office of the registrar, academic & student affairs … · 2019-12-28 · graduation gown...

2
OFFICE OF THE REGISTRAR, ACADEMIC & STUDENT AFFAIRS SERVICE DELIVERY CHARTER S/NO 1 Students Admission Specified fees PSSP within 1 week. GSS within a month A completed application form. Receiving lists of admitted candidates from KUCCPS 2 Student Disciplinary/ Examination irregularity cases 1200/- 5 working days Communication of the decision of the committee 3 Appeals Board Free 5 working days Communication to the students 4 Issuance of Certificates Free 2 months after Graduation Gown Hiring form, Original ID, Certificate of Clearance 5 Certification of University documents 100/- Within 1 day Original and copies of certificates and transcripts 6 Storage Charges: Degree certificates 1200/- p.a Within 1 day Gown Hiring form, Original ID, Certificate of Clearance 7 Remarking of examinations Specified fees Within 2 weeks Answer scripts and marking scheme 8 Graduation Ceremony Specified fees To be held every November Upon Successful completion of studies and meeting all other requirements 9 Issuance of University Official Transcripts Free 1 week upon request Original ID and certificate of clearance 10 Issuance of additional Transcripts 200/- per copy 1 week upon request Request Form 11 Late return of gown 500/- per day Upon Return Gown hiring form 12 Registration Specified fees 3 weeks into the semester A duly completed course registration form 13 Provisional Transcripts Free 2 weeks Upon approval of examination results by the School Board of Examiners 14 Re-sit Fees 500/- per paper Semester Basis Resit Card and receipt of payment 15 Retake 8000/= Semester Basis Receipt of payment SERVICES/GOODS COST TIMELINE REQUIREMENTS TO OBTAIN SERVICES/GOODS “Commitment to Courtesy and Excellence in Service Charter” Any service that does not conform to the above standards or any officer who does not live up to commitment to courtesy and excellence in Service delivery should be reported to: The Vice-Chancellor Maseno University Postal Box Number: Private Bag – 40105, Maseno OR Telephone: +254 (057) 351622 Email: [email protected] Website: www.maseno.co.ke MASENO UNIVERSITY ISO 9001:2008

Upload: others

Post on 31-Jul-2020

18 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: OFFICE OF THE REGISTRAR, ACADEMIC & STUDENT AFFAIRS … · 2019-12-28 · Graduation Gown Hiring form, Original ID, Certificate of Clearance 5 Certification of University documents

OFFICE OF THE REGISTRAR, ACADEMIC & STUDENT AFFAIRSSERVICE DELIVERY CHARTER

S/NO

1 Students Admission Specified fees PSSP within 1 week. GSS within a month

A completed application form. Receiving lists of admitted candidates from KUCCPS

2 Student Disciplinary/Examination irregularity cases

1200/- 5 working daysCommunication of the decision of the committee

3 Appeals Board Free 5 working daysCommunication to the students

4 Issuance of Certificates Free 2 months after Graduation

Gown Hiring form, Original ID, Certificate of Clearance

5 Certification of University documents

100/- Within 1 dayOriginal and copies of certificates and transcripts

6 Storage Charges: Degree certificates

1200/- p.a Within 1 dayGown Hiring form, Original ID, Certificate of Clearance

7 Remarking of examinations

Specified fees Within 2 weeksAnswer scripts and marking scheme

8 Graduation Ceremony Specified fees To be held every November

Upon Successful completion of studies and meeting all other requirements

9 Issuance of University Official Transcripts

Free 1 week upon requestOriginal ID and certificate of clearance

10 Issuance of additional Transcripts

200/- per copy 1 week upon requestRequest Form

11 Late return of gown 500/- per day Upon ReturnGown hiring form

12 Registration Specified fees 3 weeks into the semester

A duly completed course registration form

13 Provisional Transcripts Free 2 weeksUpon approval of examination results by the School Board of Examiners

14 Re-sit Fees 500/- per paper Semester BasisResit Card and receipt of payment

15 Retake 8000/= Semester BasisReceipt of payment

SERVICES/GOODS COST TIMELINEREQUIREMENTSTO OBTAIN

SERVICES/GOODS

“Commitment to Courtesy and Excellence in Service Charter”

Any service that does not conform to the above standards or any officer who does not live up to commitment to courtesy and excellence in Service delivery should be reported to:

The Vice-ChancellorMaseno University

Postal Box Number: Private Bag – 40105, Maseno OR Telephone: +254 (057) 351622

Email: [email protected]: www.maseno.co.ke

MASENO UNIVERSITY

ISO 9001:2008

Page 2: OFFICE OF THE REGISTRAR, ACADEMIC & STUDENT AFFAIRS … · 2019-12-28 · Graduation Gown Hiring form, Original ID, Certificate of Clearance 5 Certification of University documents

AFISI YA MSAJILI, ACADEMIA NA MASLAHI YA WANAFUNZIMKATABA WA UWASILISHAJI WA HUDUMA

NAMBA

RI

1 Usajili wa wanafunzi Karo kamailivyowekwa

PSSP (wanafunziwanaojilipia kibinafsi) kwa muda usiozidi juma moja.GSS (wanafunzi wanaofadhiliwa naserikali) muda wamwezi moja.

Fomu ya maombi iliyojazwa kikamilifu

Kupokea orodha ya wanafunzi waliosajiliwa kutoka KUCCPS

2 Nidhamu ya wanafunzi/kesi za ukiukaji wa sheria za mitihani

1200/- Siku tano zautendakazi za juma.

Mawasiliano ya uamuzi wa kamati ya nidhamu

3 Bodi ya rufaa Hailipishwi Siku tano zautendakazi za jamii

Mawasiliano kwa wanafunzi

4 Upeanaji wavyeti Hailipishwi Miezi miwili baadaya kufuzu

Fomu ya kukodisha gwanda,kitambulisho halisi, cheti cha kuhurishwa

5 Uthibitisho wa stakabadhi za chuo.

100/- Siku mojaVyeti halisi na nakala za vyeti na matokeo

6 Gharma ya uhifadhi wavyeti.

1200/= kilamwaka

Siku mojaFomu ya kukodisha gwanda,kitambulisho halisi, cheti cha kuhurishwa

7 Kurudia masahihisho yamitihani

Karo kamailivyowekwa

Kabla ya majumamawili kukamilika

Vijitabu vya majibu na mwongozo wa usahihishaji

8 Sherehe ya mahafali Karo kamailivyowekwa

Kila mwezi waNovemba

Kukamilisha masomo na kuafikia mahitaji mengine yaliyowekwa.

9 Utoaji wa matokeo rasmi ya chuo

Hailipishwi Juma moja baada yakutuma maombi.

Kitambulisho na cheti cha kusishwa

10 Utoaji wa matokea ya ziada

200/= kwakila nakala

Juma moja baada yakutuma maombi.

Fomu ya maombi

11 Kurejesha gwanda kuchelewa

500/= kila siku Utakaporudisha.Fomu ya kuomba gwanda.

12 Usajili Karo maalumu Baada ya majumamatatu ya muhula.

Fomu ya kozi iliyojazwa kiamilifu.

13 Matokea ya muda Hailipishwi Baada ya majumamawili

Baada ya Bodi ya ktivo kuhalalisha matokeo ya mitihani

14 Karo ya mtihani 500/=kwa kila mtihani

Kila muhulaKadi ya mtihani wa marudio na risiti ya malipo.

15 Kurudia Kozi 8000/= Kila muhulaRisiti ya malipo ya karo

HUDUMA/BIDHAA GHARAMA MKATAASTAKABADHI HITAJIKAZA KUPATA HUDUMA/

BIDHAA

Huduma yoyote isiyotosheleza viwango vilivyowekwa au afisa yeyote asiyeonyesa kujitolea kuwa na unyenyekevu na ubora katika Uwasilishsji wa Huduma astahili kuripotiwa kwa:

Mkuu wa ChuoChuo Kikuu cha Maseno

Sanduku la posta: Mkoba Binafsi-40105 Maseno AU Simu: +254 (057) 351622

Barua pepe: [email protected]: www.maseno.ac.ke

CHUO KIKUU CHA MASENO

“Kujitolea kuwa na unyenyekevu na ubora katika mkataba wa huduma”

HUDUMA BORA NI HAKI YAKO

ISO 9001:2008