04.a - boyie

6
BOYIE boyie...niaje zile doh zetu? doh? mimi sina doh!..lakini naweza wapatia idea za kuwapatia doh! wacha upuzi! 3

Upload: well-told-story

Post on 02-Feb-2016

249 views

Category:

Documents


0 download

DESCRIPTION

Chapta 4 - Boyie

TRANSCRIPT

Page 1: 04.a - Boyie

BOYIE

boyie...niaje zile doh zetu?

doh? mimi sina doh!..lakini naweza wapatia idea za kuwapatia doh!

wacha upuzi!

BOYIE

boyie...niaje zile doh zetu?

doh? mimi sina doh!..lakini naweza wapatia idea za kuwapatia doh!

wacha upuzi!

BOYIE

boyie...niaje zile doh zetu?

doh? mimi sina doh!..lakini naweza wapatia idea za kuwapatia doh!

wacha upuzi!

3

Page 2: 04.a - Boyie

nini nyinyi?

kades sema!

wacheni kusumbua chali wangu. nyinyi mumezoea sasa, niliomba loan kuendeleza bizna yangu alafu mnataka kula jasho ya watu. fanyeni job acheni kutusumbua!

ati tuchore bizness plan?

sisi tunakaa kuvaa suti?

wewe leta kichwa tu, lipa ama utachangaa!

tafuteni job! achenikutunyanyasa! ishieni!

walikuwa wapi nikikazana na bizness plan ya kuomba loan?

mambo vipi? dj b hapa...shujaaz fm. nimepokea sms kibao toka kwa ma-fans ambao wali-applyyouth fund na wakatoboa!..na kwa wale ambao bado mnakazana na business plans - -

4

Page 3: 04.a - Boyie

hello kades vipi...

wacheni tubonge na msee mmoja alijikaza na sasa ametoboa...

poa dj b! sema...

nataka utu-show vile ulitoboa kupata loan.

aaah hiyo... niliandika business plan nikisema juu ya buzna yangu...

yaani nataka kufanya nini, nitauza vipi, bei, nitashinda aje ma-competition. yaani ni mpango wa kujiuza poa!

5

Page 4: 04.a - Boyie

ala...si hiyo ndio kades alitu-show tukiwa na boyie?

alijuaje?

labda boyie ndiye dj B!

tumsake jamaa!

waazi kades. najua ma-youth wengi wameguswa na story yako. wajikaze jamaa. maisha ni

ku-struggle, lakini ukiketi tu fwaa hakuna kitu uta-get.

poa jamaa, story conscious kutoka kwa kades hapo...

basi tupate ngoma kiasi...

we, toto, wapi boyie?

alitoka...alienda huko...

huko? wapi?hayuko home?

6

Page 5: 04.a - Boyie

alisema anawatafuta eti kuna chapaa mnadai na anataka kuwalipa!

tukimbie jamaa...

na si boyie yuko kwa keja.

phewks!

hadi next time jamaa... shujaaz fm. bye!

boyie...wale jamaa walikuwa hapa kukutafuta!

7

Page 6: 04.a - Boyie

jamaa gani?

wale wa kutisha tisha. nikawa-show umetoka!

poa sis. nilijua tu wewe una ni save sana!

niliwa-show unawatafutauwalipe doh zao za security!

ati! toto! umeharibu mambo sasa!

Umewahi jaribu ku-sell idea yako kwa wasee ili kupata financial support ya kui-make a reality? Ni muhimu ku-organize ideas zako venye zitafanya watu kuwa willing ku-support.

Bizness plan ni document inayo-show goals za bizna na vile una-plan ya kuzi-realise. Ni njia yaku sell idea yako. Biz-ness plan inasaidia ku-develop idea ya ku-tumia dooh za kuanzisha au ku-grow bizna ili ku-make profit. Ina-explain vile bizna yako itapata capital, na venye products zako zita -manage-iwa na ku-market-iwa.

Jinsi ya kuchora bizna plan1. Andika kwa ufupi juu ya business idea yako. Eleza mambo unique juu ya idea yako. Hii huitwa executive summary.

2. Eleza watu watakao-involve-iwa kwa bizna yako, qualifications na skills zao ambazo zitasaidia kuendeleza bizna.

3. Location: Eleza Sababu ya kuchagua location hiyo ya bizna.

4. Plan ya vile bidhaa zako zita-market-iwa ukitumia hizi points:

a) Ni kitu gani unique kita-attract cus-

tomers’ kununua bidhaa zako?

b) Ni bidhaa gani customers wananunua currently kwa market, competition ya bidhaa zako ni gani, na gap yenye bid-haa zako zitajaza ili ku-meet mahitaji ya customers?

c) Ni njia gani umetumia kujulisha cus-tomers juu ya bidhaa yako kama kuwa na fair price?

d) Kama kuna uamuzi umefanya ulioletwa na ku-research juu ya market?

e) Ona vile sales zitaendelea in the fu-ture ili u-make profit?

5. Finance- Predict mambo yale yatafanyika ili u-make profit au loss in the future.

6. Vitu zenye zitahitajika kwa bizna:

a) Assets- Mali na vitu ulivyo navyo vya ku-run bizna kama equipments.

b) Capital-Andika kwenye utatoa dooh za kuanzisha ama ku-grow bizna

Andika bizness plan ukiambia DJ B views zako on the story kwa SMS on 3008 or email: www.shujaaz.fm

Realize dream yako na ukuze bizna yako na bizness plan

8