somo la 8 kwa ajili ya februari 23, 2019 · sura ya 12 ya ufunuo ni muhtasari wa historia ya yesu...

11
Somo la 8 kwa ajili ya Februar i 23, 2019

Upload: others

Post on 05-Nov-2020

12 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Somo la 8 kwa ajili ya Februari 23, 2019 · Sura ya 12 ya Ufunuo ni muhtasari wa historia ya Yesu kutoka kuzaliwa kwake hadi wakati wa mwisho. Hufunua kuwa Shetani ndiye anayehusika

Somo la 8 kwa ajili ya Februari 23, 2019

Page 2: Somo la 8 kwa ajili ya Februari 23, 2019 · Sura ya 12 ya Ufunuo ni muhtasari wa historia ya Yesu kutoka kuzaliwa kwake hadi wakati wa mwisho. Hufunua kuwa Shetani ndiye anayehusika

“‘Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, Sasa kumekuwa wokovu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; kwa maana ametupwachini mshitaki wa ndugu zetu, yeyeawashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku. ’”(Ufunuo 12:11, SUV)

FUNGU KIONGOZI

Page 3: Somo la 8 kwa ajili ya Februari 23, 2019 · Sura ya 12 ya Ufunuo ni muhtasari wa historia ya Yesu kutoka kuzaliwa kwake hadi wakati wa mwisho. Hufunua kuwa Shetani ndiye anayehusika

Sura ya 12 ya Ufunuo ni muhtasari wa historia ya Yesu kutoka kuzaliwa kwake hadi wakati wa mwisho. Hufunua kuwa Shetani ndiye anayehusika na matatizo yote kanisa liliyoyapitia.

Yesu anamfichua ili kwamba tuufahamu uhalisia tusiouona. Kuna vita ya Kiroho, na tumefungwa na kuwa njia ambayo shetani anaitumia ili kumdhuru Mungu.

Mungu anafanya kila liwezekanalo kuwaokoa watuwengi iwezekanavyo, na kuwaleta katika ufalme wake. Mpango wa Mungu na mpango wa Mwovu ni tofauti kabisa.

Vita ya Shetani dhidi ya Yesu:

Mtoto aliyenyakuliwa

Shetani ameshindwa

Vita ya Shetani dhidi ya Kanisa:

Mwanamke akiwa Nyikani

Masalia

Mpango wa Shetani

Page 4: Somo la 8 kwa ajili ya Februari 23, 2019 · Sura ya 12 ya Ufunuo ni muhtasari wa historia ya Yesu kutoka kuzaliwa kwake hadi wakati wa mwisho. Hufunua kuwa Shetani ndiye anayehusika

“Naye akazaa mtoto mwanamume, yeye atakayewachunga mataifa yote kwafimbo ya chuma. Na mtoto wake akanyakuliwa hata kwa Mungu, na kwa kiti

chake cha enzi.” (Ufunuo 12:5)Ni kwa jinsi gani ishara za ufunuo 12:1-5 zinaweza kutafasiriwa?

❑ Yesu, ambaye atatawala kwa fimbo ya chuma (Ufu. 19:15)

❑ Alichukuliwa mbinguni ili atukuzwe (Mdo. 2:33)

❑ Kanisa la Mungu (2Kor. 11:2; Wimbo. 6:10)❑Amevikwa jua la haki, Kristo (Mal. 4:2)❑ Juu ya Mwezi. ukijikita juu ya Neno la Mungu,

ufunuo wa utukufu wa Kristo.

❑ Shetani (Ufu. 12:9)❑ Mkia wake ni chombo cha madanganyo (Isa.9:14-15)

❑Alidanganya theluthi ya malaika na wakatupwa chini (Ufu.. 12:4)

Mwanamke

Joka

Mtoto

Shetani amekuwa akimsubiri Masihi toka mwanzo ili amwue. Alimtumia Herode na Rumi kufanya ivo, lakini hakumshinda (Mt. 2:13-16; Yn. 19:6; Ufu. 12:5).

Page 5: Somo la 8 kwa ajili ya Februari 23, 2019 · Sura ya 12 ya Ufunuo ni muhtasari wa historia ya Yesu kutoka kuzaliwa kwake hadi wakati wa mwisho. Hufunua kuwa Shetani ndiye anayehusika

Wakati Shetani alipoasi Mbinguni alitupwa katika “vifungo vya giza.” (Isa. 14:12-15; 2Pe. 2:4)

Alijaribu kudanganya malimwengu yaliyoumbwa, na akafanikiwa kumdanganya Hawa. Akawa “nyoka wa zamani.” (Mwz. 3:1-6)

Mungu alikuwa akimruhusu kuingia Mbinguni kama mwakilishi wa Dunia (Ayubu 1:6; 2:1).

Tangu kifo cha Yesu, amezuiliwa kufika Mbinguni. Malaika na malimwengu ambayo hayakuasi hawana hofu tena juu ya tabia ya Shetani (Ufu. 12:9-12).

Shetani alishindwa, lakini ameruhusiwa kutawala Dunia nawakazi wake kwa mipaka.

Page 6: Somo la 8 kwa ajili ya Februari 23, 2019 · Sura ya 12 ya Ufunuo ni muhtasari wa historia ya Yesu kutoka kuzaliwa kwake hadi wakati wa mwisho. Hufunua kuwa Shetani ndiye anayehusika

“Mwanamke yule akapewa mabawa mawili ya tai yule mkubwa, ili aruke, aende zake nyikani hata mahali pake, hapo alishwapo kwa wakati na nyakati na nusu ya wakati, mbali na nyoka huyo.” (Ufunuo 12:14)

Shetani alikasirika alipofukuzwa kutoka Mbinguni, hivyo alijaribu kumdhuru Mungu kwa kuwapiga wale anaowapenda sana: Kanisa lake (Zek. 2:8).

Maji yale joka aliyoyatumia kulipiga kanisa safi ndiyo maji yaleyale kanisa asi limesimama: makutano wasiyoongoka (Ufu. 12:15; 17:15).

Wale waliobaki kuwa waaminifu kwa Mungu waliuawa, hasa kati ya miaka ya 538 BC na 1798 BC (kwa miaka 1,260).

Walitafuta kimbilio katika maeneo yasiyo na watu (Nyikani). Kwa mfano, Waldensia na Mababa wa Hija walifanya ivo.

Page 7: Somo la 8 kwa ajili ya Februari 23, 2019 · Sura ya 12 ya Ufunuo ni muhtasari wa historia ya Yesu kutoka kuzaliwa kwake hadi wakati wa mwisho. Hufunua kuwa Shetani ndiye anayehusika

Masalia—waliobaki—anaweza akawa mmoja

au kiundi.

Katika wakati wa Eliya, watu 7,000 walikuwasehemu ya Masalia.

Walibaki kuwa waaminifummoja mmoja.

Katika wakati waZerubabeli, wale waliotokaBabeli kwenda Yerusalem

walikuwa sehemu yaMasalia kama kundi.

Katika wakati wamwisho, kutakuwa naaina mbili za Masalia.

Watu wale wanaoyatimizaMapenzi ya Mungu pale

wanapoyajua, nakushikamana na Yesu kama

Mwokozi wao.

Kundi la watu—Kanisalitunzalo amri za Mungu nakuwa na ushuhuda wa Yesu

Kristo.

Page 8: Somo la 8 kwa ajili ya Februari 23, 2019 · Sura ya 12 ya Ufunuo ni muhtasari wa historia ya Yesu kutoka kuzaliwa kwake hadi wakati wa mwisho. Hufunua kuwa Shetani ndiye anayehusika

Masalia wangejitokeza baada ya 1798 BC. Wangekuwa na sifa mbili:

1. Wanatunza Amri za MunguPambano la mwisho litahusukumwabudu Mungu au Mnyama.Hiyo inahusu amri 4 za mwanzo, hasa Sabato (Ufu. 14:7)

2. Wanaushuhuda wa Yesu KristoUfunuo 19:10 hueleza kuwa “ushuhuda waYesu ndio roho ya unabii”Tangu 1844, roho ya unabii ilijitokeza kupitiahuduma na maandishi ya Ellen G. White

Page 9: Somo la 8 kwa ajili ya Februari 23, 2019 · Sura ya 12 ya Ufunuo ni muhtasari wa historia ya Yesu kutoka kuzaliwa kwake hadi wakati wa mwisho. Hufunua kuwa Shetani ndiye anayehusika

MKAKATI WA SHETANI“Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, Sasa kumekuwa wokovu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu, yeye awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku.’” (Ufunuo 12:10)

Shetani amejaribu kuharibu kanisa la Mungu kwa kupitia mauaji na majadiliano ya hila, kuingiza desturi za kipagani na falsafa kanisani.

Tangu 1798, amekuwa akitumia mbingu mpya—na ya zamani kwa wakati mmoja: Udanganyifu. Kwa mfano, nadharia za uibukaji na umizimu wa kisasa.

kazi ya udanganyifu wa Shetani ni sehemu ya hadithi kutoka Ufunuo 12:9 hadi 20:7-10. Lengo katika aya hiyo ni matukio ya wakati wa mwisho.

Kazi hiyo inafanywa na Joka (Umizimu wa kisasa), mnyama kutoka baharini (Ukatoliki) na mnyama kutoka katika nchi (Uprotestanti ulioasi) [angalia Marko 13:22].

Page 10: Somo la 8 kwa ajili ya Februari 23, 2019 · Sura ya 12 ya Ufunuo ni muhtasari wa historia ya Yesu kutoka kuzaliwa kwake hadi wakati wa mwisho. Hufunua kuwa Shetani ndiye anayehusika

“Baadhi watajaribiwa kupokea ishara hizi kama

zitokazo kwa Mungu. Wagonjwa wataponywa

mbele yetu. Miujiza itatendeka mbele ya macho

yetu. Je, tuko tayari kwa jaribio linalotungojea

wakati ishara hizo za ajabu za uongo za shetani

zitakapoonekana kwa wazi kabisa? Roho nyingi

hazitanaswa na kuchukuliwa? Kwa kujitenga

kutoka kwenye kanuni na amri za Mungu, na

kufuata hadithi, akili za wengi zinajiandaa kupokea

ishara hizi za uongo. Ni lazima tutafute wote kuvaa

silaha kwa ajili ya pambano ambalo mapema

litatuhusu. Imani katika Neno la Mungu, kujifunza

kwa maombi ya dhati na ikihusisha vitendo,

itakuwa ngao yetu dhidi ya nguvu za Shetani na

itatufanya washindi kupitia damu ya Kristo.”

E.G.W. (Shuhuda kwa Kanisa, vo. 1, sura. 61, uk. 302)

Page 11: Somo la 8 kwa ajili ya Februari 23, 2019 · Sura ya 12 ya Ufunuo ni muhtasari wa historia ya Yesu kutoka kuzaliwa kwake hadi wakati wa mwisho. Hufunua kuwa Shetani ndiye anayehusika

“Nguvu zisizo na kikomo za Roho Mtakatifu ni

ulinzi wa kila nafsi iungamayo. Hakuna mtu

aombaye ulinzi wake kwa dhati na imani ambaye

Kristo ataruhusu achukuliwe na nguvu ya adui

yule. Mwokozi yupo upande wa watu wake

wanaojaribiwa na kupimwa. Kwake

hakuwezekani kuwa na kitu kinachoitwa

kuanguka, kupotea, kutowezekana, au

kushindwa. tunaweza kufanya mambo yote katika

yeye atutiaye nguvu. Majaribu na kupimwa

vinapokuja, usisubiri kurekebisha kwanza

magumu yote, bali mwangalie Yesu, msaada

wako.” E.G.W. (Tumaini la vizazi vyote, sura. 53, uk. 490)