kenya bureau of majukumu ya wateja cheti cha ......utoaji vyeti kuhusu mifumo bora ya usimamiaji...
TRANSCRIPT
Kenya Bureau of Standards Vipimo kwa maisha bora
AFISI ZA KEBS:
Kwa habari zaidi wasiliana na:
KITENGO CHA WATEJARununu: 0731 000 693/0708 989 242Simu:+254 (0) 20 694 8317Barua Pepe:[email protected] [email protected]: http://www.kebs.orgNamba ambayo hailipiwi: 0800221350
www.facebook.com/kebs.orgkebs-ke
AFISI YA MOYALEAfisi Husika
S.L.P. 223-60700Garissa
Rununu: +254 700 868 645
AFISI YA JKIASimu: +254 702 119 106(+ 254 61) 230 3953 /84
AFISI YA I.C.DSimu: (+254 20) 209 749
AFISI YA KISIISimu: 058–2030647
AFISI YA MERUSimu: 064–3130647
AFISI YA MANDERARununu: + 254 700 868 648
Simu: (254 045) 662 2148
AFISI YA NAMANGA S. L.P. 217–00207
NamangaSimu: +254 722 446 608
AFISI YA ATHI RIVER PEPESimu: 045 662 2148/9/50
AFISI YA ISEBANIAS.L.P 166 - 40414
IsebaniaSimu: (+254 20) 234 1609
AFISI YA TAVETARununu: +254 724 111 113
S.L.P.413–80302Taveta
AFISI KUU ZA KEBS:Mkurugenzi MkuuKenya Bureau of StandardsBarabara ya Popo, (Kutokea Barabara Kuu ya Msa), S.L.P. 54974 – 00200 Nairobi, Kenya.Simu: (+ 254 20) 694 8000Rununu: 0722 202 137, 0734 600 471/2PVOC: 0724 255 242
ENEO LA PWANI Meneja wa Eneo S.L.P. 99376–80100, Mombasa.Simu: (+254 041) 231 7050/1/2/4/5, 223 0940/38/39,Rununu: +254 724 111 116,Faksi: (+254 041) 2229448, 2317055Barua Pepe: [email protected]
ENEO LA BONDE LA UFA KUSINIMeneja wa Eneo S.L.P. 2138–20100, Nakuru.Simu:(+254 051)221 0553/5,221 1208,221 1418/22.Rununu: +254 713 700 070Barua Pepe: [email protected]
ENEO LA BONDE LA UFA KASKAZINIMeneja wa Eneo S.L.P. 8111–30100, Eldoret, Kenya.Simu: (+254 053) 203 3151,Barua Pepe: [email protected]
ENEO LA ZIWA VIKTORIAMeneja wa Eneo S.L.P. 2949–40100, Kisumu.Simu: (+254 057), 202 9549 (+254 20) 232 8103Rununu: +254 704 371 200Barua Pepe: [email protected]
ENEO LA MLIMA KENYAMeneja wa Eneo
S.L.P. 1790–10100 Nyeri
Simu: (+254 061) 203 1410/1203 2036/7
Rununu: +254 712 824 333Barua Pepe:[email protected]
ENEO LA KASKAZINI MASHARIKIMeneja wa Eneo
S.L.P. 978–70100, Garissa.
Simu: 046 210 2519Rununu: +254 700 868 602Faksi: ( +254 046) 210 3455
Barua Pepe:[email protected]
BANDARI YA MOMBASAAfisi Husika
Simu: 041 222 6785Rununu: +254 724 111 118
Barua Pepe:[email protected]
AFISI YA WAJIRAfisi Husika
S.L.P. 540–70200, Wajir.
Simu: (254 061) 231 245Rununu: +254 700 868 657
AFISI YA MALABAS.L.P. 330,
KamuriaiSimu: +254 770 587 108
AFISI YA LIBOI S.L.P.978–70100
GarissaSimu: +254 722 529 115
AFISI YA LUNGALUNGAS.L.P. 174 - 80404
Lungalunga Simu: +254 722 866 368
AFISI YA BUSIAS.L.P. 91–50400
Busia.Simu: 055 22044
Rununu: +254 722 379 587
SERVICE CHARTER
Kenya Bureau of Standards
CHETI CHA HUDUMA
Vipimo kwa maisha bora
TUME YA HAKI ZA KISHERIA KUHUSU UTAWALAWEST END TOWERS, OROFA YA PILI,BARABARA YA WAIYAKI
WESTLANDSS.L.P 20414 -00200.NAIROBI.
SIMU:+254 0202270000BARUA PEPE: [email protected] TOVUTI: www.ombudsman.go.ke
Kenya Bureau of Standards Vipimo kwa maisha bora
Mtazamo wa KijumlaShirika la Ukadiriaji Ubora wa Bidhaa nchini Kenya ( KEBS) ni shirika ambalo lilianzishwa chini ya sheria ya Ukadiriaji wa viwango vya Bidhaa (kifungu nambari 496) za sheria za Kenya. KEBS ilianza utenda kazi wake mnamo Julai 1974.
Cheti hiki cha utoaji huduma kwa wateja ni dhihirisho la kujitolea kwa KEBS kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wateja wake na washika dau wengine. Pia kinalenga kuufahamisha umma kuhusu huduma na kazi ya shirika.
IdhiniKEBS imeidhinishwa kutoa huduma za upimaji wa viwango vya bidhaa anuwai nahuduma za ukadiriaji pamoja na huduma za uzingatiaji wa viwango bora vya bidhaakupitia kwa: i. Uenezaji na uhimizaji wa viwango bora katika biashara na viwanda. ii. Utoaji wa huduma za upimaji na usawazishaji wa vipimo. iii. Udhibiti wa matumizi ya alama viwango iv. Kuendeleza elimu kuhusu viwango vya ubora. v. Uwezeshaji wa utekelezaji wa ubora wa viwango na kuhakikisha vinatekelezwa. vi. Udumishaji na usambazaji wa mfumo wa vipimo wa kimataifa kwa nyuzi zinazokubalika (SI Measurements).
MaonoKuongoza ulimwenguni katika utoaji wa suluhisho kuhusu vipimo vinavyohakikisha kuna ubora wa kuaminika.
WitoKutoa suluhisho kuhusu vipimo vinavyohakikisha kuwepo kwa maendeleo ya kudumu.
Maadili ya KimsingiUtamaduni wa kikazi katika shirika letu umejikita katika maadili ya kimsingi, imani yetu na mienendo thabiti.
Maadili ya kimsingi ya KEBS ni: i. Uaminifu ii. Huduma bora kwa wateja iii. Udumishaji wa Mazingira bora iv. Utendaji bora wa kazi
Kenya Bureau of Standards Vipimo kwa maisha bora
Huduma Zinazotolewa i. Uendelezaji na usawazishaji wa viwango vya ubora wa bidhaa ii. Upimaji iii. Usawazishaji wa vipimo. iv. Kuendeleza na kuhimiza viwango vya bora v. Ukaguaji wa bidhaa vi. Elimu na mafunzo kuhusu vipimo na ukadiriaji ubora wa vipimo na uhakikishaji kuwa viwango hivi vimezingatiwa. vii. Utoaji vyeti kuhusu mifumo bora ya usimamiaji viii. Uidhinishaji wa bidhaa.
Kujitolea Kwetu i. Kudumisha majukumu ya KEBS kama yanavyofafanuliwa kwenye sheria ii. kuhusu viwango bora vya bidhaa. iii. Utoaji wa huduma nzuri na kwa njia bora kabisa. iv. Kuwahudumia wateja wetu kwa heshima, adabu na upole. v. Kujitambulisha mara moja tunapohitajika kufanya hivyo wakati wa kutekeleza huduma zetu. vi. Kuendelea kuboresha mifumo yetu ya usimamizi wa ubora wa kazi na mifanyiko yake. vii. Kuhakikisha kuna usalama wa vifaa na sampuli zilizo kwenye hifadhi yetu.
Wateja wetu wana haki ya: i. Kupokea huduma. ii. Udurusu wa maombi yao na kukata rufaa. iii. Kulalamika. v. Usiri. vi. Kupata habari kuhusu huduma zinazohitajika.
Majukumu ya WatejaWateja wanahitajika: i. Kuelewa na kuzingatia masharti na hali ambazo huduma za KEBS hutolewa ii. Kuwaheshimu wafanyikazi wa KEBS iii. Kutoa mara moja habari na majibu ya kweli yanapohitajika iv. Kulipa mara moja ada na faini inapohitajika v. Kulipia mara moja huduma iliyotolewa vi. Kushiriki katika mikutano na shughuli nyingine za kamati za kitaalamu vii. Kutotoa himizo lolote kwa nia ya kuathiri utenda kazi wa afisa wa KEBS viii. Kuripoti matukio ya ufisadi kwa KEBS au kwa vitengo vingine vya serikali ix. Kuelewa sheria zinazosimamia utenda kazi wa KEBS
Kenya Bureau of Standards Vipimo kwa maisha bora
CHETI CHA KUHUDUMUIDARA
MUDA UNAOHITAJIKA ADA/MALIPO
UHAKIKISHAJI WAUBORA
HUDUMA INAYOTOLEWA
Wiki nane
Wiki tatu
Wiki nane
Kama ilivyofafanuliwa katika mwongozo wa malipo unaopatikana katika ofisi za kutoa Alama ya Viwango Bora au tovuti ya KEBS.
Kama ilivyofafanuliwa katika mwongozo wa malipo unaopatikana katika ofisi za kutoa Alama ya Viwango Bora au tovuti ya KEBS.
Kama ilivyofafanuliwa katika mwongozo wa malipo unaopatikana katika ofisi ya alama ya viwango bora au tovuti ya KEBS.
Miezi tisa
Malipo ya miezi mitatu ya:
Shilingi 165, 000 na ada ya huduma (VAT) kwa kila bidhaa auchapa kwa makampuni ya hapa nchini.Dola 7,500 kwa kila bidhaa au chapa kwa mashirika ya nje(bila kuhesabu tiketi za ndege za waamuzi na matumizi yao).
Miezi tisa
UKAGUZI Kuachiliwa kwa shehena ikiandamana na COC/COR.
Siku moja
Siku moja
Hakuna malipo kwa COCs halali.Asili mia nukta tano (0.5%) au dola 220 (mojawapo ya malipo yataku-yokuwa ya juu) kwa COCs ama CORs ambazo wakati wake umepita
Miezi kumi na nane
MAJUKUMU YA WATEJA
i. Kujaza fomu ya maombi STA1.ii. Kutoa nakala za usajili wa shirika linalohusika.iii.Kulipa ada husika.
i. Kujaza fomu ya maombi STA1.ii. Kuwasilisha nakala ya cheti cha usajili wa shirika.iii.Malipo ya ada inayohitajika.
i. Jaza fomu ya maombi – STA/ 1 miezi minne kabla ya kibali cha kwanza kumalizika.
COC/COR halali za shehena(ambazo zimenakiliwa kwa wakala aliyezitoa).
i.ii.iii.
i.
ii.
i.ii.
i.
i.ii.
i.ii.
i.ii.
i.ii.
i.ii.
i.
i.
i.ii.
i.ii.
i.ii.
i.ii.
i.ii.
i.ii.
i.ii.
iv.
v.
Weka sahihi na kukubaliana na masharti ya usimamizi.Ushahidi wa sampuli tatu(3) za bidhaa mfululizo kuafikiana na viwango.
Ushahidi wabidhaa kuafikiana na viwango vinavyohitajika wakati idhini inatumika.
iii.
Malipo ya ada inayohusikaiii.
iii.
iii.
iii.
iii.
iii.iv.
iii.
i.ii.
Cheti hiki cha huduma kitakuwa kikibadilishwa mara kwa mara kulingana na hali ya kikazi. Mabadiliko yote yatawahusisha wateja wetu na washikadau wote. Mara ya mwisho ya kuifanyia mabadiliko ni Mei, 2015
Kutia sahihi na kukubaliana na njia za usimamizi na udhibiti. Ushahidi wa sampuli ya bidhaa kuafikiana na viwango vya ubora wa bidhaa za Kenya au viwango vilivyoidhinishwa.ii.Malipo ya ada inayohusika. Ushahidi wa bidhaa kuafikiana na viwango vinavyohitajika wakati idhini inatumika.
iii.
iv.
v.
Jaza fomu ya maombi STA/1.Jaza hojaji ya kiwanda–(STA/3).Malipo ya ada inayohusika.
Jaza fomu ya maombi–STA/ 1 miezi mitatu kabla ya kumalizika kwa kibali cha kwanza.Malipo ya ada inayohusika ii.
i.
Shilingi 165, 000 na ada ya huduma (VAT) kwa kila bidhaa au chapa kwa makampuni ya hapa nchini.Dola 7,500 kwa kila bidhaa au chapa kwa mashirika ya nje(bila kuhesabu tiketi za ndege za waamuzi na matumizi yao).
ii.
i.
ii.i.
Malipo ya miezi mitatu ya:
Wasilisha stakabadhi halali za uingizaji wa bidhaa nchini.
Kuachiliwa kwa shehena ambayo haija andamanana COC lakini inayohitaji PVoC.
Wasilisha stakabadhi halali za uingizaji wa bidhaa nchiniMalipo ya faini inayostahili Andaa sampuli za kukaguliwa inapohitajika.
Wasilisha sampuli ya bidhaa kwa ukaguziinapohitajikaiv.Sampuli ziafikiane na viwango vinavyokubalika
Siku moja iwapo havihitaji kukaguliwa na siku ishirini iwapo vinahitaji kukaguliwa.
Asilimia kumi na tano (15%) ya thamani yaCIF.
Kuachiliwa kwa shehena isiyohitaji PVoC Wasilishastakabadhi halali za uingizaji wa bidhaa nchini. Hakuna ada.
UTHIBITISHO WA UAFIKIANO NA VIWANGO MWAFAKA ZA BIDHAA KABLAYA KUTUMWA KWA MASOKO YA NJE(PVoC)
Kujibu na kushughulikia masuala yote yanayohusiana na rufaa
Fanya ombi kwa maandishiAndaa nakala zinazothibitisha ombi lako.
Andaa habari za kweli na halali. Siku saba
Siku saba
Pale tu inapohitajika
Kutambua na kutatua malalamishi kuhusu ukaguzi wa bidhaa kabla ya kutumwa kwa masoko ya nje
Andaa habari za kweli na zilizo sahihiAndaa nakala zinazodhibitisha ombi lako Siku tano Hakuna malipo
Hakuna malipoUtoaji wa kibali cha ISM kuanzia tarehe ya maombiToa barua ya ombiAndaa cheti cha kudhibitisha kuafikiana na viwangovilivyokubaliwa (COC).
iv. Andaa fomu za azimio la uagizaji wa bidhaaOnyesha cheti halali cha uchunguzi wa bidhaav.
UPIMAJI Fanya upimaji wa sampuli zote zilizoandaliwana utoe vyeti vya upimaji
Toa idadi ya kutosha ya sampuli.Ada ya malipo ya ukadiriaji
Tia sahihi fomu ya maandalizi ya sampuli (SSF) Siku kumi na nne
Siku mbili
Kulingana na ada ya maombi
Thibitisha maombi ya nukuu za gharama Fanya ombi Hakuna ada.
Anza ukaguzi wa eneo Fanya ombiMalipo ya ada inayohusika
Andaa mahitaji yote muhimu(kama vile mavazi ya kiusalama).
iii. Lipa ada inayotakikana
Siku kumi na nne
Siku kumi na nne
Kulingana na ada ya maombi
Kulingana na ada ya maombiUSAWAZISHAJI WA VIPIMO
Wasilisha vifaa kwa Shirika la Ukadiriaji Ubora wa Bidhaa nchini (KEBS)Chukua vifaa kutoka kwa KEBS vilivyofanyiwa usawazishaji wa kiupimaji.
Jinsi ya kushughulikia usawazishaji wa kiupimaji Fanya ombiMalipo ya ada inayohusika Andaa mahitaji muhimu.
Lipa ada inayohusika Siku kumi na nne Kulingana na ada ya maombi
Shughulikia makadirio ya gharama Fanya ombi la makadirio ya gharama Siku mbili Hakuna malipo
Hakuna malipoSDT Maendelezo ya viwango vya juu vya bidhaa kupitia kamati za kiufundi
Ombi la mshika dauKushiriki katika ukuzaji wa viwango
Mfumo mwafaka wa udurusu wa viwango vya ubora wa bidhaa.
Hakuna. Miaka mitano Hakuna malipo
Hakuna malipo
Hakuna malipo
Shilingi elfu kumi(10,000) za Kenya pamoja na VAT
Ombi la ripoti kuhusu viwango.Lipa ada inayohusika
Siku mbili
Siku mbili
Kulingana na ada ya maombi
NQI
Fanya malipo kulingana na ada husika/toa LSOThibitisha tarehe, mpangilio na eneo la mikutano
Siku tano
Siku tano
Siku kumi
Siku saba
Siku saba
Siku kumi na nne
Kulingana na ada ya maombi
Kulingana na ada ya maombiAda kamili ya mafunzo.
MAMLAKA YA KEBS YA KUTOA VYETI
Jaza fomu ya maombi.Jaza hojaji ya maombi
Lipa ada ya maombi ya vyeti.
Durusu kandarasi na tia sahihi Yamewekwa pamoja na ada ya cheti.
Kurudisha kandarasi iliyotiwa sahihi. Hakuna malipo
FEDHA Kuwalipa wadeni wote baada ya bidhaa kuwasilishwa na kukubaliwa
Kuwasilisha bidhaaUwasilishaji wa hati zote zinazoonyeshamalipo
Siku thelathini Hakuna malipo
Hakuna malipoKulingana na ada ya maombi
Kutoa risiti ya malipo yoteMalipo ya viwango.
Lipia huduma zilizotolewa Mara mojaMara moja
UPOKEAJI NA UHIFADHI WA BIDHAA
Kupokea na kuweka bidhaa kwenye maghala Kuweka bidhaa kwenye maghala
i. Jaza fomu ya malipo ya viwango
Kutoa hati zote zinazohitajika kwa malipoSiku moja
Hakuna malipoSiku mbili
Ombi jipya la alama ya viwango bora -kuanzia tarehe ya maombi.
Utoaji wa idhini ya alama ya almasi -kuanzia tarehe ya maombi
Utoaji upya wa idhini ya alama ya almasi - kuanzia tarehe ya maombi.
Utoaji wa hati (idhini) ya ishara ya ubora wa bidhaa.
Ukaguzi wa huduma na bidhaa baada ya kuhitajika kufanya hivyo.
i. Fanya ombiKutambua maombi ya mafunzo, uanachamana huduma za mashinani
Fanya mipango na kuanza mafunzo
Toa cheti baada ya mafunzo
Kupokea na kushughulikia maombi ya vyeti.
Hatua ya ukaguzi
Utayarishi wa cheti cha pendekezo au kandarasi.
Utoaji wa vyeti.
Omba kuidhinishwa.
Upataji wa viwango
Upimaji wa kiusawazishaji na utoaji wa vyeti na ripoti
iii. Onyesha orodha ya upakiaji wa bidhaa
ii.
Saa za kazi: Jumatatu hadi Ijumaa Asubuhi (0800–1300), Chakula cha mchana (1300–1400), Alasiri (1400–1700):