tangazo la kujiunga na kidato cha tano shule ya sekondari wama nakayama 1.pdf

2
   NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA T ANO KA TIKA SHULE Y A SEKONDARI YA WAMA- NAKAYAMA KWA MWAKA 2015 Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inatangaza nafasi za kidato cha Tano mwaka 2015 kwa wasichana katika Shule ya Sekondari ya WAMA- Nakayama iliyopo Nyamisati Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani kwa tahsusi zifuatazo: PCM, PCB na ECA. WAMA ni Taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa na Mhe. Mama Salma Kikwete ili kusaidia maendeleo ya wanawake na watoto. WAMA inamiliki na kuendesha shule maalum kwa ajili ya watoto yatima na wasio na uwezo. Hata hivyo kwa sasa tunapokea wanafunzi wachache watakaolipia ili kusaidia uendelevu wa shule. Mtihani wa kujiunga na kidato cha tano utakaotolewa na shule yetu utafanyika Machi 21, 2015 katika Shule ya Sekondari Jangwani-Dar es Salaam. Fomu za kujiunga zinapatikana katika ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) zilizopo mtaa wa Luthuli, Dar es Salaam au katika Tovuti ya Taasisi: www.wamafoundation.or.tz  Shule ni ya bweni ya wasichana na ina mazingira mazuri ya kujisomea pamoja vifaa muhimu vya kujifunzia. Kwa Mawasiliano zaidi: Piga Namba: 022-2126516, 0754-086896, 0754- 439183 Barua pepe:  [email protected]  Tovuti: www.wamafoundation.or.tz  

Upload: lukaza2013

Post on 06-Oct-2015

1.025 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO KATIKA SHULE YA

    SEKONDARI YA WAMA- NAKAYAMA KWA MWAKA 2015

    Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inatangaza nafasi za kidato cha Tano mwaka

    2015 kwa wasichana katika Shule ya Sekondari ya WAMA- Nakayama iliyopo Nyamisati

    Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani kwa tahsusi zifuatazo: PCM, PCB na ECA.

    WAMA ni Taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa na Mhe. Mama Salma Kikwete ili kusaidia

    maendeleo ya wanawake na watoto. WAMA inamiliki na kuendesha shule maalum kwa ajili ya

    watoto yatima na wasio na uwezo.

    Hata hivyo kwa sasa tunapokea wanafunzi wachache watakaolipia ili kusaidia uendelevu wa

    shule. Mtihani wa kujiunga na kidato cha tano utakaotolewa na shule yetu utafanyika Machi 21,

    2015 katika Shule ya Sekondari Jangwani-Dar es Salaam.

    Fomu za kujiunga zinapatikana katika ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA)

    zilizopo mtaa wa Luthuli, Dar es Salaam au katika Tovuti ya Taasisi:

    www.wamafoundation.or.tz

    Shule ni ya bweni ya wasichana na ina mazingira mazuri ya kujisomea pamoja vifaa muhimu

    vya kujifunzia.

    Kwa Mawasiliano zaidi:

    Piga Namba: 022-2126516, 0754-086896, 0754- 439183

    Barua pepe: [email protected]

    Tovuti: www.wamafoundation.or.tz