maji masafi yakitoa jenereta bunifu za majiswedishgtc.ax7c0.eu/swedish gtc swahili.pdf · maji...

2
MAJI MASAFI YAKITOA JENERETA BUNIFU ZA MAJI Kusafisha maji Kusafisha maji na teknolojia ya Utando - Osmosisi. Kusafisha uchafu katika maji ya kisima, maji yenye chumvi katika visima au moja kwa moja kutoka kwa ziwa. Osmosisi (RO) hutumiwa kuondoa sodium, nitrates, nitrites, phosphates, fluoride, lead, potassium, chloride, sulphates, bakteria n.k. Viwango vikubwa vya uchafu katika maji ya kisima Osmosisi au Teknolojia ya utando inaweza kutatua matatizo ya maji yako. Inapatikana katika viwango kadhaa, modyuli wastani au zilizoundwa ili uagize. Neptun WaterKing Inafaa kwa nyumba yako ya wakati wa majira ya jua, gari lako la kupiga kambi au hata boti yako. Neptun WaterKing Big Inafaa kwa maeneo yenye nyumba ndogo / kaya nyingi Tunaweza kutoa aina zote za uchunguzi wa maji, hii inamaanisha kwamba wewe kama mteja unaweza kuwekewa inayokufaa sana. Tunauza tu chapa zinazoongoza sokoni za kichujio, vipuli vya kubadilisha, sili za kubana, utando na pampu za osmosisi. Tunaweza kutoa modeli tofauti za usafishaji maji Toleo la kawaida Mtambo tuli wa kaya zenye uwezo wa 75 lit - 130 lit / saa, na ubora wa utendaji kazi wa asilimia 50-90 kulingana na ubora wa maji yanayoingia. Modeli ya Mobile pallet Imekusudiwa kutumiwa katika eneo lenye janga kwa mtambo tuli wa matumizi yanayoendelea. Ambapo mgao wa maji haupo. Kifaa kinachojitegemea kabisa chenye uwezo wa kuanzia 220 hadi 2000 l/saa. Rahisi kusafirisha katika maeneo yasiyoweza kufikiwa. Modeli Tuli-nusu Modeli inategemea kontena katika maeneo yote ya janga na mtambo wa kudumu nusu kwa maeneo ambayo maji katika eneo sio masafi. Modeli hii inajitosheleza yenyewe na kwa sababu za kimazingira ina kifaa cha kupunguza matumizi ya kawi katika umbo la paneli za sola na vigeuzaji vya shinikizo. Modeli hizi zimeundwa kwa ajili ya maziwa ya maji masafi na maji ya chumvi. Swedish Global Trade Center (Tanzania) limited, P.O.Box 20085, Dar es salaam Address: Barabara ya uhuru Nr 14, Bungoni ilala area Phone +255(0)762 032 785, +255(0)716 246 459 Global distribution by [email protected], www.swedishgtc.se Mwakilishi wetu Tanzania Sabuni Kisubi Rousseaux (TANZANIA) LIMITED

Upload: ngocong

Post on 06-Aug-2019

247 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

MAJI MASAFI YAKITOA JENERETA BUNIFU ZA MAJIKusafisha majiKusafisha maji na teknolojia ya Utando - Osmosisi.Kusafisha uchafu katika maji ya kisima, maji yenye chumvi katika visima au moja kwa moja kutoka kwa ziwa.Osmosisi (RO) hutumiwa kuondoa sodium, nitrates, nitrites, phosphates, fluoride, lead, potassium, chloride, sulphates, bakteria n.k.

Viwango vikubwa vya uchafu katika maji

ya kisimaOsmosisi au Teknolojia ya utando inaweza kutatua matatizo ya maji yako.Inapatikana katika viwango kadhaa, modyuli wastani au zilizoundwa ili uagize.

Neptun WaterKingInafaa kwa nyumba yako ya wakati wa majira ya jua, gari lako la kupiga kambi au hata boti yako.

Neptun WaterKing Big Inafaa kwa maeneo yenye nyumba ndogo / kaya nyingi

Tunaweza kutoa aina zote za uchunguzi wa maji, hii inamaanisha kwamba wewe kama mteja unaweza kuwekewa inayokufaa sana. Tunauza tu chapa zinazoongoza sokoni za kichujio, vipuli vya kubadilisha, sili za kubana, utando na pampu za osmosisi.

Tunaweza kutoa modeli tofauti za usafishaji majiToleo la kawaidaMtambo tuli wa kaya zenye uwezo wa 75 lit - 130 lit / saa, na ubora wa utendaji kazi wa asilimia 50-90 kulingana na ubora wa maji yanayoingia.

Modeli ya Mobile palletImekusudiwa kutumiwa katika eneo lenye janga kwa mtambo tuli wa matumizi yanayoendelea. Ambapo mgao wa maji haupo. Kifaa kinachojitegemea kabisa chenye uwezo wa kuanzia 220 hadi 2000 l/saa. Rahisi kusafirisha katika maeneo yasiyoweza kufikiwa.

Modeli Tuli-nusuModeli inategemea kontena katika maeneo yote ya janga na mtambo wa kudumu nusu kwa maeneo ambayo maji katika eneo sio masafi. Modeli hii inajitosheleza yenyewe na kwa sababu za kimazingira ina kifaa cha kupunguza matumizi ya kawi katika umbo la paneli za sola na vigeuzaji vya shinikizo.

Modeli hizi zimeundwa kwa ajili ya maziwa ya maji masafi na maji ya chumvi.

Swedish Global Trade Center (Tanzania) limited, P.O.Box 20085, Dar es salaamAddress: Barabara ya uhuru Nr 14, Bungoni ilala area

Phone +255(0)762 032 785, +255(0)716 246 459Global distribution by [email protected], www.swedishgtc.se

Mwakilishi wetu TanzaniaSabuni Kisubi Rousseaux

(Tanzania) limiTed

CLEAN WATE

R CLEAN WATE

R

FLUSHON

1

2

3

4

5

6

7

8

9

11

10

12

R

AW WATER

R

AW WATER

W

ASTE WATER W

ASTE WATER

FLUSHOFF ON

FLUSHOFF ON

Fjärrkontroll

Att omvandla havs- och sjövatten

till rent dricksvatten!1

2

3

4

5

6

7

8

9

11

10

12

Vatt

nets

väg

Neptun Water King vattengenerator/med Omvänd OsmosOmvänd osmos är en sorts motsats till osmos. Den går ut på att man med hjälp av ett yttre tryck låter vattenmolekyler vandra genom ett semipermeabelt membran, med andra ord ett halvgenomsläppligt membran. Följden blir att jonerna stannar kvar på ena sidan av membranet, medan vattenmolekylerna passerar genom det. Man övervinner alltså det osmotiska trycket. Metoden kan till exempel användas för att rena havsvatten till dricksvatten ombord på fartyg och i torra regioner. Neptun Water King är anpassad för bräckt vatten. Passar lika bra i båten som till sommarstugan. Varför inte ersätta en gammal borrad brunn med dåligt vatten?

9. Nivågivare (t e.x BEP ultraljudsgivare eller befintlig givare)10. Nivågivare (t e.x BEP ultraljudsgivare)11. Pentrypump12. Spillvatten för regelbunden rengöring av systemet

1. Dränkbar pump alt. befintlig pentrypump2 . Trycktank (ej nödvändig om befintligt vatten- system i båten användes3. Tryckvakt4. Mekaniskt filter

5. Högtryckspump (inbyggd i Neptun Water King)6. Osmonicrör (inbyggd i Neptun Water King)7. Rent vatten ut till vattentank8. Befintlig färskvattentank

Swedish Global Trade Center

Swedish Global Trade Center

Neptun Water King inapatikana katika viwango kadhaa tofauti, zote zinategemea kanuni ya osmosisi kwa matokeo bora kabisa ya usafishaji. Zinakusudiwa kwa maji masafi yenye bakteria na maji ya chumvi yenye viwango vidogo vya chumvi.Neptun Water King inafaa kwa kaya kubwa na ndogo, boti na meli na kwa matumizi ya kudumu au ya muda au kwa msaada wakati wa janga duniani kote.Tunaweza pia kutekeleza aina zote za uchunguzi wa maji, hii inamaanisha kwamba wewe kama mteja unaweza kuwekewa inayokufaa sana. Tunauza tu chapa zinazoongoza sokoni za kichujio, vipuli vya kubadilisha, uchujaji, sili za kubana, utando na pampu za osmosisi.Nyenzo zenye maisha marefu na usafi wa juuTuna uzoefu wa miaka nyingi wa kusimamia mchakato katika mamlaka ya hapa na uwekaji mitambo ya viwanda. Somo moja ambalo tumelisoma ni kwamba tunapaswa kutumia plastiki kama iwezekanavyo kwa vijenzi vyote, isipokuwa kinyumba cha pampu ambacho ni brasi. Katika kitengo cha kusafisha maji tuko peke yetu katika kutumia plastiki. Ni muhimu kwamba mitambo ya maji ya kunywa inapaswa kuwa safi baada ya miaka 10 kama wakati ilipowekwa na hufanya hivyo na mabomba ya plastiki.

Jenereta ya maji ya Neptun Water King

Maji yasiyosafishwa hupigwa kupitia pampu iliyo chini (1) ambayo huangushwa katika ziwa, mtoni au kwenye tangi ya shinikizo (2) na kisimamia kiwango (3). Kichujio cha ustadi (4) huondoa chembechembe kubwa kama vile matope, mimea na uchafu kama huo.Pampu (5) husukuma maji kupitia utando wa bomba ya osmoniki (6). Maji yaliyosafishwa huenda kwenye tangi ya kukusanyia ambayo ina sensa ya kiwango ambayo hubainisha wakati mfumo unahitaji kujazwa na maji zaidi. Bora kiwango kiwe kati ya viwango vya chini na vya juu pampu ya shinikizo (5) haitaanza. Kulingana na utofauti wa umbali na urefu wa tangi ndogo ya shinikizo (11) huwekwa karibu na mstari wa maji masafi ya valvu kuu ya '. Maji ambayo yanagawanywa katika bomba la osmoniki hurejeshwa kama maji yanayofurika (12).Foka hufanyika kwa dakika 5 kila saa. Wakati kifaa kinapoanza au kinapozimwa elektroniki huanza au kukoma kila wakati na mfululizo wa foka. Inawezekana pia kuanza na kukomesha kiotomatiki kupitia sensa zilizopo za kiwanho katika elektroniki

Kweli kuhusu osmosisiOsmosisi ni tukio halisi na la kemikali ambalo hutokea katika utando unaoweza kupenyeka nusu na myeyusho wa kioevu pande zote mbili. Kama utando unaweza kupenywa na vioevu lakini sio chumzi katika kioevu (inayoweza kupenyeka nusu), kioevu kinaweza kutiririka katika utando hadi kuwa na usawa wa osmotiki.

Osmosisi inategemea uwezo wa kutumia shinikizo la nje ili kusaidia molekuli za maji kusonga katika utando unaoweza kupenyeka nusu. Matokeo ni kwamba ioni hubaki upande mmoja wa utando, il hali molekuli za maji hupita. Moji huzidi shinikizo la osmotiki. Mbinu hii inaweza kutumiwa kusafisha maji ya ziwa kuwa maji ya kunywa melini na katika maeneo yaliyokauka. Matokeo ni maji masafi, maji ya osmotiki. Utando unaweza kupenyeka tu kwa molekuli za maji. Maji husafirishwa kiasilia, kwa mfano katika miili yetu, kupitia osmosisi. Kuta za seli zetu huwa tando halisi za osmosisi ambazo hugawanya uchafu kutoka kwa maji masafi. Na osmosisi maji hushinikizwa kwa kutumia shinikizo la juu kupitia utando wa sanisi unaoweza kupenyeka.

Usafishaji maji kwa osmosisiUsafishaji maji humaanisha ugawaji wa viwango visivyofaa au visivyohitajika vya kaboni na vitu visivyo vya kaboni. Usafishaji wa kawaida huwa na vitu vingine vinavyotolewa kutoka kwa maji. Osmosisi ni uchujaji mkali, ambapo molekuli ndogo sana na chembechembe zinaweza kugawanywa. Faida kubwa ya osmosisi ni kwamba hakuna kemikali zinazotumiwa katika mchakato wa usafishaji.

Neptun Water King hufanya kazi kwa kutumia kanuni ya osmosisi.Inafaa kwa usafishaji uchafu katika maji ya kisima, maji yenye chumvi katika visima au moja kwa moja kutoka kwa ziwa. Osmosisi huondoa sodium, nitrates, nitrites, phosphates, fluoride, lead, potassium, chloride, sulphates, bakteria n.k kwa njia nzuri sana.

Utoaji wa madiniKwa sababu osmosisi huondoa pia chumvi na madini ya maana, urudishaji wa hizi unapaswa kufanywa ikiwa mtu atatumia maji kutoka kwa kifaa kilichowekwa cha kudumu. Hii inafikiwa kwa kuchuja kupitia mawe yaliyopondwa ya dolomite.

Hivi ndivyo jenereta ya maji ya Neptun Water King inavyofanya kazi

Maji yanayofurikaMaji masafi

Utando

Maji ghafi

Maisha ya huduma ni takriban miaka 4 kulingana na ubora wa maji ghafi (maji ya ziwa)

KIBWETA CHA KICHUJIO

Kidhibiti cha mbali 1. Maji unayoweza kubeba 2. Tangi ya shinikizo 3. Makontrakta 4. Kichujio cha ustadi 5. Pampu 6. Bomba la osmoniki 7. Maji masafi 8. Kukusanya tangi na maji masafi 9. Sensa ya sauti/ukaguaji kiwango 10. Kurekebisha shinikizo 11. Tangi ya shinikizo/pampu maji masafi 12. Maji yanayofurika kwa usafishaji wa

kawaida wa mfumo

Kugeuza maji ya ziwa kuwa maji masafi

ya kunywa!

Njia

ya

' ya

maj

i