muongozo wa machapisho na video za kkk kwa walimu€¦ · • muongozo wa matumizi ya ruzuku ya...
TRANSCRIPT
-
MUONGOZO WA MACHAPISHO NA VIDEO ZA KKK KWA WALIMU
2018
-
1
MACHAPISHO NA VIDEO ZA KKK KWA WALIMU KUTOKA EQUIP - TANZANIA
KABRASHA MATINI/VIDEO MLENGWAMafunzo kwa Maafisa Elimu Kata
• MafunzoEndelevukwaAfisaElimuKata-KiongozichaMafunzo.pdf
• MafunzoEndelevukwaAfisaElimuKata-Mwezeshaji.pdf
• MuongozowamatumiziyaruzukuyaAfisaelimukata.pdf
• Mwongozowamatumiziyapikipiki.pdf
MAAFISA ELIMU KATA
Mikutano ya Elimu ya Wilaya
• MikutanoyaelimuyaWilaya-MuwezeshajiKiswahili.pdf
• MikutanoyaelimuyaWilaya-Muwezeshaji.pdf
• MikutanoyaelimuyaWilaya-UwezeshajiwamadaEnglish.pdf
• MikutanoyaelimuyaWilaya-Uwezeshajiwamada.pdf
MAAFISA ELIMU WILAYA, WATHIBITI UBORA WA SHULE NA AFISA ELIMU KATA
Moduli za mafunzo ya Walimu kazini - Umahiri wa kuhesabu Moduli 1 - 13
• Moduli-01UchunguziwaMuhtasariUlioboreshwa-Mratibu.pdf
• Moduli-01UchunguziwaMuhtasariUlioboreshwa-Mwalimu.pdf
• Moduli-02ZanazaKufundishiakujengadhanazanamba-Mratibu.pdf
• Moduli-02ZanazaKufundishiakujengadhanazanamba-Mwalimu.pdf
• Moduli-03ShughulizaUjifunzajiKujengadhanayanamba-Mratibu.pdf
• Moduli-03ShughulizaUjifunzajiKujengadhanayanamba-Mratibu.pdf
• Moduli-04ZanazaKufundishiaKuhesabuna-Mratibu.pdf
• Moduli-01UchunguziwaMuhtasariUlioboreshwa-Mratibu.pdf
• Moduli-01UchunguziwaMuhtasariUlioboreshwa-Mwalimu.pdf
• Moduli-02ZanazaKufundishiakujengadhanazanamba-Mratibu.pdf
WALIMU WA DARASA LA I NA LA II, WALIMU WENGINE WOTE, MWALIMU MKUU NA MRATIBU WA MAFUNZO YA WALIMU KAZINI
-
2
• Moduli-02ZanazaKufundishiakujengadhanazanamba-Mwalimu.pdf
• Moduli-03ShughulizaUjifunzajiKujengadhanayanamba-Mratibu.pdf
• Moduli-03ShughulizaUjifunzajiKujengadhanayanamba-Mratibu.pdf
• Moduli-04ZanazaKufundishiaKuhesabunamatendokatikanamba-Mwalimu.pdf
• Moduli-04ZanazaKufundishiaKuhesabunamatendokatikanamba-Mwezeshaji.pdf
• Moduli-05Kazizamwanafunzikatikakujifunzadhanazanamba-Mratibu.pdf
• Moduli-05Kazizamwanafunzikatikakujifunzadhanazanamba-Mwalimu.pdf
• Moduli-06VitendovyaWanafunzivyakujifunziahesabu.pdf
• Moduli-06VitendovyaWanafunzivyakujifunziahesabu-Mwalimu.pdf
• Moduli-07Kazizamwanafunzikatikakujifunzakuongezanakupunguzahadivitu20-Mratibu.pdf
• Moduli-07Kazizamwanafunzikatikakujifunzakuongezanakupunguzahadivituzaidiya20-Mwalimu.pdf
• Moduli-08Kazizamwanafunzikatikakujifunzakuongezavituzaidiya20-Mratibu.pdf
• Moduli-08Kazizamwanafunzikatikakujifunzakuongezavituzaidiya20-Mwalimu.pdf
• Moduli-09Kazizamwanafunzikatikakujifunzakuongezavituzaidiya20-Mwalimu.pdf
• Moduli-10Kazizamwanafunzikatikakutambuamaumbo-Mwalimu.pdf
• Moduli-10Kazizamwanafunzikatikakutambuamaumbo-Mwezeshaji.pdf
-
3
• Moduli-11Kazizamwanafunzikatikakujifunzavipimo-Mwalimu.pdf
• Moduli-11Kazizamwanafunzikatikakujifunzavipimo-Mwezeshaji.pdf
• Moduli-12Kazizamwanafunzikatikakujifunzasehemu-Mwalimu.pdf
• Moduli-12Kazizamwanafunzikatikakujifunzasehemu-Mwezeshaji.pdf
• Moduli-13Kazizamwanafunzikatikakuchunguzadata-Mwalimu.pdf
• Moduli-13Kazizamwanafunzikatikakuchunguzadata-Mwezeshaji.pdf
Moduli za mafunzo ya Walimu kazini - Umahiri wa Kusoma Moduli 1 - 13
• Moduli-01UtaratibuwaKuandaamazingirayaliyoshehenimachapisho-Mratibu.pdf
• Moduli-01UtaratibuwaKuandaamazingirayaliyoshehenimachapisho-Mwalimu.Pdf
• Module-02Usimamizifanisiwadarasa-Mratibu.Pdf
• Moduli-02Usimamizifanisiwadarasa-Mwalimu.Pdf
• Moduli-03Tathminiyamwanafunzi-Mratibu.Pdf
• Moduli-03Tathminiyamwanafunzi-Mwalimu.Pdf
• Moduli-04Kuongezausawawakijinsianaushiriki-Mratibu.Pdf
• Moduli-04Kuongezausawawakijinsianaushiriki-Mwalimu.Pdf
• Moduli-05Kusomakitabukwasauti-Mwalimu.Pdf
• Moduli-05Kusomakitabukwasauti-Muwezeshaji.Pdf
• Moduli-06Sautiyaherufi,JinalaherufinaSilabi-Mratibu.Pdf
• Moduli-06Sautiyaerufi,JinalaherufinaSilabi-Mwalimu.Pdf
WALIMU WA DARASA LA I NA LA II, WALIMU WENGINE WOTE, MWALIMU MKUU NA MRATIBU WA MAFUNZO YA WALIMU KAZINI
-
4
• Mod-07MwongozoUtambuziwaSauti-Mratibu.Pdf
• Module-07UtambuziwaSauti-Mwalimu.Pdf
• Moduli-08Foniki-Mratibu.Pdf• Moduli-08Foniki-Mwalimu.
Pdf• Moduli-09Kutenganishana
KuunganishaFonimu-Mratibu.Pdf
• Moduli-09KutenganishanaKuunganishaFonimu-Mwalimu.Pdf
• Moduli-10MisingiyaKuandika-Mwalimu.Pdf
• Moduli-10MisingiyaKuandika.Pdf
• Moduli-11MsamiatiMratibu.Pdf
• Moduli-11Msamiati-Mwalimu.Pdf
• Moduli-12KusomakwaFahamu-Mratibu.Pdf
• Moduli-12KusomakwaUfahamu-Mwalimu.Pdf
• Moduli-13KusomakwaUfasaha-Mratibu.Pdf
• Moduli-13KusomakwaUfasaha-Mwalimu.Pdf
Moduli za ufundishaji na ujifunzaji unaozingatia jinsia
• Moduliyamwalimu-kufundishanakujifunzakunakozingatiajinsia.Pdf
• Moduliyamwongozo-kufundishanakujifunzakunakozingatiajinsia.Pdf
MWALIMU WA JINSIA, WALIMU WENGINE WOTE NA MRATIBU WA MAFUNZO YA WALIMU KAZINI
Vihuzi vya Kuhesabu Elimu ya Msingi ya Mwanzo
• Achatiyanamba0-100.Pdf• Bchatiyampangiliowanamba
unaoongezekakwa10hadi100.Pdf
• Cnafasiyanamba.Pdf• Dchatiyakuzidisha0-12.Pdf• Ekadizapichazanamba0-20.
Pdf• Fkadizanamba0-20zenye
doti.Pdf• Gkadizanamba0-100.Pdf• Hmstariwanamba0-50.Pdf• Ichatiyamaumbobapa.Pdf
WALIMU WA DARASA LA I NA LA II, WALIMU WENGINE WOTE, MWALIMU MKUU NA MRATIBU WA MAFUNZO YA WALIMU KAZINI
-
5
• Jchatiyamaumboukumbi.Pdf• Kkadizamaumbobapa.Pdf• Lkadizamaumboukumbi.Pdf• Mchatiyakujumlishanamba
0-10.Pdf
Mpango wa Utayari wa Kumuandaa Mtoto Kuanza Shule
• Mwongozowamwalimujamiimsaidizi-1.Pdf
• Mwongozowamwalimujamiimsaidizi-2.Pdf
• Mwongozowamwezeshajiwamafunzo-1.Pdf
• Mwongozowamwezeshajiwamafunzo-2.Pdf
WALIMU NA WALIMU WA MADARASA YA AWALI
Vitabu vya hadithi vya elimu ya awali
• BustaniyaMauaA4.pdf• Bustaniyamaua.pdf• KolenaKodeA4Cover.pdf• KolenaKodeA4.pdf• KukunaKangaA4Cover.pdf• KukunaKangaA4Moro.pdf• LukoMchungajiCover.pdf• LUKOMchungaji.pdf• MotoA4Cover.pdf• MotoMoro.pdf• MtotoFurahaA4Cover.pdf• MtotoFurahaA4Moro.pdf• NapendaNyumbanikwetu
Cover.pdf• NinapendaNyumbaniKwetu.
pdf• NinatamaniKuanzaShule
A4.pdf• NinatamaniKuanzaShule.pdf• ShuleYanguCover.pdf• ShuleYangu.pdf• TatunaBataA4Cover.pdf• TatunaBataA4.pdf• UrafikiwaBinadamuA4Cover.
pdf• UrafikiwaBinadamu.pdf
WALIMU NA WALIMU WA MADARASA YA AWALI
-
6
Uongozi wa Shule • Jamiiyakujifunzakwawalimuwakuu-mwongozowaMwezeshaji.Pdf
• Jamiiyakujifunzakwawalimuwakuu-Washiriki.Pdf
• Jamiiyakujifunzayawalimuwakuu-muongozowauundajiwajamiiyakujifunza.Pdf
• Mafunzokwakamatizashule-Mwezeshaji.Pdf
• Mikutanoyakilawikiwawalimu-Mwezeshaji.Pdf
• Mpangowamaendeleoyashule-muongozowamshiriki.Pdf
• Mpangowamaendeleoyashule-muongozowaMwezeshaji.Pdf
• Mpangowautayariwakujiunganaelimuyasekondari-Mwanafunzi.Pdf
• Mpangowautayariwakujiunganaelimuyasekondari-Mwezeshaji.Pdf
• Muongozoruzukuyaptpkusaidiamasualayawasichana.Pdf
• Muongozowautumiajiwamfumowataarifazashule.Pdf
• Mwongozokwamwalimumkuu.Pdf
• Mwongozowakujengamiundombinu.Pdf
• Mwongozowamafunzoyakamatiyashule.Pdf
• Mwongozowamafunzoyaklabuyauwezeshajiwawanafunzi.Pdf
• Ruzukuyaushirikianowawazazinawalimushuleni-Mwezeshaji.Pdf
• Uongozinausimamiziwashule-Mshiriki.Pdf
• Uongozinausimamiziwashule-Mwezeshaji.Pdf
WALIMU WAKUU
-
7
Video - Mtoto Elimika 1. Kusalimiakwaadabu.mp42. Tabianjemayakusalimiana.
mp43. Kujielezanakujitambulisha.
mp44. Kusomaherufi‘a’.mp45. Kusomaherufi‘e’.mp46. Kusomaherufi‘i’.mp47. Kusomaherufi‘o’.mp48. Kusomaherufi‘u’.mp49. Kuhesabu.mp410.Kusomanamba1hadi9.mp411.Kuhesabuvitu.mp412.Kuandikaherufi‘a’.mp413.Kuandikaherufi‘e’.mp414.Kuandikaherufi‘i’.mp415.Kuandikaherufi‘o’.mp416.Kuandikaherufi‘u’.mp417.Kuchora.mp418.Kuandikanamba1hadi9.mp419.Kutambuanambasifuri‘0’.mp4
WANAFUNZI WA DARASA LA I NA LA II NA WALIMU WOTE
Video ya mpango wa Utayari wa Kumuandaa Mtoto kuanza shule
• VideofupiMpangowautayariwakuanzashule.mp4
WATU WOTE
VIDEO ZA KKKMwongozo wa Video za kuhesabu
• Mwongozowavideozakuhesabu-mwalimu.Pdf
• Mwongozowavideozakuhesabu-mwezeshaji.Pdf
WALIMU WA DARASA LA I NA LA II, WALIMU WENGINE WOTE, MWALIMU MKUU NA MRATIBU WA MAFUNZO YA WALIMU KAZINI
Mwongozo wa Video za kusoma na kuandika
• Mwongozowavideozakusoma-mwalimu.Pdf
• Mwongozowavideozakusoma-mwezeshaji.Pdf
WALIMU WA DARASA LA I NA LA II, WALIMU WENGINE WOTE, MWALIMU MKUU NA MRATIBU WA MAFUNZO YA WALIMU KAZINI
Video za Umahiri wa Kuhesabu Elimu ya Msingi ya Mwanzo
• Kupimavitunakutumiamatokeokamadata.mp4
• Kutambuamaumbonakuyagawakatikasehemu.mp4
WALIMU WA DARASA LA I NA LA II, WALIMU WENGINE WOTE, MWALIMU MKUU NA MRATIBU WA MAFUNZO YA WALIMU KAZINI
-
8
• Kutumiachatiyathamaniyatarakimukatikanambakuoneshanamnayakujumlishanakutoakwanjiayawima.mp4
• Kutumiangoekutenganishanakuwekanambapamoja.mp4
• Kutumianyimbo,mstariwanambanachatiyanambakufanyaujifunzajiwakuhesabukuwashirikishi.mp4
• Matumiziyahadithi,vihesabio,fungulakuminakadizanambakurahisishaujifunzajiwakuhesabu.mp4
• Mazingiramazurinasalamayaujifunzaji.mp4
Video za Umahiri wa Kusoma na kuandika Elimu ya Msingi ya Mwanzo
• Kusimbuanakuundamaneno.Mp4
• Kuwasomeakwasauti.Mp4• Mikakatiyauelewawasauti.
Mp4• Shughulizafoniksi.Mp4• Shughulizakukuzamsamiati.
Mp4• Uandishiwaawali.Mp4• Ufahamu.Mp4• Utanguliziwasautizaherufi.
Mp4
WALIMU WA DARASA LA I NA LA II, WALIMU WENGINE WOTE, MWALIMU MKUU NA MRATIBU WA MAFUNZO YA WALIMU KAZINI
‘Kabrasha hili limekusanya matini zilizotengenezwa hadi kufikia Septemba, 2018. MatiniyatakayotengenezwabaadayaSeptemba,2018yatapatikanakatikatovutiyaEQUIP-Tanzaniawww.equip-t.orgauulizaAfisaElimuwawilayaaumkoawako’.
-
Mpango wa kuinua ubora wa elimu Tanzania
unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la
Uingereza unasaidia kuboresha elimu kwenye
zaidi ya Shule za msingi 5000 za Serikali ya
Tanzania.
EQUIP-Tanzania inasaidia serikali ya Tanzania kuongeza ubora wa
matokeo ya ujifunzaji kwenye shule za msingi, hasa kwa wasichana.
Inajikita kwenye mfumo maalumu wa uboreshaji unaozingatia gharama
ambazo zinaleta mabadiliko kwa njia ambazo zinaweza kutumiwa nchi nzima. Utekelezaji wa mpango ulianza
mwaka 2014 kwa mikoa mitano na baadae mikoa saba (Shinyanga, Simiyu, Kigoma, Lindi, Mara, Dodoma,
Tabora). Baadae mwaka 2017, mikoa mingine miwili Zaidi ikaongezwa (Singida, and Katavi), ambapo kwa
pamoja inaleta jumla ya shule zaidi ya 5000 na wanafunzi milioni 2.3.
Vidokezo vya mafanikio ya mpango wa kuboresha elimu
Kusaidia utekelezaji wa mtaala wa elimu kwa kuwezesha madarasa ya msingi ya awali (la kwanza na
la pili) kuongeza matokeo ya ujifunzaji katika (uwezo wa kusoma, kuandika na kuhesabu) tangu
mwaka 2014 mfano asilimia 43 ya wanafunzi wameongeza kasi ya kusoma zaidi ya alama
zilizowekwa kitaifa.
Walimu zaidi ya 49,000, walimu wakuu na Maafisa elimu kata wanafaidika na mafunzo ya walimu
kazini kukuza taaluma zao.
Mpango wa kuwaandaa watoto kuanza Shule unahakikisha watoto wanaoishi mbali na shule za
msingi na wamefikia umri wa kuanza shule kujiunga na vituo vya utayari. Mpango kushirikiana na
Halmashauri umetoa mafunzo kwa walimu wasaidizi wa vituo vya utayari ambao mpaka sasa
wamewaandaa watoto zaidi ya 444,872 katika zaidi ya vituo 3031 kwenye mikoa tisa kujiunga na
darasa la kwanza.
Mipango ya maendeleo ya shule imekuwa shirikishi zaidi na inayojikita katika ukuzaji wa ubora wa
shule katika mipango ya mikoa mbali mbali. Walimu wakuu wote, wasaidizi wao na maafisa elimu
kata katika mikoa tisa wamepata mafunzo ya kuandaa mipango ya maendelo ya shule ambayo ni
shirikishi.
-
Mfumo wa taarifa za shule ambao unatumia vishikwambi unatekelezwa, mfumo
unaosaidia kutoa takwimu za uhakika na kwa wakati kusaidia katika usimamizi
wa utendaji katika ngazi zote.
Shule zote katika mikoa tisa ya mpango imeweze kuunda Umoja wa Wazazi na
Walimu ili kusiadiana na walimu na jamii katika kuboresha shule na maendeleo
ya ujifunzaji wa watoto.
For more information on the EQUIP-T Programme please visit the website
visit: www.equip-t.org
Twitter: EQUIPTanzania
Facebook: equiptanzania.equiptanzania