mipango, miradi na huduma za 2010 wilaya ya...
TRANSCRIPT
-
2010
Kuzijengea Uwezo Asasiza Kijamii ili
Kupunguza Umasikini
Building Civil Society Capacity for
Poverty Reduction
Mipango, Miradi na Huduma za Wilaya ya Monduli
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 2
CONTENTS
Shukrani ............................................................................................................................... 4
Orodha kaw ajili ya mawasiliano wilayani ........................................................................... 5
Utaratibu wa mchanganuo wa bajeti ya serikali na tarehe .................................................. 7
Mipango ya serikali .............................................................................................................. 8
Kilimo na ufugaji ...........................................................................................................................................................................9
Programu ya maendeleo ya sekta ya kilimo ...................................................................... 9
Elimu ................................................................................................................................................................................................ 10
Programu ya Maendeleo ya elimu ya msingi................................................................... 10
Programu ya maendeleo ya elimu ya sekondari.............................................................. 11
Biashara .......................................................................................................................................................................................... 12
Mafunzo ya biashara ndogo na zakati ............................................................................ 12
Afya ................................................................................................................................................................................................... 13
Mfuko Waafya ............................................................................................................... 13
Tume ya kudhibiti ukimwi tanzania ................................................................................. 14
Maendeleo Jamii ......................................................................................................................................................................... 15
Mfuko wa maendeleo ya jamii ........................................................................................ 15
Maendeleo Ya jamii na kusaidia kuhimiza ustawi wa jamii............................................... 16
Maji .................................................................................................................................................................................................... 17
Mradi Wa usambazaji wa maji safe na majitaka vijijini ..................................................... 17
Kazi.................................................................................................................................................................................................... 18
Programu ya usafirishaji ya serikali za mitaa .................................................................. 18
Fedha za kulipia Matumizi ya barabara .......................................................................... 19
Mipango ya taasisi zisizo za serikali .................................................................................. 20
Elimu ................................................................................................................................................................................................ 21
Maendeleo ya watoto .................................................................................................... 21
Mipango wa utoaji wa chakula shuleni............................................................................ 22
Mpano wa chakula wa umoja wa mataifa ....................................................................... 23
Afya ................................................................................................................................................................................................... 24
Watu wanaoishi na virus vya ukimwi .............................................................................. 24
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 3
Wanawake ..................................................................................................................................................................................... 25
Taasisi ya maendeleo ya wanawake wakimasai ............................................................. 25
Taasisi ya Maendeleo ya wanawake wakimasai ............................................................. 26
Uwezeshaji kiuchumi ..................................................................................................... 27
Haki za binadamu na jinsia ............................................................................................ 28
Utoaji na urejeshaji wa mikopo kwa wanawake............................................................... 29
Mpango wa mikopo ya ada ya shule .............................................................................. 30
Mpango wa mkopo wa kuku wa kienyeji ......................................................................... 31
Vijana ............................................................................................................................................................................................... 32
Y Timu ya ushauri ya jamii (COCOTE) ........................................................................... 32
Marejeo............................................................................................................................... 33
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 4
Shukrani
Mwongozo huu umeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Chuo kikuu cha Huron cha
CANADA na Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) Tanzania, ambavyo vinafanya
mradi wa majaribio wilayani Monduli tangu 2007. Mradi wa mwongozo wa sera,
mipango na huduma Monduli ni sehemu ya mradi mkubwa unaoitwa kuzijengea uwezo
asasi za kijamii ili kupunguza umaskini au Haki Shiriki katika Sera, ambazo zina lengo
la kuziwezasha asasi za kiraia kushiriki katika kutengeneza sera na kusimamia taratibu
husika katika kupunguza umaskini. Tunatoa shukrani zetu kwa watumishi wa serikali wa
Wilaya ya Monduli kwa msaada na ushirikiano unaoendelea. Pia tunashukuru kwa
taarifa mbalimbali walizotupa kuwezesha kutengeneza huu mwongozo kwa ajili ya
wananchi.Aidha tunazishukuru Taasisi zisizokuwa za serikali kwa msaada wa utoaji
Habari za miradi na mipango yao ambayo imeingizwa katika mwongozo
huu.Tunatumaini mwongozo huu utakuwa wa manufaa katika kuongeza ufanisi wa
upatikanaji wa taarifa na mipango ya serikali na mashirika yasiyo ya serikali, na
huduma zitolewazo kwa wananchi wa Monduli.
Mwongozo huu unaweza kutumika:
1. Kuwasiliana na mamlaka za serikali za mitaa
2. Kuandika barua ya kuomba taarifa za program au huduma kwa vijiji
3. Kutengeneza bajeti za Halmashauri za vijiji kwa ajili ya kuombea fedha
serikalini
4. Kujua mipango na huduma ambazo zinaweza kutolewa kwa wananchi wa
Monduli
.
Mradi huu unafadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Canada ( Canadian
International Development Agency CIDA).
Dr. Arja Vainio-Mattila Prof. Benedict Mongula
Associate Dean Lecturer and Professor
Huron University College Institute for Development Studies
University of Dar Es Salaam
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 5
ORODHA KAW AJILI YA MAWASILIANO WILAYANI
NAME DEPARTMENT POSITION MOBILE
Mlay Mkurugenzi Wa Wilaya 0784245719
Ofisi ya Kamanda wa
Wilaya
Mahakama ya Wilaya
Taasisi ya Kudhibiti
Rushwa
Gideon Kamara Kitengo cha Sheria Mwanasheria 0754438018
Kilanga
Mwangwala
Meneja Ununuzi Afisa Ugavi 0715586965
Eberhard Mbunda Maendeleo ya Kilimo na
Mifugo na Ushirika
Mkuu wa Idara 0784358050
Ester Tarimo Maendeleo ya Kilimo
Mifugo na Ushirika
Afisa Ushirika 0784372102
Twalib Mbasha Maendeleo ya Jamii Mkuu wa Idara 0784714453
Joseph
Rutabingwa
Mipango, Takwimuna
Udhibiti
Mchumi 0719955280
Godfrey Luguma Mipango ya Maendeleo Mtakwimu Msimamizi
TASAF
0756045323
Nakaji Lukumay Ukaguzi wa shule Mkaguzi wa shule 0754831790
George Lowassa Elimu,tamaduni na
michezo
Afisa Ugavi 0754745668
Aron Moshi Fedha na Biashara Mhasibu 0784761980
Laston Kilembe Kitengo cha ukaguzi wa
Ndani
Mkaguzi wa ndani 0784611822
John Makundi Afya Mratibu wa Udhibiti wa
UKUMWI (DAS)
0754568817
Eleana Mhalu Afya Mratibu wa Afya ya
uzazi na watoto.
0784978710
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 6
Ezadini Shoko Utawala Msimamizi wa office 0755563810
Abdalah Magambo Fedha na Biashara Afisa Biashara 0713260817
Natashoo Msuya Ardhi na mali asili Afisa 0712015695
Ngikundael Mghase Huduma ya maendeleo
ya Walimu
Mkuu wa Idara 0754688298
Joseph Makaidi Maji Mkuu wa Idara 0754388650
Peter Shemahonge Kazi Mhandisi wa ujenzi 0784459092
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 7
UTARATIBU WA MCHANGANUO WA BAJETI YA SERIKALI NA TAREHE ZAKE
K W A MW AK A 2010 , T ARE HEZA T ARAT IBU ZA M AOM BI YA MC HANGANGANUO W A BAJETI
ZIM EBA DILIK A NA K UW A:
Jamii
Novemba/Disemba
Jamii za Vigigi zitaandaa mchanganuo wa bajeti na kuziwailisha katika ya utendaji ya kata
Kata
Disemba
Mwenyakiti na Maafisa watendaji watajumuisha bajeti toka katika kila jamii na kuziwasilisha wilayani
Wilaya
Januari/Februari
Wakuu wa Idara watapitia bajeti na kuziwasilisha wizarani
Wizara
Machi
Wizara itapitia bajeti na kutoa fungu kufuatana na Idara
Wakuu wa Idara wataandika barua kwa kata husika kuelezea mira di itakayofanyika na tattibu mufimu za kuandaliwa na jamii husika
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 8
MIPANGO YA SERIKALI
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 9
KILIMO NA UFUGAJI
PROGRAMU YA MAENDELEO YA SEKTA YA KILIMO
Maelezo ya Programu/ mpango Fungu limetengwa katika sekta ya kilimo na ufugaji.
Miradi inaweza kuhusisha mambo mengine lakini haifungwi na vitu kama utekelezaji wa miradi ya kuku, USIMILISHAJI/ UZALISHAJI WA mbegu bora za madume ya ngombe, udhibiti wa magonjwa ya mifugo, utengenezaji wa majosho, umwagiliaji, miundombinu, elimu ya mazao na mifugo.
Mpango unahusisha kipengele cha kujenga uwezo, kama vile; mafunzo katika utekelezaji wa miradi, usimamizi na utunzaji fedha.
Sifa zinazostahili za programu
Fungu limetengwa kwa ajili ya vijiji 4-5 kwa mwaka
Vijiji husika vitachaguliwa na wilaya kulingana na mahitaji na michanganuo ya
miradi ya kijiji .
Kijiji kinateuliwa na wilaya kulingana na mahitaji na mpango Mradi wake.
Wilaya inatoa Kipaumbele kwa (1)Maendeleo ya mifugo
(2)Umwagiliaji (3)Uzalishaji wa mazao
Mafunzo kwa kila kijiji yatajumuisha vikundi vinne
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Shilingi za Tanzania milioni 40 kwa uwekezaji.
Shilingi za Tanzania milioni 5 kwa ajili ya kujenga uwezo
Uwekezaji wa jumuiya na watu binafsi unaruhusiwa o Kiwango cha chini kwa mradi wa jumuiya ni asilimia 20 (kwa hali au mali) o Mradi kwa mtu binafsi ni asilimia 50 (lazima iwe fedha taslimu).
Utaratibu wa Uombaji Mchanganuo wa ushirikiano baina ya serikali na jamii.
Mchanganuo na bajeti unapaswa kuwasilishwa mwezi Novemba.
Vijiji kupitia mipango yao ya O na OD watume maombi wilayani kupitia DPLO
Anuani Dr Eberhard Mbunda,- Afisa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo wa Wilaya
Idara ya kilimo na Mifugo, S.L.P 1 Monduli, Tanzania
Simu: 0784 35 80 50 [email protected]
mailto:[email protected]
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 10
ELIMU
PROGRAMU YA MAENDELEO YA ELIMU YA MSINGI
Maelezo ya Programu/ mpango
Fungu limetengwa kwa ajili ya sekta ya elimu wilayani Monduli.
Programu inahusisha ununuzi wavitabu (40%), ujenzi wa miundo mbinu na
ukarabati (20%), ununuzi wa vifaa kama karatasi, madaftali,penseli n.k (20%), kusaidia gharama za mitihani (10%) na gharama za utawala (10%)
Sifa zinazostahili za programu
Fedha zimetengwa kwa ajili ya wilaya ya Monduli.
Fedha zimeelekezwa kwa kila shule kulingana na idadi ya wanafunzi na kiwango
cha uhitaji Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Fedha zinazokadiriwa kuwa shilingi za milioni 133 zitafadhiliwa na Serikali Kuu
Utaratibu wa Uombaji
Fungu litagawiwa shuleni na Afisa mtendaji wa Wilaya mara tu fedha zitakapopokelewa kutoka serikalini
Anuani
George Lowasai
Afisa Usambazaji
Idara ya Elimu
S.L.P 1,
Monduli, Tanzania
Simu: 0754 745 668
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 11
ELIMU
PROGRAMU YA MAENDELEO YA ELIMU YA SEKONDARI
Maelezo ya Programu/ mpango
Ufadhili upo kwa ajili ya sekta ya elimu wilaya ya Monduli
Upangaji wa programu unahusu, ununuzi wavitabu (40%), ujenzi wa miundo mbinu na ukarabati (20%), ununuzi wa vifaa kama karatasi, madaftali, penseli n.k
(20%), kusaidia gharama za mitihani (10%) na gharama za utawala (10%). Sifa zinazostahili za programu
Fedha zipo kwa ajili ya wilaya ya Monduli
Fedha zimeelekezwa kwa kila shule kulingana na idadi ya wanafunzi na kiwango
cha uhitaji
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Kiasi cha fedha kinachokadiriwa shilingi bilioni 1.9 kitafadhiliwa na serikali kuu
Utaratibu wa Uombaji
Fungu litagawiwa shuleni na na Afisa mtendaji wa Wilaya mara tu fedha
zitakapopokelewa kutoka serikalini
Anuani
George Lowasa - Afisa ununuzi na ugavi
Idara ya Elimu
S.L.P 1 Monduli, Tanzania
Simu 0754- 745668
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 12
BIASHARA
MAFUNZO YA BIASHARA NDOGO NA ZAKATI
Maelezo ya Programu/ mpango
Mafunzo ya serikali juu ya sera ya biashara ndogondogo
Mafunzo kuhusu usmamizi wa fedha na vyanzo vya pesa kwa biashara
ndogondogo.
Mafunzo kuhusu masoko na namna ya kuongeza ubora wa mazao
Vyanzo vya masoko./utafutaji wa masoko
Sifa zinazostahili za programu
Kata 2 3 zitachaguliwa na Idara ya viwanda, biashara na masoko ili kupata mafunzo kila mwaka
Maafisa watendaji kata na maafisa watendaji wa vijijikatika kata zilizochaguliwa watatafuta watu wanaofanya kazi katika sekta tofauti
wahudhurie mafunzo ya biashara
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Taratibu za marejesho ya mkopo zimeandaliwa na taasisi itakayotoa mkopo.
Mafunzo yatatolewa na serikali kuu, LGCDG
Udhamini wa pesa kwa biashara ndogo ndogo utatolewa na mabenki, Pride
Africa, WEDAC,KIDO Utaratibu wa Uombaji
Barua zitasambazwa kwenye vijiji kwa ajili ya kutoa taarifa za kuanza kwa mafunzo.
Kanun I na sheria zitategemea taasisi itakayotoa mkopo
Anuani
Mr. Abdalah Magambo Afisa Biashara Idara ya Viwanda Biashara na Masoko S.L.P. 1 Monduli Namba ya ofsini: 2538084
Simu: 0713 260 817 [email protected]
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 13
AFYA
MFUKO WAAFYA
Maelezo ya Programu/ mpango
Uwezeshaji wa afya kwa ujumla wilaya ya Monduli
Uwezeshaji wa pesa utasaidia miundombinu katika sekta ya afya, madawa,
usambazaji wa madawa, mafunzo n.k
Sifa zinazostahili za programu
Fedha zimetengwa kwa ajili ya maendeleo ya sekta ya afya Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Uwezeshwaji wa kifedha unakaribia shilingi bilioni moja
Utaratibu wa Uombaji
Mchanganuo wa maombi unaoshirikisha serikali na jamii
Mchanganuo uwasilishwe na bajeti mwezi wa kumi na moja
Anuani:
Dr. Eleana Mhalu Msimamizi wa Afya ya uzazi na watoto wachangar Idara ya Afya S.L.P 1 Monduli, Tanzania
Simu : 0784978710
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 14
AFYA
TUME YA KUDHIBITI UKIMWI TANZANIA
Maelezo ya Programu/ mpango
Uwezeshwaji wa kifedha upo tayari kwa ajili ya vikundi vya watu wanaoishi na
virusi vya ukimwi ili kutengeneza miradi ya kujiongezea kipato.
Miradi inapaswa kuwa ya malengo mbalimbali kwa mfano: Ufugaji wa
mbuzi/ngombe kama chanzo cha kipato kwa ajili ya kupata msaada wa madawa kupitia uuzaji wa mifugo na usambazaji bnafsi wa maziwa.
Mradi unapaswa kueleza namna utakavyoweza kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa ukimwi.
Mpango unaweza kuhusisha o Mafunzo o Motisha kupitia filamu o Kusaidia vikundi vya michezo ya kuigiza o Kusaidia kwa kuwapa mali/ vitu, watoto walio katika mazingira magumu au
waliotengwa
Sifa zinazostahili za programu
Pesa zimetengw kwa ajili ya watu wenye virusi vya UKIMWI
Waombaji wanatakiwa wawe katika vikundi vya watu 10 -15
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Uwezeshwaji wa kifedha unaanzia shilingi milioni 15-30 kwa kikundi
Utaratibu wa Uombaji Vikundi vinapaswa viwe vya watu wanaotambulika kuwa na virusi vya ukimwi.
Mchanganuo wa mradi uwasilishwe na bajeti mwezi wa kumi na moja.
Vijiji viwasilishe mipango wilayani
Anuani:
John P. Makundi-Msimamizi wa Udhitibi wa Ukimwi wa Wilaya (Kwa masuala ya kiafya)
Idara ya Afya
S.L.P 1 Monduli- Tanzania
Namba ya simu ya kiganjani-0754-568817
Twalib Mbasha Afisa MAENDELEO ya jamii wa Wilaya (Kwa masuala ya kijamii) Ofisi ya Maendeleo ya jamii
S.L.P 1 Monduli
0784714453 Muhimu: Ndg. Makundi anaratibu masuala ya kiafya kuhusu udhibiti wa Ukimwi kupitia Hospitali ya
Wilaya na Twalib Mbasha anahusika na masuala ya jamii kuhusu udhibiti wa ukimwi kupitia jamii. Pia
anawajibika kutengeneza vikundi na kuendeleza ujasiriamali na maendeleo ya kiuchumi ya vikundi.
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 15
MAENDELEO JAMII
MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII
Maelezo ya Programu/ mpango
Uwezeshwaji wa kifedha upo kwa ajili ya miradi ya kijamii katika sekta mbalimbali.
Miradi inaweza kuhusisha mambo mbalimbali lakini haifungwi katika mambo yanayohusu ujenzi wa miundo mbinu katika sekta ya elimu, miradi ya uongezaji kipato katika sekta ya kilimo na mifugo, ufugaji wa nyuki, ufugaji wa mbuzi n.k.
Sifa zinazostahili za programu
Fedha zipo kwa vikundi 10 au zaidi
Kikundi kinapaswa kitambuliwe na kijiji kama ni cha watu walio katika mazingira magumu au waliotengwa na huduma za kijamii (mfano wanawake, wazee,
wasiojiweza n.k.) Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Mkopo hadi kiasi cha shilingi 500,000/= utasimamiwa kupitia mkutano wa baraza la kijiji
Mafunzo ya ina mbili yatatolewa: mafunzo kwa kamati ya usimamizi wa mradi na mafunzo ya ujasiliamali kwa kikundi.
Hivi sasa kuna mpango mpya ujulikanao kama Accelerated Food SecurityP rogram (AFSP) unaoendelea
Utaratibu wa Uombaji
Mchanganuo wa mradi na bajeti inapaswa katika kipindi kitakachotajwa
Mchanganuo wa mradi unapaswa kuelezea viwango vya wizara vinavyohusiana na mradi.
Kumbukumbu za mkutano wa kijiji uliokichagua kikundi unapaswa kuambatanishwa
Anuani:
Godfrey G. Luguma- Mtakwimu na msimamizi wa mfuko wa Hifadhi ya Maendeleo Idara ya Mipango ya Maendeleo
S. L. P 1 Monduli, Tanzania
Namba ya simu ya kiganjani- 0756-045323
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 16
MAENDELEO YA JAMII
MAENDELEO YA JAMII NA KUSAIDIA KUHIMIZA USTAWI WA JAMII
Maelezo ya Programu/ mpango
Ushiriki wa jamii katika shughuli za maendeleo
Ukusanyaji wa taarifa na kupanga mipango kuanzia ngazi za chini
Shughuli za kuongeza kipato kwa wanawake na vijana
Kuboresha huduma na kupunguza mambukizi ya Ukimwi
Upatikanaji wa huduma za Ustawi wa jamii kwa vikundi vinavyoishi katika
mazingira magumu Sifa zinazostahili za programu
Fedha zimepangwa kusaidia yatima, wanaoishi na virusi vya ukimwi na wajane
Msaada maalumu kwa vikundi vya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi pamoja
na vikundi vya wajane Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Uwezeshaji kifedha unaanzia shilingi za Tanzania milioni 10 30
Utaratibu wa Uombaji
Mchanganuo wa mradi kwa ushirikiano baina ya serikali na jamii
Mchanganuo wa mradi uwasilishwe na bajeti mwezi wa kumi na moja
Anuani:
Twalib Mbasha Afisa MAENDELEO ya jamii wa Wilaya
Ofisi ya Maendeleo ya jamii
S.L.P 1 Monduli
0784714453
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 17
MAJI
MRADI WA USAMBAZAJI WA MAJI SAFE NA MAJITAKA VIJIJINI
Maelezo ya Programu/ mpango
Mpango wa usambazaji maji safi na maji taka vijijini ni moja kati ya vitu vine
vilivyomo kwenye mpango wa maendeleo wasekta ya maji ( vingine ni: usambazaji wa maji safi na maji taka mjini, usimamizi wa maliasili maji na kujenga uwezo
Mpango utaendeshwa mwaka 2006 -2025 ukianzia na vijiji 10 wilayani Monduli.
Ufadhili mkubwa wa ujenzi wa njia za mabomba ya maji
Mafunzo ya elimu juu ya Afya na mazingira yakihusisha elimu ya maji safi kwenye masoko, vilabu na shule.
Ujenzi wa vyoo vya mfano vitakavyotumiwa kama aina ya vyoo vinavyopaswa kujengwa.
Utunzanji wa mazingira kwa upandaji miti
Ujenzi wa mabwawa na mabomba
Sifa zinazostahili za programu
Fedha zimetengwa kwa vijiji 10 katika Wilaya ya Monduli kulingana na uhitaji
mkubwa
O na OD imemaliza kutathmini mahitaji ya vijiji
Vijiji visivyo na fursa nyingine ya kupata ,ufadhili, vitapewa kipaumbele
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Bajeti iliyoandaliwa hivi karibuni (2010)
Mafunzo yaliyomo kwenye gharama za mradi
Utaratibu wa Uombaji
Mchanganuo wa mradi kwa ushirikiano baina ya serikali na jamii
Mchanganuo wa mradi uwasilishwe na bajeti mwezi wa kumi na moja
Anuani:
Joseph. E Makaidi.- Mhandisi wa Maji wa Wilaya
Idara ya Maji
S. L. P 1 Monduli, Tanzania
Simu: 0754 388650
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 18
KAZI
PROGRAMU YA USAFIRISHAJI YA SERIKALI ZA MITAA
Maelezo ya Programu/ mpango
Fedha zipo kwa ajili ya ukarabati na uboreshaji wa barabara.
Sifa zinazostahili za programu
Fedha zipo kwa ajili ya wilaya ya Monduli
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Kiasi cha fedha kinachokadiriwa shilingi milioni 32 kimetengwa na serikali kuu
Utaratibu wa Uombaji
Mchanganuo wa mradi kwa ushirikiano baina ya serikali na jamii
Mchanganuo wa mradi uwasilishwe na bajeti mwezi wa kumi na moja
Anuani:
Peter Shenyahonge- Mhandisi wa idara ya Kazi
Idra ya Kazi
S. L. P 1 Monduli, Tanzania
Simu: 0784-459092
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 19
KAZI
FEDHA ZA KULIPIA MATUMIZI YA BARABARA
Maelezo ya Programu/ mpango
Fedha zimetengwa kwa ajili ya sekta ya ujenzi ya wilaya ya Monduli
Mkazo umewekwa kwenye ujenzi wa barabara kati ya vijiji ili kurahisisha masuala ya usafiri
Sifa zinazostahili za programu
Fedha zimetengwa kwa ajili ya wilaya ya Monduli Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Fedha zinazokadiliwa shilingi milioni 275 zitatolewa na serikali kuu
Utaratibu wa Uombaji
Mchanganuo shirikishi kati ya serikali na Jamii
Mchanganuo wa mradi uwasilishwe na bajeti mwezi Novemba
Anuani:
Peter Shenyahonge-Idara ya Kazi na Uhandisi wa Barabara
Idara ya Kazi
S.L.P 1 Monduli,Tanzania
Simu : 255784 459 092
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 20
MIPANGO YA TAASISI ZISIZO ZA SERIKALI
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 21
ELIMU
MAENDELEO YA WATOTO
Monduli Pastoralist Development Initiative (MPDI) Maelezo ya Prgramu/ mpango
Msisitizo umewekwa katika kukuza uwezo wa jamii utunzaji wa watoto na maendeleo yao
Kutumia rasilimali za ndani kuendesha makongamano na mafunzo kwa ajili ya kuinua maendeleo na elimu juu ya watoto na jinsi ya kuendesha ECD kwa kasi
Mpango wa chanjo wa kila mwezi utakaoratibiwa na vituo vya ECD
Kuwepo na kituo cha Rasilimali katika kila makao makuu
Sifa zinazostahili za programu
Jamii za kimasai katika Kata ya Sepeko
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Miundombinu za asili na malighafi zinazopatikana ndani ya Jamii
Rasilimali ya mafunzo na ujuzi zitatolewa na MPDI
Utaratibu wa Uombaji
Wasiliana na makao makuu
Anuani
Mikakati ya maendeleo ya wafugaji wa Monduli(MPDI)
Msimamizi,Mr/Ndugu Sanare 253855
Afisa wa Mpango/Programu;Mr/Ndugu Nkinde 0784 317609
S.L.P 176 Monduli,Tanzania Email: [email protected], [email protected], [email protected]
mailto:[email protected]
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 22
ELIMU
MIPANGO WA UTOAJI WA CHAKULA SHULENI
Komolonik Integrated Development Organization (KIDO)
Maelezo ya Prgramu/ mpango
Mkazo umewekwa katika kukabiliana na upungufu wa chakula katika shule za Awali na za msingi ambapo sukari, mchele, maharage, mahindi, chumvi, maziwa na mafuta ya kupikia vitatolewa
Sifa zinazostahili za programu
Usaidizi utatolewa kwa kuzingatia tathmini ya mahitaji iliyofanywa na KIDO
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Usaidizi wa chakula umepangwa na KIDO na mradi unafadhiliwa na Marekani
Utaratibu wa Uombaji
Wale wote watakaopenda kujumuishwa kwenye tathmini itakayofuata ya mahitaji wawasiliane na mkurugenzi mtendaji
Flora Bashumika-Mkurugenzi Mtendaji
Idara/Taasisi
S.L.P 30,Monduli,Tanzania
Simu/Nukushi:+255(27) 2538403
Simu ya Kiganyani:+255 754 566990 [email protected]
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 23
ELIMU
MPANO WA CHAKULA WA UMOJA WA MATAIFA
Chakula Cha UN Mashuleni.
Maelezo ya Prgramu/ mpango
Mpango unajaribu kuzisambazia chakula shule za msingi za serkali zilizopo katika mikoa maalum
Usambazaji wa chakula unafanywa na Umoja wa Mataifa kila baada ya miezi mitatu
Sifa zinazostahili za programu
Shule za msingi za mikoa ya Arusha,Dodoma na Manyara Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Chakula kitasambazwa na umoja wa Mataifa Gharama za ziada zingine kama chumvi, mafuta ya kupikia na ulinzi
wa chakula zinaweza kuombwa toka UN pia. Utaratibu wa Uombaji
Wasiliana na idara ya Elimu
Anuani
George Lowassa-Supply and Logistic Officer
Idara ya Elimu
S.L.P 1 Monduli,Tanzania
Simu: 0754 745668
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 24
AFYA
WATU WANAOISHI NA VIRUS VYA UKIMWI
Kanisa Kiinjili Kilutheri Tanzania Monduli (KKKT)
Maelezo ya Prgramu/ mpango
Kufanyakazi kwa ushirikiano na Hospital ya Monduli katika kutoa huduma za afya kwa wenye virus vya ukimwi (HIV/AIDS)
Huduma za afya zinazotolewa ni pamoja na huduma za nyumbani, usafiri na kushawishi mahitaji ya huduma ya matibabu (kutoa elimu ya ukimwi kwa waathirika
Elimu ya ufahamu juu ya virusi vya Ukimwi na Ukimwi (HIV/AIDS).
Huduma ya usafiri kwenda na kutoka hospitali au kanisa kwa watu waliothoofika kiafya
Sifa zinazostahili za programu
Watu wenye virusi vya Ukimwi na Ukimwi Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Msaada utazingatia mahitaji ya taasisi kulingana na uwezo wa kifedha
Utaratibu wa Uombaji
Wasiliana na msimamizi wa kujitolea
Anuani
Mr, Seti-Msimamizi wa kujitolea
KKKT MONDULI
Simu +255755 560 109
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 25
WANAWAKE
TAASISI YA MAENDELEO YA WANAWAKE WAKIMASAI
Maasai Women Development Organization (MWEDO) Maelezo ya Prgramu/ mpango
Utoaji wa gharama za msingi za sekondari na vyuo kwa wasichana wa Kimasai.
Kusaidia wanawake watu wazima katika kupata uelewa wa msingi kupitia mpango wa elimu ya watu wazima.
Kuwaelimisha wazazi wa Kimaasai juu ya wajibu wao katika kuunga mkono na kuwalea watoto wa kike katika muda wao wa kupata elimu.
Kuhakikisha kuwa kunakuwa na maendeleo endelevu ya elimu kwa kuanzisha Shule za Wanawake wa Kimaasai zinaanzishwa
Sifa zinazostahili za programu Girls Access to Education Project:
Kulenga umasikini wa rasilimali, watoto wa kike waliokosa elimu na wanawake
Ufaulu wa wanafunzi wa kike katika shule za serikali
Wasichana waliofaulu katika shule binafsi na ufaulu wa mitihani ya elimu ya watu
wazima Adult Literacy Program:
Uwezo wa kujifunza na kutumia maarifa wanayopata katika kuboresha kaya wanazotoka
Uwezo wa kushirikisha wengine katika manufaa yanayotokana na elimu wanayoipata
Msisitizo unawekwa wanawake wanachama wa vikundi vya MWEDO Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Usaidizi wa ulipaji wa gharama za ada, matibabu, dharura, usafiri na shajala.
Watu wazima waliopata mafunzo kutoa mafunzo kutoa mafunzo kwa watu
wazima katika ngazi ya vijijini
Utaratibu wa Uombaji
Kupeleka maombi kupitia Kamati za Wilaya za Uchambuzi za za Mwedo (MWEDOs District Selection Committee)
Mkataba uliosainiwa kati ya MWEDO na Vikundi vinavyoshughulika na usaidizi wa wasichana wa kimasai
Anuani: Paul Wilson Programs Manager MWEDO
S.L.P. 15240, Arusha, Simu: +255 27 254 4290
Web: www.maasaiwomentanzania.org
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 26
WANAWAKE
TAASISI YA MAENDELEO YA WANAWAKE WAKIMASAI
Maasai Women Development Organization (MWEDO) Maelezo ya Prgramu/ mpango
Kujenga uelewa wa program na mapambano dhidi ya HIV/AIDS
Kutoa elimu kwa jamii ya kuzuia maambukizi na namna ya kuwatunza wogonjwa majumbani
Kuwatambua washirika na wadau wengine katika mipango ya afya.
Kuwaelimisha wakunga wa jadi na kuwaunganisha na vituo vya afya kwa ajili ya
huduma za rufaa
Kuweka mipango ya motisha kwa TBAs kwa kuwahudumia wajawazito
wanaotarajia kujifungua
Kuwawezesha wakunga kutembelea vijiji kila mara ili kuwajengea uwezo
wakunga wa jadi ili kuboresha huduma wanazotoa
Kuvisaidi vituo vya kupima maambukizi ya ukimwi na utoaji wa ushauri nasaa ili
vitoe huduma kwa walengwa Sifa zinazostahili za programu
Kutegemea na umasikini wa rasilimali, wasichana wa kimaasai waliokosa elimu kwa muda mrefu, wanawake, vijana na wanaume
Uwezo wa kujifunza na kutumia ujuzi unaopatikana katika kuboresha maisha ya familia.
Uwezo wa kuwashirikisha wengine katika ujuzi unaopatikana hasa wanawake
wengine wa kimaasai
Wajumbe wa vikundi vilivyopo chini ya MWEDO katika wilaya za Monduli,
Longido, Simanjiro na Kiteto vitapewa kipaumbele zaidi
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Msaada utatolewa kupitia kwa vikundi vilivyopata mafunzo utoaji wa elimu ya
afya (peer health educators), watoaji wa matunzo majumbani (home based care givers), wanajamii wanaojitolea katika shughuli za afya na wanaojitolea katika shughuli jingine za kijamii
Utaratibu wa Uombaji
Wasiliana na Makao Makuu
Contact Paul Wilson Programs Manager MWEDO
S.L.P. 15240, Arusha
Simu: +255 27 254 4290
Web: www.maasaiwomentanzania.org
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 27
WANAWAKE
UWEZESHAJI KIUCHUMI
Maasai Women Development Organization (MWEDO) Maelezo ya Programu/ mpango
Kuelimisha wanawake juu ya uanzishaji wa miradi yenye faida na namna ya kusimamia miradi hiyo.
Kuwaelimisha na kuwaongoza wanawake juu ya uanzishaji wa vikundi vya uchumi vyenye ufanisi
Kusaidia vikundi kutengeneza mkakati wa masoko wenye kuzingatia ulinganifu na kupitia vituo vya biashara
Kuelimisha zaidi vikundi vya wanawake juu ya namna ya kubuni na uzalishaji wa bidhaa ambazo zinaweza kupata soko
Kujenga mfumo mzuri wa ufuatiliaji kwa kushirikiana na vikundi vya wanawake ambavyo vinazalisha kwa ajili ya kuuza katika vituo vya masoko
Kujenga mnyororo wa manufaa ya uzalishaji katika miradi ya mbuzi na kuku wa kienyeji na kuwajengea uwezo wa kuendeleza mnyororo huo wa manufaa kutokana na miradi hiyo
Kujaribu kuangalia uwezekano wa kuwaunganisha na kusaidia katika kujenga na kutekeleza mnyororo wa faida katika miradi ta mbuzi na kuku wa kienyeji
Kujenga mkakati madhubuti wa masoko kwa ajili ya miradi ya mbuzi na kuku wa kienyeji
Sifa zinazostahili za programu
Itazingatia zaidi umasikini wa rasilimali, na maendeleo duni ya wanawake wa Kimaasai
Uwezo wa kujifunza na kutumia maarifa anayopata kwa ajili ya kuboresha maisha ya kaya
Itaangalia zaidi wanawake ambao ni wanachama wa vikundi vya MWEDO katika eneo la mradi: Monduli, Longido, Simanjiro na Kiteto
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Msaada wa kuanzisha/kuendeleza shughuli yenye faida ambao ni kati ya Shilingi za kitanzania 1,500,000 na 3,500,000.
Msaada huu unapatikana kupitia kituo rasmi cha kibiashara cha wanawake wa kimaasai (Established Maasai Women Fair Trade Centre)
Utaratibu wa Uombaji Kuwasiliana na makao makuu ya mradi
Kuwasilisha maombi kupitia MWEDOs District Selection Committees
Uwepo wa mkataba uliosainiwa kati ya MWEDO na kikundi kinachoshughulika na maendeleo ya wasichana wa kimaasai
Contact Paul Wilson - Programs Manager MWEDO
S.L.P. 15240, Arusha
Simu: +255 27 254 4290
Web: www.maasaiwomentanzania.org
http://www.maasaiwomentanzania.org/
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 28
WANAWAKE
HAKI ZA BINADAMU NA JINSIA
Maasai Women Development Organization (MWEDO) Maelezo ya Prgramu/ mpango
Kuendesha Mafunzo juu ya haki za binadamu.
Kushawishi mamlaka za serikali ili ziihusishe katika kusaidia wanawake kumiliki
ardhi na umiliki wa mali nyingine.
Kutafuta na kuongea na Mashirika ya haki za binadamu kuwasaidia wanawake
wa Kimasai. Kuwajengea uwezo wanawake wakifugaji kueleza matatizo yao Kijamii na Kitaifa.
Sifa zinazostahili za programu
Imejikita katika umaskini wa rasmali,Focus on resource poor, underserved Maasai girls and women
Walengwa ni wanawake wanachama wa vikundi vya MWEDO,katika maeneo ya mradi.(Longido,Monduli,Simanjiro na Kiteto).
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Kupitia Uhamasishaji Wa kijamii,mafunzo na ushaishi.
Ruzuku ya shillingza kitanzania!,500.000 zinaweza kutolewa kwa ajili ya kusaidia
upimaji wa ardhi Utaratibu wa Uombaji
Kijiji kitapitisha barua ya kikundi na kuituma makao makuu ya MWEDO Contact
Paul Wilson Programs Manager MWEDO
S.L.P. 15240, Arusha
Simu: +255 27 254 4290
Web: www.maasaiwomentanzania.org
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 29
WANAWAKE
UTOAJI NA UREJESHAJI WA MIKOPO KWA WANAWAKE
Women Empowerment and Development Agency (WEDAC) Maelezo ya Prgramu/ mpango
Kutoa huduma ya kifedha kwa wanawake vijijini kupitia mikopo midogomidogo
Kukuza na kusaidia wanawake vijijini katika kuanzisha na kutekeleza miradi ya uzalishaji na endelevu
Kusaidia biashara za kilimo zinazoendeshwa na wanawake kwa kutoa msaada wa kiufundi na usaidizi
Operating in Monduli, Longido, Mbulu, Hanang and Babati Districts
Sifa zinazostahili za programu
Rasilimali fedha zipo kwa vikudi vya wanawake walio watano watano au zaidi.
Mikopo ya mtu mmoja mmoja unapatikana pia kwa udhamini wa mwajiri
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Mkopo wa kuanzia ni shilling 500,000 unaotakiwa kurejeshwa ndani ya miezi sita
Mkopo utakaofuatia unaweza kuongezeka hadi kufikia shilingi milioni 3 (3,000,000/=)
Utaratibu wa Uombaji
Wasiliana na Makao Makuu
Kuwasilisha majibu ya hojaji Makao Makuu
Kuwepo kwa mkataba mkataba uliosainiwa na Afisa wa kijiji (Mdhamini), kikundi (anachotoka mkopaji-collateral), and individual group members
Anuani Raphael Ami Coordinator
Women Empowerment and Development Agency (WEDAC) S.L.P 156 Monduli, Tanzania Namba ya ofisini: 253 8074
Simu: 0784 635824 Email: [email protected] Website: www.wedac.org
mailto:[email protected]://www.wedac.org/
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 30
WANAWAKE
MPANGO WA MIKOPO YA ADA YA SHULE
Women Empowerment and Development Agency (WEDAC) Maelezo ya Prgramu/ mpango
Mpango utaanza Januari, 2010 Mkopo kamili wa ada ya shule utalipwa moja kwa moja kwa taasisi ya elimu inayohusika mwanzo wa muhula
Sifa zinazostahili za programu
Wanawake na watoto walio ndani ya eneo linalohudumiwa na WEDAC (wilaya na vijiji)
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Mikopo kamili ya ada ya shule itatolewa na itatakiwa kulipwa katika kipindi cha miezi sita
Utaratibu wa Uombaji
Kuwasiliana moja kwa moja na Makao Makuu
Anuani Raphael Ami Coordinator Women Empowerment and Development Agency (WEDAC)
P.O. Box 156 Monduli, Tanzania Numba ya ofisini: 253 8074 Simu: 0784 635824 Email: [email protected] Website: www.wedac.org
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 31
WANAWAKE
MPANGO WA MKOPO WA KUKU WA KIENYEJI
Women Empowerment Development Agency (WEDAC)
Maelezo ya Prgramu/ mpango
Utaanza January, 2010
Utaratibu wa mikopo kwa ajili ya kusimamia wazalishaji na wafugaji wa kuku wa kienyeji
Wazalishaji wa kuku watapewa mkopo wa mienzi mitatu kwa ajili wa kuzalisha vifaranga na kuviuza kwa washirika wao wafugaji ambao kwa upande mwingine watapewa mkopo kwa ajili ya kununulia vifaranga ili kuwawezesha wazalishaji kulipa mkopo wao na kuendelea na mzunguko.
Inashauriwa pia kujiingiza katika vyanzo vingine vya mapato.Mkopo unaweza kulipwa kwa kutumia njia nyingine yeyote ya biashara.
Sifa zinazostahili za programu
Wanachama wanawake wa WEDAC walio katika eneo la ufadhili la wilaya/Vijiji
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Kiasi cha mkopo kitategemea na hali halisi na kitatakiwa kulipwa ndani ya kipindi cha miezi 3
Utaratibu wa Uombaji
Wasiliana na Makao makuu
Anuani Raphael Ami Coordinator
Women Empowerment and Development Agency (WEDAC) P.O. Box 156 Monduli, Tanzania Namba Ofisini: 253 8074
Simu: 0784 635824 Email: [email protected] Website: www.wedac.org
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 32
VIJANA
Y TIMU YA USHAURI YA JAMII (COCOTE)
Community Counseling Team (COCOTE)
Maelezo ya Prgramu/ mpango
Maelekezo kuhusu masuala ya maisha kwa vijana,familia na jamii.
Kipindi chakutoa taaarifa juu ya uelewa wa tabia mbalimbali kwa vijana utambuzi na utatuzi wa matatizo.
COCOTE wanapenda kushirikiana na serikali katika vituo vya Ufundi
Sifa zinazostahili za programu
Wanaofanya kazi Arusha Monduli na Arumeru
Msaada katidi usimamizi/ uendeshaji wa mradi
Kuwezesha Warsha na semina
Kuzuru na kutoa ushauri majumbani
Utaratibu wa Uombaji
Wasiliana na makao makuu kwa ajili ya kupanga namana ya kuandaa
Ushauri,warsha na kuzuru majumbani.
Contact Joscelyn P. Muna Director Community Counseling Team (COCOTE)
P.O. Box 11105 Arusha, Tanzania Office Location: ACU Building Rm 210 Arusha Simu: 0754694937 Email: [email protected], [email protected]
-
Mipango, miradi na huduma wilayani Monduli Ukurasa wa 33
MAREJEO
Afya miundombinu, ugavi 13 utoaji wa chakula shuleni 22, 23 Barabara ujenzi mpya 19 ukarabati, uboreshaji 18 Elimu
elimu ya watu wazima 25 elimu ya UKIMWI 26 maendeleo ya watoto 21
mikopo ya ada ya shule 25,29,30 msaada wa elimu kwa wasichana wa maasai 25 msingi 10 sekondari 11 Kilimo/ Ufugaji
Kuboresha uzalishaji wa mifugo, udhibiti wa magonjwa, elimu ya mazao 9 Kujenga uwezo, kusaidia umwagiliaji 9 udhibiti wa magonjwa, elimu ya mazao 9 mikopo midogo kwa ajili ya kuku 31 miradi ya kuongeza kipato 15
msaada wa mifugo kwa wanawake 26
Miradi ya jamii
sekta mbalimbali 14, 15,16 vituo vya elimu ya maendeleo ya watoto, mafunzo 21
Ujasiriamali kuongeza kipato kwa watu wanaoishi na
virusi vya UKIMWI)14 mafunzo kwa biashara ndogo 11 mikopo midogo 29, 31 msaada kwa vikundi vya wanawake 27
Misitu
upandaji miti17 UKIMWI elimu 24, 26 huduma ya nyumbani, usafirishaji 24 huduma za VCT 26 kuongeza kipato 31 mafunzo kwa wakunga wa jadi 26 Mafunzo biashara ndogo, vyanzo vya masoko,
usimamizi wa fedha 12 haki za binaadamu 28 kilimo 9 maji safi 17 ujasiriamali 27 utunzaji wa fedha, utekelezaji wa mradi,
usimamizi 9 wakunga wa jadi 26 Magi
mabomba, vyoo 17 ujenzi wa mabwawa 9 Wanawake
elimu ya watu wazima 25 mikopo ya uzalishaji na utunzaji wa kuku 31
miradi ya jamii 16 ujasiriamali wa vikundi 27 haki na sheria 28 mikopo midogo 29,31 mikopomya ada ya shule 15,29,30 msaada wa elimu 25,30
Vijana semina /makongamano yanayohusu
kuelimisha juu ya tabia, ushauri wa maisha 32