operesheni vipaji mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji katika...

12
Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019

Upload: others

Post on 10-Sep-2019

3 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa

Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019

Page 2: Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa

OPERESHENI VIPAJI

Ni kampeni ya kitaifa ya kutekeleza ‘’dhima’’ ya WMI. Katika kampeni hii, kutafanyika uhamasishaji, uelimishaji na usisitizaji wa kurejesha maadili mema ya kitabia kwa mtu mmoja-mmoja, familia, jumuia, jamii na Taifa kwa ujumla. Pia kutia msukumo wa umilikaji uchumi endelevu kwa jamii na hasa vijana.

Page 3: Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa

MALENGO MAHUSUSI YA OPERESHENI VIPAJI

1. Kuhamasisha, kuelimisha vijana wa kizazi kipya katika utambuzi na

unoaji vipaji wenye kuambatana na urejesho wa maadili mema kama msingi wa uchumi endelevu kwa maendeleo ya kijami

2. Kupata, kumiliki na kuendeleza ardhi kwa kushughulika na Kilimo cha kisasa na uanzishwaji wa viwanda vidogo-vidogo.

3. Kupitia kampeni ya Operesheni Vipaji, urejeshaji wa maadili mema ya kitabia umejengwa kwenye falsafa ya ukombozi wa kimwili, kiakili na kiroho katika kukabiliana na maadui wakuu watatu ambao ni:

Ø  Mmomonyoko wa maadili Ø  Kukithiri kwa umaskini wa kipato Ø  Afya duni

Page 4: Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa

4. Mkazo wa ujumbe wa kampeni ni kuhimiza vijana walioko mashuleni, vyuo vya kati na vyuo vikuu kubadilika kitabia, kutunza afya zao, kunoa vipaji vyao na kumiliki uchumi halali na endelevu kwa wote wao wakiwa ndio nguvu kazi ya Taifa.

5. Matarajio ni kufanikisha lengo kuu la kuleta watu MILIONI MOJA kwa Yesu katika mwaka 2018. Kampeni ya Opereseheni Vipaji ilizinduliwa Dar es Salaam makao makuu ya WMI kuanzia 27 Januari, 2018 na itaendelea mpaka tarehe 30/12/2019

Page 5: Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa

VIASHIRIA VYA OPERESHENI VIPAJI

Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa ya kitabia kutokea wakati yafuatayo yatakapofanyika:   1. Kurejeshwa hofu ya Mungu katika mioyo ya watu kwa kuwaelimisha jinsi ya kutumia nguvu za utashi binafsi wa kujizuia kushiriki vitendo viovu.   2. Kurejeshwa nidhamu, utu, staha, ubinadamu, uungwana na utamaduni wa kuheshimu serikali iliyoko madarakani pamoja na mamlaka zilizowekwa na kutii sheria za nchi kwa hiari   3. Kurejeshwa kwa moyo na ari ya kufanya kazi kwa bidii na kwa kuzingatia vipaji vya asili ili kujikwamua katika umaskini wa kipato   4. Raia kuhamasika kimtazamo katika kulinda amani na utulivu katika jamii kwa kujiepusha na vishawishi vinavyohamasisha uasi, migomo, maandamano yasiyo na tija, na badala yake watu wajikite kwenye uzalishaji wenye tija kwa manufaa ya taifa

Page 6: Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa

NGAZI ZA UTEKELEAJI WA KAMPENI YA OPERESHENI VIPAJI

KITAIFA Ø Kupitia mtandao wa multisite live kufanya makongamano na midahalo

ya utambuzi wa vipaji vya asili; sanjari na kurejesha maadili mema ya kitabia kwa watu zaidi milioni 1 waliomo katika miji mikuu ya wilaya 50 ya kikanda kila mwaka

Ø Lengo ni kurusha mubashara makongamano makubwa ya kunoa vipaji siku 5 kila mwisho wa mwezi ili kuleta watu 350 Yesu kwa kila mji katika miji mikuu ya wilaya 50.

WILAYA Kuanzisha na kuendesha vituo vya ushauri wa kibibilia na maombezi (BCIC) kwa kusudi la kuona na kulea vipaji kwa vijana watakaoitikia kampeni ya kubadilika kimaadili kwenye miji mikuu 50 ya Wilaya

Page 7: Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa

FALSAFA

YA

KUNOA VIPAJI

Page 8: Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa

1 UTAMBUZI WA VIPAJI

2 UTAKASO WA VIPAJI

3 URATIBU WA

VIPAJI

4 MAFUNZO YA VIPAJI

5 TUZO ZA VIPAJI

HATUA 5 ZA MCHAKATO WA KUNOA VIPAJI

Page 9: Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa

UTAMBUZI UTAKASO URATIBU MAFUNZO TUZO u Makongamano ya

utambuzi wa vipaji

q Maombezi ya Toba na ubatizo kwa ajili ya wokovu

Ø Kuandaa na kusimamia mwongozo wa kunoa vipaji vya waamini wapya

² Kutoa ushauri kuhusu mahali pa kupata masomo yanayolingana na vipaji mama vya wahusika

ü  Kuandaa mazingira na miundombinu ya mazoezi ya kunoa vipaji mama

u Warsha za majadiliano ya vikundi

q Maombezi ya kufunguliwa kutoka vifungo vya pepo wachafu

Ø Kuunda na kuwezesha mtandao wa vikundi vya vipaji mama

² Kuendesha midahalo na vipindi vya mafunzo ya vipaji kupitia media

ü  Kudhamini matamasha na maonesho ya vipaji bora

u Ujazaji wa fomu za utambuzi wa vipaji

q Maombezi ya Ujazo wa Roho Mtakatifu kwa ajili ya utakaso wa vipaji

Ø Kuwasajili wana-vipaji kwenye mtandao wa vipaji mama

u Uchambuzi wa fomu za utambuzi wa vipaji

q Mafunzo ya awali ya kibiblia

UCHAMBUZI WA MAJUKUMU YA HATUA ZA 5 ZA KUNOA VIPAJI

Page 10: Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa

NA ENEO LA KIKANDA

WALENGWA ENEO LA KONGAMANO

1. DaresSalaamnaPwani Wanafunziwavyuonamashuleni

BCICMbeziBeach

2. TanganaMtwara WanafunziwavyuonaMashuleni

KumbizaVyuo

3. Mwanza,KagerashinyanganaKigoma

Wanafunziwavyuonamashuleni

Ukumbiunaotosheleza

4. Dodoma,MorogoronaTabora Wanafunziwavyuonamashuleni

UkumbiwaUDOM

5. Mbeya,IringaTunduma Wanafunziwavyuonamashuleni

UkumbiwaUhasibuMbeya

6. Arusha,ManyaranaMoshi Wanafunziwavyuonamashuleni

UkumbiwaAICC

MTANDAO WA KAMPENI ZA VIPAJI KATIKA MIJI YA KIKANDA

Page 11: Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa

UBUNIFU

Uongozi wa kimaono

Uanzishaji wa makampuni

mapya

Uanzisha wa taasisi mpya za unasihi wa

kijamii

MUZIKI

Kipaji cha sauti

Kipaji cha kutunga nyimbo

Kipaji cha upigaji vyombo

Ustadi wa kuzalisha

muziki

UHUSIANO

Uongozi wa kisiasa

Uongozi wa kikanisa

Uongozi wa kijamii-vikundi

vya kijamii

Mawasiliano ya kimasoko na

kijamii

MICHEZO

Michezo ya vikundi mf mpira nk

Michezo ya riadha

Michezo ya sarakasi

Michezo ya kuigiza

HESABU

Ujasiriamali

Utaalamu wa kihasibu na ukaguzi wa

hesabu

Utaalamu wa michanganuo

ya miradi

MASOMO NA MAZOEZI YANAYOHITAJI KWA VIPAJI MAMA 5 VINAVYOONGOZA

Page 12: Operesheni Vipaji Mwaka 2018/2019 - bcic.wapo.or.tz · viashiria vya operesheni vipaji Katika kutimiza malengo makuu mahususi ya Operesheni Vipaji, inatarajiwa mabadiliko makubwa

MIKAKATI YA KUFANIKISHA KAMPENI

①  WAPO MEDIA kutokea Mbezi Beach Dar es Salaam kukamilisha miundombinu ya kurusha matangazo ya moja kwa moja kupitia mfumo wa video conference ili kuwahutubia wakazi watakaoitikia mialiko ya mikutano ya kampeni ya kunoa vipaji kwenye miji 50 ya kikanda

②  Kuunda mtandao mpya wa kunoa vipaji vya vijana waliokubali kubadilika kitabia kuwawezesha kupata mafunzo maalum ya kunoa vipaji vyao ambavyo vitaweza kuwainua kiuchumi.

③  Kuanzisha na kuendesha chuo cha vipaji na uongozi wa kimaadili

(TMLC) kwa ajili ya kutoa mafunzo na mazoezi ya vipaji kwenye ngazi za miji ya wilaya

④  Kuanzisha na kusimamia taasisi ya mikopo kwa ajili ya miradi ya vikundi vya Mtandao wa kunoa vipaji katika ngazi za miji ya wilaya