suratul balad...juzuu j0 al·balad (90) 8. je! hatukumpa macho · mawili? 9· na ulimi na midomo...

2
JUZUU 30 /1tt1 A.''" 20 SURATUL BALAD ( lmeteremka Makka) Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, kunecmesha neema kubwa kubwa na kuncemesha neema ndogo ndogo. 1. Naapa kwa mji huu (wa Makka) Mwenyc Mwcnye 2. Nawc utashuka (utateremka) katika mji huu (athbao wamekutoa na utahalalishiwa) 3. (Na N aapa) kwa kila kilichozaa na kila kilichozaliwa Kuwa Tumcmuumba Mwanaadamu katika tabu. Jc! Anadhani ya kuwa hakuna yoyotc atakayewcza (kumtia mkononi)? 6. Anascma; ''Nimcharibu mali mcngi (kwa ajili ya kuupinga Uislamu)." 7. Jc! Anadhani ya· kuwa hakuna yoyotc aJ11uonaye? (Mwenyezi Mungu anamuona ,-:-r-·=· · ... .: Atamlipa) · AMMA 11141 KIIIG. I Kuhalalishiwa ni kupewa ruhusa .kufanya jambo lililokatazwa. K•m• ijulikanavyo, Mwenyczi Mungu Amekataza kabisa watu kupilana au kuuana katika mii wa Makka, hata mwenye kuuliwa mtu wake pia hana ruhusa kuc:hukuwa kisasi ndani ya Makka; ni Jazima uwe ni mii wa amani siku zotc. Basi hapa Mwenyezi Mungu anampa bishara Mtumc wake, pamoja na waadi kuwa atamuhalalishia kuwapiga makafiri katika mji huu. Na . Mwenyezi Mungu Akatimiza waadi wake. Wakati makafiri wa Makka walipovunja ahadi iliyokuwa baina yao na Waislamu alikwenda Mtume na jeshi lake, akaingia Makka. Na ruhusa hii alipewa Mtume peke yake kwa kadiri ya muda mdogo tu ill kuitahirisha AJ-Kaaba, na kuondoa uc:hafu wa masanamu. Na baada ya hapo hakukuwa na ruhusa tena kupigana ndani ya Makka. 4. Mwanaadamu ana tabu nyingi ambazo hawana hayawani wengine: Hapati chakula ila kwa tabu na mashaka makubwa, naye lazima ale. Hapati nguo i1a kwa tabu kubwa zaidi, nayc ni lazima avae. Hawezi kustahamili hari waJa baridi. Hawezi kujitetea bila silaha. Mwenyezi Mungu Amcmlazimisha mambo kadha wa kadha, pamoja na kumkataza mcngi. Na kila alifanyalo linadhibitiwa, na Akhcra atakwcndahisabiwa kwa kila alilolifanya, kubwa au do1o. Na tukiyafuata yote hayahisabiki. s. Maana yake: anadhani mwanaadamu kwamba hakuna anayeweza kumrudi kwa makosa yake? 6,7. Maneno haya wanaambiwa wale makafiri waliokuwa wakitoa mali katika kupiga vita Dini ya Uislamu na kutaka kumuua Mtume (s.a.w.). Kisha wakajisifu kwa kutumia mali Kadhalika anaingia kila mwcnyc kuishikia Dini kinyumc na kutaka kuiharibu. Nawasidhani kuwa Mungu bawaoni au hajui dhamiri zao mbovu. 777 52

Upload: others

Post on 03-Dec-2020

1 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: SURATUL BALAD...JUZUU J0 AL·BALAD (90) 8. Je! Hatukumpa macho · mawili? 9· Na ulimi na midomo miwili? 1 o. Na Tukambainishia zote njia mbili-(iliyo njema na iliyo mbaya)? 11. …

JUZUU 30

/1tt1 A.''" 20 SURATUL BALAD

( lmeteremka Makka)

Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, kunecmesha neema kubwa kubwa na kuncemesha neema ndogo ndogo.

1. Naapa kwa mji huu (wa Makka)

Mwenyc Mwcnye

2. Nawc utashuka (utateremka) katika mji huu (athbao wamekutoa na utahalalishiwa)

3. (Na N aapa) kwa kila kilichozaa na kila kilichozaliwa

4· Kuwa Tumcmuumba Mwanaadamu katika tabu.

S· Jc! Anadhani ya kuwa hakuna yoyotc atakayewcza (kumtia mkononi)?

6. Anascma; ''Nimcharibu mali mcngi (kwa ajili ya kuupinga Uislamu)."

7. Jc! Anadhani ya· kuwa hakuna yoyotc aJ11uonaye? (Mwenyezi Mungu anamuona ,-:-r-·=· · ... .: Atamlipa) ·

AMMA

• 11141 KIIIG. I

~. Kuhalalishiwa ni kupewa ruhusa .kufanya jambo lililokatazwa. K•m• ijulikanavyo, Mwenyczi Mungu Amekataza kabisa watu kupilana au kuuana katika mii wa Makka, hata mwenye kuuliwa mtu wake pia hana ruhusa kuc:hukuwa kisasi ndani ya Makka; ni Jazima uwe ni mii wa amani siku zotc. Basi hapa Mwenyezi Mungu anampa bishara Mtumc wake, pamoja na waadi kuwa atamuhalalishia kuwapiga makafiri katika mji huu. Na . Mwenyezi Mungu Akatimiza waadi wake. Wakati makafiri wa Makka walipovunja ahadi iliyokuwa baina yao na Waislamu alikwenda Mtume na jeshi lake, akaingia Makka. Na ruhusa hii alipewa Mtume peke yake kwa kadiri ya muda mdogo tu ill kuitahirisha AJ-Kaaba, na kuondoa uc:hafu wa masanamu. Na baada ya hapo hakukuwa na ruhusa tena kupigana ndani ya Makka.

4. Mwanaadamu ana tabu nyingi ambazo hawana hayawani wengine: Hapati chakula ila kwa tabu na mashaka makubwa, naye lazima ale. Hapati nguo i1a kwa tabu kubwa zaidi, nayc ni lazima avae. Hawezi kustahamili hari waJa baridi. Hawezi kujitetea bila silaha. Mwenyezi Mungu Amcmlazimisha mambo kadha wa kadha, pamoja na kumkataza mcngi. Na kila alifanyalo linadhibitiwa, na Akhcra atakwcndahisabiwa kwa kila alilolifanya, kubwa au do1o. Na tukiyafuata yote hayahisabiki.

s. Maana yake: anadhani mwanaadamu kwamba hakuna anayeweza kumrudi kwa makosa yake?

6,7. Maneno haya wanaambiwa wale makafiri waliokuwa wakitoa mali katika kupiga vita Dini ya Uislamu na kutaka kumuua Mtume (s.a.w.). Kisha wakajisifu kwa kutumia mali m~ngi. Kadhalika anaingia kila mwcnyc kuishikia Dini kinyumc na kutaka kuiharibu. Nawasidhani kuwa Mungu bawaoni au hajui dhamiri zao mbovu.

777 52

Page 2: SURATUL BALAD...JUZUU J0 AL·BALAD (90) 8. Je! Hatukumpa macho · mawili? 9· Na ulimi na midomo miwili? 1 o. Na Tukambainishia zote njia mbili-(iliyo njema na iliyo mbaya)? 11. …

JUZUU J0 AL·BALAD (90)

8. Je! Hatukumpa macho · mawili?

9· Na ulimi na midomo miwili?

1 o. Na Tukambainishia zote njia mbili- (iliyo njema na iliyo mbaya)?

11. Je! Ameukata huo mlima, (njia nzito ya kumflkisha Peponi)

12. N a nini kitakachokujulisha huo mlima (njia ya kukufikisha Peponi)?

13. (Kuukata mlima huo) ni kumpa mtumwa uungwana

14. Au kumlisha siku ya njaa . 1 s. Yatima aliye jamaa (na asiyekuwa jamaa)

16. Au maskini aliye hohe ~ahe.

1 7. Kisha awe miongoni mwa walioamini na wakausiana kusubiri na wakausiana kuhurumiana.

18. Hao ndio watu wa upande wa kheri.

19. Lakini waliokanusha Aya Zetu, hao ndio watu wa upande wa shari.

zo. Moto uliofungiwa (kila upande) utakuwa juu yao.

AMMA

11. Yaani: mbona mwanaadamu hashukum neema hizi, akatumia mali yake katilc~ mambo ya kheri aliyoyataja Mwenyezi Munsu katika Aya zijazo. Na maana ya Mwenyezi Mungu kuita mambo haya "njia nzito" ni kuwa yote ni mambo yaliyofungamana na kutoa mali, na hakuna kheri iliyo nzito kama iliyofungamana na mali. Na uldtaka kumpima mtu kuwa ni Islamu wa kweli, mtazame mwend<' wake katika mali. Usihadaike kwa kumuona na nyuradi nyingi na kusali sana na kufun1a sana; hayo ni mepesi kuyafanya. Mambo ni kutoa pesa.

13. Watu watiao aibu Dini ya Kiislamu kwa utumwa nawataC.dhali wainue macho yao watazame Aya hii, na nyinai mfano wake katilca Qurani zinazopigania uhum, afahamu kuwa Uislamu unapenda zaidi uhuru kulilco hao wanaojidai kupenda uhum, na atafahamu kuwa utumwa haupendezi asian katika Dini hii.

778