yaliyomo - equip tanzania · taarifa ya pikipiki itapaswa kutunzwa na mek muda wote ambao ruzuku...
TRANSCRIPT
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 2
YALIYOMO 1 Kusimamia Pikipiki ya MEK ............................................................................................................................ 3
2 Leseni za Madereva .............................................................................................................................................. 4
3 Kitabu cha Pikipiki na Taarifa ya Maili ..................................................................................................... 6
4 Taarifa za Sevisi ya Pikipiki ............................................................................................................................. 9
FOMU YA 1A: KITABU CHA PIKIPIKI ..................................................................................................................... 10
FOMU YA 1B: RIPOTI YA MAILI ZA PIKIPIKI KWA KILA MWEZI ............................................................. 12
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 3
1 Usimamizi wa Pikipi ya MEK
Pikipiki itatolewa kwa kila MEK kwa ajili ya kusaidia masuala ya utendaji.
Mara rasilimali hii itakapotolewa itakuwa mali ya serikali. Japokuwa,
pamoja na kuwa pikipiki itakuwa mali ya serikali, MEK atawajibika kwenye
usimamizi wa jumla wa pikipiki muda wote.
MATUMIZI YA PIKIPIKI MEK atakapotumia pikipiki matumizi yake yazingatie masharti yafuatayo:
Pikipiki itapaswa kutumiwa na MEK peke yake na mtu mwingine
yeyote hataruhusiwa kutumia;
Pikipiki itatumiwa kwa ajili ya malengo ya kazi rasmi kama
ilivyokubaliwa pamoja na EQUIP- Tanzania;
MEK atatumia pikipiki kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na sheria za Trafiki na
zile za matumizi ya vyombo vya moto vya serikali/majaketi mng’ao:
MEK muda wote atalazimika kuvaa vifaa vigumu vya kukinga mwili
kama vile kofia ngumu (helmeti) na nguo zinazoonekana
vizuri/majaketi mng’ao;
Kitabu cha kumbukumbu za pikipiki kitatunzwa na MEK kikionesha
pamoja na mambo mengine: tarehe, mahali, malengo ya safari,
odometa inavyosomeka wakati wa kuanza safari na wakati wa
kurudi. Vitabu vya kumbukumbu viko kwenye maduka ya vitabu na
steshenari na kila MEK lazima anunue kimoja;
MEK anapaswa kuongeza taarifa ya maili ya kila mwezi, ikiwemo
maili ambazo pikipiki imetembea na mafuta yaliyotumika. Kiolezo
cha Ripoti ya kila Mwezi ya Maili imeambatanishwa.
MEK anapaswa kuwa makini na tayari muda wote na hapaswi
kunywa pombe/kilevi kabla na wakati anaendesha pikipiki ili
kuepuka ajali zinazozuilika.
MEK atapaswa kufuata miongozo yoyote ya OWM – TAMISEMI
kuhusu matumizi ya pikipiki.
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 4
2 Leseni za Udereva
WEK wote wanapaswa kuwa na leseni kamili au za awali ili kuendesha
pikipiki kisheria. Wilaya zitawasaidia WEK kwenye mafunzo ya udereva
ambayo yakikamilika yatasaidia WEK kutoka kwenye leseni za awali hadi
kuwa na leseni kamili.
WEK watapaswa kuwa na leseni kamili ya kisheria au ya awali ili
kuendesha pikipiki.
Utoaji wa Leseni
WEK ambao hawajawahi kumiliki au kuendesha pikipiki watatakiwa
kutuma maombi ya Leseni ya Udereva daraja H kwa ajili ya Anayejifunza –
Leseni ya Awali kwa ajili ya wanaojifunza kuwaruhusu kuendesha pikipiki
za zaidi ya cc 125. Hii ni kategoria A ya leseni.
Taarifa juu ya kuomba leseni za udereva zinaweza kupatikana kwenye
mtandao huu hapa: http://www.tra.go.tz/index.php/2012-11-20-06-37-07, au kwenye Ofisi inayotoa leseni mahali ulipo.
Aina ya Leseni
Mfumo wa Leseni za Udereva unajumuisha aina mbalimbali za madaraja ya
leseni za udereva kama ifuatavyo:-
Pikipiki
A – Leseni ya kuendesha pikipiki iliyo na au isiyo na gari la pembeni
ambayo ukubwa wake ni zaidi ya cc 125 au kg 230
A1 – Leseni za kuendesha pikipiki isiyo na gari la pembeni ambayo ukubwa
wake ni chini ya cc 125 na kg 230
A2 – Leseni ya kuendesha pikipiki zenye matairi matatu au matairi manne.
A3 – Leseni za kuendesha pikipiki ya injini ndogo ambayo ukubwa wake
hauzidi cc 50.
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 5
Kutuma Maombi ya Leseni ya Udereva
Mahitaji ya leseni kamili ya udereva ni pamoja na:
Uwe umehudhuria chuo cha udereva kinachotambulika na kupata
cheti cha udereva
Uwe na umri wa miaka zaidi ya 16 ili kuendesha pikipiki
Uwe na leseni udereva ya anayejifunza/ya awali
Upitie majaribio ya GRR.
Uwe na cheti cha kupimwa macho
Uwe umetuma maombi Polisi katika kitengo cha Trafiki kwa ajili ya
kufanyiwa majaribio
Wilaya itaandaa na kugharamia kozi za udereva kwa ajili ya MEK ili kumfanya apate cheti cha na leseni ya udereva
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 6
3 Kitabu cha Pikipiki na taarifa ya maili
Kitabu cha Pikipiki
WEK wote wanapaswa kutunza rekodi za matumizi ya pikipiki. Hii
inajumuisha tarehe ya matumizi, mahali, lengo la safari, maili
zinazosomeka wakati wa kuanza safari (kupitia kwenye odometa iliyoko
kwenye pikipiki wakati unaanza kuendesha), maili zinazosomeka wakati
unamaliza safari (kupitia kwenye odometa iliyoko kwenye pikipiki wakati
umekamilisha safari).
FOMU 1A – Kitabu cha pikipiki kinapaswa kutumika kuweka kumbukumbu
za taarifa zote zinazohusika katika safari ambazo pikipiki imefanya. Mfano
umetolewa kwenye ukurasa wa saba
Kitabu cha Pikipiki ni kifaa muhimu kwa MEK:
(i) Ni moja ya njia muhimu za utunzaji wa kumbukumbu na ushahidi
wa maili ambazo pikipiki imetembea, na
(ii) Pia ni kifaa muhimu sana ambacho kitamsaidia MEK kuweka
kumbukumbu ya matumizi ya mafuta
(iii) Pia kitamsaidia MEK katika ukamilishaji wa kazi za kila mwezi na
taarifa za matumizi.
Safari zote na umbali lazima virekodiwe na vitakaguliwa mara kwa mara.
MEK ataulizwa kueleza taarifa na maili zilizokosekana au safari, ambazo
hazina maelezo thabiti.
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 7
MFANO A: KITABU CHA PIKIPIKI
JINA LA MEK: ALLY NASSOR KATA: MAJENGO
MAINGIZO YA MWEZI: JULAI, 2015 NAMBA YA USAJILI WA PIKIPIKI: T 321 DZZ
Taarifa ya Mwezi ya Maili za Pikipiki Kwa kutunza kumbukumbu ya kila siku ya matumizi ya pikipiki, MEK atapaswa kujaza taarifa ya mwezi iliyokamilika juu ya matumizi ya pikipiki na kilometa ambazo pikipiki imetembea.
Taarifa hii itaeleza kwa kina kilometa zinazosomeka mwanzoni mwa mwezi (kupitia kwenye odometa), kilometa zinazosomeka mwishoni mwa mwezi na kilometa zilizotembewa wakati wa mwezi mzima. Jumla ya mafuta yaliyonunuliwa katika mwezi yatapaswa pia kujumuishwa.
Taarifa ya pikipiki itapaswa kutunzwa na MEK muda wote ambao ruzuku hii inafanya kazi ikiwa ni pamoja na kusainiwa na MEK na kuidhinishwa na AEW kila mwezi. Nakala zitatunzwa na AEW na kutumwa kwa EQUIP-Tanzania katika utaratibu wa kila mwezi.
Mfano wa taarifa ya maili ya kila mwezi iliyojazwa iko hapa chini kwa ajili ya rejea na fomu ya maili za pikpii imeambatanishwa katika muongozi huu (FOMU 1B).
Tarehe ya
Kusafiri
Muda wa Kusafiri
Odometa inavyosomeka
Kilomita zilizotembewa
Sehemu iliyotembelewa Lengo
Muda
wa
Kuanza
Muda wa
Kumaliza
Kuanza
A
Kumaliza
B B-A
18/7/15 09:15 10:15 15.0 22.0 7 Mpwapwa Kukutana
na OEW
20/7/15 13:30 14:30 22.0 40.0 18 Majengo Kutembelea
Shule
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 8
MFANO C: Taarifa ya Maili za Pikipiki
Odemeta mwisho wa mwezi unaoisha
lazima isomeke sawa na mwanzo wa
mwezi unaoanza
Matumizi ya mafuta kwa kila kilometa
yanapaswa kuwa sawa iwapo pikipiki
iko katika hali nzuri
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 9
4 Taarifa ya Sevisi ya Pikipiki
Taarifa za sevisi ya pikipiki zinajumuisha taarifa juu ya sevisi iliyofanyika
kwenye pikipiki na siku iliyofanyika. Umuhimu wa kutunza taarifa za sevisi
ya pikipiki ni;
(i) Kuweka kumbukumbu juu ya tatizo lolote mahsusi ambalo litatokea
wakati wote ambapo pikipiki inatumika ili kugundua kama matatizo
yaleyale au mielekeo yake vinajirudia.
(ii) Kutunza kumbukumbu za sevisi kutamsaidia MEK kujua aina
ya matengenezo au sevisi inayohitajika na kwa wakati gani.
MFANO B: Kumbukumbu za Sevisi ya Pikipiki
Tarehe Kifaa
Weka tiki kama
kimekaguliwa (v)
Gharama Maoni Maili
wakati wa kubadilisha
30/09/2015 Tairi v
Vilainishi v Vimebadilishwa
Taa &
Alama
v N/A
Betri v
Breki v
Cheni v Iko kwenye hali
nzuri
Vilainishi,
Filta za
upepo &
mafuta
v Vimebadilishwa
Usukani v
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 10
FOMU 1A: KITABU CHA PIKIPIKI
JINA LA MEK …………………………………………………… KATA………………………………..
MWEZI ………………………………………. NAMBA YA USAJILI YA PIKIPIKI. ……..…………………..
Tarehe ya Safari
Muda wa Kusafiri
Odometa inavyosomeka
Kilometa zilizotembewa
Sehemu zilizotembelewa
Lengo
Muda
wa
Kuanza
Muda wa
Kumaliza
Kuanza
A
Kumaliza
B B-A
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 11
Tarehe ya Kusafiri
Muda wa Kusafiri
Odometa inavyosomeka
Kilometa zilizotembewa
Sehemu zilizotembelewa Lengo
Muda
wa
Kuanza
Muda wa
Kumaliza
Kuanza
A
Kumaliza
B B-A
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 12
FOMU 1B: TAARIFA YA MWEZI YA MAILI ZA PIKIPIKI
TAARIFA ZA KATA
Jina la Kata …………….…………………………………………………………………….
Jina la MEK …………….…………………………………………………………………….
Namba ya Usajili wa Pikipiki ………………………………………………………………………………….
Mwezi/Mwaka
Odometa inavyosomeka
mwanzoni mwa mwezi
(kms.)
A
Odometa inavyosomeka mwishoni mwa
mwezi
(kms.)
B
Maili zilizotembewa
katika wa Mwezi
(kms.)
C=B-A
Jumla ya Mafuta yaliyonunuliwa
katika Mwezi (lita)
D
Sahihi ya MEK Sahihi ya / Remarks If any
Mei 2015
Juni 2015
Julai 2015
Agosti 2015
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 13
Septemba 2015
Oktoba 2015
Novemba 2015
Disemba 2015
JUMLA 2015
Taarifa hii inapaswa kutunzwa na kuongezewa taarifa na MEK kwa utaratibu wa kila mwezi kwa mwaka
mzima
Nakala zilizosainiwa kila mwezi zinapaswa kuwasilishwa na nakala halisi zitunzwe na MEK
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 14
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 15
Education Quality Improvement Programme - Tanzania
The Motorcycle Guide – Page 16