14. a Latitude

|__|__| degrés |__|__| Dakika |__|__|, |__|__| Segunda

0.14. b Longitude

|__|__| degrés |__|__| Dakika |__|__|, |__|__| segunda

0.14. c Altitude

|__|__| mètres

0.14. d Précision

|__|__| mètres

Jambo, jina langu ni_____ mimi ni mufanyakazi kwa-------------Tunatumika kwa uchunguzi wa haraka katika secta mbali mbali ya mahitaji na tunapenda kuuliza maswali machache kuhusu shida ya wakaaji wanao patikana ndani ya hiki kijiji- kiwango cha mapato, kupatikana kwa chakula wala maji, afia, elimu na ukingo. Mazungumuzo yatachukuwa dakika makumi mbili na tano (25). Habari yeyote utakayo tupa, italindwa kwa siri. Ni kazi ya kujitowa na uko huru kujibu, kunyamaza ao ku vunja mazungumuzo wakati wowote. Ila tunamatumaini kuwa utashiriki nasi kwa maana maoni yako ni ya muhimu sana. Ni muhimu piya kuelewa kwamba tuko hapa juu ya kujifunza hali ya maisha ya wakaaji wa eneo hili na sio kutoa musaada wowote wa kibinadamu. Kufanyiwa uchunguzi ao la haikupe bahati yakupata msaada. Je unamaswali yoyote ? Naweza ku anza ?

**Kiongozi wa nyumba hawezi kuwa na umri chini ya miaka kumi na nane (18)

Nyumba: Kikundi cha watu ambao hula mara kwa mara kwenye bakuli moja (kuchangia chakula na vitu vingine) na hulala katika nafasi moja asilimia kubwa ya usiku kwa juma. Wanaweza kuishi mahali tofauti katika eneo. Haijalishi watu hawa wawe wandugu ao apana. Nikusema nyumba haiko tu jamaa moja.

0.15. Makubaliano * (ikiwa muchunguziwa hakubali, acha uchunguzi

Ndiyo Apana

0.16. Jinsia ya mwenye kuchunguzwa

Mwanaume Mwanamke Mwanamuke mjamuzito na mwenye ku nyonyesha Hasemi kitu

0.17. Umri ya mwenye kuchunguzwa (muchunguzwa hawezi kuwa na umri chini ya miaka kumi na nane (18), kama iko na miaka hiyo, mushukuru na umalize mazungumuzo, hatahivyo u ricodi (enregistrer) mazungumuzo yake.

|__|__|

0.18. Je mwenye kuchunguzwa ndiye kiongozi wa nyumba ambayo anaripotia ?

Ndiyo Apana

0.19. Kama apana, umri ya kiongozi wa nyumba

|__|__|

0.20. Kama apana, Jinsia ya kiongozi wa nyumba

Mwanaume Mwanamuke Mwanamuke mjamuzito na mwenye ku nyonyesha Hasemi kitu

0.21. Wakati wa mwanzo wa mazungumuzo

/___/___/_____/

0.22. Wakati wa mwisho wa mazungumuzo

/___/___/_____/

1.Hali

1.1. Aina za shida

1.1.1 Ni aina gani ya shida muliyopata katika nyumba ? (Chagua zinazo stahili kwa ulizo)

Mizozo

Magonjwa ya kuambukia

Janga

Ingine (taja) ………….

Sijuwe

Hasemi kitu

1.1.2 Kama ni « Mizozo », ni aina gani ? (Chagua jibu moja)

Wanao shika silaha kinyume ya sheria

Mizozo ya jamii

Kupinganiya uongozi wa kiasili

Mizozo ya udongo

Ingine (taja) ………….

Sijuwe

Hasemi kitu

1.1.3 Kama ni « janga », ni aina gani ? (Chagua jibu moja)

Tetemeko la udongo

Mafuriko ya maji

Jua kali

Muripuko wa volkeno

Ingine (taja) ………….

Sijuwe

Hasemi kitu

1.2. Nyakati za shida

1.2.1 Shida hiyo ilianza wakati gani ?

/___/___/ Mwezi/Mwaka

1.2.2 Shida ingali naendelea ?

Ndiyo Apana

1.2.3 Kama apana, shida iliisha wakati gani

/___/__ / Mwezi/Mwaka

1.3. Idadi ya watu, hali ya makao na mwenendo ya wakaaji

1.3.1 Ni nini hali ya nyumba yako 

Wahami wanaokaa katika inchi yao

Wahami wanaorudi katika muji wao

Wakimbizi toka inchi ya kigeni

Watu wenye Kurejeshwa/watu wenye kufukuzwa

Wakaaji kamili (apana wahami tangu chini ya myezi kumi na mbili (12)

Jamaa ya mapokezi

1.3.2 Ikiwa kuna Wahami /Wakimbizi/Watu wenye ku fukuzwa ao warudi/ wenye kurejeshwa tangu miezi ngapi ?

Chini ya juma ine (4

Kati ya mwezi moja (1) na myezi tatu (3) Kati ya myezi tatu (3) na myezi sita (6)

Kati ya miezi sita (6) na myezi kumi na mbili (12)

Zaidi ya kumi na mbili (12)

1.3.2. Nyumba yako ilikaribisha muhami ?

Ndiyo Apana

1.3.3 Ni mahali gani jamaa yako imetoka ?

1.3.3.a Nchi (ikiwa inje ya DRC)

………….

1.3.3.b Jimbo

………….

1.4.3.c Wilaya

………….

1.3.3.d Eneo la afia

………….

1.4.3.e Eneo

………….

1.3.3.f Mkoa

………….

1.4.3.g Eneo/kijiji

………….

1.3.3.g. Nyumba yako ilipata uharibifu / uporaji wa vitu muhimu kwa sababu ya shida ?

Ndiyo Apana Hajuwi Hasemi kitu

1.3.4 Ikiwa muhami, Ni sababu gani kubwa iliacha jamii nyenu ina amuwa toka eneo la ku ondokea? (Jibu moja tu)

Usumbufu ya vikosi vyenye silaha mahali mulikuwa

Kuondoka mbele shida ikuwe (oga/shambulizi)

Ukosefu wa chakula mahali wanatokeya

Mvutano wa kijamii katika eneo wanaotokea

Ukosefu wa huduma za afia

Ukosefu wa huduma ya elimu

Ukosefu wa kufika kwenye soko

Ukosefu wa kupata maji

Mafuriko mahali wanatokeya

Ukosefu wa upatikanaji wa shamba

Ingine (Taja) ………….

Sijuwe

Hasemi kitu

1.3.5. Ikiwa uko wakimbizi, jamaa yako inakusudia kurudi katika eneo ulipo ondokea?

Ndiyo Apana Hajuwi Hasemi kitu  

1.3.6 Ikiwa ndio, siku gani njo utarudi kwenye eneo lako laku ondokea (eneo ambalo ulikuwa kabla ya kuhamishwa)?

Katika juma mbili (2) zijazo

Juma mbili (2) hadi ine (4)

Mwezi moja (1) hadi tatu (3)

Myezi ine (4) hadi sita (6)

Zaidi ya myezi sita (6)

1.3.7. Ni sababu gani kubwa inayoweza kuacha jamaa yako inaamua kurudi katika eneo ulipotoka ?

Kuboreshwa kwa hali ya usalama

Kupatikana kwa huduma za afya

Kupatikana kwa huduma za elimu

Kupatikana kwa shamba

Kupatikana kwa soko

Kupatikana kwa maji

Ingine (Taja) ………….

Sijuwe

Hasemi kitu

1.3.8. Ikiwa umerudishwa, ni nini sababu kuu iliyosukuma jamaa yako kuamua kurudi katika eneo lako lakuondokea?

Kuboreshwa kwa hali ya usalama

Kupatikana kwa huduma za afya

Kupatikana kwa huduma za elimu

Kupatikana kwa shamba

Kupatikana kwa soko

Kupatikana kwa maji

Ingine (Taja) ………….

Sijuwe

Hasemi kitu

1.3.9. Kuna watu ngapi katika jamaa yako ? andika idadi na jinsia kwenye nafasi inayopatikana hapa chini

Vijana

Wasichana

myezi 0-6

|__|__|

|__|__|

myezi 7 – miaka 2

|__|__|

|__|__|

miaka 3 – miaka 5

|__|__|

|__|__|

miaka 6 – miaka 11

|__|__|

|__|__|

miaka 12 – miaka 17

|__|__|

|__|__|

Wanaume

Wanawake

miaka 18 - miaka 19

|__|__|

|__|__|

miaka 20 - miaka 64

|__|__|

|__|__|

Zaidi ya miaka 64

|__|__|

|__|__|

1.3.10. Kwa jumla, muko watu ngapi katika nyumba yako ?

|__|__|

1.3.11 Ni wanawake wangapi wajawazito na wanaonyonyesha katika nyumba yako ?

|__|__|

2. Malisho

2.1. Idadi ya kesi ya malisho mabaya zaidi

*** Kwa kujuwa shida ziwezekanazo za malisho kwa watu walio wanyonge zaidi katika jamaa, kupima mikono ya watoto na wanawake. Inaruhusiwa kupima mkono ya watoto na wanawake ? Una maulizo yoyote ? Naweza kuanza ?

2.1.1 Makubaliano

Ndiyo Apana

Idadi ya watoto wa myezi sita (6) hadi myezi makumi tano na tisa (59) wenyi wiko sasa

|__|__|

2.1.2. (Mzunguko wa mkono ya mtoto tangu myezi sita hadi makumi tano na tisa katika nyumba (kamata vipimo vya muzunguko ya mkono na andika kwa milimita). Ikiwa chini ya 115mm, Picha ya mkono wa mtoto.

Mtoto

1

2

3

4

5

6

7

Jinsia

Kijana

Msichana

Kijana

Msichana

Kijana

Msichana

Kijana

Msichana

Kijana

Msichana

Kijana

Msichana

Kijana

Msichana

Umri (na mwezi)

|__|__|

|__|__|

|__|__|

|__|__|

|__|__|

|__|__|

|__|__|

Mzunguko wa mkono kwa mm

|__|__|__|

|__|__|__|

|__|__|__|

|__|__|__|

|__|__|__|

|__|__|__|

|__|__|__|

2.1.3. Mzunguko wa mkono wa wanawake wajawazito na wanaonyonyesha katika nyumba

Wanawake wajawazito na wanaonyonyesha

1

2

3

4

5

6

7

Umri (mwaka)

|__|__|

|__|__|

|__|__|

|__|__|

|__|__|

|__|__|

|__|__|

Mzunguko wa mkono

|__|__|__|

|__|__|__|

|__|__|__|

|__|__|__|

|__|__|__|

|__|__|__|

|__|__|__|

3. Usalama wa chakula na ginsi ya kutafuta maisha

3.1 Ginsi ya kutafuta maisha

3.1.1 Ni chemchemu gani ya kwanza ya mapato kwa jamii yako katika juma mbili zilizopita ? (Jibu moja tu)

Kazi kwa siku

Kilimo ya ku jitegemea

Mulimo wa mapato

Kazi za uvuvi

Kazi za uwindaji/kulokota lokota

Ufugaji

Uchimbaji madini

Biashara ndogo (pamoja na kuuzisha makala, navivi hivi.

Kazi za mushahara (kazi ya kudumu)

Kutuma pesa (kwa mufano, imetumwa na ndugu ao rafiki)

Ingine, Taja ………….

Hajuwe

Hasemi kitu

3.1.2. Jamaa yako inapata udongo kirahisi (hata pasipo kulima) ?

Ndiyo Apana Hajuwi Hasemi kitu  

3.1.3. Kwa jumla, jamii yako inafanya mulimo (hata kama haina mapato)?

Ndiyo Apana Hajuwi Hasemi kitu  

3.1.4. Una shida gani katika kulima udongo? (Majibu 3 inawezekana)

Ukosefu wa udongo / eneo kidogo linapatikana

Ukosefu wa mbegu

Shida ya mboleo ya udongo

Magonjwa ya mimeya / na ingine vidudu

Uwepo wa nyimbo

Shamba lililoharibiwa na wanyama wa porini

Ukosefu wa vyombo/ mashine

Ukosefu wa gala kwa mimeya

Ukosefu wa wafanya kazi

Ukosefu wa mtiririko kwa uzalishaji

Ukosefu wa Mvua

Wingi wa mvua / Mafuriko

Ukosefu wa usalama/ubakaji/ mapigano

Uporaji wa mavuno

Ingine (taja) ………….

Hajuwe

Hasemi kitu

3.2 Kupatikana kwa soko na matumizi yake

3.2.1. Je, jamii yako imetumiya soko kwa siku 7 zilizo pita

Ndiyo Apana Hajuwe Hasemi kitu

3.2.2 Unachukua muda gani kwenda kwenye soko?

Chini ya dakika 45

Dakika 46 - saa 2

Zaidi ya masaa 2 – nusu ya siku Nusu ya siku (ao hakuna ufikiaji)

Chini ya dakika 45

Dakika 46 - saa 2

Zaidi ya masaa 2– nusu ya siku

Nusu ya siku (ao hakuna ufikiaji)

Hajuwe

Hasemi kitu

3.2.3. Jamaa yako ilipatwa na mabadiliko katika kupatikana kwa vitu fulani fulani kwenye soko katika siku 7 zilizo pita ?

Hakuna tofauti

Vitu vingi vimepatikana kwenye soko

Vitu vidogo njo vimepatikana kwenye soko

Hajuwe

Hasemi kitu

3.2.4. Jamaa yako ilipatwa na mabadiliko katika kushuka ao kupanda kwa bei ya vitu kwenye soko katika siku 7 zilizo pita?

Hakuna tofauti

Vitu vingi vimepatikana kwenye soko

Vitu kidogo njo vimepatikana kwenye soko

Hajuwe

Hasemi kitu

3.2.5. Nyumba yako inapata huduma za malipo kupitia simu kama vile M-pesa ?

Apana Ndiyo Hajuwi Hasemi Kitu

3.3 Chemuchemu ya chakula na gala ya chakula

3.3.1 Ni chemuchemu gani (ao 3 kubwa) ya chakula cha jamaa yako katika juma mbili zilizopita ?

Uzalishaji wa binafsi

Imepokelewa kama msaada wa chakula kutoka kwa gavementi, ONG, umoja wa mataifa na vivi hivi

Imepokelewa kama zawadi kutoka kwa marafiki

Soko

Kazi kwa chakula

Kulokota, uwindaji ao uvuvi

Kununua kwa jirani

Biashara ndogo (pamoja na kuuza makaa )

Kubadilisha vifaa kwa chakula

Kujikopesha chakula kutoka kwa jamaa, majeshi

Kujikopesha chakula kutoka kwa wageni katika eneo

Zakat / sadaka ya chakula

Ingine (Taja) ………….

Hajuwe

Hasemi kitu

3.3.3 Ni kwa juma ngapi njowatu wa nyumba yako wanaweza tumia hivi vifaa vya nyumbani? (gala ya chakula , shamba ya mimea na pesa)?

|__|__| Juma

3.4 Matumizi ya chakula

3.4.1 Katika siku 7 zilizopita, ni mara ngapi watu wa nyumba yako walikula ?

3.4.1.a Kwa watu wazima: |__|__| mulo( repas)

3.4.1.b Kwa watoto  : |__|__|mulo( repas)

3.4.2 Katika siku 7 zilizopita, ni siku ngapi mtu wa nyumba yako alikula hasa chakula tu cha musituni (majani, mizizi na matunda ya porini) ? (Chakula cha porini ni kile ambacho hakikupandwa na mtu kwenye shamba lakini kimepatikana porini)

|__| siku (haziwezi kuwa zaidi ya saba (7)

3.4.3 Ni siku ngapi katika juma iliyopita (ya siku 7 zilizopita) nyumba yako imetumia vifaa vifuatavyo kama viungo muhimu ? soma kwa sauti kikundi cha kwanza cha chakula na mifano, kumbuka idadi ya siku za matumizi, na kisha angalia nambari ya mahali aina hii ya chakula inatoka. Endelea kwa njia hiyo hiyo kwa kikundi cha pili, na kazalika.

Nambari ya mahali chakula inatoka: 0= Chakula ambacho hamukukula; 1 = Uzalishaji wa mwenyewe, 2 = Kununuwa kwenye Soko; 3 = Uwindaji, Kulokotalokota , uvuvi; 4 =( Malipo kwa vitu); 5 = Mkopo, 6 = Zawadi (Familia, majirani, jamii na kazalika; 7 = Msaada wa Chakula kotoka(NGOs,PAM,serekali)

Idadi ya siku za matumizi

Nambari ya chemuchemu muhimu

Mutama, muchele, muhindi, mukate, mihogo, viazi, masidi, (Mimea)

|__|

|__|

Pois, Maharangi (haricot, (Légumineuses) kalanga (arachide), sésame, (Oléagineux)

|__|

|__|

Majani na mboga za majani

|__|

|__|

Matunda na mboga za majani, hembe, pastèque, avocado, ndimo tamu, ananasi, ndizi, mbilingano, tomato, matungulu

|__|

|__|

Nyama, nyama ya ndege, Mayai, Samaki (poisson/crustacés –

|__|

|__|

Sukari

|__|

|__|

Maziwa, fromage, yuguru

|__|

|__|

Mafuta

|__|

|__|

3.4.4 Kiwango cha Njaa ndani ya nyumba

3.4.4.a Katika juma 4 zilizopita / siku 30], kumefika wakati nyumbani kumekosekana chakula chochote kutokana na ukosefu wa pato ?

Ndiyo Hapana (pita kwa 3.4.4.c)

3.4.4.b Hii ni mara ngapi imetokea katika [juma 4 / siku 30]?

1 = Mara chache (mara 1 hadi 2)

2 = Wakati mwingine (mara 3 hadi 10)

3 = Mara nyingi (zaidi ya mara 10)

3.4.4.c Katika [juma 4 zilizopita / siku 30], Wewe ao mtu yeyote wa familia yako alilazimishwa kulala njaa usiku kwa sababu hakukuwa na chakula cha kutosha ?

Ndiyo Hapana (pita kwa 3.4.4.e)

3.4.4.d Hii ni mara ngapi imetokea katika [juma 4 / siku 30]?

1 = Mara chache (mara 1 hadi 2)

2 = Wakati mwingine (mara 3 hadi 10)

3 = Mara nyingi (zaidi ya mara 10)

3.4.4.e Katika [Juma 4 zilizopita / siku 30], Wewe ao mtu yeyote wa familia yako alipitisha siku nzima usiku bila kula chochote kwa sababu hakukuwa na chakula cha kutosha ?

Apana Ndiyo

3.4.4.f Ikiwa ndio, hii imekuwa mara ngapi katika [juma 4 / siku 30]

1 = Mara chache (mara 1 hadi 2)

2 = Wakati mwingine (mara 3 hadi 10)

3 = Mara nyingi (zaidi ya mara 10)

3.4.5 Katika [juma 4 zilizopita / siku 30], Ni siku ngapi kwa juma familia yako imetumia mbinu (stratégies) zifuatazo katika siku 7 zilizo pita ?

|__| Kutumia vyakula vya bei chini/ visivyopendwa (wakati vyakula vya kawaida vinapatikana)

|__| Kujikopesha chakula ao kuomba msaada kutoka kwa marafiki / majirani / wazazi / familia juu ya kulisha nyumba yako

|__| Kupunguza ukubwa wa sehemu wakati wa kula

|__| Kupunguza matumizi ya watu wazima kwa faida ya watoto

|__| kupunguza idadi ya chakula ya kila siku

3.5. Mbinu (stratégies) za nyumba kwa kuishi :

3.5.1 Katika siku makumi tatu (30) zilizopita, kuna mtu yeyote wa nyumba yako ametumia tabia ifuatayo kwa sababu haukuwa na chakula cha kutosha ao pesa ya kuinunua ?

3.5.1.a Kuuzisha mali / vitu vya nyumba visivyo toa (redio, runinga, ....)

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumikishwa (Non applicable)

3.5.1.b Kupunguza garama muhimu zisizo za chakula kama vile elimu, afya (pamoja na dawa).

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumisiwa

3.5.1.c Kuuzisha mali yenye kutoa ao njia za usafirishaji (mashine ya kushona, baskeli, gari, ...)

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumikishwa

3.5.1.d Matumizi ya akiba

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumikishwa

3.5.1.e Kukopesha pesa / chakula kutoka kwa wakopeshaji / benki

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumikishwa

3.5.1.f Kuuzisha nyumba ao udongo

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumikishwa

3.5.1.g Kutosha watoto shuleni

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumikishwa

3.5.1.h Kuuzisha wanyama wa kike

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumikishwa

3.5.1.i Kuomba omba

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumikishwa

3.5.1.j Kuuzisha wanyama zaidi (wasio zaa tena) kuliko kawaida

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumikishwa

3.5.1.k (Tumia uuzaji wa mbegu kwa wakati muhimu wa kulima ujao.)

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumikishwa

3.5.1.l Mavuno / kukula chakula yenyi haikomae

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumikishwa

3.5.1. Kutumia umalaya

Ndiyo

Hapana, kwa sababu haikuwa lazima

Hapana, kwa sababu tayari nimeuzisha mali hizi ao nimefanya kazi hii katika miezi kumi na mbili (12) iliyopita na siwezi kuendelea kufanya hivyo

Isiyo tumikishwa

4. Makao

4.1 Aina ya Makao

4.1.1 Katika nyumba gani munaishi

Makao (majengo ya ku dumu)

Makao ya mbiyo mbiyo isio dumu, pia hujengwa kwa vifaa vinavyo patikana

Kituo cha pamoja (wakimbizi waishi kwa nyumba la utawala, kituo cha afya)

Masomo iliyobadilishwa kuwa kituo cha pamoja

Hakuna nyumba

Ingine (taja)

|__| Hajuwe

|__| Hasemi kitu

4.1.1.a (kama majengo ni ya ku dumu) ni hali gani ya kumiliki ?

Mimi mwenyezi

Kupokelewa na familia

Ku jikopesha bila malipo yoyote kwa ruhusa ya mwenye nyumba

Ku ikala kwa bure kwa ruhusa ya mutu mwengine

Kuikala kwa bure bila ruhusa ya mutu

Kupanga

Ingine (Taja) ………….

Hajuwe

Hasemi kitu

4.1.1.b Kama ni makao ya mbiyo mbiyo ni hali gani ya kumiliki ?

Kupokelewa na familia

Kujenga katika parcele ya familia ya mapokezi kwa bure

Kujenga katika parcele ya familia ya mapokezi kwa malipo (loyer) ao kwa kazi zilzotolewa

Kujenga katika parcele yake mwenyewe

Katika kambi ya wakimpizi iliyo karibu, nje kidogo ao katika kijiji wanaopata urahisi wa huduma zilizopo na soko za kijiji

Katika kambi ipatikanayo mbali na kijiji, wakimpizi hawapati huduma na soko zilizopo

Ingine (taja);

Hajuwe;

Hasemi kitu

4.2 Kuzidi katika makao

4.2.1 Makadirisiyo ya ukubwa ya makao (kwa m²) Pata ruhusa na upime nyumba (urefu*upana, mufano 2 mètre na 3 mètre = 2 * 3 = 6 m²) totale de l’abri (en m²) Obtenir

|__|__| m2

4.2.2 Watu wa nyumba yako wanalala wote pamoja kwenye chumba moja ?

Apana Ndiyo Hajuwe

5. Vitu muhimu vya nyumbani

5.1.1 Nyumba yako ina vitu ngapi vifuatavyo?

|__|__| Jumla ya uwezo wa ma bidon ao galon (kwa litre)

|__|__| Idadi ya bassin

|__|__| Idadi ya msaada wa kulala (vitanda, godoro, mukeka, ...) (ikiwa 1 ao 2, tia = 1 ao 2) |__|__| Idadi ya Mavazi kamili ya Wanawake

|__|__| Idadi ya chungu ya litre 5 na zaidi

|__|__| Idadi ya vyombo vya kilimo (kufanya kazi shambani)

|__|__| Idadi ya blanketi |__|__| Idadi ya mavazi Kamili kwa Mtoto wa Umri ya masomo

6. Maji, usafi, usafi wa mazingira

6.1 Kupatikana kwa maji safi kwa uwingi na kwa idadi ya kutosha

6.1.1. Ni nini chemchemu muhimu ya maji ya kunywa yanayotumiwa na nyumba yako siku hizi? Chemchemu ya maji ziliyoboreshwa ni zile ambazo hutoa maji safi / kulingana na kuundwa pia kutengenezwa kwake. kuunda na majengo (mufano kwa kulinda maji kutoka nje)

Maji ya arzi (mufano : mto, barage, ziwa, bahari)

Chemuchemu isiyo tengenezwa (yaani isiyo kingwa, na ku funikwa /ya asili, chemuchemu ya asili ambayo haija tengenezwa,...)

Chemuchemu yenyi kutengenezwa (yaani isiyo achwa inje mufano maji ya kawaida/robinet, kisima kinacho funikwa, gari la tank, Kioski / duka la maji, maji ya chupa; maji ya sachet,... na maji ya mvua)

Ingine (Taja) ………….

Hajuwe

Hasemi kitu

6.1.2. Nyumba yako ina maji ya kutosha kwa kujibu mahitaji yafuatayo?

Ndiyo

Apana

Hajuwe

Hasemi kitu

Kunywa

Kupikia

Usafi wa kibinafsi

Kazi zengine ya nyumba

6.1.3. Unachukua muda gani kupata chemuchemu muhimu ya maji kutoka kwenye nyumba yako, kuchukua maji na kurudi (ikiwemo ku chunga mustari mahali ya ku shotea) ?

Chini ya dakika makumi ine na tano (45)

Dakika makumi ine na sita (46)- Masaa pili (2)

Zaidi ya masaa pili (2)

6.1.4. Uwezo wa maji yaliyotumiwa

6.1.4. a. Nyumba yako ina bido ngapi, ina uwezo gani na umejaza mara ngapi kwa siku ? Hesabu tu bido ambayo nyumba hutumiya kushota maji. Uzihesabu hata kama haziko katika hali nzuri sana, kwa muda mrefu kama zinaweza kutumika (Hakuna hesabu ya nusu ikiwa imeharibika. Ikiwa imekamilishwa kuwa imetoboka haiwezi kuhesabiwa basi kwani nyumba haiwezi kuitumiya

kikundi (Catégorie)

Uwezo unao zaniwa kwa litre za bido (Capacité estimée en Litres du bidon)

Idadi ya bido

Idadi ya ku jazwa maji (Nombre de fois remplis)

0 - 4 Litres

|__|__|

|__|__|

|__|__|

5 - 7.4 Litres

|__|__|

|__|__|

|__|__|

7.5 – 15 Litres

|__|__|

|__|__|

|__|__|

Zaidi ya 15 Litres

|__|__|

|__|__|

|__|__|

6.1.5. Ni shida gani kubwa ambazo zinapunguza kupatikana kwa maji katika nyumba yako? ((Majibu 3 yanawezekana)

Maji iko mbali sana

Ni kungumu kupata maji (hasa kwa watu wenye ulemavu)

Kutafuta maji ni kazi ya hatari

Vikundi fulani (watoto, wanawake, wazee, watu wa kabila ndogo, ...) hawapati maji

Idadi ya chemuchemu ya maji ni kidogo / wakati wa kungojea kwenye vituo vya maji

Chemuchemu ya maji hazifanyi kazi ao zimefungwa

Maji hayapatikani kwenye soko

Maji imekuwa bei kali

Hakuna vyombo vya ku weka maji

Sipendi maji / maji si safi

Ingine (Taja) ………….

Hajuwe

Hasemi kitu

6.2. Usafi

6.2.1 Nyumba yako ina kifaa ya kuosha mikono hapo? (mufano : mbengeti na robine, bido yenyi kutoboka)

Ndiyo Apana Hajuwe Hasemi kitu

6.2.2 Kuna maji ya kuosha mikono yako kwa kifaa cha kuosha? (angaliya)

Ndiyo Apana Hajuwe Hasemi kitu

6.2.3 Sabuni inapatikana hapa kwa kifaa cha kuosha? (angaliya)

Ndiyo Apana Hajuwe Hasemi kitu

6.2.4 Una Sabuni katika nyumba yako? (Angaliya)

Ndio (sabuni imeonyeshwa)

Ndio (sabuni haijaonyeshwa)

Apana

Hajuwe

Hasemi kitu

6.2.5 Ni wakati gani watu wa familia yako huosha mikono ? (majibu mengi yanawezekana)

Baada ya choo

Baada ya kusafisha ao kubadilisha kilaliyo ya mtoto Mbele ya kuandaa chakula

Mbele ya kula

Mbele ya kunyonyesha mtoto

Kurudi kutoka shambani

6.3. Kupatikana kwa choo zilizo boreshwa

6.3.1 Ni aina gani ya choo (vyoo) ambayo nyumba yako hutumia kwa jumla ? (chagua aina kubwa)

Choo zilizo boreshwa ni zile ambazo zimeundwa kutenganisha kiusafi uchafu wa tumbo(mavi) na mwanadamu .

Hakuna choo/ ku nyamba inje

Choo isiyo boreshwa (yaani ambayo inaruhusu mawasiliano kati ya inje na mavi, kwa mfano, Choo ya shimu wazi, isiyo funikwa na beton, vyoo vya asili, ...)

Choo ulioboreshwa (yaani ambayo inaepusha mawasiliano ya nje na mavi, kwa mfano, Choo yenye kufunikwa ao Choo yenye mufereji ya maji machafu

Ingine (taja)….

Hajuwe

6.3.2. Ni shida gani kubwa ambazo hupunguza kupatikana kwa vifaa vya usafi (vyoo) kwa nyumba yako? (Majibu 3 inawezekana)

Ukosefu wa choo (vyoo)/ choo yenye watu wengi

Choo (vyoo) havifanyi kazi ao ujenzi hauja malizika

Choo (vyoo) visivyo kuwa na usafi

Choo (vyoo) visivyo vya kibinafsi (hakuna kufuli/mlango /ukuta /taa, ...)

Choo (vyoo) hazitenganishwi kati ya wanaume na wanawake

Choo (vyoo) ni mbali sana

Choo (vyoo) ni kungumu kupata (hasa kwa walemavu)

Ni hatari kwenda kwenye choo (vyoo)

Vikundi fulani (watoto, wanawake, wazee, watu wa kabila ndogo, ...) hawapati choo (vyoo)

Ingine (taja) ………….

Hakuna shida

Hajuwe

Hasemi kitu

6.3.3 Choo inatumiwa na zaidi ya nyumba inne?

Ndiyo Apana Hajuwe Hasemi kitu

7. Afia

7.1 Kupatikana kwa kituo cha afya

7.1.1 Watu wa nyumba yako wanaenda wapi kwa matunzo wanapo gonjwa ?

Kituo cha afya (kituo, kilinike, hospitali, ...)

Mganga wa asili/ wa kidini

Kukaa nyumbani / Kujitunza mwenyewe Ingine (taja)

7.1.2 Wanawake wa nyumbani wanaenda wapi kujifungua?

Nyumbani na familia

Nyumbani na mwanamuke mwenye ku zalisha

Nyumbani na munganga

Kituo cha afya / mapokezi

Ingine (Taja)

7.1.3 Unachukua muda gani kwenda kwa kituo cha afya cha karibu na nyumba yako

Chini ya dakika 45

Kati ya dakika 45 na masaa 2

Kati ya masaa 2 na nusu ya siku

Zaidi ya nusu ya siku / hakuna kituo cha afya kinachopatikana

7.1.4 Ni shida gani kuu ambayo inazuia kutoenda kwa matunzo ya afya ?

Kituo cha afya kiko mbali sana / ama haiko

Ukosefu wa pato ya kulipia matunzo

Ukosefu wa dawa kwenyi vituo vya afya

Kituo cha afya kinakosa vifaa

Kituo cha afya kinakosa wafanyakazi wa afya

Kituo cha afya kimejaa wagonjwa wengi

Ingine (taja)

7.2 7.2 Katika juma mbili zilizopita, ni watoto wangapi walio chini ya miaka tano (5) wamegonjwa :

Kuraha

|__|__| watoto

Homa (Fièvre)

|__|__| watoto

Kikohozi (Toux) 

|__|__| watoto

7.3 7.3 Katika juma mbili zilizopita, ni watu wangapi wa zaidi ya miaka tano (5) wamegonjwa :

Kuraha

|__|__| watoto

Homa (Fièvre)

|__|__| watoto

kikohozi (Toux)

|__|__| watoto

7.4 Watu wa nyumba yako kwa kawaida wanalala ndani ya chandaruwa ?

Ndiyo Apana Hajuwe

8. Ukingo

8.1 Usalama na ulinzi

8.1.1. Kati ya tukio zifuatazo za wapi zilizo pata mutu moja katika nyumba yako ?

Muuaji

Unyanganyi wa ufugo

Kuvunjika/Kupigwa/kuumizwa

Kufungwa bila sababu

Ujeuri wa makabila

Upelelezi wa habari

Ubakaji

Kuandikishwa kwa kinguvu kwa watu wazima kwenye vikosi vyenye kubeba silaha

Jaribio ao kutekwa nyara

Kuandikishwa kwa kinguvu kwa watoto katika vikosi vyenye kubeba silaha

Kuumizwa / kifo kutokana na mabomu

Watu wazima wa nyumbani wenye kuondoshwa kwenye vikosi vyenye kubeba silaha

Ndoa ya mapema/ya ku kazwa

Watoto wa nyumbani wenye kuondoshwa kwenye vikosi vyenye kubeba silaha

Ubakaji katika unyumba

Kutumika kazi kwa kinguvu

Kuachana kwa jamaa

Ingine, taja

Uporaji

Hajuwe

Unyanganyi wa mali/wizi/kuingiliwa na wajambaji

Hasemi kitu

8.2 Ulinzi wa watoto

8.2.1 Familia yako haikupokea watoto kwa hiari, ndiyo kusema kuwa haukupanga kuwapokea (inawezekana wawe watoto wasiyo na wasaidizi ao waliotengwa na jamaa zao, lakini pia watoto wa familia kubwa ambayo wazazi wao hawakuweza ku tunza

Ndiyo Apana Hajuwe Hasemi kitu

8.2.2 Ikiwa ndiyo, ngapi ?

|__|__|__| Watoto

8.2.3 Una uwezo wa kuwatunza watoto hawa ipasavyo

Ndiyo Apana Hajuwe Hasemi kitu

8.3 Mtu mwenye ulemavu

8.3.1. Kuna watu wenye ulemavu katika Nyumba yako ?

Ndiyo Apana Hajuwe Hasemi kitu

8.3.2. Ikiwa ndiyo, ngapi ?

|__|__|

Watoto

|__|__|

Watu wazima

|__|__|

Wazee

8.3.3. Ikiwa ndiyo, huyo mulemavu ndiye mukubwa wa nyumba ?

Ndiyo Apana Hajuwe Hasemi kitu

8.3.4. Ikiwa mukubwa wa nyumba ni mulemavu, anafanya kazi ya kuongeza mapato?

Ndiyo Apana Hajuwe Hasemi kitu

8.4 Kuishi pamoja kwa amani

8.4.1. Ni maoni gani ya jamii la pahali kuhusu wahami na/ao wanao warudi katika eneo hili ?

Mvutano na jamaa iliyo wa pokea

Jamii iko tayari kusaidiya kwa wakati inapohitajika

Jamii iko tayari kusaidiya kwa muda mchache

Niwafanya kazi wa bei rahisi kwa kazi zetu za kila siku

Ni wao wanao husika katika shida za ulinzi na ukosefu wa usalama

Hakuna habari

8.4. Je kuna utaratibu wa upatanisho katika jamii ambao nyumba yako inaweza husisha (référer) katika tukio la mvutano wa kijamii ?

Ndiyo Apana Hajuwe

8.5 Haki ya makao, udongo na umiliki

8.5.1 Je nyumba yako ilipatwa na mvutano wa kijamii kulingana na swala la umilikii na udongo katika kijiji tangu shida ?

Ndiyo, mvutano mbaya sana

Ndiyo, mvutano mdogo

Apana, hakuna mvutano

Hajuwe

Hasemi kitu

8.6 kupambana na mabomu na mabaki ya vita

8.6.1 Nyumba yako ilipatwa na matukio ya mabaki ya vita katika kijiji hiki tangu mwanzo ya shida ?

Ndiyo Apana Hasemi kiyu

8.6.2 Unawaza kwa sasa inawezekana matukio ya mabaki ya vita kuweza kutokea katika ao karibu na kijiji ?

Ndiyo Apana Hasemi kitu

9. Elimu

9.1 Kupatikana kwa masomo

9.1.1 Inachukua muda gani kwenda kwa masomo ya msingi inayofanya shuhuli za kawaida/ ya karibu ?

Chini ya saa moja

Zaidi ya saa moja/hakuna masomo ya msingi inafanya kazi

9.1.2 Kama zaidi ya saa moja/ hakuna masomo ya msingi inafanya kazi/ inayoweza kutumika « kwanini hakuna masomo ya msingi inayofanya kazi/ inayoweza kutumika »

Mbali sana/ masomo haijawai kuwa

Ime chukuliwa na wakimbizi

Ime chukuliwa na watu wenyi kubeba silala

Kuharibiwa kwa sababu ya vurugo za jamii ao janga la asili

Kuharibiwa kwa sababu ya shambulizi ya watu wenyi kubeba silaha

Kuharibiwa kwa sababu hazi husiane na vurugu ao janga

Imefungwa

Ingine (taja)

Hajuwe

9.1.3 Je masomo imeharibiwa ?

Ndiyo Apana Hajuwe

9.1.4 Kwa nini Masomo imeharibiwa ?

Vurugu za jamii ao janga la asili

Shambulizi ya watu wenyi kubeba silaha

Sababu zisizo husiana na vurugu ao na janga

9.1.5 Je masomo ilihudhuriwa ao sehemu ilitumiwa na watu wenye silaha

Ndiyo Apana Hajuwe

9.2. Kuhudhuriwa kwa shule

9.2.1 Ni watoto wangapi wa umri ya kwenda shule katika nyumba yako njo wameandikishwa kwenye shule la msingi (hata kama hawaendi) ?

9.2.1. a Wavulana

|__|__| (6-11 miaka)

9.2.1. b Wasichana

|__|__| (6-11 miaka)

9.2.1. c Wavulana

|__|__| (12-17 miaka)

9.2.1. d Wasichana

|__|__| (12-17 miaka)

9.2.2 Ni watoto wangapi wa umri ya masomo katika nyumba yako wameenda shuleni kila mara katika siku kumi na ine (14) zilizopita ?

9.2.2. a Wavulana

|__|__| (6-11 miaka)

9.2.2. b Wasichana

|__|__| (6-11 miaka)

9.2.2. c Wavulana

|__|__| (12-17 miaka)

9.2.2. d Wasichana

|__|__| (12-17 miaka)

9.2.3 Ikiwa hata mtoto moja wa umri ya shule hajahuzuria, ni nini sababu kubwa ?

Ukosefu wa pesa za kulipa shule

Kusitishwa (Interruption) sababu ya uhami/kurudi

Shule katika eneo la mwenyeji haikubali watoto waliohamishwa

Mtoto anaogopa kwenda shule

Mtoto anasumbuliwa (mafadhaiko, vidonda vya ndani)

Mtoto hajaenda shule

Ingine (taja)

Hasemi kitu

9.2.4 Ni watoto wangapi wa umri wa kwenda shule hawaendi, wangapi walikuwa na enda shuleni mara kwa mara kabla ya shida ?

9.4.1. a Wavulana

|__|__| (6-11 miaka)

9.4.1. b Wasichana

|__|__| (6-11 miaka)

9.4.1. c Wavulana

|__|__| (12-17 miaka)

9.4.1. d Wasichana

|__|__| (12-17 miaka)

9.2.5 9.2.5 Ikiwa mtoto moja mwenye umri ya masomo alienda shuleni kabla ya shida lakini haendi tena, ni tangu juma ngapi njo haendi tena ?

|__|__|

9.2.6 Ikiwa hata mtoto moja katika nyumba anaenda masomo myongoni mwa chaguzi zifuatazo, unaweza sema nini juu ya waalimu katika masomo ambayo watoto wako wanaenda ?

Idadi hiyo hiyo ya walimu njo wanafundisha sasa kama vile kabla ya shida

Sehemu ya walimu walioacha kufundisha kwa sababu ya shida

Wengi wa waalimu waliacha kufundisha kwa sababu ya shida

ldadi kubwa ya waalimu wamekuwa wakifundisha tangu shida

9.2.7 Ni wapi kunafanyika darasa kwa watoto wanaoenda shuleni ?

Shule ziko

Fasi ya muda mfupi (mufano : kanisa, vibanda vya nyasi, …) Inje/chini ya muti

Ingine (taja)

Hajuwe

Hasemi kitu

10. Mahitaji ya kibinadamu

10.1 Ni hitaji gani ya kwanza kwa familia yako (jibu moja tu)

Hakuna musaada wa kiutu

Chakula

Namna ya kuishi (mbegu, vifaa vya mulimo, nyama, …)

Malisho

Makao (Abris) Vitu muhimu vya nyumbani (vyungu, bidons, nguo, …)

Maji / usafi / usafi wa mazingira(maji, sabuni, choo,...)

Afya Elimu Ukingo(ikiwemo ulinzi)

Ushirikiano wa jamii na ku tafuta amani Mawasiliano Njia ya kupata pesa (cash) Ingine (taja) : …………. Hajuwe

Hasemi kitu

10.2 Ni hitaji gani ya pili kubwa kwa familia yako (jibu moja tu)

Hakuna musaada wa kiutu

Chakula

Namna ya kuishi (mbegu, vifaa vya mulimo, nyama, …)

Malisho

Makao (Abris) Vitu muhimu vya nyumbani (vyungu, bidons, nguo, …)

Maji / usafi / usafi wa mazingira(maji, sabuni, choo,...)

Afya Elimu Ukingo(ikiwemo ulinzi)

Ushirikiano wa jamii na ku tafuta amani Mawasiliano Njia ya kupata pesa (cash) Ingine (taja) : …………. Hajuwe

Hasemi kitu

10.3 Ni hitaji gani ya tatu kubwa kwa nyumba yako (jibu moja tu)

Hakuna musaada wa kiutu

Chakula

Namna ya kuishi (mbegu, vifaa vya mulimo, nyama, …)

Malisho

Makao (Abris) Vitu muhimu vya nyumbani (vyungu, bidons, nguo, …)

Maji / usafi / usafi wa mazingira(maji, sabuni, choo,...)

Afya Elimu Ukingo(ikiwemo ulinzi)

Ushirikiano wa jamii na ku tafuta amani Mawasiliano Njia ya kupata pesa (cash) Ingine (taja) : …………. Hajuwe

Hasemi kitu

10.4 Tangu mwanzo ya shida, nyumba yako ilipata msaada wa kibinadamu gani ? (Jibu tatu zinawezekana)

Malisho

Makao

Vitu vya lazima nyumbani

Maji / usafi / usafi wa mazingira

Afia

Elimu

Chakula

Namna ya kuishi

Ukingo (ikiwemo ulinzi)

Ushirikiano wa jamii na ku tafuta amani

Mawasiliano

Pesa (Cash (inconditionnel)

Ingine (Taja)

Hajuwe

Hasemi kitu

Haya pata musaada

4