ngano rukwa...kilimo •wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha...
TRANSCRIPT
![Page 1: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/1.jpg)
NGANO RUKWA
![Page 2: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/2.jpg)
Aina za teknologia za nganozilizosambazwa Mkoani Rukwa kutoka ARI
-Uyole
Mbegu bora
Juhudi, Sifa, Merina, Ngoli, Shangwe
• Zinazaa vizuri (3.5 -5.5 tons/ha)
• Zinawahi kukomaa kulinganisha na nyingine
• Zinavumilia magonjwa
• Zinavumilia ukame
![Page 3: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/3.jpg)
Kutu ya ngano
![Page 4: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/4.jpg)
![Page 5: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/5.jpg)
Wakulima wa Mawenzusi wakichagua mbeguza kwenye majaribio walizoziona zinafaa
![Page 6: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/6.jpg)
Teknologia …
• Matumizi sahihi ya mbolea(appropriate fertilizer combinations and placement)
• Muda muafaka wa kuandaa shambana kupanda
• Utunzaji bora wa zao la ngano
• Kilimo hifadhi (conservation agriculture)
![Page 7: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/7.jpg)
Matumizi ya ripper
![Page 8: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/8.jpg)
JUNGARU
• Jukwaa la wakulima wa ngano (JUNGARU)
• Kuwaleta pamoja wadau wengine waliokokwenye mnyororo wa thamani wa zao la ngano
• Mwaka 2015/2016 wakulima walikopeshwambolea ya kupandia na kukuzia ngano kupitiajuhudi za Mkuu wa Mkoa
• Waliotumia mbolea na kufuata utaalamumavuno yaliongezeka sana gunia 15 – 18 kwaekari
![Page 9: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/9.jpg)
Mafunzo ya wakulima na wataalamu wakilimo
• Wakulima na wataalamu wamekuwawakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole.
• Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima327 (wanaume 183 na wanawake 144) walipata mafunzo
• Kati yao 327 walinunua mbegu bora nakutumia mbolea kwa kufuata maelekezokwenye mashamba yao
![Page 10: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/10.jpg)
![Page 11: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/11.jpg)
Shamba darasa (Demonstration plots)
• Mashamba darasa yalifanyika kwenye wilayaza Kalambo, Sumbawanga Manispaa, Sumbawanga vijijini na Nkasi
• Baadhi ya vijiji ni kama Msanzi, ipanga, Ulinji, Mawenzusi, Msandamuungano, Milundikwa, Kipande n.k
![Page 12: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/12.jpg)
![Page 13: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/13.jpg)
![Page 14: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/14.jpg)
Field day - Ulinji
![Page 15: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/15.jpg)
Uzalishaji wa mbegu karibu na wakulima
• Jumla ya Hektari 40 za shamba karibu nawakulima zilipandwa mbegu za ngano
• Vikundi vya wakulima nao walipanda hektari4 za mbegu chini ya uangalizi wa wataalamuwa kilimo wa Mkoa, wilaya na vijiji husikawakishirikiana na watafiti wa ARI-Uyole naTOSCI
![Page 16: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/16.jpg)
![Page 17: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/17.jpg)
Motisha kwa vikundi vilivyofanya vizuri
![Page 18: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/18.jpg)
Wakulima waliopta mafanikio
![Page 19: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/19.jpg)
![Page 20: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183](https://reader033.vdocuments.net/reader033/viewer/2022060720/60807055d4cf7c29f25439e8/html5/thumbnails/20.jpg)
Mwamko wa wakulima
• Wakulima wa ngano wapatao 208 kutokawilaya ya Nkasi walionyesha nia ya kuunganapamoja ili walime kilimo cha ngano kwamkataba kwa ajili ya Kampuni ya KalamboRanch