utafiti wa afya ya uzazi na mtoto tanzania 2009-10...matokeo ya awali utafiti wa afya ya uzazi na...

36
Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 1 Matokeo ya Awali Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dar es Salaam, Disemba 2, 2010 UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10

Upload: others

Post on 26-Oct-2020

8 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

1

Matokeo ya Awali

Ofisi ya Taifa ya Takwimu

Dar es Salaam, Disemba 2, 2010

UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO

TANZANIA 2009-10

Page 2: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

2

• 1. Utangulizi

• 2. Matokeo Muhimu

• 3. Hitimisho

Picha kwa Hisani ya Concern

Yaliyomo

Page 3: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

3

Utafiti huu ulitekelezwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)

Gharama za ndani za Utafiti huu ziligharamiwa na Mfuko Maalum wa Kitengo cha

Kuondoa Umaskini (PED) kilicho chini ya Wizara ya Fedha na Uchumi, Wizara ya

Afya na Ustawi wa Jamii, Mashirika ya Misaada ya Umoja wa Mataifa

Msaada wa Kiufundi ulitolewa na MEASURE DHS/ Macro International

Msaada wa Kiufundi uligharamiwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo la

Marekani (USAID)

1. Utangulizi

Page 4: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

4

Historia ya Tafiti za Afya ya Uzazi

na Mtoto Tanzania• Utafiti wa kwanza wa DHS ulifanyika mwaka 1991/92 na kufuatiwa na

Utafiti mwingine mwaka 1994 (Knowledge, Attitude and Practice Survey (TKAPS))

• Utafiti wa pili wa DHS ambao ulishirikisha maeneo yale yale ya mwaka 1991/92 ulifanyika mwaka 1996. Ukafuatiwa na mwingine wa mwaka 1999 (Tanzania Reproductive and Child Health Survey (TRCHS)). Utafiti huu ulikuwa kama ule wa 1994 lakini ukiwa na viashiria vya zaida kama ilivyoshauriwa na wadau wakuu.

• Utafiti wa DHS wa tatu ulifanyika mwaka 2004/05

• Utafiti wa DHS wa 2009/10 ni wa nne na kama zilivyokuwa tafiti zilizotangulia, ulihusisha Tanzania Bara na Visiwani.

Page 5: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

5

Madhumuni ya Utafiti

Kupata taarifa juu ya:

– Sifa bainifu za kaya na wanakaya

– Viwango vya uzazi na upendeleo wa kuzaa

– Ufahamu na matumizi ya njia za uzazi wa mpango

– Vifo vya watoto

– Afya ya mama na mtoto

– Unyonyeshaji wa watoto

– Hali ya lishe ya wanawake na watoto wadogo

– Kinga na matibabu dhidi ya Malaria

– Hali ya kiuchumi ya wanawake

– Tendo la kujamiiana

– Umiliki na matumizi ya vyandarua

– Ukatili dhidi ya wanawake majumbani

– Nasuri (Fistula)

– Ufahamu wa VVU/UKIMWI na magonjwa mengine ya zinaa

Page 6: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

6

Utafiti na Sampuli

• Huu ni Utafiti wenye sampuli ya Kitaifa, uliohusisha zaidi ya kaya 10,000

• Sampuli ya Utafiti inaruhusu makisio ya baadhi ya viashiria katika ngazi ya mkoa, mlinganisho kwa maeneo ya mijini na vijijini na makisio kwa ngazi ya kanda mbali mbali

• Wanawake wote wa umri wa miaka 15-49 katika kaya zote na sampuli ndogo ya wanaume wa miaka 15-49 katika kila kaya ya tatu walihojiwa kwa mahojiano binafsi

• Ukusanyaji wa taarifa kwenye kaya ulifanyika kati ya Disemba 2009 na Mei 2010

Page 7: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

7

Vipimo Vilivyofanyika

• Vipimo vya Urefu na uzito vilifanyika kwa wanawake wote wa umri wa miaka 15-49 na watoto chini ya miaka mitano

• Kiwango cha damu kwa watoto wa umri wa miezi 6-59 na wanawake wa miaka 15-49 kilipimwa papo hapo kwenye kaya

• Sampuli ya damu ilichukuliwa kwa ajili ya upimaji wa Vitamin “A” kwa watoto na wanawake katika maabara

• Upimaji wa madini Joto – Ulifanyika kwa njia tatu

- kwa kupima papo hapo chumvi inayotumiwa na kaya zilizohojiwa,

- kwa kila kaya tatu chumvi ya ziadi ilichukuliwa kwa ajili ya vipimo vya maabara

- Kwa kutumia sampuli ya mkojo kwa wanawake wa miaka 15-49

Page 8: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

8

2. Matokeo: Mwitikio wa Utafiti

• Idadi ya Kaya zilizochaguliwa na zilizo na wakazi:

9,3741

– Kiwango cha mwitikio kwa kaya: 99% (9,623)

• Idadi ya Wanawake: 10,522

– Kiwango cha mwitikio wa Wanawake: 96% (10,139)

• Idadi ya Wanaume: 2,770

– Kiwango cha Mwitikio kwa Wanaume: 91% (2,527)

Page 9: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

9

ii. Taarifa za Wahojiwa

Karibu wahojiwa watatu kati ya kumi

wanaishi maeneo ya mijini.

Asilimia 97 ya wahojiwa wanaishi

Tanzania Bara, na Asilimia 3

wanaishi Zanzibar.

Page 10: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

10

Kiwango cha Elimu ya Wahojiwa

1910

15

18

5049

1623

Wanawake Wanaume

Elimu ya Sekondari

au Zaidi

Elimu ya Msingi

Elimu Kiasi ya

Msingi

Wasiosoma

Page 11: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

11

Kwa sasa, Mwanamke wa

kitanzania, kwa wastani

anazaa watoto 5.4 katika

maisha yake.

iii. Uzazi

Page 12: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

12

Mwenendo wa Kiwango cha

Uzazi

Wastani wa watoto

kwa wanawake

15-49

Page 13: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

13

iv. Matumizi ya Njia za Uzazi wa

Mpango

• Karibu wanawake watatu kati ya kumi

(29%) kwa sasa wanatumia njia ya uzazi

wa mpango

– Asilimia 24 wanatumia njia za kisasa

– Asilimia 5 wanatumia njia za asili

Page 14: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

14

Utumiaji wa Njia za uzazi wa Mpango

kwa Wanawake Walioolewa

2.3

10.6

6.7

27.4

7

34.4

Kondomu ya

Kiume

Sindano

Vidonge

Njia yoyote

ya kisasa

Njia yoyote

ya asili

Njia yoyote

Page 15: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

15

Mwenendo wa Matumizi ya Njia za

Uzazi wa Mpango (Asilimia ya

Wanawake walio kwenye ndoa)

27

20

1213

7

34

2625

18

10

1991-92 1996 1999 2004-05 2010

Njia za Kisasa Njia yoyote

Page 16: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

16

v. Viwango vya Vifo vya Watoto

26

51

81

Vifo kabla ya

mwezi wa

kwanza wa uhai

Vifo kabla ya

mwaka wa

kwanza wa uhai

Vifo kabla ya

miaka mitano

Vifo kwa kila

watoto 1,000

waliozaliwa hai

miaka 5 kabla ya

utafiti kufanyika

Mtoto mmoja

kwa kila

watoto kumi na

mbili Tanzania

hufariki kabla

ya kufikia

miaka mitano

Page 17: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

17

Mwenendo wa Vifo vya Watoto

56 59

3625

8899

68

51

137147

112

81

1996 1999 2004 2009

Vifo kati ya mwezi mmoja wa uhai na mwaka mmoja wa uhai

Vifo vya watoto kabla ya mwaka mmoja wa uhai

Vifo vya watoto kabla ya miaka mitano

Kwa miaka 5 kabla ya utafiti

Vifo kwa

kila

watoto

1,000

walioza-

liwa hai

Page 18: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

18

Antenatal Care by Mother’s

Education

98

97

96

94

Elimu ya

Sekondari au

zaidi

Waliohitimu

Elimu ya

Msingi

Hawakumaliza

Msingi

Wasiosoma

Asilimia ya wanawake waliojifungua katika miaka 5 iliyopita ambao walihudumiwa na mtoa huduma aliyesomea

Karibia asilimia 96% ya

wanawake waliojifungua katika

kipindi ha miaka 5 iliyopita

walisema walimuona mtoa

huduma aliyesomea angalau

mara moja.

vi. Huduma ya Afya ya Mama Mjamzito

Page 19: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

19

9693

88

9793

85 85

2

75

54

96

BCG

DPT 1

DPT 2

DPT 3

Polio 0

Polio 1

Polio 2

Polio 3

Mea

sles All

None

Asilimia ya watoto wa umri wa

miezi 12-23 kipindi

chochote kabla ya

utafiti

vii. Chanjo za Watoto

Page 20: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

20

Vaccination Trends

757168

TDHS 1999 TDHS 2004-05 2009-10

Asilimia ya watoto

wenye umri wa

miezi 12-23 ambao

wamepata chanjo

zote

Mwenendo wa Utoaji Chanjo

kwa Watoto

Page 21: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

21

71

66

58

48

60

Sekondari na

zaidi

Elimu ya

Msingi

Elimu kiasi ya

Msingi

Wasiosoma

Jumla

Asilimia ya watoto wenye umri wa miaka 6-59 ambao walipewa matone ya Vitamin “A” miezi sita kabla utafiti

Kwa

kiwango

cha elimu

ya mama

viii. Utoaji wa Matone ya Vitamin A

(Kwa watoto)

Page 22: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

22

Mwenendo wa Utoaji wa Matone ya

Vitamin “A”

46

60

14

1999 2004-05 2009-10

Asilimia ya

watoto wa umri

wa miezi 6-59

ambao walipata

matone ya

vitamin “A” miezi

6 kabla ya utafiti

Page 23: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

23

Watoto ambao hupata maziwa ya mama tu

wanatambulika kama wanaonyonya maziwa ya

mama pekee.

Maziwa ya mama pekee yanashauriwa katika

miezi 6 ya mwanzo ya maisha ya mtoto, kwa

kuwa maziwa ya mama yana virutubisho

muhimu anavyohitaji mtoto.

Chembe chembe za kinga katika maziwa ya

mama yanatoa kinga dhidi ya magonjwa.

ix. Lishe: Unyonyeshaji Maziwa

ya Mama Pekee

Page 24: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

24

Maziwa ya Mama Pekee kwa Umri

Umri katika miezi

Asilimia ya watoto ambao hupewa

maziwa ya mama pekee

81

51

23

2 1 0.4 1

50

0

10

20

30

40

50

60

70

80

90

Chini ya

miezi 6

<2 Miezi 2

mpaka 3

Miezi 4

mpaka 5

Miezi 6

mpaka 8

Miezi 9

mpaka

11

Miezi 12

mpaka

17

Miezi 18

mpaka

23

Page 25: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

25

Mwenendo wa Utoaji Maziwa ya

Mama Pekee

41

50

27

1999 2004-05 2009-10

Asilimia ya

watoto umri

wenye umri

wa chini ya

miezi 6 ambao

hupewa

maziwa ya

mama pekee

Page 26: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

26

Mwenendo wa Hali ya Lishe ya

Watoto

44

5

2938

3

22

35

4

21

Kudumaa (Kimo kifupi

ikilinganishwa na

umri)

Kukonda (uzito

mdogo ikilinganishwa

na kimo)

Uzito chini ya

Kiwango (Uzito

mdogo ikilinganishwa

na umri)

1999 2004-05 2009-2010

Asilimia ya watoto wa umri chini ya miaka 5

ambao wamedumaa au kuwa na uzito

mdogo (tatizo la wastani/kubwa)

Page 27: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

27

x. Malaria: Umiliki na Utumiaji wa

Vyandarua kwa Aina na Eneo

75

84

7164 65 63

Jumla Mjini Kijijini

Chandarua Chochote

Chandarua chenye dawa

Asilimia ya

kaya zenye

vyandarua

Page 28: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

28

Matumizi ya Vyandarua kwa

Watoto

7381

7164 65 64

Jumla Mjini Kijijini

Chandarua Chochote

Chandarua chenye dawa

Asilimia ya

watoto chini ya

miaka mitano

waliolala

kwenye

chandarua

usiku wa

kumakia siku ya

mahojiano

Page 29: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

29

Kinga Dhidi ya Malaria Wakati wa

Ujauzito

52

22

53

58

64

26

61

66

Walipata Kinga ya Malaria kutoka

Kliniki wakati wa ujauzito

Walikunywa dozi 2+ za SP

Walipata IPT yoyote (SP)

Walikunywa dawa yoyote kama

kinga ya malaria wakati wa

ujauzito

2009-10

2004-05

Page 30: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

30

Matibabu ya Homa

23

59

41

Watoto

waliokuwa na

homa wiki 2

kabla ya utafiti

Waliokunywa

dawa za malaria

Waliokunywa

dawa za malaria

siku hiyo hiyo

au siku

iliyofuata baada

ya kupata homa

Asilimia ya

watoto wa

umri chini ya

miaka 5

Kati ya

waliokuwa na

homa, asilimia

ya waliopata

matibabu

yaliyoonyeshwa

Page 31: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

31

xii. UKIMWI/VVU: Ufahamu wa

Njia za Kuepuka UKIMWI/VVU

76

87

7176

90

70

Kutumia Kondomu Kuwa na mweza mmoja

asiyeambukizwa

Kutumia kondomu na

kuwa na mweza mmoja

asiyeambukizwa

Wanawake Wanaume

Page 32: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

32

Ufahamu wa Njia za Kujikinga na

UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu

6059

64 66

75 73 77 73

Hawana

elimu

Elimu kiasi

ya Msingi

Elimu ya

Msingi

Sekondari

au zaidi

Wanawake

Wanaume

Asilimia ya

wanaume na

wanawake

ambao

wanafahamu

kuwa hatari ya

kupata UKIMWI

inaweza

kupunguzwa

kwa kutumia

kondomu NA

kuwa na mweza

mmoja

asiyeambukizwa

Page 33: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

33

Wapenzi Wengi Miongoni mwa

Vijana

3

12.3

Wapenzi zaidi ya mmoja katika miezi 12 kabla ya

utafiti

Wanawake 15-24

Wanaume 15-24

Asilimia ya vijana

wa kiume na wa

kike ambao

walikuwa

wakishiriki tendo

la ngono kipindi

cha mwaka

mmoja uliopita

Page 34: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

34

xii. Vifo Vinavyotokana na Uzazi

Ni kifo chochote kilichotokea wakati wa Ujauzito, wakati wa kujifungua, au ndani ya miezi 2 baada ya

kujifungua au mimba kutoka/kutolewa.

• Inakadiriwa kuwa akina mama 454 kati ya watoto 100,000 waliozaliwa hai hufariki dunia kwa mwaka.

• Mwaka 2004-05, kiwango cha vifo hivi kilikadiriwa kuwa akina mama 578 kati ya watoto 100,000 waliozaliwa hai.

Page 35: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

35

3. Hitimisho

• Haya ni matokeo ya awali

• Katika hali ya kawaida matokeo haya hayategemewi kubadilika sana

• Uchambuzi wa kina ambao unahusisha viashiria zaidi na mwenendo wa viashiria mbali mbali vya afya unafanyika kwa sasa

• Taarifa ya mwisho ya utafiti huu inategemewa kutolewa mwezi wa Januari/February 2011

Page 36: UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO TANZANIA 2009-10...Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, 2009-10 32 Ufahamu wa Njia za Kujikinga na UKIMWI kwa Kiwango cha Elimu 60

Matokeo ya Awali Utafiti wa Afya

ya Uzazi na Mtoto, 2009-10

36

Asanteni kwa Kunisikiliza