amer sports day siku ya michezo - liike ry · michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na...

24
AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO FOR PRIMARY SCHOOLS KWA SHULE ZA MSINGI amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:43 1

Upload: others

Post on 25-Sep-2020

12 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

1

AMER SPORTS DAY

SIKU YA MICHEZO

FOR PRIMARY SCHOOLS

KWA SHULE ZA MSINGI

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:431

Page 2: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

2

AMER SPORTS SIKU YA MICHEZOAMER SPORTS SIKU YA MICHEZO

Lengo la Amer Sports siku ya michezo ni kuwafahamisha wanafunzi na walimukwamba michezo ni nyenzo nzuri ya kuimarisha ufahamu wao kuhusu: Afya,kuboresha mahudhurio, kuboresha usawa kwa jinsia na kuunganishawanamichezo kwa pamoja.

Amer Sports ni kampuni ya kifini inayotengeneza vifaa vya michezo(www.amersports.com). Wameanza kusaidia shule nchini Tanzania toka mwaziJanuari mwaka 2007. Katika mwaka huo Amer Sports na mshirika wake LiiKeFinland pamoja na Shirika la Maendeleo ya Michezo Mtwara (SDA) wanasambazanehema ya michezo katika shule za msingi mkoani Mtwara. Kielelezo cha mwakakinaangukia mwezi sptemba 21 ambapo shule zote 577 za msingi zitakuwa naAmer Sports siku ya michezo. Katika kijitabu hiki AMER inasimama kwa:

AAAAA kwa AfyaMMMMM kwa MichezoEEEEE kwa ElimuRRRRR kwa Rafiki

Lengo la kijitabu hiki ni kuwafahamisha walimu kuwa michezo inawezakutumiwa kwa maendeleo ya kijamii.

Jinsi gani ya kutumia kitabu hiki?Jinsi gani ya kutumia kitabu hiki?Jinsi gani ya kutumia kitabu hiki?Jinsi gani ya kutumia kitabu hiki?Jinsi gani ya kutumia kitabu hiki?Kutumia kijitabu hiki ni rahisi sana. Gawanya wanafunzi wako katika makundiya watoto 5-10. Makundi yazunguke ili kwamba mwalimu mmoja ataongozakundi moja na atatumia dakika 50 kwa topiki moja kutoka katika kijitabu hiki.Muda huu utajumlisha mchezo ambao utakuwa ni wa dakika 25 ukihusishasheria za cheza halali na baadaye kukaa chini na kujadiliana Mambo yamaendeleo ya kijamii. Baada ya hapo watakuwa na dakika 10 za kuzungukakwenda kwenye kituo kingine.

Rahisi kwelikweli au siyo? Usisahau chakula cha mchana na kunywa maji mengi.

Kijitabu hiki kina topiki 10 na michezo mbalimbali. Unaweza ukachagua topikinyingine kama unapenda. Unashauriwa kutumia kijitabu hiki!

Kwa mfano:Kwa mfano:Kwa mfano:Kwa mfano:Kwa mfano: wanafunzi wa darasa la 5 wacheze mpira wa miguu kwa dakika25 katika viwanja 2 vidogo wakiwa 10 kila upande. Mwalimu awe mwamuziwa michezo yote. Baada ya hapo mwalimu awakusanye wanafunzi na aanzekuwafundisha topiki za afya. Wanafunzi washiriki kwenye mazungumzo, waulizemaswali na kutoa mifano nk.

© Finnish F© Finnish F© Finnish F© Finnish F© Finnish Federederederederederation of Settlement Yation of Settlement Yation of Settlement Yation of Settlement Yation of Settlement Youth Associationsouth Associationsouth Associationsouth Associationsouth Associations,,,,, LiiK LiiK LiiK LiiK LiiKe Finland, SDe Finland, SDe Finland, SDe Finland, SDe Finland, SDA MtwA MtwA MtwA MtwA Mtwararararara, 2a, 2a, 2a, 2a, 2000000000077777

AMER SPORTS SIKU YA MICHEZO

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:432

Page 3: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

3

YALIYOMO

AMER 1:AMER 1:AMER 1:AMER 1:AMER 1: Michezo na Cheza HalaliWanafunzi wacheze mpira wa miguu katikakiwanja kidogo na sheria za cheza halali.Wanafunzi wacheze soka kwa dakika 20-25 nabaada ya hapo wakusanyike kwa dakika 20-

AMER 2AMER 2AMER 2AMER 2AMER 2: Mpira wa wavu na Matatizo ya Unywaji

AMER 3: AMER 3: AMER 3: AMER 3: AMER 3: Rede na Usawa kwa Jinsia

AMER 4:AMER 4:AMER 4:AMER 4:AMER 4: Netiboli na Usafi

AMER 5:AMER 5:AMER 5:AMER 5:AMER 5: Simba na Maleria

AMER 6:AMER 6:AMER 6:AMER 6:AMER 6: Mpira wa kikapu na Ukimwi

AMER 7: AMER 7: AMER 7: AMER 7: AMER 7: Mpira wa Mikono na Elimu

AMER 8:AMER 8:AMER 8:AMER 8:AMER 8: Yai bovu (Rotten egg ) na matatizo ya Uvutaji

AMER 9:AMER 9:AMER 9:AMER 9:AMER 9: Riadha ya kupokezana vijiti na Lishe

AMER 1AMER 1AMER 1AMER 1AMER 10:0:0:0:0: Kombolera na Huduma ya Kwanza

○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○

○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○

○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○

○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○

○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○

○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○

○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○

○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○

○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○

○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○ ○

4

6

8

10

12

14

16

18

20

22

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:433

Page 4: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

4

Samahani kwakukuumiza, umeumiaau upo sawa?

Nipo sawa

Ni vizuri umeomba samahani,mpira ni kucheza kwa furaha.

Yalikuwa ni makosa yangu.

Nataka kila mtuacheze bila woga.

Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:1. Unacheza michezo mara ngapi?2. Kwanini tucheze michezo?3. Kwanini michezo ni muhimu?4. Cheza halali ina maana gani kwako?

5. Tutaonyeshaje tunacheza halali?6. Je cheza halali ni muhimu – Ndiyo/ Hapana. Kwanini?7. Mchezo gani unapenda kucheza na kwanini?

AMER 1: Mpira wa miguu na Cheza Halali

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:434

Page 5: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

5

MICHEZO NA CHEZA HALALI - Sport and Fair Play

Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:

MMMMMichezo ni sehemu muhimu ya kilajamii, kila nchi na ni sehemu ya sayariyetu. Kwa njia moja ama nyingine kilammoja anajishirikisha na michezo yaaina tofauti, kama vile kucheza aukuangalia au kwa kumfahamu mtufulani anayecheza.

MMMMMichezo hukusanya watu pamoja napia inaweza kutofautisha watu.Inakusanya pamoja kama timuitawavutia washabiki wengi. Kila timuina kuwa na washabiki wake

MMMMMichezo inafundisha masomo ambayoni muhimu kwa maisha yawanamichezo wanafunzi

MMMMMichezo inachangia katika kumjengamwanamichezo kijana, hasa katikashule za msingi na sekondari ambapowanamichezo vijana wanakua nawanaendelea kiakili.

KKKKKucheza michezo kunapunguza hatariya kupatwa na matatizo ya afya

KKKKKucheza michezo ni njia nzuri zaidiya kufanya mazoezi kuwa yakufurahisha na kuwafanya watotowawe tabia njema

MMMMMichezo pia husaidia kuboreshauchangamfu, uwiano na mawasiliano

KKKKKushiriki kwenye michezo husaidiamtoto kujenga kujiamini

MMMMMadawa ya kulevya na pombe ni vituadimu kwa watu wanaoshiriki michezo

NNNNNi muhimu kwa mtoto kujifunza vizurijinsi ya kushinda au jinsi ya kushindwa

KKKKKuwa katika timu kunamfundishamtoto kujituma na faida za kufanyakazi kwa juhudi

WWWWWatoto pia watajifunza mbinu zakutatua matatizo na kumiliki mudawanapokuwa sehemu ya timu

UUUUUtafiti waonyesha kuwa watotowanaoshiriki kwenye michezo husomakwa juhudi darasani.

Cheza Halali:Cheza Halali:Cheza Halali:Cheza Halali:Cheza Halali:Maana ya cheza halali ni kuonyesha kuwa unamuheshimu mpinzani wako nakucheza kwa kufuata taratibu za mchezo

Njia za kuonyesha unacheza halali:Njia za kuonyesha unacheza halali:Njia za kuonyesha unacheza halali:Njia za kuonyesha unacheza halali:Njia za kuonyesha unacheza halali:· “Usimuumize mpinzani kwa kudhamiria”· “Cheza kwa kufuata taratibu”· “Onyesha kujali mpinzani anapojeruhiwa”· “Heshimu uchezaji mzuri wa mpinzani”· “Kila mara cheza vizuri na kwa juhudi”· “Kubali makosa hata kama mwamuzi hakuona”· “Kubali maamuzi ya mwamuzi bila ubishi”· “Epuka kukaba kwa kutumia nguvu na kugusa viungo vya mpinzani”· “Mpe mpinzani laini nafasi ya kushinda”· “Usinywe madawa ya kuongeza nguvu”· “Wasaidie wachezaji wa timu yako hata kamawanafanya makosa”· “Usicheze na maumivu”

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:435

Page 6: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

6

AMER 2: Mpira wa wavu na Matatizo ya Unywaji

Hiyo ni sawakabisa, sababuulevi unasababishamatatizo ya kiafya.

Mimi ni bora nichezempira wa wavu kuliko

kunywa gongo kama wale.

Labda wanapendakucheza lakiniwanaogopa

Inachukua mudamrefu sana kuacha,lakini kuacha nibusara zaidi.

Ngoja niwashawishitujumuike pamoja ilituwe wengi kesho.

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:436

Page 7: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

7

MATATIZO YA UNYWAJI - Dringking Problems

PPPPPombe ni kinyong’onyeshi, ambachohufanya kazi ya kufifisha sehemu zaubongo taratibu

MMMMMnywaji anaweza kushuuhudiakutokuona vizuri, kuongea kiulevi,kupoteza uwiano na mawasiliano

WWWWWatu wengi wanaweza kunywakimpangilio bila kuathiri afya yao

KKKKKuchanganya pombe na madawamengine ni hatari sana kwani inawezakuongezea dozi ya dawa

MMMMMatumizi ya kila mara ya kiasikikubwa cha pombe yanawezakupelekea magonjwa ya ini, vidondavya tumbo na kupoteza ufahamu

BBBBBaadhi ya watu utumia pombe iliwaweze kuwa wachangamfu nawenye kujiamini, lakini inapo zidiinapelekea:1.Kukufanya uwe mgonjwa2.Itakupatia mang’amung’amu3.Itakugharimu pesa nyingi4.Ita zuia fikra zako

5.Itakufanya ufanye vitu vyakijinga na hatari6.Pombe ni kinyong’onyeshi7.Itakufanya uwe na mafuta8.Itakupelekea kwenye afyambaya na kama ikizidi hadi kifo

UUUUUtafiti unaonyesha kwamba matumiziya pombe kwa vijana na watu wa makamo yanazidisha hatari ya kupatakiharusi

MMMMMatumizi ya muda mrefuyanapelekea kuwa mtegemezi wapombe (mlevi)

MMMMMatumizi ya pombe kwa vijanayanapelekea kujiingiza katika tabia zahatari kama ngono, matokeo mabayamashuleni na hata hatari ya kujiua aukufanya makosa ya jinai

HHHHHakuna kiwango salama cha matumiziya pombe kwa mjamzito. Wanawakewalio wajawazito au wanampango wakuwa wajawazito wajizue na unywajipombe.

Kwa majadiliano:Kwa majadiliano:Kwa majadiliano:Kwa majadiliano:Kwa majadiliano:

1. Je unywaji pombe ni gharama?2. Je pombe inaweza kukufanya kuwa mgonjwa?3. Je umewahi kuwaona watu waliolewa? Na kama ndiyo, je wana

tabia gani? Je uliwagopa kutokana na mabadiliko ya tabia zao?4. Je umewahi kuonja pombe? Na kama ndiyo, Je ulijisikiaje?5. Kwanini watu hunywa pombe hata kama ni gharama?6. Unafikiri pombe inawafanya watu kuwa wanene?

Mwalimu awafahamishe wanafunzi mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi mambo yafuatayo:

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:437

Page 8: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

8

AMER 3: Rede na Usawa kwa Jinsia

Ningependa baadaewatoto wangu wawewachangamfu kamahawa.

Lakini bado mdogo ndiyokwanza una miaka 15unatakiwa upangemasomo yako na maishayako ya baadae.

Lakini nafikiri kuwa nafamilia kubwa yawatoto kama 7.

Ni vizuri lakinielimu nimuhimu zaidi

Nitakuwa mwalimu aumfanya biashara

Itabidi upate mwanaume mzuriukisha pata shahada.

Ndiyo yupo mtu anae heshimuuhusiano na mapenzi Na michezo pia

‘SAWA’. Maisha yakuwa naafya ni muhimu pia.

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:438

Page 9: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

9

USAWA KWA JINSIA - Gender Equity

Mwalimu awafahamishe watoto kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe watoto kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe watoto kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe watoto kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe watoto kuhusu mambo yafuatayo:

UUUUUsawa kwa jinsia unatambulika kamamalengo ya milenia na UNICEF.

KKKKKuendeleza usawa kwa jinsia nisehemu muhimu katika nyanjambalimbali za elimu. Tutahakikishakwamba si tu mahitaji ya msichana namvulana yanafikiwa, bali wanakuwana nafasi ya kutimiza malengo yao nakutambua haki za binadamu.

KKKKKuhakisha usawa kwa jinsia kwamsichana na mvulana kwa maanishakwamba wote wana nafasi sawa yakuingia shule na kupata elimu.

KKKKKufikia usawa wa jinsia piakunamaansha kuwepo na hitaji lakuangalia hali maalum ya wasichanana wavulana katika darasa na shule ilikuhakikisha usawa kwa jinsia katikamasomo.

UUUUUsawa kwa jinsia ni utaratibu na zoezila ugawanyaji maliasili sawa kwa sawa,mipango na utoaji maamuzi kwa wotekati ya msichana na mvulana.

DDDDDhumuni la msingi la usawa kwajinsia ni kuwapatia watoto wote,msichana na mvulana fursa sawa nanafasi ya kutambua umuhimu wao.

KKKKKwa kuondoa ubaguzi wa kijinsiatutaruhusu wasichana na wavulanakuendelea kutokana na uwezo wao.

UUUUUsawa kwa jinsia ni nyenzo muhimukama mfumo wa michezo nchiniTanzania unataka kusaidia mahitaji yawasichana na wavulana, wanawakena wanaume. Mabadilikoyatakayopelekewa na usawa kwa jinsiayatawanufaisha wahusika wote.

WWWWWasichana inabidi kuruhusiwakushiriki michezo kamawanavyoruhusiwa wavulana.Kwasababu tunataka mfumo wausawa, hatua muhimu zinahitajikakatika kuhakikisha fursa sawa katikakushiriki michezo. Fursa sawa badohaipo kwa sasa.

Chemshabongo:Chemshabongo:Chemshabongo:Chemshabongo:Chemshabongo:Katika makundi yaliyochanganywa, jadili ni njia zipi tuzitumie katika kuboreshausawa wa Jinsia katika eneo?

Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:1. Kwa nini ni muhimu kuonyesha heshima kwa jinsia nyingine?2. Nini maana ya usawa kwa jinsia?3. Elezea tukio ambalo ulionyesha kujali na kuheshimu jinsia ingine.4. Je unatambua tofauti yeyote kati ya msichana na mvulana katika michezo?

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:439

Page 10: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

10

Acha kukata miti, inatupatia kivuli, inazuia mmomonyoko hutakiwi kuikata.

Ina maana gani kamanitaacha kukata miti halafu mtu mwingine anakuja kukata?

Hapana ni jukumu letu sote kuzuia nakulinda mazingira yetu!

AMER 4: Netiboli na Usafi

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4310

Page 11: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

11

USAFI WA NYUMBA, CHOO NA BAFU -

Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:

WWWWWanafunzi wafundishwe jinsi yakusafisha nyumba zao, mfano kufagiana kupiga deki vyoo na bafu

WWWWWafundishwe jinsi ya kutandikavitanda vyao baada ya kuamka

WWWWWanatakiwa wasafishe mazingira yao

WWWWWanapaswa wapange kwa mpangiliomzuri vitu vyao vya nyumbani,kuondoa vumbi na tando za buibui

KKKKKunawa mikono baada ya kutokachooni

KKKKKunawa mikono kabla ya kula

KKKKKupiga mswaki asubuhi na jioni kablaya kulala

WWWWWakumbushe watoto kubadilishamswaki kila baada ya miezi mitatu

WWWWWaoshe masiko yao mara kwa mara

MMMMMwalimu wafundishe watotokutumia majivu katika kusafishia vyoona kuondoa harufu mbaya pia kuuavijidudu katika choo

WWWWWanafunzi wanapaswa kujuakukausha maji katika choo kwa kuwekamchanga katika choo chenye sakafuya udongo.

USUSUSUSUSAFI NA USAFI NA USAFI NA USAFI NA USAFI NA USAFI WAFI WAFI WAFI WAFI WA MAJIA MAJIA MAJIA MAJIA MAJI

MMMMMwalimu awafundishe wanafunzi kuchemsha, kuchuja na kuhifadhi maji yakunywa katika chombo salama

WWWWWanafunzi wafundishwe kutumia chombo kimoja kuchotea maji na kunywabila kuchangia chombo

MMMMMwalimu awaeleze wanafunzi madhara ya kuchangia chombo kwa kuchoteana kunywea.

Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:1. Tunafanyaje tukigundua mtu fulani amejeruhiwa?2. Kwanini ni afya muhimu sana?

Cleanliness at home, toilet and bathroom

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4311

Page 12: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

12

Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:1. Tunapataje maleria?2. Tutajizuiaje tusipate maleria?

3. Ni dalili zipi za maleria?4. Maleria inatibiwaje?

AMER 5: Simba na Maleria

Ninacheza hapa lakini nina afyanzuri na niko kwenye hali nzuri.

Kwa niniunasemahivyo?

Nilikuwa na maleria wiki iliyopitalakini kwa sababu ya mazoeziimetoka yenyewe.

Haa! Hiyo inauhusianogani na maleria?

Bila shaka kama uko vizuri namazoezi na magonjwahayawezi kukupata kirahisi.

Woo, ngojasasa tujiungena mazoezi yasimba pamoja.

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4312

Page 13: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

13

MALERIA - MalariaMwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:

HHHHHapa Tanzania karibu kila baada yadakika tano mtoto ufariki kwa maleria.

MMMMMaleria inasababishwa na vijimeleaambavyo vinashi katika tumbo na mateya mbu aina ya anofelesi. Baada yambu aliyebeba vidudu hivyo kumuumamtu, vijimelea hivyo usambaa katikamfumo wa damu

BBBBBaada ya kuingia katika mfumo wadamu, vijimelea hivyo uenda kwenyeIni na kujificha katika chembechembeza ini na kuzaliana. Na kama mbuatamuma mtu kama huyu aliyeathirikabasi atasambaza kwa wengine

BBBBBaada ya wiki mbili, mtu ataanzakujisikia kuumwa zikiambatana nadalili kama mafua, uchovu nk. nazisipotibiwa zinaweza sababisha kifo

MMMMMaleria inaweza ikaambukizwa kwakuwekewa damu, uwekewaji waviungo au kuchangia sindano iliyo nadamu chafu

WWWWWatu ambao usafiri katika sehemumbalimbali ambazo zina maambukiziya maleria, anaweza kuambukizwa.

Dalili za MaleriaDalili za MaleriaDalili za MaleriaDalili za MaleriaDalili za Maleria

MMMMMwanzoni, utakuwa na homa, jasho,baridi, kuumwa na kichwa, uchovu,maumivu ya misuli, kizunguzungu nakutapika

DDDDDalili uanza baada ya siku 10 au wiki4 baada ya maambukizi, ingawa mtuanaweza kujisikia kuumwa mapemakama siku ya 8 au mwaka 1 baadaye.

Matibabu ya Maleria na jinsi ya kuzuiaMatibabu ya Maleria na jinsi ya kuzuiaMatibabu ya Maleria na jinsi ya kuzuiaMatibabu ya Maleria na jinsi ya kuzuiaMatibabu ya Maleria na jinsi ya kuzuia

JJJJJikinge na mbu kukuuma,hasa wakati wa usikuTTTTTumia dawa za kinga ya maleriaili kuua vijiduduKKKKKuondoa sehemu zote ambazombu huzaliana karibu na nyumba yenuKKKKKupulizia dawa kuta za nyumbaili kuua mbu wanaoingia ndaniya nyumbaKKKKKutumia chandarua wakati ulalapo,hasa kilichotiwa dawaKKKKKujipaka dawa ya kuzuia mbu aukuva nguo za mikono mirefu na surualiunapokuwa nje ya nyumba.

Matibabu:Matibabu:Matibabu:Matibabu:Matibabu:

UUUUUgonjwa inabidi kutibiwa mapemakabla haujawa sugu na kuhatarishamaisha ya mgonjwa

MMMMMaleria inatibiwa na dawa ambazozimedhinishwa na daktari

AAAAAina ya dawa na urefu wa matibabuunategemea na aina ya maleria, wapiulipata maambukizi, umri na ni kwakiasi gani mgonjwa ameathirika

KKKKKama itatibiwa vyema maleriaitaondoka kabisa kwenye mwili wa mtu

Jinsi ya kuzuiaJinsi ya kuzuiaJinsi ya kuzuiaJinsi ya kuzuiaJinsi ya kuzuia

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4313

Page 14: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

14

Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:1. Ni njia zipi virusi huambukizwa hapa Afrika2. Je watoto wachanga wanaweza kuambukizwa? Na kama ndiyo, Kivipi?3. Je watu hupataje maambukizi ya virusi?4. Je inawezekana watu kuambukizwa virusi kutokana na kuumwa na mbu?5. Kuna njia ingine ambayo watu wanaweza kuitumia kuzuia maambukizi ya virusi? Na kama ni ndiyo, wafanyaje?6. Unafahamu sehemu ya kupimia virusi kama unataka kupima?

AMER 6: Mpira wa Kikapu na Ukimwi

Eeh, shoga nipehabari na boyfriendwako mpya siku hizi?

Ah nipoa tu, tumeamuakutumia kondomu katikauhusiano wetu toka tumeanzamwezi mmoja uliopita.

Sawa kabisa. Hakuna haja ya kuhatarisha maisha yako.Ni hatari kupata virusi vyaukimwi, kwani hakuna dawa ya ukimwi.

Ndiyo ukimwisiyo mzuri.

Nimefurahi sanakuwa na rafiki mzuri kama wewe muelewa.

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4314

Page 15: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

15

UKIMWI - HIV/AIDSMwalimu awafahamishe watoto kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe watoto kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe watoto kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe watoto kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe watoto kuhusu mambo yafuatayo:

HHHHHIVIVIVIVIV ni virusi vidogo, ambavyo baadaya kipindi cha miaka 5 hadi 10usababisha UKIMWIUKIMWIUKIMWIUKIMWIUKIMWI ambaounashambulia na kuharibu chembenyeupe za damu ambazo hulinda mwiliwa binadamu

NNNNNjia kuu ya maambukizi ni kufanyangono isiyo salama. Hapa Tanzania

ngono isiyo na kinga ndiyo njia kuu yamaambukizi

HHHHHapa Tanzania pia watoto wadogosana wapo kwenye hatari kubwa yamaambukizi kutoka kwa mamaaliyeathirika wakati wa ujauzito, wakatiwa kuzaa na kunyonyesha. Makadirioyanaonyesha kuwa kama watoto 72,000wanaambukizwa kwa mwaka.

Ni jinsi gani ya kujikinga na Virusi:Ni jinsi gani ya kujikinga na Virusi:Ni jinsi gani ya kujikinga na Virusi:Ni jinsi gani ya kujikinga na Virusi:Ni jinsi gani ya kujikinga na Virusi:

Kujizuia na ngonoKujizuia na ngonoKujizuia na ngonoKujizuia na ngonoKujizuia na ngonoNjia pekee inayokupa uhakika wa asilimia mia wa kuto kuambukizwavirusi kutokana na ngono

Kuwa MwaminifuKuwa MwaminifuKuwa MwaminifuKuwa MwaminifuKuwa MwaminifuKama wewe na mwenzi wako hamna virusi na mnaaminiana, hakunahatari ya kupata virusi kama hamtafanya ngono na mtu mwingine

Kinga ya kondomuKinga ya kondomuKinga ya kondomuKinga ya kondomuKinga ya kondomuWakati unafanya ngono, kila wakati matumizi salama ya kondomuyanapunguza hatari kubwa ya maambukizi

Virusi huambukizwa Virusi huambukizwa Virusi huambukizwa Virusi huambukizwa Virusi huambukizwa wakati majimaji ya mwili yaliyo na virusi yanapotokakwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Zifuatazo ni njia ambazo zinachangiamaambukizi:

Ngono –Ngono –Ngono –Ngono –Ngono – Hii ni njia kuu ya maambukizi inayohusiana na kubadilishanamajimaji ya mwili hasa kama ngono inafanyw bila ya kingaSindano na madawa ya kulevya – Sindano na madawa ya kulevya – Sindano na madawa ya kulevya – Sindano na madawa ya kulevya – Sindano na madawa ya kulevya – watumiaji wa madawa ya kulevyahuchangia sindano chafu kwa kujichoma na sindano ambazo zilikwishatumika hapo kabla na ambazo zina majimaji kutoka kwenye mwili wamtu mwingine ambayo yanaweza kuwa na virusi na kufanya virusihivyo kuingia moja kwa moja kwenye mfumo wa damuMaambukizi ya Mama–kwa-Mtoto – Maambukizi ya Mama–kwa-Mtoto – Maambukizi ya Mama–kwa-Mtoto – Maambukizi ya Mama–kwa-Mtoto – Maambukizi ya Mama–kwa-Mtoto – Mama mwenye virusi anawezakumwambukiza mtoto wake wakati wa ujauzito, kuzaa au kwa njiaya kunyonyeshaKuongezewa Damu – Kuongezewa Damu – Kuongezewa Damu – Kuongezewa Damu – Kuongezewa Damu – Mtu yeyote atakayechangia damu inabidi apimevirusi ili kwamba damu iliyoathirika asipewe mtu mwingine.

Hatari ya maambukizi inategemeaHatari ya maambukizi inategemeaHatari ya maambukizi inategemeaHatari ya maambukizi inategemeaHatari ya maambukizi inategemeaIdadi ya virusi kwenye majimaji ya mwiliIdadi ya majimaji mtu aipatayoanapoongezewa damuUkubwa au udogo wa sehemu za siri.

Ukimwi hauambukizwi kwa:Ukimwi hauambukizwi kwa:Ukimwi hauambukizwi kwa:Ukimwi hauambukizwi kwa:Ukimwi hauambukizwi kwa:Kushikana mikono,kukumbatia na kubusianaKutumia taulo moja,blanketi au choo kimojaKutumia sahani mojaMbu.

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4315

Page 16: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

16

AMER 7: Mpira wa Mikono na Elimu

Ninafuraha sana kuanzamasomo ya VETA.

Hata hivyo elimu ni muhimu uko sawa

Najua nitapata nabaadae nitajenga hatanyumba na kununuabaiskeli nzuri zaidi

Na michezo piaVilevile tuna ligi ya kikapu yawasiojiweza na ina nipamatumaini sana

Hiyo ni nzuri sana na kupitiaelimu utapata marafiki wapya.

Hiyo inahitajikuwa na moyosana kushirikimafunzo yaVETA lakininajua inathamani sana.

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4316

Page 17: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

17

ELIMU - EducationMwalimu anatakiwa awataarifu watoto mambo yafuatayo:Mwalimu anatakiwa awataarifu watoto mambo yafuatayo:Mwalimu anatakiwa awataarifu watoto mambo yafuatayo:Mwalimu anatakiwa awataarifu watoto mambo yafuatayo:Mwalimu anatakiwa awataarifu watoto mambo yafuatayo:

KKKKKila mtoto ana haki ya kupata elimu.

UUUUUnawajibika kuhudhuria shulekila mara.

WWWWWazazi wako wanawajibikakuhakikisha kwamba unafanya hivyo.

EEEEElimu uipatayo itaendeleza kipajina haiba yako.

IIIIItakufundisha pia kuheshimu haki zabinadamu na uhuru kwa kila mtu.

EEEEElimu itakufundisha mambo muhimuyajadiliwayo leo: hasa kuhusu ukimwi,maleria, usawa wa jinsia, elimu,michezo na kuheshimu mazingira.

Michezo ni njia bora ya elimu ya maisha. Mbinu ujifunzazo kupitia kucheza,elimu ya viungo na michezo ni muhimu katika maendeleo ya kiroho ya vijana.Mbinu hizi zinasaidia katika mpangilio ulio bora wa mahusiano ya kijamii nazaendelezwa katika maisha yako yote mpaka uzeeni.

Mbinu gani tunajifunza kupitia michezo?Mbinu gani tunajifunza kupitia michezo?Mbinu gani tunajifunza kupitia michezo?Mbinu gani tunajifunza kupitia michezo?Mbinu gani tunajifunza kupitia michezo?Ushirikiano, mawasiliano, kuheshimu taratibu/sheria, utatuaji matatizo, uelewa,ungozi, mahusiano na wengine, jinsi gani ya kukubali matokeo ya mashindano/kushinda au kushindwa, cheza halali, uchangiaji, ukweli, kujiheshimu, shughuliya pamoja, kujiamini na nidhamu.

Mambo ya kujadili katika somo:Mambo ya kujadili katika somo:Mambo ya kujadili katika somo:Mambo ya kujadili katika somo:Mambo ya kujadili katika somo:

UUUUUnataka kufanya nini baada yakumaliza shule? (Unafikiri unawezakufanikiwa lengo lako bila shule/elimu)

KKKKKwanini tunaenda shule?

BBBBBila ya elimu ni vigumu sana kuajiriwana pia hata kupata mshahara mzuri.

TTTTTunayo faida kwavile tunatumia sikuyetu vyema kwa manufaa mazurikuliko wale waliochagua kutokuja.

UUUUUnafanya nini kama hauji shule?

EEEEElimu inakupatia uhuru na msimamowa kufanya mambo wewe mwenyewebila msaada

IIIIInaonyesha kwamba tumewekezamuda wetu katika elimu na kujijali sisiwenyewe na maisha yetu ya baadaye.

Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:1.Je unahudhuria shule kila mara?2.Unafanya nini wakati haupo shuleni?3.Kwa wale watoto watakaojibu wanacheza nk... waulize kama ndivyo wanavyotaka wafanye katika maisha yao yote?4.Somo gani unalipendelea?5.Unataka kuwa nani hapo baadaye utakapo maliza masomo?

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4317

Page 18: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

18

AMER 8: Yai bovu (Rotten egg) na matatizo ya UvutajiJe kweli wanaelewa hatari za uvutaji hawa? Nafikiri sivyo,

maskini rafiki.

Nimepata pichaza mapafu yawavuatajikwenye mtandao

Tuwaonyeshepicha hizo kesho,si ndivyo?

Ndiyo, nafikiri wataelewahatari za uvutajisigara.Tufanye hivyo!

Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:1. Je uvutaji utaathiri mwili wangu kama nikicheza michezo?2. Je umeshajaribu kuvuta hapo kabla? Je ulijisikiaje?3. Unafikiri kwanini uvutaji ni mbaya kwetu?4. Kuna marafiki wanakushawishi uvute?5. Utanunua nini na pesa uliyotunza badala ya kuvuta?

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4318

Page 19: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

19

UVUTAJI - Smoking

Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:

NNNNNikotini ni sumu ambayo inapatikanakatika sigara, inamfanya mtu awemtegemezi nayo na hata wale waliojitahidi kuacha wanaweza kujikutawanarudia tabia hiyo ya utegemezi

IIIIIkitumika kwa wingi, nikotini ni sumukali ambayo itasababisha kutapika,kuumwa kichwa na kizunguzungu

UUUUUvutaji sigara unasababisha vifo vingikuliko moto, ajali za gari, ukimwi,madawa ya kulevya

BBBBBaada ya kuacha kuvuta,itakugharimu karibu miaka kumi kablaya hatari ya ugonjwa wa moyo kurudikatika kiwango cha mtu ambayeajawahi kuvuta

UUUUUvutaji wa sigara wakati ni mjamzitoitamuathiri vibaya mtoto aliye tumbonina inaweza kupelekea kutoka kwamimba au kwa mtoto kuwa na matatizoya kupumua wakati atakapozaliwa

HHHHHata kama vijana hawatakuwa namotisho la nini litatokea au kutotokeakwao katika miaka 30, ni vyema

kuzungumzia mambo ya afya ambayouvutaji unayaathiri. Hatari chache ni:

MagonjwaMagonjwaMagonjwaMagonjwaMagonjwa ya moyo,magonjwa ya fizi za meno namagonjwa ya kooSarataniSarataniSarataniSarataniSaratani ya mapafuPumziPumziPumziPumziPumzi fupiKikohoziKikohoziKikohoziKikohoziKikohozi sugu

BBBBBadala ya kufanya “uvutaji kuwa nipoa” ni vyema kubadilisha na kufanya“uvutaji kuwa si poa”,utasaidia kujengaustahimilivu wa watoto kutojaribusigara:

UvutajiUvutajiUvutajiUvutajiUvutaji husababisha harufumbaya, meno kuwa manjanona huongeza hatari ya kuuguamagonjwa ya fizi na kupotezamenoUvutaji Uvutaji Uvutaji Uvutaji Uvutaji hufanya nywele,nguo, gari na nyumba kutoaharufuUvutaji Uvutaji Uvutaji Uvutaji Uvutaji upunguza ladha nahisia ya harufuUvutajiUvutajiUvutajiUvutajiUvutaji husababisha kikohozisugu na pumzi inayolia kamamluziUvutaji Uvutaji Uvutaji Uvutaji Uvutaji uharibu afya namtizamo wako

Sababu za kuacha:Sababu za kuacha:Sababu za kuacha:Sababu za kuacha:Sababu za kuacha:

Afya:Afya:Afya:Afya:Afya:Kuna faida nzuri za kuacha uvutaji. Kama ukiacha sasa, mwili wako utaanza kujifanyiamatengenezo kwenye zile sehemu zilizoharibiwa na tumbaku. Kazi ya mapafu yakoitaongezeka kwa asilimia 30. Na baada ya miezi mitatu tu ya kuacha, hatari yakupata magonjwa ya moyo yatapungua kwa kiasi kikubwa.

Akiba ya fedha:Akiba ya fedha:Akiba ya fedha:Akiba ya fedha:Akiba ya fedha:Sigara moja ugharimu si chini ya shilingi 50, kama unavuta kwa wastani sigara 5 kwasiku hiyo itagharimu shiling 250. Ukizidisha hiyo mara saba utatumia shilingi 1750,ukizidsha hiyo kwa wiki nne, hivyo kwa mwezi mmoja utatumia shilingi 7000.Ukizidisha kwa miezi 12 ya mwaka mmoja utatumia shilingi 84000! Nini kingineunaweza kununua kwa pesa hiyo! Kitu bora chenye thamani kwa mwili wakobadala ya kuuharibu!

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4319

Page 20: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

20

Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:Maswali:1. Kwanini tunahitaji kula chakula bora?2. Ni viungo vipi vya chakula bora?3. Je kokakola ina afya zaidi ya juisi ya embe? Kama sivyo kwanini4. Unafikiri nini maana ya osteoporosis5. Je unaishi maisha bora? Na kama siyo, utafanyaje ili uyaboreshe?

AMER 9: Riadha ya kupokezana vijiti na Lishe

Vyakula bora!

a) Yai

b) Nyama ya ng’ombec)Uyoga

d)Korosho

e)Karoti

f ) Muhindig) Viazi

h) Karanga

i) Alizeti

j) Nyama ya kuku

k) Machungwa

l) Ndizi

m) Papai

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4320

Page 21: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

21

LISHE - NutritionMwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:

TTTTTusipokuwa na afya njema tuna hatariya kufa mapema, ambayo kwaTanzania wastani wa maisha ni 45 kwawanume na 48 kwa wanawake

KKKKKujishirikisha katika michezo kunafaida nyingi sana kiafya

KKKKKuushughulisha mwili kunasaidiakupunguza vifo vya mapemavinavyosababishwa na magonjwayasiyo ya kuambukizwa kama vilemagonjwa ya mishipa, saratani,kisukari, uchovu, wasiwasi na unyong’onyevu

PPPPPia inasaidia kupunguza msukumomkubwa wa damu, kumiliki uzito, inazuia na kumiliki uzalishaji wa

OOOOOsteoporosis (ambayo inachangiaugonjwa wa mifupa) na kumiliki

maumivu sugu. Bila tabia bora yamaisha tunaweza kufa kwa ugonjwawa moyo na magonjwa mengine kamauzito uliozidi kiasi

KKKKKwa vijana, kuushughulisha mwilikunachangia kuwa na mifupa bora,moyo unaofanya kazi vyema na mapafusafi na kuboreka kwa utendaji wamwili na ufahamu

KKKKKwa wanawake, kuushughulishamwili kunapunguza kuvunjika kwanyonga na kupunguza athari zaosteoporosis.

KKKKKwa wazee na watu wa makamo,kuushughulisha mwili kunasaidiauwezo wa kiutendaji, inaboresha haliya maisha na uhuru

Fuata mwongozo huu wa msingiFuata mwongozo huu wa msingiFuata mwongozo huu wa msingiFuata mwongozo huu wa msingiFuata mwongozo huu wa msingi:

FFFFFanya matunda na mboga kuwakwenye ratiba yako ya kila siku,ukidhamiria milo mitano kwa siku

RRRRRahisisha kwa mtoto wako kuchaguakitafunwa chenye afya kwa kuwekamatunda na mbogamboga tayarikuliwa. Viburudisho vingine ni kamamtindi, siagi ya karanga na ya nafaka,vigegedu na samli

KKKKKula nyama laini na virutubisho vinginivya protini kama vile mayai na karanga

CCCCChagua mkate ulio na nafaka ili mtotowako apate nyuzinyuzi ambazo nivimeng’enyu

ZZZZZuia matumizi ya mafuta kwakuepuka chakula cha kukaanga nakuchagua mapishi bora kamauchemshaji, uchomaji na kuvukisha

ZZZZZuia matumizi ya vyakula vyepesi navyenye lishe duni kama viazi chipsi napipi. Lakini usiondoe kabisaviburudisho vyote nyumbani kwako.Badala yake vifanye kuwa ni vyakulavya hamu siku moja moja ili mtoto wakoasione kwamba amenyang’anywa hakiyake

JJJJJizuie na vinywaji vyenye sukari sukarikama vile soda na vinywaji vilivyowekewa ladha ya matunda. Badalayake kunywa maji na maziwa

TTTTTuna maana gani kwuna maana gani kwuna maana gani kwuna maana gani kwuna maana gani kwa kuishi maisha bora kuishi maisha bora kuishi maisha bora kuishi maisha bora kuishi maisha bora?a?a?a?a?Kula chakula bora, jizuie na uvutaji, unywaji pombe na matumizi yamadawa ya kulevya.Kunywa maji ya kutosha kila wakatiKufanya mazoezi mara kwa mara kwa muda usiopungua dakika 30

o

ku

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4321

Page 22: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

22

AMER 10: Kombolera na Huduma ya Kwanza

Kaka, tafadhali nisaidie.Nimekanyaga kipande cha gilasi.

Inawezekana,hebu njoo hapana nitakioshakidonda chako nadawa ya kuzuiamaambukiziambayo mamaaliinunuazahanati.

Utanifungiana kitambaajuu yake?

Ndiyo, Itazuia maambukizi kutokanana uchafu na vumbi.

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4322

Page 23: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

23

HUDUMA YA KWANZA - First aid

Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:Mwalimu awafahamishe wanafunzi kuhusu mambo yafuatayo:

Hatua za kuzingatia:Hatua za kuzingatia:Hatua za kuzingatia:Hatua za kuzingatia:Hatua za kuzingatia:

Mwalimu awaongoze wanafunzi kufahamu mbinu za kumsaidia mgonjwa kablaya kumpeleka hospitali kwa matibabu.

KKKKKama watu wamejeruhiwa vibayasana piga simu 112 haraka sana

UUUUUsipaparike

HHHHHakikisha ya kwamba wewe na mtualiyejeruhiwa hampo kwenye hatari

MMMMMtathmini alijeruhiwa kwa makini

AAAAAngalia hali ya aliyejeruhiwa mpakahuduma ya haraka itakapo fika

Kwa mfanoKwa mfanoKwa mfanoKwa mfanoKwa mfano: Jinsi ya kumhudumia mtu alijikata kutokanana chupa iliyovunjika:

KKKKKuosha jeraha kwa maji safi na kufunga kidonda kwa kitambaa safi.

NNNNNi vyema kama kitatumika kitambaa kitakachozuia maambukizi ili kidondakisipate maambukizi.

KKKKKutoa taharifa mapema kwa mwalimu au mtu mkubwa yeyote aliye karibuili atoe msaada wa kumpeleka majeruhi hospitali.

Mwalimu awafundishe wanafunzi jinsi ya kumhudumia mtu aliyeumwa na nyoka.

Kwa mfanoKwa mfanoKwa mfanoKwa mfanoKwa mfano: Kufunga kifundo juu ya mahali alipoumwa nakumpeleka mapema hospitali.

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4323

Page 24: AMER SPORTS DAY SIKU YA MICHEZO - LiiKe ry · Michezo ni sehemu muhimu ya kila jamii, kila nchi na ni sehemu ya sayari yetu. Kwa njia moja ama nyingine kila ... mfanya biashara Itabidi

24

amer_publication.pmd 4.7.2007, 10:4324