print - chama cha demokrasia na...

6
Fomu Na 6H(ii) FOMU YA KUOMBA NAFASI YA UONGOZI NDANI YA CHAMA NGAZI YA TAIFA NAFASI YA MWENYEKITI BARAZA LA WANAWAKE (BAWACHA) (Fomu hii Imetolewa chini ya Ibara ya 6.3.1( b) ya Katiba ya Chama na Kanuni ya (7.2.3) ya Kanuni za Chama, Katiba ya mwaka 2006 toleo la mwaka 2016) Gharama ya fomu hii ni Tsh 200,000 (Laki Mbili Tu) – Malipo yafanyike kupitia Account Number 22601605514 – Account Name Bawacha Taifa- NMB BANK MAELEKEZO YA UJAZAJI WA FOMU 1. Fomu hii ijazwe kikamilifu kwa herufi kubwa kwa kutumia kalamu ya wino mweusi/blue 2. Fomu hii irejeshwe na nakala (COPY) ya kadi ya uanachama iliyolipiwa mpaka muda ulioujaza kipengele cha (2.0) cha fomu hii 3. Mgombea adhaminiwe na mwanachama mwenye sifa ya BARAZA analoomba nafasi 4. Fomu hii irejeshwe ikiwa na picha ya anayeomba nafasi ya kugombea yenye muonekano wa kitambaa cha blue kwa nyuma 5. Fomu hii irejeshwe ikiwa imeambatanishwa na uthibitisho wa malipo halali ya fomu hii 1.0 MAELEZO BINAFSI 1.1 NAFASI UNAYOOMBA KUGOMBEA MAJINA: LA KWANZA : LA PILI : LA TATU : 1.2 JINSI MWANAUME MWANAMKE Page 1 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA PICHA

Upload: others

Post on 26-Oct-2020

14 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Print - Chama Cha Demokrasia na Maendeleochadema.or.tz/wp-content/uploads/2019/11/BAWACHA-TAIFA-MWBA… · FOMU YA KUOMBA NAFASI YA UONGOZI NDANI YA CHAMA NGAZI YA TAIFA NAFASI YA

Fomu Na 6H(ii)

FOMU YA KUOMBA NAFASI YA UONGOZI NDANI YA CHAMA NGAZI YA TAIFA

NAFASI YA MWENYEKITI BARAZA LA WANAWAKE (BAWACHA)

(Fomu hii Imetolewa chini ya Ibara ya 6.3.1( b) ya Katiba ya Chama na Kanuni ya (7.2.3) ya Kanuni za Chama, Katiba ya mwaka 2006 toleo la mwaka 2016) Gharama ya fomu hii ni Tsh 200,000 (Laki Mbili Tu) – Malipo yafanyike kupitia Account Number 22601605514 – Account Name Bawacha Taifa- NMB BANK

MAELEKEZO YA UJAZAJI WA FOMU

1. Fomu hii ijazwe kikamilifu kwa heru� kubwa kwa kutumia kalamu ya wino mweusi/blue2. Fomu hii irejeshwe na nakala (COPY) ya kadi ya uanachama iliyolipiwa mpaka muda ulioujaza kipengele cha (2.0) cha fomu hii3. Mgombea adhaminiwe na mwanachama mwenye sifa ya BARAZA analoomba nafasi4. Fomu hii irejeshwe ikiwa na picha ya anayeomba nafasi ya kugombea yenye muonekano wa kitambaa cha blue kwa nyuma5. Fomu hii irejeshwe ikiwa imeambatanishwa na uthibitisho wa malipo halali ya fomu hii

1.0 MAELEZO BINAFSI1.1 NAFASI UNAYOOMBA KUGOMBEA MAJINA: LA KWANZA : LA PILI : LA TATU :1.2 JINSI MWANAUME MWANAMKE

��������������

Page 1 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA

PICHA

��������������

Page 2: Print - Chama Cha Demokrasia na Maendeleochadema.or.tz/wp-content/uploads/2019/11/BAWACHA-TAIFA-MWBA… · FOMU YA KUOMBA NAFASI YA UONGOZI NDANI YA CHAMA NGAZI YA TAIFA NAFASI YA

1.3 NAMBA YA SIMU BARUA PEPE1.4 TAREHE YA KUZALIWA1.5 UNAPOISHI MKOA WILAYA JIMBO KATA KIJIJI/MTAA MSINGI/KITONGOJI1.6 URAIA WA KUZALIWA WA KUJIANDIKISHA NAMBA

2.0 MAELEZO YA UANACHAMA WAKO • Tarehe ya kujiunga na Chama • Namba ya kadi ya Uanachama • Kadi imelipiwa mpaka Tarehe • Tawi lako la Chama • Msingi wako

(Kama nafasi ya fomu hii haitatosha kujibu kipengele 2.1, 2.2, 3.3, 3.4, 3.5 & 3.6 weka maelezo ya kipengele husika katika kiambatanisho

2.1 Wadhifa ndani ya CHADEMA. Eleza kwa kifupi nyadhifa na muda uliowahi kushika nyadhifa hizo.

2.2 Umewahi kusimamishwa/kufukuzwa Uanachama ?

Kama ndiyo toa maelezo, Sababu ya kusimamishwa/kufukuzwa, Lini na wapi?

Page 2 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA

Page 3: Print - Chama Cha Demokrasia na Maendeleochadema.or.tz/wp-content/uploads/2019/11/BAWACHA-TAIFA-MWBA… · FOMU YA KUOMBA NAFASI YA UONGOZI NDANI YA CHAMA NGAZI YA TAIFA NAFASI YA

3.0 MAELEZO KUHUSU UWEZO, UZOEFU NA ELIMU Elimu ya mgombea. • Shule ya msingi Kuanzia hadi • Sekondari (O’level) Kuanzia hadi • Sekondari (A’level) Kuanzia hadi • Chuo kikuu kuanzia hadi

Taja jina la cheti cha juu ulichonacho• Jina la cheti• Taasisi iliyotoa• Mwaka uliotunukiwa

3.1 Eleza kazi/shughuli yako halali

3.2 Lugha unazomudu kuzungumza na kuandika

Kusoma Kiswahili Ndiyo HapanaKuandika Kiswahili Ndiyo HapanaKusoma Kingereza Ndiyo HapanaKuandika Kingereza Ndiyo HapanaNyinginezo

3.3 Uzoefu katika uongozi (Eleza kwa kifupi)

3.4 Kabla ya kujiunga na CHADEMA uliwahi kuwa mwanachama wa vyama /chama kingine cha siasa? Kama ndiyo toa maelezo

Page 3 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA

Page 4: Print - Chama Cha Demokrasia na Maendeleochadema.or.tz/wp-content/uploads/2019/11/BAWACHA-TAIFA-MWBA… · FOMU YA KUOMBA NAFASI YA UONGOZI NDANI YA CHAMA NGAZI YA TAIFA NAFASI YA

3.5 Nini Dira, Mwelekeo na Matarajio yako ukipata wadhifa huo?

3.6 Je umewahi kuhukumiwa kwa kosa la jinai? Kama ndiyo toa maelezo

4.0 UTHIBITISHO: Ninathibitisha kuwa maelezo niliyotoa hapo juu yote ni sahihi Jina Sahihi Tarehe Mahali

5.0 WADHAMINI WA MGOMBEAI. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi

II. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi

Page 4 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA

Page 5: Print - Chama Cha Demokrasia na Maendeleochadema.or.tz/wp-content/uploads/2019/11/BAWACHA-TAIFA-MWBA… · FOMU YA KUOMBA NAFASI YA UONGOZI NDANI YA CHAMA NGAZI YA TAIFA NAFASI YA

III. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi

IV. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi

V. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi

VI. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi

VII. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi

Page 5 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA

Page 6: Print - Chama Cha Demokrasia na Maendeleochadema.or.tz/wp-content/uploads/2019/11/BAWACHA-TAIFA-MWBA… · FOMU YA KUOMBA NAFASI YA UONGOZI NDANI YA CHAMA NGAZI YA TAIFA NAFASI YA

VIII. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi

IX. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi

X. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi

6.0 KWA MATUMIZI YA OFISI TU

Fomu ya maombi imepokelewa Tarehe SaaJina la aliyeipokea Nafasi/Cheo SahihiFomu imelipiwa ada kamili ?Fomu ina mapungufu ? Kama ndiyo Eleza mapungufu

Page 6 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA