serikali ya mapinduzi ya zanzibar sheria ya...

28
1 SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NAM. 4 YA MWAKA 2015 FOMU YA TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI

Upload: others

Post on 18-Feb-2020

36 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

1

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NAM. 4 YA MWAKA 2015

FOMU YA TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI

Page 2: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

2

JADWELI YA PILI

FOMU YA KUTANGAZA MALI NA MADENI(Kwa Mujibu wa Kifungu cha 15 na Kifungu cha 16)

ZINGATIA:

Viongozi wa Umma wanatakiwa kusoma kwa makini maelezo yanayofuata kabla ya kutoa Tamko la Rasilimali na Madeni.

Maelezo Muhimu

1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini Kifungu cha 15 na 16 cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Nam. 4 ya Mwaka 2015. Orodha ioneshe mali za kibiashara na za matumizi binafsi.

2. Orodhesha mali zako na mali unazomiliki kwa pamoja na mke au mume wako, na pia mali za watoto wenye umri ulio chini ya miaka kumi na nane ambao hawajaoa au kuolewa. Rasilimali zinazotakiwa kutajwa ni pamoja na zifuatazo:-

(a) Fedha taslimu na amana zilizoko benki au Taasisi nyengine ya fedha ndani na nje ya Zanzibar;

(b) Hawala za Hazina (Treasury Bills) na nyenginezo za dhamana maalum zinazotolewa au kudhaminiwa na serikali au vyombo vya serikali;

(c) Faida inayotokana na fedha zilizowekwa akiba katika benki, chama cha ujenzi (Building Society) au Taasisi nyengine ya fedha;

(d) Mgao wa fedha au faida nyengine inayotokana na fungu la rasilimali ya kampuni (stocks) au hisa za kiongozi wa umma katika kampuni au shirika lolote;

(e) Maslahi katika chombo cha biashara kisichokuwa na mkataba na Serikali, na kisichokuwa au kisichodhibiti amana zinazouzwa bayana na vyombo vya umma, isipokuwa kwa dharura, na ambazo fungu lake la rasilimali na hisa haziuzwi bayana kwa umma.

(f) Mashamba na Ardhi zinazotumika kibiashara na matumizi binafsi;

(g) Mali halisi zisizohamishika, ambazo zinamilikiwa na kusimamiwa kwa mbali na ambazo zinapaswa kuorodheshwa;

(h) Mali zinazoleta faida zinazomilikiwa na kiongozi wa umma nje ya Zanzibar.

3. Kama nafasi kwenye fomu hii haitoshi, andika taarifa ya nyongeza katika karatasi nyengine na uiambatanishe.

Page 3: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

3

4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza na upungufu wa mali, madeni na biashara zako.

5. Unapaswa kutaja mapato, rasilimali na madeni uliyonayo ndani na nje ya Zanzibar, ikiwemo mali, rasilimali zinazohamishika, akaunti na biashara unazomiliki kwa pamoja na mtu au watu wengine zilizoko ndani na nje ya Zanzibar.

6. Tamko hili liwasilishwe kwa Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma ndani ya siku thelathini baada ya kushika wadhifa na kila mwisho wa mwaka na wakati wa kuacha wadhifa.

7. Ni wajibu wako kuhakikisha kwamba Fomu ya Tamko iliyokamilika imemfikia Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma kama ilivyoelekezwa katika kifungu cha 15 cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Zanzibar Nam. 4 ya mwaka 2015.

8. Ni ukiukwaji wa Maadili kwa kiongozi wa umma kushindwa kuwasilisha Fomu ya Tamko la Mali na Madeni ndani ya muda uliowekwa kisheria. Ni kosa la jinai kutoa tamko na taarifa za uongo kuhusu rasilimali na madeni yako.

9. Baada ya kuijaza kwa ukamilifu, Fomu hii uiwasilishe kwa Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma; kwa mkono au kwa njia ya Posta.

Page 4: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

4

SEHEMU YA KWANZA:

Weka alama ya (v) katika kisanduku husika.

TAMKO LA MARA YA KWANZA TAMKO LA MARA NYENGINE

Maelezo Binafsi.

1. Jina la ukoo………………………………….……………………………………………..

(KWA HERUFI KUBWA)

2. Majina ya kwanza ………………………….……….……………………………………

3. Jinsia……………………………………………………………………………………...

4. Tarehe, mwezi, mwaka na mahali ulipozaliwa ………….……………..……………......

…………….……………......….………….……………………………………………. .

5. Uraia …………………….……………………………………………………………….

6. Nambari ya Kitambulisho cha Mzanzibari ……………………………………….....…..

7. Hali ya ndoa ………….…………….…………………….………………………….......

8. Anwani ya sasa

(a) sanduku la barua ……..………………….…………………………………………..

(b) barua pepe (e- mail) …………………………………….………………………......

(c) mahali unapoishi …………..…………………………………………………….......

....…………………………………….………………………………………………......

(d) namba ya simu ya ofisini …………………………………………….……………..

(e) Namba ya simu ya mkononi ………………………………………………………...

(f) mtandao wa kijamii …………..………………………………………………………

(g) sehemu ambazo umewahi kuishi ………………………………………………………..

(h) muda ulioishi katika sehemu hizo kwa kila moja ………………………………………...

Page 5: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

5

9. Taarifa za Ajira

Taasisi/ Aina ya Tarehe ya Nafasi za Mshahara Posho kwa Muda mwajiri Ajira Ajira kuteuliwa kwa Mwaka mwaka uliotumikia (makisio)

10. Mapato kutoka vyanzo vyengine ..…………...…..……………………………… ………

……………………………………………………………………………………………………

……………………………………………………………………………………………………

……………………………………………………………………………………………………

11. MAELEZO KAMILI YA MAPATO (kwa tarehe ya kujaza fomu hii).

(a) Fedha taslimu ………………………………………..……….................................

Page 6: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

6

(b) Fedha zilizoko benki au Taasisi ya fedha kama ifuatavyo;

(1) (2) (3) (4) (5) (6) Jina la Namba Kiwango Chanzo Faida Matumizi Benki ya Akaunti cha fedha cha Fedha kutokana na Binafsi/Biashara Akiba

TANBIHI: Ambatanisha maelezo ya muda wa miezi 3 ya utoaji na uingizaji wa fedha (Bank Statement) ya benki ulizozitaja.

(c) Fedha zilizoko benki au Taasisi za fedha nje ya Zanzibar (Taja nchi zilizoko fedha hizo).

(1) (2) (3) (4) (5) (6)Jina la Namba Kiwango Chanzo Faida Matumizi Binafsi/ Benki/Taasisi ya Akaunti cha Fedha cha Fedha kutokana Biasharaya fedha na na Akibamahali ilipo.

TANBIHI: Ambatanisha maelezo ya muda wa miezi 3 ya utoaji na uingizaji wa fedha (Bank Statement) ya benki ulizozitaja.

Page 7: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

7

(d) Hisa na gawio ndani na nje ya Zanzibar

(1) Kiwango cha Hisa (2) Jina la Kampuni unayomiliki Hisa (3) Kiwango cha Gawio

(e) Nyumba na Majengo Mengine ndani na nje ya Zanzibar.

(1) Nyumba/ (2) Mahali (3) Ukubwa (4) Aina (5) Gharama/ (6) Chanzo (7) Matumizi Majengo ilipo wa Eneo ya jengo Thamani ya cha Fedha Binafsi/ ujenzi/ununuzi za ujenzi/ Binashara ununuzi

Page 8: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

8

(f) Mashamba, Mifugo, Madini ndani na nje ya Zanzibar.

(1) Mashamba, (2) Ukubwa (3) Thamani (4) Chanzo cha (5) Mahali (6) Matumizi Mifugo, Kitalu wa Eneo/ Fedha za ilipo Binafsi/ cha Madini Idadi ujenzi/ ununuzi Biashara

(g) Gari na aina nyengine za vyombo vya usafiri, (boti, ndege, mitambo) ndani na nje ya Zanzibar

(1) Aina (2) Namba (3) Namba ya (4) Thamani (5) Chanzo (6) Mahali (7) Matumizi ya usajili chev vsesi na cha ilipo Binafsi/ Mashine Fedha za Biashara ununuzi

Page 9: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

9

(h) Mashine, Viwanda, Mitambo ndani na nje ya Zanzibar.

(1) Mashine, (2) Mahali (3) Idadi (4) Gharama/ (5) Chanzo chaViwanda, zilipo Thamani Fedha za ununuziMitambo

12. RASILIMALI AU MASLAHI MENGINE YA KIBIASHARA NDANI NA NJE YA ZANZIBAR

…………………………………………………....…………………………………………....

………………………………………………………………………………………………...

..................................................................................................................................................

13. MADENI:

(a) Madeni unayodai…………………………………………………………………………………………………... (b) Unaowadai

…………………………………………….……………………………………………………..

(c) Madeni unayodaiwa ……………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………...

(d) Wanaokudai

…………………………………………………………………………………………………...

Page 10: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

10

SEHEMU YA PILI:

RASILIMALI ZA MUME/MKE AU WAKE

Sehemu hii ijazwe na Kiongozi wa Umma kwa ajili ya mume/mke au wake kadri ilivyo.

1. MAELEZO YA RASILIMALI NA MALI ZA mume/mke au wake wa kiongozi wa umma ndani au nje ya Zanzibar (kwa tarehe ya kujaza Fomu).

(a) Jina la Mume/Mke au Wake (b) Kazi yake

……..………..………………… …………………………..……

…………………………………. …………………..……………

…………………………………. .…………………..…………..

…………………………………. ………………………………..

2. Fedha zilizoko Benki au taasisi ya fedha ndani na nje ya Zanzibar

(a) Fedha taslimu ………………………….………………………

(b) Fedha zilizoko benki au Taasisi ya fedha kama ifuatavyo;

(1) Jina la (2) Namba (3) Kiwango (4) Chanzo (5) Faida (6) Matumizi Benki/taasisi ya Akaunti cha fedha cha Fedha kutokana Binafsi /Biashara ya fedha na na Akiba mahala

TANBIHI: Ambatanisha maelezo ya muda wa miezi 3 ya utoaji na uingizaji wa fedha (Bank Statement) ya benki ulizozitaja.

Page 11: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

11

(c) Fedha zilizoko benki au taasisi za fedha nje ya Zanzibar (Taja nchi zilizoko fedha hizo).

(1) (2) (3) (4) (5) (6) Jina la Namba ya Kiwango cha Chanzo cha Faida Matumizi Benki//Taasisi Akaunti Fedha Fedha kutokana Binafsi/ya fedha na na Akiba Biasharamahali ilipo.

TANBIHI: Ambatanisha maelezo ya muda wa miezi 3 ya utoaji na uingizaji wa fedha (Bank Statement) ya benki ulizozitaja.

(d) Hisa na gawio ndani na nje ya Zanzibar

(1) Kiwango cha Hisa (2) Jina la Kampuni anayomiliki Hisa (3) Kiwango cha Gawio

Page 12: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

12

(e) Nyumba na Majengo Mengine ndani na nje ya Zanzibar.

(1) (2) (3) (4) (5) (6) (7) Nyumba/ Mahali Ukubwa Aina ya Gharama/ Chanzo cha Matumizi Majengo ilipo wa Eneo jengo Thamani Fedha za binafsi/ ya ujenzi/ ujenzi/ biashara ununuzi ununuzi

Page 13: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

13

(f) Mashamba, Mifugo, Madini ndani na nje ya Zanzibar.

(1) (2) (3) (4) (5) (6) Mashamba, Ukubwa Thamani Chanzo cha Mahali Matumizi Mifugo, wa Eneo/ Fedha za Binafsi/ Kitalu cha Idadi ujenzi/ ununuzi BiasharaMadini

Page 14: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

14

(g) Gari na aina nyengine za Usafiri ndani na nje ya Zanzibar.

(1) (2) (3) (4) (5) (6) (7) Aina Namba Namba ya Thamani Chanzo cha Mahali Matumizi ya usajili chesesi na Fedha za ilipo Binafsi/ Mashine ununuzi Biashara

(h) Mashine, Viwanda, Mitambo ndani na nje ya Zanzibar.

(1) (2) (3) (4) (5) Mashine, Viwanda, Mahali ilipo Idadi Gharama/ Chanzo cha Fedha Mitambo Thamani za ununuzi

Page 15: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

15

2. RASILIMALI AU MASLAHI MENGINE YA KIBIASHARA NDANI NA NJE YA ZANZIBAR

………………………………………………………………………………………………...

…………………………………………………………………..…………………………….

…………………………………………………………………………………………………

3. MADENI

(a) Madeni anayodaiwa

……………………………………………………………………………………………………

………………………………………….………………………………………………………

………………………………………………… ……………………………………………...

....................................................................................................................................................

(b) Madeni anayodai

…………………………………………………………………………………………………..

…………………………………………………………………………………………………..

…………………………………………………………………………………………………..

…………………………………………………………………………………………………..

Page 16: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

16

SEHEMU YA TATU:

1. RASILIMALI ZA WATOTO WENYE UMRI ULIO CHINI YA MIAKA KUMI NA NANE AMBAO HAWAJAOA AU KUOLEWA

(Sehemu hii ijazwe na Kiongozi wa Umma kwa niaba ya mtoto/watoto)

(a) Majina na umri wa mtoto/ watoto

Jina Jinsia Umri Uhusiano

(b) Fedha (i) Fedha taslimu ………………………………………………………………….. (ii) Fedha zilizoko Benki au taasisi ya fedha ndani na nje ya Zanzibar

(1) (2) (3) (4) (5) (6) (7) Jina la Jina la Kiwango Nambari Chanzo Faida Matumizi Mtoto Benki cha fedha ya Akaunti cha Fedha kutokana Biashara/ na Akiba Binafsi

TANBIHI: Ambatanisha maelezo ya utoaji na uingizaji wa fedha (bank statement) kwa muda wa miezi 3 katika benki ulizozitaja.

Page 17: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

17

(c) Fedha zilizoko benki au taasisi za fedha nje ya Zanzibar (Taja nchi zilizoko fedha hizo). (1) (2) (3) (4) (5) (6) Jina la Benki/ Namba ya Kiwango Chanzo cha Faida Matumizi Taasisi ya fedha Akaunti cha Fedha Fedha kutokana Binafsi/na mahali ilipo na Akiba Biashara

TANBIHI: Ambatanisha maelezo ya muda wa miezi 3 ya utoaji na uingizaji wa fedha (Bank Statement) ya benki ulizozitaja.

(d) Hisa na gawio ndani na nje ya Zanzibar

(1) Kiwango cha Hisa (2) Jina la Kampuni anayomiliki Hisa (3) Kiwango cha Gawio

Page 18: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

18

(e) Nyumba na Majengo Mengine ndani na nje ya Zanzibar

(1) (2) (3) (4) (5) (6) Nyumba/ Mahali ilipo Ukubwa Aina ya Gharama/ Chanzo cha Fedha Majengo wa Eneo jengo Thamani ya za ujenzi/Ununuzi ujenzi/Ununuzi

Page 19: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

19

(f) Mashamba, mifugo na Migodi ndani na nje ya Zanzibar

(1) (2) (3) (4) (5) (6) Mashamba, Mahali Thamani Chanzo cha Ukubwa Matumizi Mifugo, Kitalu Fedha za wa Eneo/Idadi Binafsi/ cha Madini ujenzi/ ununuzi Biashara

Page 20: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

20

(g) Gari na aina nyengine za Usafiri ndani na nje ya Zanzibar

(1) (2) (3) (4) (5) (6) (7) Aina Namba ya Namba ya Thamani Chanzo cha Mahali ilipo Matumizi usajili chesesi na Fedha za Binafsi/ Mashine ununuzi Biashara

Page 21: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

21

(h) Mashine, Viwanda, Mitambo ndani na nje ya Zanzibar.

(1) (2) (3) (4) (5) Mashine, Viwanda, Mahali ilipo Idadi Gharama/ Chanzo cha Fedha Mitambo Thamani za ununuzi

Page 22: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

22

2. RASILIMALI AU MASLAHI MENGINE YA KIBIASHARA/BINAFSI………………………………………………………………………………………………..

………………………………………………………………………………………………..

..................................................................................................................................................

3. MADENI:

(a) Madeni anayodaiwa.……………………………………………………………………………………………...…

………………………………………………………………………………………………..

………………………………………………………………………………………………..

...................................................................................................................................................

(b) Madeni anayodai……………………………………………………………………………………………….

……………………………………………………………………………………………….

……………………………………………………………………………………………….

……………………………………………………………………………………………….

SEHEMU YA NNE:Eleza kama uliwahi kutuhumiwa kwa kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na aina ya ukiukaji huo na hatua zilizochukuliwa

………………………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………………………

Page 23: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

23

SEHEMU YA TANO:

Sehemu hii ijazwe na Viongozi wa Umma ambao wameshawahi kujaza Fomu ya Tamko la Mali na Madeni kwa mwaka uliopita. Fomu hii ya tamko ni kwa ajili ya kuonesha upungufu au ongezeko la Mali na Madeni baada ya Tamko la mwisho.

(a) Ongezeko la Rasilimali na Mapato

(i) Fedha Taslim

Jina la Benki Namba ya Akaunti Maelezo ya Ongezeko Chanzo cha Mali Kiwango/Thamani/ Mapato

(ii) Majengo

Namba ya Kiwanja au Aina ya Jengo Chanzo cha Mali Maelezo ya Ongezeko ushahidi mwengine halali Kiwango/Thamani/ Mapato

Page 24: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

24

(iii) Mashamba na Ardhi

Ukubwa wa shamba Mahali lilipo Chanzo cha Mali Maelezo ya Ongezeko au Ardhi Kiwango/Thamani/ Mapato

(iv) Gari

Aina ya gari Namba za usajili Namba za chesesi Chanzo cha Mali Maelezo ya Ongezeko na Mashine la Kiwango/Thamani/ Mapato

Page 25: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

25

(v) Mashamba na Ardhi zisizoendelezwa

Ukubwa wa Shamba Mahali lilipo Chanzo cha Mali Maelezo ya Ongezeko au Ardhi la Kiwango/Thamani/ Mapato

(vi) Hisa(vii) Rasilimali nyengine

(b) Upungufu wa Mali na Madeni i. Fedha Taslim

Jina la Benki Namba ya Akaunti Chanzo cha Mali Maelezo ya Ongezeko la Kiwango/Thamani/Mapato

Page 26: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

26

ii. Majengo Namba ya Kiwanja au Aina ya Jengo Chanzo cha Mali Maelezo ya Ongezeko la ushahidi mwengine halali Kiwango/Thamani/Mapato

iii. Mashamba na Ardhi

Ukubwa wa Shamba Mahali lilipo Chanzo cha Mali Maelezo ya Ongezeko la au Ardhi Kiwango/Thamani/ Mapato

Page 27: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

27

iv. Gari

Aina ya gari Namba za usajili Namba za chesesi Chanzo cha Mali Maelezo ya Ongezeko na Mashine la Kiwango/Thamani/ Mapato

v. Mashamba na Ardhi zisizoendelezwa

Ukubwa wa shamba Mahali ilipo Chanzo cha Mali Maelezo ya Ongezeko la au Ardhi Kiwango/Thamani/ Mapato

vi. Hisa

vii. Rasilimali nyengine

Page 28: SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA ...ethicscommission.go.tz/wp-content/uploads/2019/11/FOMU...3 4. Iwapo umekwishatoa Tamko la Mali na Madeni yako, unatakiwa kutaja nyongeza

28

TAMKO:

Tamko hili limetolewa na……………………………………………………….…..…………

Saini ya mtoa Tamko …………………………………………………………………….…..

Tarehe………………………………………………………….…..……………………….

ITHIBATI

Jina la Kamishna wa viapo………………………………………………………….…..…………

Saini……………………………………………………………………………...……………….

Tarehe…………………………………………………………….…………….…………………

Wadhifa………………………………………………………………………………...…………

Anwani…………………………………………………………………………………………..

Muhuri wa Kamishna wa Viapo…………………………………………………………………...

Fomu hii ya Tamko irejeshwe kabla ya tarehe 31 Disemba, kwa:-

Mwenyekiti,Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma,S.L.P. 3877, Zanzibar.Simu: 024 2235 535Fax: 024 2235 535Barua pepe: [email protected]