jamhuri ya muungano wa tanzania ofisi ya rais tawala … · 2021. 1. 31. · jamhuri ya muungano wa...

12
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA YA BUHIGWE Unapojibu tafadhali taja: Kumb. Na. BHDC/C.4/10/10 Tarehe: 28/01/2021 Kuh: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi ya kazi ya Mtendaji wa Kijiji Ill na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II zilizotangazwa kupitia tangazo la tarehe 04/12/2020 kuwa usaili wa mchujo (Written Interview) unatarajiwa kufanyika tarehe 08/02/2021 saa mbili kamili asubuhi (2:00) katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Buyenzi iliyopo Buhigwe. Aidha, wasailiwa watakaofaulu usaili huo watafanya usaili wa ana kwa ana (Oral Interview) siku inayofuata. MAELEZO YA JUMLA Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo: 1. Msailiwa anatakiwa kufika na nakala HALISI za vyeti vya taaluma, Kidato cha Nne na Cheti cha kuzaliwa. 2. Picha mbili (Passport size) za hivi karibuni. 3. Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho. 4. Msailiwa ambaye hatafika na nyaraka zilizoainishwa hataruhusiwa kufanya usaili. 5. Waombaj i kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa kwa kusoma vyema masharti ya kazi husika.

Upload: others

Post on 03-Mar-2021

11 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA … · 2021. 1. 31. · JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAVA YA BUHIGWE

Unapojibu tafadhali taja:

Kumb. Na. BHDC/C.4/10/10 Tarehe: 28/01/2021

Kuh: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe anapenda

kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi ya kazi ya Mtendaji wa

Kijiji Ill na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II zilizotangazwa kupitia

tangazo la tarehe 04/12/2020 kuwa usaili wa mchujo (Written Interview)

unatarajiwa kufanyika tarehe 08/02/2021 saa mbili kamili asubuhi (2:00) katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Buyenzi iliyopo

Buhigwe. Aidha, wasailiwa watakaofaulu usaili huo watafanya usaili wa

ana kwa ana (Oral Interview) siku inayofuata.

MAELEZO YA JUMLA Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:

1. Msailiwa anatakiwa kufika na nakala HALISI za vyeti vya taaluma,

Kidato cha Nne na Cheti cha kuzaliwa.

2. Picha mbili (Passport size) za hivi karibuni.

3. Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho.

4. Msailiwa ambaye hatafika na nyaraka zilizoainishwa

hataruhusiwa kufanya usaili.

5. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo

hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo wasisite kuomba

tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa kwa kusoma vyema

masharti ya kazi husika.

Page 2: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA … · 2021. 1. 31. · JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA

6. Gharama za usafiri, malazi na chakula ni juu ya msailiwa

Orodha ya walioitwa usaili imeambatishwa.

Nawatakia utekelezaji mwema.

Page 3: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA … · 2021. 1. 31. · JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA
Page 4: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA … · 2021. 1. 31. · JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA
Page 5: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA … · 2021. 1. 31. · JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA
Page 6: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA … · 2021. 1. 31. · JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA
Page 7: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA … · 2021. 1. 31. · JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA
Page 8: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA … · 2021. 1. 31. · JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA
Page 9: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA … · 2021. 1. 31. · JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA
Page 10: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA … · 2021. 1. 31. · JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA
Page 11: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA … · 2021. 1. 31. · JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA
Page 12: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA … · 2021. 1. 31. · JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAVA