p un g uz a uz i t o b i l a k ua t h i r i m a z i w …...na familia yako. kwa hiyo tafadhali...

36
FIT MAMA BY GIGI MAENDA PUNGUZA UZITO BILA KUATHIRI MAZIWA YA MTOTO Mel pa+ Shon li Mazi ya ku tu 6 Challenge! Rud mi wa wa maz!

Upload: others

Post on 22-Aug-2020

4 views

Category:

Documents

0 download

TRANSCRIPT

Page 1: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

FIT MAMA

BY GIGI MAENDA

PUNGUZA UZITO BILA KUATHIRI MAZIWA YA MTOTO

Me�l p�a�+ Sho���n� li��Maz���i ya ku���� tu���

6Wiki

Challenge!

Rud���� m�i�� wa�� wa  m�a�z�!

Page 2: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

6FIT MAMA

Challenge!Wiki

BY GIGI MAENDA

www.gigimaenda.co.tz

Page 3: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Copyright © 2019 by Gigi Maenda. All rights reserved. This ebook or any portion thereof

may not be reproduced or used in any manner whatsoeverwithout the express written permission of the publisherexcept for the use of brief quotations in a book review.

Published in the United Republic of TanzaniaGigi Maenda

Postal code 16138,Dar es salaam, Tanzania.

www.gigimaenda.co.tz

Page 4: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Yaliyomo! Utangulizi Vipimo Wiki no 1 : Shopping list

: Meal plan : Mazoezi

Wiki no 2 : Shopping list : Meal plan : Mazoezi

Wiki no 3 : Shopping list : Meal plan : Mazoezi

Wiki no 4 : Shopping list : Meal plan : Mazoezi

Hongera!: umemaliza challenge! BONUS !

Page 5: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Mama ...........

Dear

Kwanza kabisa hongera kwa mtoto mzuri! Kuwa mama ni zawadi kubwa sana na pia ni kazi kubwa.

Kumbuka mwili wako umefanya maajabu makubwa sana kutengeneza mtoto kwa ajili yakona familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi..

Fanya mabadiliko taratibu, kisha kuwa mvumilivu na utaona matokeo mazuri sana!

Utakapokwama,kuhitaji ushauri zaidi au mtu wa kukutia moyo mimi nipo. Nitafurahi sana kuwa pamoja na wewe!

Ninakutakia mafanikio mema!

Hugs!Gigi Maenda!

Page 6: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Jina

Umri

Urefu

Kazi

Uzito

Tatizola afya

Upana

Kifua Tumbo

Mikono Hips

Mama = Mtoto/ watoto =

VIPIMO!tarehe

Page 7: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Upo tayari?

ANZA!

Page 8: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Wiki : 1Shopping list

Kuku mzima = 1 Nyama ya ng'ombe = 1kg Samaki = vipande 4 Maharage = 1/2 kg Mayai = 7

Mchele = Kg 1 Ndizi mbichi = 5 Brown bread = 1

Matango Nyanya Vitunguu Pilipili Hoho Karoti Mboga za majani

Mtindi = 1/4 L Ndizi mbivu = 2 Apples = 2

Upishi

Kuchemsha Kuchoma Kuoka

Kukaanga : Si zaidi ya kijiko kikubwa kimoja cha mafuta ya mimea yasiyo na cholesterol 

Salad ya matunda kibakuli kidogo kimoja na isiwe na ndizi.

Kunywa maji mengi. Pia Kula mboga za majaninyingi. 

Tembea dkk 30 kila siku au mazoezi mengine mepesi.

Kwa aj��� yasa���

Page 9: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Meal plan 1Ju

m�3

Jum�

4Ju

m� 5

Al�a

��s�

Iju��

�J/m

o��

J/pi��

Chai Brown bread slesi 2 Parachichi 1/4

Chai Brown bread slesi 2 Parachichi 1/4

Chai Brown bread slesi 2 Parachichi 1/4

Supu ya kuku na mboga mboga

Mayai ya kuchemsha 2 Apple 1 Juice glass 1

Supu ya nyama Ndizi ya kuchemsha 1

Supu ya mboga bakuli kubwa 1

Kuku 1/4 Bakuli kubwa la Kachumbari

Kuku 1/4 Bakuli kubwa la Kachumbari

Samaki vipande 2 Bakuli kubwa la Kachumbari

Wali 1/4 kg Samaki vipande 2 Mboga za majani

Wali 1/4 kg Maharage kidogo Mboga za majani

Wali 1/4 kg Maharage kidogo Mboga za majani

Ndizi mbichi 2 Nyama 200g Veggies

Salad mbichi Mayai 2 Brown bread 1

Salad mbichi Yai 1 Parachichi 1/2

Ndizi mbichi 2 Nyama 200g Veggies

Salad mbichi Mayai 2 Parachichi 1/4

Wali 1/4 kg Kuku 1/4 Mboga za majani

Parachichi 1/2 Nyama 200g Mboga za majani

Parachichi 1/2 Nyama 200g Mboga za majani

Snac

ks Mtindi 150 g Salad ya matunda

Apple 1 Karanga 1/4 kikombe

Maziwa kikombe 1 Ndizi 1/2

Page 10: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

MAZOEZI

Pataushauri wa daktari.

Sikiliza utayariwa mwili wako.

C-sectionpumzika wiki 

8-10.

Aanzataratibu kwakutembea tu.

Fanya mazoezipamoja na mtoto wako.

Pumzika sikumoja

katika wiki.

Vit� v�a ku���g��i�

Page 11: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Tembea dkk 10 Squats 20 Floor touches-20 Push ups - 5 Plank - sek 10

Tembea dkk 10 Squats 20 Floor touches-20 Push ups - 5 Plank - sek 10

Jogging dkk 30

Tembea dkk 15 Squats 25 Floor touches-25 Push ups - 10 Plank - sek 15

Jogging dkk 30

Wiki : 1

Tembea dkk 15 Squats 25 Floor touches-25 Push ups - 10 Plank - sek 15

Bonyeza hapakuona jinsi ya kufanya

mazoezi haya!

Page 12: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Mwisho wa wiki ya kwanza!

Nilifata diet

Nilifanya mazoezi

Ninajisikia

J3 j4 J5 alh Ijm jmosi Jpili

J3 j4 J5 alh Ijm jmosi

au

Page 13: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Wiki : 2Shopping list

Kuku = 1/4 Nyama ya ng'ombe = 600 g Samaki = vipande 5 Maharage = 1/2 kg Mayai = 1 0 Maziwa = l L

Mchele = 1/2 Kg Viazi = 2 Brown bread = 1 Karanga 1/4 kg Parachichi = 2 Matunda mix = bakuli dogo 1

Matango Nyanya Vitunguu Pilipili Hoho Karoti Mboga za majani

Mtindi = 1/2 L Ndizi mbivu = 2 Apples = 5 Juice =mglasi 1  

Kukaanga : Si zaidi ya kijiko kikubwa kimoja cha mafuta ya mimea yasiyo na cholesterol 

Salad ya matunda kibakuli kidogo sana kimoja na isiwe na ndizi.

Kunywa maji mengi. Pia Kula mboga za majaninyingi. 

Tembea dkk 30 kila siku au mazoezi mengine mepesi.

Page 14: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Meal plan 2Ju

m�3

Jum�

4Ju

m� 5

Al�a

��s�

Iju��

�J/m

o��

J/pi��

SMOOTHIE Maziwa kikombe 1

Ndizi mbivu 1/2 Almonds 5

Mayai ya kuchemsha 2 Apple 1 Juice glass 1

Mtindi 250 L Matunda mix kikombe 1

Supu ya mboga bakuli kubwa 1

Kuku 1/4 Bakuli kubwa la Kachumbari

Samaki vipande 3 Bakuli kubwa la Kachumbari

Samaki vipande 2 Bakuli kubwa la Kachumbari

Maharage kikombe 1 1/2

Mboga za majani Slesi 2 brown bread

Wali 1/4 kg Maharage kidogo Mboga za majani

Wali 1/4 kg Maharage kidogo Mboga za majani

Salad mbichi Mayai 2 Parachichi 1/4

Salad mbichi Mayai ya kuchemsha 2

Viazi saizi kati 2 Nyama 200g Kachumbari

Salad mbichi Mayai ya kuchemsha 2

Parachichi 1/2 Nyama 200g Mboga za majani

Parachichi 1/2 Nyama 200g Mboga za majani

Snac

ks Mtindi 150 g Granola/Muesli Vijiko vikubwa 2

Apple 1 Karanga 1/4 kikombe

Maziwa kikombe 1 Ndizi 1/2

SMOOTHIE Maziwa kikombe 1 Matunda 1/2 kikombe

Supu ya mboga bakuli kubwa 1

SMOOTHIE Maziwa kikombe 1 Matunda 1/2 kikombe

Maharage kikombe 1 1/2

Mboga za majani Slesi 2 brown bread

Viazi saizi kati 2 Nyama 200g Kachumbari

Page 15: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Kimbia dkk 10 Squats 30 Floor touches-25 Push ups - 10 Plank - sek 15

Kimbia dkk 10 Squats 30 Floor touches-25 Push ups - 10 Plank - sek 15

Jogging dkk 30

Tembea dkk 15 Squats 35 Floor touches-30 Push ups - 15 Plank - sek 20

Jogging dkk 30

Wiki : 2

Kimbia dkk 15 Squats 35 Floor touches-30 Push ups - 15 Plank - sek 20

Bonyeza hapakuona jinsi ya kufanya

mazoezi haya!

Page 16: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Mwisho wa wiki ya pili!

Nilifata diet

Nilifanya mazoezi

Ninajisikia

J3 j4 J5 alh Ijm jmosi Jpili

J3 j4 J5 alh Ijm jmosi

au

Page 17: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Wiki : 3Shopping list

Kuku = 1/2 Nyama ya ng'ombe = 1 na 1/2 kg Samaki = vipande 6 Maharage = 1/2 kg Mayai = 8 Maziwa = 1 L

Mchele = 1/2 Kg Ndizi mbichi = 4 Brown bread = 1 Pasta = kikombe 1 Quick oats = Kikombe 1na 1/2 

Matango Nyanya Vitunguu Pilipili Hoho Karoti Mboga za majani

Mtindi Asas plain = kopo dogo 1 Ndizi mbivu = 2 Apples = 2 Karanga = 100 g

Salad ya matunda kibakuli kidogo kimoja na isiwe na ndizi.

Kunywa maji mengi. Pia Kula mboga za majaninyingi. 

Mtindi wa Asas kopo dogo plain ni low fat 150 g 

Kwa aj��� ya sa���

Page 18: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Meal plan 3Ju

m�3

Jum�

4Ju

m� 5

Al�a

��s�

Iju��

�J/m

o��

J/pi��

Oats 1/2 kikombe Maziwa kikombe 1 Ndizi mbivu 1/2

Chai Brown bread slesi 1

Mayai 2

Mayai ya kuchemsha 2 Apple 1 Juice glass 1

Supu ya nyama Ndizi ya kuchemsha 1

Maharage kikombe 1 1/2 Bakuli kubwa la salad

Kuku 1/4 Bakuli kubwa la Kachumbari

Samaki vipande 2 Bakuli kubwa la Kachumbari

Pasta kikombe 1 Nyama 200 g Mboga za majani

Pasta kikombe 1 Nyama 200 g Mboga za majani

Wali 1/4 kg Maharage kidogo Mboga za majani

Ndizi mbichi 2 Nyama 200g Veggies

Salad mbichi Mayai 2 Brown bread 1

Salad mbichi samaki vipande2

Ndizi mbichi 2 Nyama 200g Veggies

Salad mbichi Mayai ya kuchemsha 2

Wali 1/4 kg Samaki vipande 2 Mboga za majani

Parachichi 1/2 Nyama 200g Mboga za majani

Parachichi 1/2 Kuku 1/4 Mboga za majani

Snac

ks Mtindi 150 g Granola/Muesli Vijiko vikubwa 2

Apple 1 Karanga 1/4 kikombe

Maziwa kikombe 1 Ndizi 1/2

Supu ya nyama Mixed veggies Brown bread 1

Oats 1/2 kikombe Maziwa kikombe 1 Ndizi mbivu 1/2

Oats 1/2 kikombe Maziwa kikombe 1 Ndizi mbivu 1/2

Page 19: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Kimbia dkk 10 Knee-elbow Squats - 35 Speed skaters-25 Push ups - 15 Plank - sek 20

Jogging dkk 30

Jogging dkk 30

Wiki : 3Bonyeza hapa

kuona jinsi ya kufanyamazoezi haya!

Kimbia dkk 10 Knee-elbow Squats - 35 Speed skaters-25 Push ups - 15 Plank - sek 20

Kimbia dkk 10 Knee-elbow Squats - 40 Speed skaters-30 Push ups - 20 Plank - sek 25 Kimbia dkk 10

Knee-elbow Squats - 40 Speed skaters-30 Push ups - 20 Plank - sek 25

Page 20: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Mwisho wa wiki ya tatu!

Nilifata diet

Nilifanya mazoezi

Ninajisikia

J3 j4 J5 alh Ijm jmosi Jpili

J3 j4 J5 alh Ijm jmosi

au

Page 21: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Wiki : 4Shopping list

Maziwa = 1 L Nyama ya ng'ombe = 1na 1/4 kg Samaki = vipande 3 Maharage = 1 kg Mayai = 6 Mayai = 6 Karanga = 100 g Almonds = 5

Brown bread = 1 Viazi = 2

Matango Nyanya Vitunguu Pilipili Hoho Karoti Mboga za majani

Mtindi = 1/4 L Ndizi mbivu = 1 Apples = 1

Kukaanga : Si zaidi ya kijiko kikubwa kimoja cha mafuta ya mimea yasiyo na cholesterol 

Salad ya matunda kibakuli kidogo kimoja na isiwe na ndizi.

Kunywa maji mengi. Pia Kula mboga za majaninyingi. 

Tembea dkk 30 kila siku au mazoezi mengine mepesi.

Kabichi = 1 Parachichi = 1 Matunda mix = bakuli ndogo 4

Kwa aj��� yasa���

Page 22: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Meal plan 4Ju

m�3

Jum�

4Ju

m� 5

Al�a

��s�

Iju��

�J/m

o��

J/pi��

SMOOTHIE Maziwa kikombe 1

Ndizi mbivu 1/2 Almonds 5

Mayai ya kuchemsha 2 Apple 1 Juice glass 1

Mtindi 250 L Matunda mix kikombe 1

Supu ya mboga bakuli kubwa 1

Samaki vipande 3 Bakuli kubwa la Kachumbari

Maharage kikombe 1 1/2

Mboga za majani Slesi 2 brown bread

Brown bread 2 Maharage kidogo Mboga za majani

Brown bread 2 Maharage kidogo Mboga za majani

Salad mbichi Mayai 2 Parachichi 1/4

Salad ya kabichi1/4 + mix veggies Nyama 200g

Viazi saizi kati 2 Nyama 200g Kachumbari

Salad mbichi Mayai ya kuchemsha 2

Parachichi 1/2 Nyama 200g Mboga za majani

Snac

ks Kibakuli kidogosalad ya

matunda Tango 1

Karanga 1/4kikombe Ndizi 1/2

SMOOTHIE Maziwa kikombe 1 Matunda 1/2 kikombe

Supu ya mboga bakuli kubwa 1

SMOOTHIE Maziwa kikombe 1 Matunda 1/2 kikombe

Maharage kikombe 1 1/2

Mboga za majani Slesi 2 brown bread

Viazi saizi kati 2 Nyama 200g Kachumbari

Salad ya kabichi 1/4 + mix veggies Nyama 200g

Salad ya kabichi 1/4 + mix veggies Nyama 200g

Salad ya kabichi 1/4 + mix veggies Nyama 200g

Page 23: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Kimbia dkk 10 Knee-elbow Squats - 40 Speed skaters-30 Push ups - 20 Plank - sek 25

Jogging dkk 30

Jogging dkk 30

Wiki : 4Bonyeza hapa

kuona jinsi ya kufanyamazoezi haya!

Kimbia dkk 10 Knee-elbow Squats - 40 Speed skaters-30 Push ups - 20 Plank - sek 25

Kimbia dkk 10 Knee-elbow Squats - 45 Speed skaters-35 Push ups - 25 Plank - sek 30 Kimbia dkk 10

Knee-elbow Squats - 45 Speed skaters-35 Push ups - 25 Plank - sek 30

Page 24: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Mwisho wa wiki ya nne!

Nilifata diet

Nilifanya mazoezi

Ninajisikia

J3 j4 J5 alh Ijm jmosi Jpili

J3 j4 J5 alh Ijm jmosi

au

Page 25: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Wiki : 5Shopping list

Kuku = 1/2 Nyama ya ng'ombe = 1kg Samaki = vipande 6 Maharage = 1/2 kg Mayai = 5 Maziwa = 1 L

Quiick oats = vikombe 2 Mchele = 1/2 Kg Ndizi mbichi = 5 Viazi = 4 Brown bread = 1 Granola/Muesli = 200g Juice = glasi 1

Matango Nyanya Vitunguu Pilipili Hoho Karoti Mboga za majani

Mtindi = Asas ndogo 1 Ndizi mbivu = 2 Apples = 1

Kukaanga : Si zaidi ya kijiko kikubwa kimoja cha mafuta ya mimea yasiyo na cholesterol 

Juice ya matunda

isiyoongezwa sukari.

Kunywa maji mengi. Pia Kula mboga za majaninyingi. 

Kopo dogo lamtindi wa asas nilow fat na linagramu 150

Kwa aj���ya sa���

Page 26: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Meal plan 5Ju

m�3

Jum�

4Ju

m� 5

Al�a

��s�

Iju��

�J/m

o��

J/pi��

Brown bread slesi 2 Parachichi 1/4

Brown bread slesi 2 Parachichi 1/4

Supu ya kuku na mboga mboga

Mayai ya kuchemsha 2 Apple 1 Juice glass 1

Supu ya nyama Ndizi ya kuchemsha 1

Kuku 1/4 Bakuli kubwa la Kachumbari

Samaki vipande 2 Bakuli kubwa la Kachumbari

Brown bread 2 Samaki vipande 2 Mboga za majani

Brown bread 2 Maharage kidogo Mboga za majani

Wali 1/4 kg Maharage kidogo Mboga za majani

Ndizi mbichi 2 Nyama 200g Veggies

Salad mbichi Mayai 2 Brown bread 1

Salad mbichi Yai la kuchemsha 1

Ndizi mbichi 2 Samaki vipande 2 Veggies

Salad mbichi Mayai ya kuchemsha 2

Wali 1/4 kg Samaki vipande 2 Mboga za majani

Viazi 2 Nyama 200g Mboga za majani

Parachichi 1/2 Nyama 200g Mboga za majani

Snac

ks Mtindi 150 g Granola/Muesli Vijiko vikubwa 2

Tango 1 Karanga 1/4 kikombe

Maziwa kikombe 1 Ndizi 1/2

Oats 1/2 kikombe Maziwa kikombe 1 Ndizi mbivu 1/2

Oats 1/2 kikombe Maziwa kikombe 1 Ndizi mbivu 1/2

Viazi 2 Nyama 200g Mboga za majani

Page 27: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Ruka kamba dkk 10 Knee-elbow

Squats - 45 Bridges -20 Push ups - 25 Plank - sek 30

Jogging dkk 30

Jogging dkk 30

Wiki : 5Bonyeza hapa

kuona jinsi ya kufanyamazoezi haya!

Ruka kamba dkk 10 Knee-elbow Squats - 55 Bridges -25 Push ups - 30 Plank - sek 40

Ruka kamba dkk 10 Knee-elbow Squats - 50 Bridges -25 Push ups - 30 Plank - sek 40

Ruka kamba dkk 10Knee-elbow

Squats - 45 Bridges -20 Push ups - 25 Plank - sek 30

Page 28: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Mwisho wa wiki ya tano!

Nilifata diet

Nilifanya mazoezi

Ninajisikia

J3 j4 J5 alh Ijm jmosi Jpili

J3 j4 J5 alh Ijm jmosi

au

Page 29: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Wiki : 6Shopping list

Maini = 1/2 kg Nyama ya ng'ombe=1 kg Samaki = vipande 5 Njegere = 1 kg Mayai = 8 Maziwa = 1 L

Mchele = 1/2 kg Brown bread = 1 Viazi = 4 Granola/Muesli = 200g   

Matango Nyanya Vitunguu Pilipili Hoho Karoti Mboga za majani

Mtindi = 1/4 L Asas kopo dogo= 1 Ndizi mbivu = 1 Apples = 2 Matunda mix = bakuli ndogo 3

Karanga = 100 g Juice glass 1

Parachichi = 2 Kabichi = 1/4

Salad ya matunda kibakuli kidogo kimoja na isiwe na ndizi.

Kunywa maji mengi. Pia Kula mboga za majaninyingi. 

Kama kuna kitu haupendi au hauna

badilishana na kingine kwenyeplan hii.

Kwa aj���ya sa���

Kukaanga kabichi na mixveggies tumia kijiko kidogo1 cha mafuta ya mimea

Page 30: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Meal plan - 6Ju

m�3

Jum�

4Ju

m� 5

Al�a

��s�

Iju��

�J/m

o��

J/pi��

SMOOTHIE Maziwa kikombe 1

Ndizi mbivu 1/2 Peanut butter

Mayai ya kuchemsha 2 Apple 1 Juice glass 1

Mtindi 1/4 L Matunda mix kikombe 1

Supu ya mboga bakuli kubwa 1

Maini 200g Bakuli kubwa la Kachumbari

Samaki vipande 3 Bakuli kubwa la Kachumbari

Samaki vipande 2 Kabichi 1/4= mix veggies

Njegere kikombe 1 1/2

Mboga za majani Slesi 2 brown bread

Wali 1/4 kg Njegere kidogo Mboga za majani

Wali 1/4 kg Maharage kidogo Mboga za majani

Salad mbichi Mayai 2 Parachichi 1/4

Salad mbichi Maini 200g Parachichi 1/2

Viazi saizi kati 2 Nyama 200g Kachumbari

Salad mbichi Mayai ya kuchemsha 2

Parachichi 1/2 Nyama 200g Mboga za majani

Parachichi 1/2 Nyama 200g Mboga za majani

Snac

ks Mtindi 150 g Granola/Muesli Vijiko vikubwa 2

Apple 1 Karanga 1/4 kikombe

Maziwa kikombe 1 Ndizi 1/2

SMOOTHIE Maziwa kikombe 1 Matunda 1/2 kikombe

Supu ya nyama bakuli kubwa 1

SMOOTHIE Maziwa kikombe 1 Matunda 1/2 kikombe

Njegere kikombe 1 1/2

Mboga za majani Slesi 2 brown bread

Viazi saizi kati 2 Nyama 200g Kachumbari

Page 31: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Ruka kamba dkk 10 Knee-elbow

Squats - 55 Bridges -30 Push ups - 30 Plank - sek 40

Jogging dkk 30

Jogging dkk 30

Wiki : 6Bonyeza hapa

kuona jinsi ya kufanyamazoezi haya!

Ruka kamba dkk 10 Knee-elbow Squats - 60 Bridges -35 Push ups - 35 Plank - sek 50

Ruka kamba dkk 10 Knee-elbow

Squats - 55 Bridges -30 Push ups - 30 Plank - sek 40

Ruka kamba dkk 10 Knee-elbow Squats - 60 Bridges -35 Push ups - 35 Plank - sek 50

Page 32: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Mwisho wa wiki ya sita!

Nilifata diet

Nilifanya mazoezi

Ninajisikia

J3 j4 J5 alh Ijm jmosi Jpili

J3 j4 J5 alh Ijm jmosi

au

Page 33: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

HONGERA!

UmemalizaChallenge!

Page 34: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

UrefuUzito

Kifua Tumbo

Mikono Hips

VIPIMO!tarehe

USIISHIE HAPA!

Maz���i za��� ya ku���� tu��� ba��� ya uz���

BONYEZA HAPA!

Page 35: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

TUSHIRIKISHE MAFANIKIO YAKO!

w��.gi����en��.co.t�

@gi����en��

gi����en��@g�a��.co�in��@gi����en��.co.t�

Page 36: P UN G UZ A UZ I T O B I L A K UA T H I R I M A Z I W …...na familia yako. Kwa hiyo tafadhali upende hata kama umebadilika sana kutokana na uzazi.. ... Utakapokwama,kuhitaji ushauri

Jin�� ya ku���g��a tu��� ba��� ya ku����n�u�

Jin�� ya ku���g��a uz��� k�a ma��wa����yo���s��

Link muhimu kwa ajili yako!

Kit��� bu��: Jin�� ya ku���g��a uz��� ha���� k�a ku�� sa���!

Karibu tena @www.gigimaenda.co.tz