wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi · afisa mfawidhi wa kanda na msimamizi wa mradi (tasp ii)...

2
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA YA MIFUGO NA UVUVI MAENDELEO · · · Faida ya Kukaanga · · · · · · · Hasara za kukaanga · · Faida ya Kugandisha na Kupoza · · · Inaongeza hatari ya uchafuzi wa kemikali kwenye bidhaa pale miti isiyoruhusiwa itatumika Inahitaji nguvu kazi kubwa kukamilisha uchakataji Inahitaji muda wa kutosha kukamilisha uchakataji Njia ya kuchakata samaki kwa kutumia mafuta ya kula kwa kukaangia ili kuondoa maji na kuondoa vimelea na kuvifanya visilete uharibifu wa samaki. Inaongeza radha ya aina ya bidhaa Inahitaji eneo dogo la kufanya uchakataji Haitegemei hali ya hewa kuwezesha uchakataji Inaongeza muonekano na rangi ya kuvutia katika bidhaa Inaongeza muda wa kuhifadhi na utunzaji wa bidhaa Gharama ya upatikanaji wa nishati ni ndogo Inahitaji muda mfupi kukamilisha uchakataji Inahamasisha ukataji wa miti na kupunguza uoto wa asili Inahitaji muda wa kutosha kukamilisha uchakataji Inahitaji eneo dogo la kufanya uchakataji Haitegemei hali ya hewa kuwezesha uchakataji Inaongeza muda wa kuhifadhi na utunzaji wa bidhaa Kukaanga samaki Kugandisha na Kupoza Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana na: AFISA MFAWIDHI WA KANDA NA MSIMAMIZI WA MRADI (TASP II) KITENGO CHA KUTHIBITI UBORA WA SAMAKI NA VIWANGO KANDA YA ZIWA VICTORIA S.L.P. 1213 MWANZA SIMU +255 28 2550864 +255 754/784 437234 Barua Pepe: [email protected] Tovuti: www.nfqcl.go.tz IDARA YA MAENDELEO YA UVUVI KITENGO CHA KUTHIBITI UBORA WA SAMAKI NA VIWANGO TRADE AND AGRICULTURE SUPPORT PROGRAMME II (TASP II) Utayarishaji na Uhifadhi wa Mazao ya Uvuvi Utayarishaji na Uhifadhi wa Mazao ya Uvuvi Imetayarishwa na Maabara ya Kitaifa ya Samaki chini ya Mpango wa TASP II kwa ufadhili wa mfuko wa Maendeleo ya Jumuiya ya Ulaya (EDF) · · · Hasara za Kugandisha na Kupoza · · Kuchemsha kwa mvuke Faida zake · · · Hasara zake Inahitaji muda mfupi kukamilisha uchakataji Inalinda uasili wa bidhaa Unaweza kusafirishwa umbali mrefu Gharama kubwa za kugandishia na kuhifadhi Inahitaji uangalizi mkubwa Njia hii sana sana inatumika kuchakata ngozi za samaki kwa ajili ya kutengeneza unga wa samaki kwa matumizi ya mifugo Inaongeza muda wa kuhifadhi na utunzaji wa bidhaa Inahitaji eneo dogo la kufanya uchakataji Haitegemei hali ya hewa kuwezesha uchakataji Gharama kubwa ya kupata nishati.

Upload: others

Post on 02-Feb-2021

17 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • JAMHURI YA MUUNGANOWA TANZANIA

    WIZARA YA YA MIFUGO NA UVUVI

    MAENDELEO

    ·

    ·

    ·

    Faida ya Kukaanga···

    ·

    ·

    ··

    Hasara za kukaanga·

    ·

    Faida ya Kugandisha na Kupoza··

    ·

    Inaongeza hatari ya uchafuzi wa kemikali kwenye bidhaa pale miti isiyoruhusiwa itatumika Inahitaji nguvu kazi kubwa kukamilisha uchakatajiInahitaji muda wa kutosha kukamilisha uchakataji

    Njia ya kuchakata samaki kwa kutumia mafuta ya kula kwa kukaangia ili kuondoa maji na kuondoa vimelea na kuvifanya visilete uharibifu wa samaki.

    Inaongeza radha ya aina ya bidhaaInahitaji eneo dogo la kufanya uchakatajiHaitegemei hali ya hewa kuwezesha uchakatajiInaongeza muonekano na rangi ya kuvutia katika bidhaaInaongeza muda wa kuhifadhi na utunzaji wa bidhaa Gharama ya upatikanaji wa nishati ni ndogoInahitaji muda mfupi kukamilisha uchakataji

    Inahamasisha ukataji wa miti na kupunguza uoto wa asiliInahitaji muda wa kutosha kukamilisha uchakataji

    Inahitaji eneo dogo la kufanya uchakatajiHaitegemei hali ya hewa kuwezesha uchakatajiInaongeza muda wa kuhifadhi na utunzaji wa bidhaa

    Kukaanga samaki

    Kugandisha na Kupoza

    Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana na:

    AFISA MFAWIDHI WA KANDA

    NA MSIMAMIZI WA MRADI (TASP II)

    KITENGO CHA KUTHIBITI UBORA WA SAMAKI

    NA VIWANGO KANDA YA ZIWA VICTORIA

    S.L.P. 1213 MWANZA

    SIMU

    +255 28 2550864

    +255 754/784 437234

    Barua Pepe: [email protected]

    Tovuti: www.nfqcl.go.tz

    IDARA YA MAENDELEO YA UVUVIKITENGO CHA KUTHIBITI UBORA WA

    SAMAKI NA VIWANGO

    TRADE AND AGRICULTURESUPPORT PROGRAMME II (TASP II)

    Utayarishajina Uhifadhi waMazao ya Uvuvi

    Utayarishajina Uhifadhi waMazao ya Uvuvi

    Imetayarishwa na Maabara ya Kitaifa ya Samaki chini ya Mpango wa TASP II kwa ufadhili wa mfuko wa Maendeleo ya Jumuiya ya Ulaya (EDF)

    ···

    Hasara za Kugandisha na Kupoza··

    Kuchemsha kwa mvuke

    Faida zake·

    ··

    Hasara zake

    Inahitaji muda mfupi kukamilisha uchakatajiInalinda uasili wa bidhaaUnaweza kusafirishwa umbali mrefu

    Gharama kubwa za kugandishia na kuhifadhiInahitaji uangalizi mkubwa

    Njia hii sana sana inatumika kuchakata ngozi za samaki kwa ajili ya kutengeneza unga wa samaki kwa matumizi ya mifugo

    Inaongeza muda wa kuhifadhi na utunzaji wa bidhaa Inahitaji eneo dogo la kufanya uchakatajiHaitegemei hali ya hewa kuwezesha uchakataji

    Gharama kubwa ya kupata nishati.

  • UtanguliziHii inahusisha mchakato mzima kuanzia pale samaki anapovuliwa katika maji hadi kumfikia mlaji akiwa katika ubora na usalama unaostahiki kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji.

    Kupunguza kasi ya kuharibika na kuzuia upotevu wa viasiliKulinda usalama na afya ya mlajiKurefusha kipindi cha kutumika na utunzaji wa mazao yaliyochakatwaKuongeza thamani ya zao Kuzalisha bidhaa mbalimbali kulingana na matakwa ya mlaji Kurahisisha uhifadhi na usambazajiKuboresha radha ya aina ya bidhaa

    Eneo maalum linalokusudiwa kwa ajili ya uchakatajiVifaa/malighafi kwa ajili ya kazi husikaHali ya afya na usafi wa wahudumiajiUpatikanaji wa maji safi na salamaKuweka mfumo wa udhibiti wa taka ngumu na maji takaEneo la kuhifadhia malighafi na bidhaaUpatikanaji wa aina ya vifungashioPawepo na uzio kudhibiti wanaoingia na kutoka katika eneo la uchakataji

    Kukausha kwa juaKukausha kwa chumviKukausha kwa moshiKukaanga

    Madhumuni ya Uchakataji·

    ··

    ··

    ·

    Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa uchakataji·

    ····

    ···

    Aina za Uchakataji····

    ·

    Hasara ya kukausha kwa chumvi·

    ·

    ··

    Faida ya kukausha kwa moshi···

    ·

    ·

    Hasara za ukaushaji wa moshi·

    Inaongeza vimelea wanaopenda chumviInapunguza wateja hasa wanaojiami magonjwa yatokanayo na chumvi Inaongeza gharama ya upatikanaji wa chumviInaweza kuongeza uchafuzi wa kikemikali katika bidhaa husika

    Njia ya kuchakata samaki kwa kutumia moshi ili kuondoa maji na kuondoa vimelea na kuvifanya visilete uharibifu wa samaki.

    Inaongeza reha ya aina ya bidhaaInahitaji eneo dogo la kufanya uchakatajiHaitegemei hali ya hewa kuwezesha uchakatajiInaongeza muonekano na rangi ya kuvutia katika bidhaaInaongeza muda wa kuhifadhi na utunzaji wa bidhaa

    Inahamasisha ukataji wa miti na kupunguza uoto wa asili

    Kukausha kwa moshi

    ···

    Faida za kukausha kwa jua·····

    Hasara ya kukausha kwa jua·

    ····

    Faida za kukausha kwa Chumvi··

    ···

    KugandishaKupozaKuchemsha kwa mvuke

    Njia ya kuchakata samaki kwa kutumia nishati ya jua ili kuondoa maji na kuondoa vimelea na kuvifanya visilete uharibifu wa samaki.

    Gharama ya nishati ni rahisiKupunguza gharama za ujazo Aina ya wateja ulionao na sokoKurahisisha ubebaji na ufungashajiGharama ya vifaa vinavyohitajika si vya gharama kubwa

    Haitumiki wakati wa kipindi cha mvua au mawinguInahitaji eneo kubwa la uchakatajiUnahitaji muda mrefu kukamilisha uchakatajiUnahitaji idadi kubwa ya watendajiKuongeza gharama ya kuandaa vichanja

    Njia ya kuchakata samaki kwa kutumia madini ya chumvi ili kuondoa maji na kuondoa vimelea na kuvifanya visilete uharibifu wa samaki.

    Eneo dogo uhitajika kwa ajili ya uchakatajiGharama ya kuthibiti muingiliano ndani ya eneo la uchakataji ni ndogoInaongeza radha na madini katika aina ya zaoHaitegemei sana hali ya hewaInapunguza kasi ya ukuaji wa vimelea

    Kukausha kwa Jua

    Kukausha kwa Chumvi

    Page 1Page 2