(taja ombi) -tunaomba kupitia kwa bwana yesu kristo, amen · 2019. 5. 29. · agosti na mwaka 1790,...
TRANSCRIPT
(Baba Mpendwa, kama ni upendo na nia yako kwa
mwanzilishi wetu wa chama cha Maristi, Jean-Claude Colin, atunukiwe heshima ya utakatifu kwa utukufu
wa jina lako, tafadhali tuonyeshe yale mazuri ambayo anayapata katika upeo wa macho yako, kwa kutupatia
Baraka zote tuziombazo sasa kupitia kwake: (Taja ombi)
-Tunaomba kupitia kwa Bwana Yesu Kristo, Amen Malkia wa kundi la Maria, tuombee.
-Kama utapokea Baraka zozote kutokana na maombi
ya utukufu wa Baba Colin, tafadhali tujulishe:
R P Carlo-Maria Schianchi SM, Postulator, Padri Maristi
Via Alessandro Poerio 63, 00152 Rome, Italy
Email: [email protected]
-Imethibitishwa na Kanisa.

Swahili
Swahili
-Jean-Claude Colin alizaliwa karibu na kitongoji cha Mtakatifu Bonnet Troncy, tarahe 7, mwezi wa Agosti na mwaka 1790, kipindi cha mauaji ya
kutisha ya mapinduzi ya ufaransa.
-Nia na dhamira yake ya kuwa kuhani, kati ya watu walioonewa na kuangamizwa, wa dhehebu la
katoliki nchini ufaransa ilitimia mnamo tarehe 22, Julai 1816 katika mji wa Lyons.
-Siku chache zilizofuata, alikuwa mni mmoja kati ya watu 12(kumi na mbili) walioahidi kuanzisha familia ya kidini, ikibeba jina la Maristi, na kuwa na matawi
ya Madada, kaka na makuhani.
-Kuhani huyo kijana, ndiye aliyekuwa mwanzilishi wa baraza la Maaskofu wa Maristi, na alifanya kazi
kwa nguvu na bidii sana katika kuendeleza mabaraza na familia ya Maristi.
-Mnamo mwaka 1836, tawi la makuhani lilikubali-wa rasmi na Holy see ambapo Baba Colin alikubali kupeleka watumishi “popote hapa duniani” ikibidi hata pembezoni mwa kusini magharibi ya bahari
ya Pacifiki.
-Akiwa kama Baba wa dhehebu la watumishi linalokuwa na kupanuka kwa kasi, Baba Colin
alitokea kupendwa na kuheshimiwa kama mwan-zilishi na kiongozi rasmi wa Baraza la Maristi, aki-wa kama kiongozi wa kundi dogo la Maria, sam-
bamba na kuongezeka kwa idadi ya viongozi wakuu wa kanisa, matawi ya madhehebu, pamoja
na kasi ya utumishi wa kanisa kwa ujumla.
-Katika miaka ya mwisho ya maisha yake, baba mtakatifu Jean-Claude Colin alitumia muda
mwingi kurekebisha katiba na sharia za uaskofu za Maristi, kabla hajafariki mnamo tarehe 15, No-
vemba 1875, katika mji wa La Neyliere.